13.07.2015 Views

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Aprili - Juni, 2011UTAFITI WA MIZIZI NA UHIFADHI WA MISITUWAZIRI WA KILIMO NA MALIASILI ASISITIZATAFITI ZA MAZAO YA MIZIZI NA UTUNZAJI WA MISITUNa Sabiha K. AhmedKatika kuendeleza juhudi zawakulima wa zao la muhogo,Waziri wa Kilimo na Maliasili Mhe.Mansoor Yussuf Himid alifanya ziaraya kutembelea wakulima wa muhogokatika kijiji cha Machui Wilaya ya KatiUnguja ambako aliwataka wakulimakuwa na matarajio makubwa yamabadiliko katika sekta ya Kilimokatika Bajeti ya mwaka huu 2011/2012.Alieleza kuwa Wizara imekusudiakufanya utafi ti zaidi wa mazao ya mizizi,hatua ambayo itakuza kilimo chamazao hayo na kuwaongezea kipatowakulima. Aidha, Waziri aliwatakawakulima hao kuongeza juhudina kutokata tamaa kwa gharamakubwa za pembejeo na Serikali tayariimezingatia mahitaji yao.Nae ndugu Suleiman John, mkulimawa muhogo katika kijiji cha Machuialimueleza Waziri wa Kilimo na Maliasilikuwa walikuwa wanakabiliwa na tatizola upatikanaji wa mbegu ya muhogokwa muda mrefu baada ya mbegu zaoza asili kuathiriwa na maradhi ya kansaya muhogo na hivi sasa tatizo hilolimetatuliwa na Wizara ya Kilimo baadaya kufanya utafi ti na kupatikana kwambegu mpya nne za muhogo aina yaMahonda, Machui, Kama na KizimbaniWaziri wa Kilimo na Maliasili Mhe; