biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ... biashara ya ufugaji bora wa kuku wa asili - Rural Livelihood ...

13.07.2015 Views

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliUfugaji nusu huriaLiwe na nafasi ya kutosha kwa kuku waliopo:Kwa kawaida eneo la mita mraba moja hutoshakuku wanne wanaotaga au kuku 8 wa nyama.Nafasi ya mita mraba 1 inatosha vifaranga 16hadi kufikia umri wa majuma manne.Liweze kuingiza hewa na mwanga wakutosha: Banda linaloweza kuingiza hewasafi na kutoka ndani yake hubaki kavu. Harufumbaya hutoka na kuku huweza kupumua hewasafi. Hii husaidia pia kudhibiti kuzaliana kwavimelea vinavyosababisha magonjwa,hivyohudhibiti magonjwa.Ufugaji wa nusu huriaLisiwe na joto sana au baridi sana: Panda miti ya kuzunguka banda lako ili eneo liwena kivuli cha kutosha na pia lisiwe na upepo mkali.Kama hali halisi ya eneo la kufugia inajoto kubwa kwa vipindi virefu paa la banda wakati wa ujenzi liinuliwe juu zaidi kuruhusumzunguko zaidi wa hewa na joto la paa ( kama ni la bati) liwe mbali juu ya kuku.Joto kwenye banda linaweza kusababishwa na msongamano wa kuku, hivyo mfugajiaangalie aweke idadi ya kuku inayowiana na ukubwa wa banda lake.PaaLiwe imara na lisilovuja. Waweza kutumia mabati,nyasi, madebe, makuti n.k. kutegemeana naupatikanaji wa vifaa vya kuezekea.Wakati wakuezeka paa lisiishie karibu sana na ukuta baliliwe na sehemu kubwa iliyozidi ukuta kuzuiamvua kuingia ndani kama ni ya upepo ( angaliamchoro hapa chini).Paa lifunike ukuta kwa sehemu kubwaVifaa vinavyohitajika katika banda la kukuKuku wakifugwa kwa mtindo wa nusu ndani na nusu nje wanahitaji huduma mbalimbalindani ya banda na ndani ya wigo. Ili kutoa huduma hizi vifaa vifuatavyo ni muhimu viwekatika banda:6

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliVyombo vya MajiKuna njia nyingi za kutengenezavyombo vya kuwekea maji yakuku ya kunywa.• Aina ya mojawapounayoweza kutumiandoo au debe la lita kumiau ishirini ya plastiki. Katandoo hiyo pande nnekutoa nafasi ya kuku yakunywea kama kielelezoKinywesheo cha kujitengenezea Kinywesheokinavyoonyesha. Tengeneza idadi ya vyombo hivi inayowiana na wingi wa kukuulionao.• Au waweza kutumia sufuria au beseni pana kiasi. Hii huwekewa tofali au jiwe safipana baada ya kuwekewa maji ya kunywa ili kuzuia kuku wadogo wasizame na majiyasichafiliwe kirahisi.• Vifaa maalum vya kunyweshea kuku vinapatikana katika maduka ya pembejeo zakilimo.Vyombo vya ChakulaVyombo hivi ni muhimu viwe vimetengenezwavizuri ili visiwe chanzo cha upoteaji wa chakula.Unapotengeneza kilishio cha kuku kumbukakuwa kuku wana tabia ya kuchakura. Husambazaau kupekua chakula kwa miguu hata kwa midomoili kupata chakula cha chini.KilishioTabia hii husababisha kumwagwa kwa chakula kingi chini na kusababisha hasara.Unaweza kudhibiti tatizo hili kwa kutengeneza vyombo visivyoruhusu kuku kuchakurakama inavyoonyeshwa kwenye kielelezo hapa chini.Unaweza kutengeneza kilishio hiki wewe mwenyewe au fundi seremala waliopo katikaeneo unaloishi. Inafaa kilishio kiwe chembamba ili kuku wasiweze kuingia. Pia kinatakiwakiwe kirefu ili kuku waweze kula bila kusongamana.ViotaZipo aina tofauti za viota ambazo hutumika kwa ajili ya kutagia. Ipo aina ya ambayo niya kutagia kuku mmoja mmoja. Vipimo vinavyopendekezwa kwa kila kiota ni upana wasentimita 30, urefu sentimita 30 na kina sentimita 35. Upande wa mbele uachwe wazi7

Ufugaji Bora Wa Kuku Wa AsiliUfugaji nusu huriaLiwe na nafasi ya kutosha kwa kuku waliopo:Kwa kawaida eneo la mita mraba moja hutoshakuku wanne wanaotaga au kuku 8 wa nyama.Nafasi ya mita mraba 1 inatosha vifaranga 16hadi kufikia umri wa majuma manne.Liweze kuingiza hewa na mwanga wakutosha: Banda linaloweza kuingiza hewasafi na kutoka ndani yake hubaki kavu. Harufumbaya hutoka na kuku huweza kupumua hewasafi. Hii husaidia pia kudhibiti kuzaliana kwavimelea vinavyosababisha magonjwa,hivyohudhibiti magonjwa.Ufugaji wa nusu huriaLisiwe na joto sana au baridi sana: Panda miti ya kuzunguka banda lako ili eneo liwena kivuli cha kutosha na pia lisiwe na upepo mkali.Kama hali halisi ya eneo la kufugia inajoto kubwa kwa vipindi virefu paa la banda wakati wa ujenzi liinuliwe juu zaidi kuruhusumzunguko zaidi wa hewa na joto la paa ( kama ni la bati) liwe mbali juu ya kuku.Joto kwenye banda linaweza kusababishwa na msongamano wa kuku, hivyo mfugajiaangalie aweke idadi ya kuku inayowiana na ukubwa wa banda lake.PaaLiwe imara na lisilovuja. Waweza kutumia mabati,nyasi, madebe, makuti n.k. kutegemeana naupatikanaji wa vifaa vya kuezekea.Wakati wakuezeka paa lisiishie karibu sana na ukuta baliliwe na sehemu kubwa iliyozidi ukuta kuzuiamvua kuingia ndani kama ni ya upepo ( angaliamchoro hapa chini).Paa lifunike ukuta kwa sehemu kubwaVifaa vinavyohitajika katika banda la kukuKuku wakifugwa kwa mtindo wa nusu ndani na nusu nje wanahitaji huduma mbalimbalindani ya banda na ndani ya wigo. Ili kutoa huduma hizi vifaa vifuatavyo ni muhimu viwekatika banda:6

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!