13.07.2015 Views

kiboko quality animal feeds - KIBOKO Animal Feeds and Millers

kiboko quality animal feeds - KIBOKO Animal Feeds and Millers

kiboko quality animal feeds - KIBOKO Animal Feeds and Millers

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

UTANGULIZI:Kwanini tufuge kuku?Tunafuga kuku ili tupate mazao yafuatayo:MayaiNyamaFedhaMboleaAina ya kuku tunaoweza kuwafuga. Layers-kuku wa mayai Broilers- kuku wa nyama Indigenous- kuku wa kienyeji

Njia za ufugaji wa kuku. Ufugaji huria- free range/extensive system Ufugaji wa ndani kwa ndani-intensive system Ufugaji wa nje kwa ndani –Semi intensiveNi vipi utachagua eneo la kujenga nyumba ya kuku? Eneo linalopitisha maji (proper drainage) Eneo linaloruhusu hewa kupita bila shida (good ventilation)

Mfano wa matandiko (litter materials). Maranda ya mbao,pumba ya ngano/mpunga(rice/wheathusks)Kazi ya matandiko.Kukausha kinyesiKuhifadhi joto kwa vifarangaKudhoofisha na kuua vimelea(micro organisms)

ULISHAJI WA KUKUUmuhimu wa chakula kwa kuku.Kuku wanahitaji chakula kwa ajili ya: Kukua na kujenga mwili (growth and development) Kutaga mayai Uzalishaji (reproduction) Kinga dhidi ya magonjwaViinilishe muhimu kwa kuku. Protini Wanga(carbohydrate) Mafuta(fat) Vitamin Madini(minerals) Maji

Aina ya vyakula vinavyotengenezwa kitaalamu naKIBOKO ANIMAL FEEDS:Kuku wa nyama (Broilers): BROILER MASH (50Kg) SUPER BROILER STARTER (50Kg) SUPER BROILER FINISHER (50Kg)KIBOKOANIMALFEEDBroiler Mash.50kgKIBOKOANIMALFEEDchick starter50kgKuku wa Mayai (Layers): LAYERS MASH (50Kg) SUPER CHICK STARTER (50Kg) SUPER GROWERS MASH (50Kg) SUPER LAYERS MASH (50Kg)

MCHANGANUO WA MATUMIZI NAMAPATO YA UFUGAJI WA KUKU WAKISASA.

MATUMIZI NA MAHITAJI YA MTAJI:1.KUKU WA MAYAI (kuku 100);Bei ya kawaida ya kifaranga mmoja ni Tshs. 2,500/=.Kwa vifaranga mia moja(100) ni Tshs. 250,000/=.Kuanzia siku ya kwanza mpaka wiki ya 8 ulajiwa kifaranga kimoja ni kama ifuatavyo:Muda (wiki) Kiasi cha ulaji kwa Jumla ya ulaji kwa wikikifarangaSiku 1 – wiki 2 (siku 14) 12.5g X siku 14 175gWiki 2 – 4 (siku 14) 25g X siku 14 350gWiki 4 – 6 (siku 14) 37.5 X siku 14 525gWiki 6 – 8 (siku14) 50g X siku 14 700gJumla1750gHivyo, kiasi cha chakula (KIBOKO CHICK STATER)kwa vifaranga 100 kwa wiki zote nane za kwanza ni1750g x vifaranga 100 = 1750000g (175Kg).

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...175Kg ni sawa na wastani wa mifuko 4 yaujazo wa 50Kg kila mmoja.Ikiwa mfuko mmoja wa kilogram hamsini (50) waKIBOKO CHICK STATER ni Tshs. 38,000/= hivyokwa mifuko 4 ni sawa na:KIBOKOANIMALFEEDchick starter50kg= mifuko 4 x Tshs. 38,000/==Tshs. 152,000/=Hivyo kwa wiki nane za kwanza,gharama za chakula itakuwa niTshs. 152,000/= tu.

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Kuanzia wiki ya nane mpaka kumi nanane(siku 70),kila kuku atapaswa kupewachakula cha KIBOKO Growers Mash kamaifuatavyo: Muda (wiki) Kiasi cha ulaji kwaKIBOKOANIMALFEEDGrowerMash.50kgJumla ya ulaji kwawikikukuWiki 8 – 10 (siku 14) 50g X siku 14 700gWiki 10 – 12 (siku 14) 60g X siku 14 840gWiki 12 – 14 (siku 14) 70g X siku 14 980gWiki 14 – 16 (siku 14) 80g X siku 14 1120gWiki 16 – 18 (siku 14) 90g X siku 14 1260gJumla4900gHivyo, kuku 100 watatumia jumla ya4900g X kuku 100 = 490000g (490Kg) yachakula.Hii ni sawa na wastani wa mifuko 10 ya50kg kwa kila mmoja.Hivyo, mifuko 10 x Tshs. 32,000/= ambayo ni beiya mfuko mmoja ni sawa na Tshs. 320,000/=

