13.07.2015 Views

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

KILIMO CHA MUHOGO Aprili - Juni, 2011MAKOMBENI YAONGEZA UZALISHAJI WA MUHOGONa Shauri HajiMuhogo ni zao la chakulalinalolimwa na wakulimawengi katika visiwa vya Ungujana Pemba na inakisiwa jumla yaekari 75,000 hulimwa zao hiliambapo wastani wa tani 152,751huzalishwa kwa mwaka kwa ajiliya chakula na biashara. Hata hivyoinakadiriwa asilimia 90 ya wakulimawa Zanzibar hulima muhogo katikamisimu ya Masika na Vuli.Bwana Juma Saidi Moh’d mwenyeumri wa miaka 42 ambaye niKatibu wa Skuli ya Wakulima “TukoFit” Shehia ya Makombeni, Wilayaya Mkoani Pemba ni miongoni mwawakulima wa muhogo aliyepatamafunzo ya upandaji wa muhogona kutumia mbolea ya samadikupitia Programu za KuimarishaHuduma za Kilimo na KuendelezaSekta ya Mifugo (ASSP&ASDP-L).Kutokana na mafunzo hayondugu Juma alipata mafanikiomakubwa yaliyompelekea kuwamhamasishaji wa zao la muhogokwa kuwashauri wakulima wenzakewakati wa kupanda, kutumiambegu zilizofanyiwa utafi ti, ukatajiwa mbegu, urefu wa mbeguunaostahiki na upandaji ili kudhibitiuharibifu, kuongeza mavuno na tijakwa mkulima.Alishauri wakati wa kupanda kisikicha muhogo kinatakiwa kiwe roboau nusu yake kifukiwe chini yaudongo ili kurahisisha kung’oa nakama kitapandwa kwenye ardhiya kichanga kiingizwe hadi robotatu. Palizi ya kwanza ifanywe wikimoja na nusu au mbili baada yakupandwa na ya pili baada ya miezimiwili kutegemea uotaji na ukuajiwa magugu. Mpaka sasa nduguJuma ametoa taaluma hiyo kwawakulima wenzake 100, wakiwemowanawake 30 na wanaume 70katika Wilaya hiyo.Juma Saidi Mohd mkulima wa muhogo wa Makombeni, Mkoani, Pemba akiwakatika konde yake ya muhogoKutokana na kutumia mbegubora za muhogo za kisasa ainaya Mwari, Mahonda, Machui naKizimbani, mkulima huyo alisemauzalishaji umeongezeka katikaShehia hiyo tofauti na mbegu zazamani ambazo zikitoa mavunokidogo kufuatia kukumbwa namaradhi ya michirizi na Mosaicambayo yaliangamiza mbegu zaBoma, Mdonge, Hameni mjiniKigoma na Jawa na kumsababishiawakulima kupata mavuno hafi fu nakuongeza umasikini.Mbegu hizo mpya za muhogozinatoa mavuno ya wastani wakilo nne hadi tano kwa shina nashina moja lina thamani ya shilingi3000/= hadi 4000/= . Kutegemeana msimu. Mbegu za Mahondana Machui ndizo zinazostawi zaidikatika Shehia ya Makombenikwani shina moja na huweza kutoawastani wa kilo tano na nusu.Hata hivyo, changamoto zilizoponi maradhi aina ya ukungu namichirizi ambayo hushambuliana kuangamiza mbegu za Boma,7Mdonge, Hameni Mjini, Mbega naKigoma. Changamoto nyengine nipamoja na ukosefu wa maeneokwa ajili ya utanuzi wa mashamba.Kutokana na Changamoto hizohuduma za mbegu bora hutolewana Wizara ya Kilimo na Maliasilikupitia Taasisi zake za Utafi ti waKilimo na Elimu kwa Wakulimakwa kutumia shamba darasa kwakuwapa mafunzo na kuwajengeauwezo wakulima ili kuongezauzalishaji wenye tija.Muhogo uliopatikana kwa kutumiataaluma bora na ushauri wa kitaalamu.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!