13.07.2015 Views

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa Asiliila sentimita 10 za kwanza kutoka chini zizibwe na ubao( angalia kielelezo). Weka idadi ya viota inayotoshelezakuku ulio nao.Pia ipo aina nyingine inayoweza kutumiwa na kukuzaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Ni kama kiotakimoja kilichogawanywa katika vyumba kadhaa. Ilakila chumba kina vipimo kama vya kiota kimoja(angalia picha hapa chini).Aina hii ya kiota ina upanawa sentimita 30 na kina sentimeta 35 na urefu wakeunategemea idadi ya viota.Muunganiko wa ViotaViota vinatakiwa kuwa na giza ili kuku wasiogope kuingia kutaga ndani yake. Pia gizahusaidia kupunguza tabia ya kuku kula mayai na kudonoana. Kiota kinafaa kuwekwamahali ambako ni rahisi kuku kuingia na kutoka. Vile vile iwe ni sehemu itakayorahisishausafishaji wa kiota chenyewe.VichanjaKuku wana asili ya kupenda kulala au kupumzika sehemu iliyoinuka. Hivyo ndani yabanda weka vichanja vitakavyotosheleza idadi ya kuku waliopo.Vichanja8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!