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Kuanzia wiki ya kumi na nane mpaka tisini(18-90),hiki ni kipindi cha kutaga mayai ambacho ni jumla yasiku 504(wiki 72).Kuku wote 100 watapewa kilogramu 13 ikiwa wastani waulishaji wa kuku mmoja ni 130g za KIBOKO Layers Mash kwasiku (kuku 100 X 130g = 13000g (13kg)).Kwa kipindi chote cha ufugaji ni sawa na:Kg13 x siku 504(wiki 72) = 6600kgAmbazo ni sawa na mifuko 132 ya 50kg kila mmoja.Hivyo mifuko 132 x Tshs 36,500/=(bei ya mfuko mmoja)=Tshs. 4,818,000/=

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Wastani wa juu wa gharama zamfanyakazi(usimamizi na ulinzi) kwa mwezini Tshs. 40,000/=, kwa muda wa wiki 90 nijumla ya Tshs.900,000/=.Ikiwa gharama za juu za unit moja ya umeme ni Tshs 250/=na zitahitajika balbu 4 kwa muda wa siku 28 za kwanza.Hivyo gharama za umeme niTshs. 250/= X balbu 4 X siku 28 =Tshs. 28,000/=.Wastani wa gharama za madawa na chanjo kwamwezi inakadiriwa kuwa Tshs.13,500/= Hivyo, kwakipindi chote cha wiki 90 ni sawa na Tshs. 300,500/=kwa kuku wote 100.Wastani wa gharama za mkaa kwa siku 28 za mwanzo nigunia 4 X Tshs 20,000/= ambayo ni sawa na Tshs. 80,000/=kwa kuku wote 100.

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Isitoshe, wastani wa gharama za maji ni kama ifuatavyo:MudaKiasi cha maji kwa siku(ndoo = lita 20)Gharama Jumla kwakipindi choteSiku 1 - wiki 8(siku 56) Ndoo 2 Tshs. 50 Tshs. 5600Wiki 8 - 18 (siku 70) Ndoo 5 Tshs. 50 Tshs. 17,500Wiki 18 - 90 (siku 504) Ndoo 7 Tshs. 50 Tshs. 176,400Jumla Tshs. 200,500Kiutaalam, katika eneo la 15m 2 wanatakiwa kukaa kuku 100na gharama za banda/nyumba inakadiriwa kuwa niTshs. 5000/= kwa mwezi.Hivyo kwa kipindi chote cha ufugaji (wiki 90/miezi 22.5) nisawa na Tshs.5000 X miezi 22.5 = Tshs. 112,500/=.Wastani wa gharama za matandiko(maranda) kwa kipindichote cha ufugaji ni Tshs.5000/= X miezi 22.5 = Tsh 112,500/=.

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...JUMLA YA MATUMIZI YOTE:Manunuzi ya vifaranga mia moja(100) Tshs. 250,000/=Gharama za chakula kwa Chick Starter Tshs. 152,000/=Gharama za chakula kwa Grower Mash Tshs. 320,000/=Gharama za chakula kwa Layers Mash Tshs. 4,818,000/=Gharama za mfanyakaziTshs.900,000/=Gharama za madawa na chanjo Tshs. 305,000/=Gharama za umeme Tshs. 28,000/=Gharama za mkaa Tshs. 80,000/=Gharama za banda/pango Tshs. 112,500/=Gharama za matandiko Tshs. 112,500/=Gharama za maji Tshs. 200,500/=JUMLA Tshs. 7,278,500/=

MAPATO YA MAUZOWastani wa chini wa Trei za mayai zitakazopatikana ni

MAPATO YA MAUZO…Bei ya mauzo ya kuku hao baada ya ukomo wao wakutaga ni wastani wa TShs.6,500/= kwa kuku mmojamara 85 (idadi ya wastani wa kuku watakaokuwawamebakia kwa wakati huo) ni Tshs. 552,500/=Bei ya mauzo ya mbolea inakadiriwa kuwa Tshs. 2000/=kwa kiroba/mfuko na kwa kipindi chote cha ufugajiitapatikana mifuko 236 ya mbolea.Hivyo mapato ya mauzo ya mbolea niTshs. 2000 x mifuko 236 =Tshs. 472,000/=.

