kiboko quality animal feeds - KIBOKO Animal Feeds and Millers
kiboko quality animal feeds - KIBOKO Animal Feeds and Millers kiboko quality animal feeds - KIBOKO Animal Feeds and Millers
MCHANGANUO WA MATUMIZI NAMAPATO YA UFUGAJI WA KUKU WAKISASA.
MATUMIZI NA MAHITAJI YA MTAJI:1.KUKU WA MAYAI (kuku 100);Bei ya kawaida ya kifaranga mmoja ni Tshs. 2,500/=.Kwa vifaranga mia moja(100) ni Tshs. 250,000/=.Kuanzia siku ya kwanza mpaka wiki ya 8 ulajiwa kifaranga kimoja ni kama ifuatavyo:Muda (wiki) Kiasi cha ulaji kwa Jumla ya ulaji kwa wikikifarangaSiku 1 – wiki 2 (siku 14) 12.5g X siku 14 175gWiki 2 – 4 (siku 14) 25g X siku 14 350gWiki 4 – 6 (siku 14) 37.5 X siku 14 525gWiki 6 – 8 (siku14) 50g X siku 14 700gJumla1750gHivyo, kiasi cha chakula (KIBOKO CHICK STATER)kwa vifaranga 100 kwa wiki zote nane za kwanza ni1750g x vifaranga 100 = 1750000g (175Kg).
- Page 2 and 3: UTANGULIZI:Kwanini tufuge kuku?Tuna
- Page 5 and 6: Mfano wa matandiko (litter material
- Page 7: Aina ya vyakula vinavyotengenezwa k
- Page 11 and 12: MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Kuanz
- Page 13 and 14: MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Wasta
- Page 15 and 16: MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...JUMLA
- Page 17 and 18: MAPATO YA MAUZO…Bei ya mauzo ya k
- Page 19 and 20: MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...2.KUK
- Page 21 and 22: MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Ikiwa
- Page 23 and 24: JUMLA YA MATUMIZI YOTEManunuzi ya v
- Page 25 and 26: MAMBO MUHIMU:• Matokeo bora ya uf
- Page 27 and 28: MAPENDEKEZO…. Zingatia : Kiwango
- Page 29: Wasiliana nasi:KIBOKO ANIMAL FEEDS
MATUMIZI NA MAHITAJI YA MTAJI:1.KUKU WA MAYAI (kuku 100);Bei ya kawaida ya kifaranga mmoja ni Tshs. 2,500/=.Kwa vifaranga mia moja(100) ni Tshs. 250,000/=.Kuanzia siku ya kwanza mpaka wiki ya 8 ulajiwa kifaranga kimoja ni kama ifuatavyo:Muda (wiki) Kiasi cha ulaji kwa Jumla ya ulaji kwa wikikifarangaSiku 1 – wiki 2 (siku 14) 12.5g X siku 14 175gWiki 2 – 4 (siku 14) 25g X siku 14 350gWiki 4 – 6 (siku 14) 37.5 X siku 14 525gWiki 6 – 8 (siku14) 50g X siku 14 700gJumla1750gHivyo, kiasi cha chakula (<strong>KIBOKO</strong> CHICK STATER)kwa vifaranga 100 kwa wiki zote nane za kwanza ni1750g x vifaranga 100 = 1750000g (175Kg).