13.07.2015 Views

kiboko quality animal feeds - KIBOKO Animal Feeds and Millers

kiboko quality animal feeds - KIBOKO Animal Feeds and Millers

kiboko quality animal feeds - KIBOKO Animal Feeds and Millers

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Kuanzia wiki ya tatu mpaka ya wiki ya 6 (siku 21),watapewa chakula cha <strong>KIBOKO</strong> Broiler Finisher kamaifuatavyo:Muda (wiki) Kiasi cha ulaji JumlaWiki 3 - 4 (siku7) 80g X siku 7 560gWiki 4 - 5 (siku7) 110g X siku 7 770gWiki 5 - 6 (siku 7) 130g X siku 7 910gJumla2240gHivyo kwa kuku wote 200 zitahitajika2240g x kuku 200 =448,000g (448Kg) sawa na mifuko 9 ya50Kg, kwa gharama ya:Mifuko 9 x Tshs 38,000(bei ya mfuko mmoja)/=Tshs. 342,000/=Wastani wa juu wa gharama za mfanyakazi kwa mwezi niTshs. 40,000/=. Hivyo kwa kipindi chote cha ufugaji ni sawa naTshs. 40,000/= X mwezi 1.5 = Tshs. 60,000Wastani wa gharama za madawa na chanjo niTshs. 50,000/= kwa kipindi chote cha wiki sita kwa kuku wote.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!