MAPATO YA MAUZO…JUMLA YA MAPATO YOTE:Mapato ya mayai Tshs. 9,282,000/=Mauzo ya mbolea Tshs. 472,000/=Mauzo ya kuku Tshs. 552,500/=JUMLA Tshs. 10,306,500/=Hivyo, faida atakayopata mfugaji kwakipindi chote cha ufugaji ni:Jumla ya Mapato – Jumla ya Matumiziambazo ni Tshs. 10,306,500 – 7,278,500/=Tshs. 3,028,000/=

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...2.KUKU WA NYAMA (kuku 200);Kuku mia mbili(200),utawanunua kwa TShs.1,300/= kwakifaranga kimoja, vyote mia mbili itakuwa ni Tshs. 260,000/=Kuanzia siku ya kwanza mpaka wiki yatatu(siku 21) watapewa chakula cha KIBOKOKIBOKO Broiler starter kama ifuatavyo:ANIMALMuda Kiasi cha ulaji JumlaFEEDSiku 1 - wiki 1 (siku7) 25g X siku 7 175gBroilerstarter Wiki 1 - wiki 2 (siku7) 50g X siku 7 350g50kgWiki 2 - wiki 3 (siku 7) 65g X siku 7 455gJumla980gHivyo, kwa kuku wote 200 zitahitajika980g x kuku 200 = 196000g (196Kg) ambazo ni sawa wastaniwa mifuko 4 ya ujazo wa kilogramu 50 kwa gharama ya:= Mifuko 4 x Tshs. 38,000 (bei ya mfuko mmoja)/==Tshs.152,000/=

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Kuanzia wiki ya tatu mpaka ya wiki ya 6 (siku 21),watapewa chakula cha KIBOKO Broiler Finisher kamaifuatavyo:Muda (wiki) Kiasi cha ulaji JumlaWiki 3 - 4 (siku7) 80g X siku 7 560gWiki 4 - 5 (siku7) 110g X siku 7 770gWiki 5 - 6 (siku 7) 130g X siku 7 910gJumla2240gHivyo kwa kuku wote 200 zitahitajika2240g x kuku 200 =448,000g (448Kg) sawa na mifuko 9 ya50Kg, kwa gharama ya:Mifuko 9 x Tshs 38,000(bei ya mfuko mmoja)/=Tshs. 342,000/=Wastani wa juu wa gharama za mfanyakazi kwa mwezi niTshs. 40,000/=. Hivyo kwa kipindi chote cha ufugaji ni sawa naTshs. 40,000/= X mwezi 1.5 = Tshs. 60,000Wastani wa gharama za madawa na chanjo niTshs. 50,000/= kwa kipindi chote cha wiki sita kwa kuku wote.

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Ikiwa gharama za juu za unit moja ya umeme ni Tshs 250/= nazitahitajika balbu 4 kwa muda wa siku 14 za kwanza.Hivyo gharama za umeme niTshs. 250 X balbu 4 X siku 14 =Tshs. 14,000/=.Wastani wa gharama za mkaa kwa siku 14 zamwanzo nigunia 2 X Tshs. 20,000/=(bei ya gunia moja)ambayo ni sawa na Tshs. 40,000/= kwa kuku wote200.Wastani wa kiasi cha maji kwa kuku wote 200 kwa siku ni ndoo5 (lita 100), na wastani wa ndoo moja ya maji ni Tshs. 50/=.Hivyo kwa kipindi chote cha ufugaji (wiki 6) ni sawa naNdoo 5 X wiki 6 (siku42) X Tshs.50/= ni sawa na Tshs. 10,500/=kwa kuku wote 200.

MATUMIZI /MAHITAJI YA MTAJI...Kiutaalam, katika eneo la 16m 2 wanatakiwa kukaa kuku 200 nagharama za banda/nyumba inakadiriwa kuwa ni Tshs. 5000/=kwa mwezi.Hivyo kwa kipindi chote cha ufugaji (wiki 6/mwezi 1.5) ni sawa naTshs.5000/= X mwezi 1.5 = Tshs. 7,500/=.Wastani wa gharama za matandiko kwakipindi chote cha ufugaji ni :Tshs.10,000 X mwezi 1.5 = Tsh 15,000/=

JUMLA YA MATUMIZI YOTEManunuzi ya vifaranga mia mbili (200) Tshs. 260,000/=Gharama za chakula kwa Broiler Starter Tshs. 152,000/=Gharama za chakula kwa Broiler Finisher Tshs. 342,000/=Gharama za mfanyakazi Tshs. 60,000/=Gharama za madawa na chanjo Tshs. 50,000/=Gharama za umeme Tshs. 14,000/=Gharama za maji Tshs. 10,500/=Gharama za mkaa Tshs. 40,000/=Gharama za matandiko Tshs. 15,000/=Gharama za banda/pango Tshs. 7,500/=JUMLA Tshs. 951,000/=KUMBUKA: CHANJO NA USAFI NI MUHIMU SANA KWAMATOKEO BORA KWA UFUGAJI WA FAIDA

