13.07.2015 Views

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliHii inafanyika kwa kuku kuatamia mayai kwa hatua zifuatazo.Kuandaa kiota:• Kiota kiandaliwe kabla kuku hajaanza kutaga kwa kukiwekea nyasi kavu na kuzisambazakwa kutengeneza muundo wa kata au sahani iliyozama kidogo.• Kiota kinyunyiziwe dawa ya unga kuua wadudu kabla na baada ya kuweka nyasi. Iwapokuku atajiandalia kiota chake mahali panapofaa aachwe hapo ila kiota kiwekewe dawaya kudhibiti wadudu.Maandalizi ya kuku anayetaka kuatamiaDalili za kuku anayetaka kuatamia ni:o Anatoa sauti ya kuatamia.o Ushungi wake umesinyaa.o Hapendi kuondoka kwenye kiota.o Hupenda kujikusanyia mayai mengiKuku wenye dalili za kutaka kuanza kuatamiaakaguliwe ili kuhakikisha kuwa hawana wadudukama utitiri, chawa, viroboto n.k. wanaowezakumsumbua wakati wa kuatamia. Akiwa naUfugaji wa nusu huriawadudu watamsumbua hataweza kutuliakwenye kiota na kuatamia vizuri. Matokeo yake ataangua vifaranga wachache. Hivyowalio na wadudu wanyunyizie dawa ya unga kabla hawajaanza kuatamia ili kudhibititatizo hili.KuatamiaKuku anapotaga mayai yaondolewe na kubakiza moja kwenye kiota ili kumwita kukukuendelea kutaga. Kuku akiwa tayari kuatamia awekewe mayai kwa kuatamia. Kwakawaida kuku mmoja anaweza kuatamia vizuri mayai 10 hadi 13 kwa wakati mmoja.Kipindi cha kuangua mayai ni kuanzia siku 20 baada ya kuatamia. Ukitaka kutotoleshavifaranga wengi kwa wakati mmoja, kuku akianza kutaga yakusaye mayai yake nakumbakizia yai moja ili aendelee kutaga.Mayai utakayokusanya yaweke mahali pasipona mwanga mwingi na penye ubaridi kiasi.Fanya hivi kwa kuku kadhaa wanaotaga ndani ya muda unaokaribiana. Kilaatakayeonyesha dalili ya kuanza kuatamia muwekee mayai kati ya 10 na 12 aatamie.Kwa njia hii wataatamia na kuangua ndani ya kipindi kimoja. Na utapata vifaranga wengiwa umri mmoja hatimaye kuuza kuku wengi kwa pamoja.10

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!