13.07.2015 Views

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliKulea VifarangaBaada ya vifaranga kutotolewa waache namama yao mahali penye usalama kwa mudawa mwezi moja mbali na mwewe, vicheche,paka, kenge, n.k. Hakikisha wanapata maji nachakula cha kutosha muda wote.Kulea vifaranga kwa kumtumia kukuNjia nyingine ni kuwaweka vifaranga mahalipazuri na kuwafunika na tenga ili kuzuiamwewe wakati wa mchana kwa kuhakikishaKulea vifaranga kwa kumtumia kukukuwa hawapigwi na jua wala kunyeshewamvua.Wakati wa usiku warejeshe kwa mama yao ili awakinge na baridi. Fanya hivi hadiwafikie umri wa mwezi mmoja ndipo uwatenge na mama yao.Pia unaweza kutumia kifaa maalum cha kulelea vifaranga (kitalu) mara baadaya kuanguliwa. Katika kitalu wanapatiwa joto wanalohitaji. Kifaa hiki kinawezakutengenezwakwa karatasi ngumu itumikayo kutengeza dari.(angalia mchorounaofuata).AuKatika mazingira ya kijijini unawezakutengeneza wigo wa mduara kwa magunia.Upana wake uwiane na wingi wa vifarangaulionao na kina chake kama mita moja. Ukutawake uwe na tabaka mbili za magunia hayozilizoachana kwa nafasi ya inchi tatu aunne. Kati kati ya nafasi hiyo jaza maranda yambao au pumba za mpunga. Tayari utakuwaumepata kitalu cha kulelea vifaranga.Kulea vifaranga kwa kumtumia kitaluNdani ya kitalu weka taa ya chemli ya kutoa joto linalohitajika kwa vifaranga.Fuatilia tabia ya vifaranga wanapokuwa katika kitalu.Wakiisogelea sana taa ina maana joto halitoshi, ongezea joto kwa kupandisha utambi.Wakienda mbali sana na taa, joto limezidi punguza. Kitalu kikiwa na joto zuri vifarangawatatawanyika kote katika kitalu na kuonyesha kuchangamka.11

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!