MAPATO YA MAUZOWastani wa chini wa mauzo ya kuku ni Tshs.6,500/= (Kilakuku akiwa na uzito wa wastani wa kilo 1.3) kwa kuku,hivyo kwa kuku wote 200 ni sawa naTshs. 6,500 x kuku 200 = Tshs. 1,300,000/=Mauzo ya mbolea itakayopatikana yanakadiriwa kuwaMifuko/viroba 26 na ikiwa wastani wa bei ya kirobakimoja ni Tshs. 2000/= hivyo jumla ya mauzo ya mboleani Mifuko/viroba 26 X Tshs. 3000/ = Tshs. 78,000/=Hivyo, jumla ya mapato yote ni Tshs. 1,378,000/=FAIDA itakayopatikana ni :Tshs. 1,378,000 – Tshs. 951,000 = Tshs. 427,000/=kwa muda wa wiki sita tu, ukitoa gharama zote.

MAMBO MUHIMU:• Matokeo bora ya ufugaji wa faida unaanzia kwenyemazingira/mabanda na sio kwa kuku mwenyewe, hivyo zingatiavipimo vya banda kwa kutambua idadi kamili ya kuku wanaohitajika.(1m 2 = Layers 7 – 9 na 1m 2 = Broilers 9 – 12)• Zingatia usafi wa banda kila baada ya kuchafuka au kila baada yakutokea mlipuko wa ugonjwa.• Fuatilia ratiba za chanjo bila kukosa kwa kutumia chanjo iliyo salama.• Ni vyema kufanya matibabu mara tu dalili za ugonjwa zinapoonekanana kuwatenga kuku walioathirika katika kundi.• Magonjwa karibu yote ya kuku husambaa kwa kinyesi, hivyo epukamazingira ya kuingiza kinyesi cha kuku mgonjwa bandani kwa kuwamakini kwenye chakula, matandiko, vyombo, n.k.

MAPENDEKEZO Ni vyema kwa mfugaji kununua chakula kilichotengenezwakiutaalamu kwa sababu zifuatazo:a. Kudhibiti magonjwa kwa kuku.b. Kudhibiti sumu kwa kuku (poisoning i.e mycotixins).c. Kuepuka uchanganyaji mbaya wa viinilishe kwa kundihusika la kuku.d. Kuokoa muda na kuongeza jitihada zaidi kwenyeuzalishaji. Hakikisha unakuwa na kumbukumbu sahihi za mapato namatumizi. Hakikisha unakuwa karibu na Afisa Mifugo aliye karibu nawekwa msaada zaidi. Nunua vifaranga kwenye mashamba yaliyo salama kwakushirikiana na wataalamu (free from diseases).

MAPENDEKEZO…. Zingatia : Kiwango kizuri cha joto kinachohitajika kwa ufugajibora wa kuku ambayo ni kati ya 60°F – 90°F (15.6°C – 32 °C). Mkaa wa MOTOMOTO ni chanzokizuri cha joto hilo kwa ukuzaji borawa vifaranga sababu hautoi hewa yaCarbon kama mkaa wa kawaidaambao huathiri vifaranga. Pia nimkaa rafiki wa mazingira.

KIBOKO ANIMAL FEEDS itamsaidiamfugaji katika upatikanaji wa soko lauhakika la MAYAI na KUKU WA NYAMA.KIBOKOANIMALFEEDSBroilerstarter50kgKIBOKOSUPERSEMBE25KgPia ni watengenezaji na wauzaji wa unga bora waKIBOKO SUPER SEMBE kwa beinafuu zaidi.Ili kuhakikisha ubora wa huduma na bidhaazetu, KIBOKO ANIMAL FEEDSwatakufikishia bidhaa zako hadi mlangoninyumbani kwako.

Wasiliana nasi:KIBOKO ANIMAL FEEDS AND MILLERS,P.O.Box 333, Iringa, Tanzania.Tel : (026) 2725039, (026) 2725053Fax : (026) 2725004.Mobile : 0712604888, 0754767767,0763787700.Email : info@kiboko.co.tz, ceo@kiboko.co.tzWebsite : www.kiboko.biz, www.kiboko.co.tzTechnical Assistance : 0769458157 Sales and Marketing : 0754615632, 0753222657Tunapatikana eneo la Ipogolo TANZAM HIGH WAY (barabara kuu ya Iringa – Mbeya).

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!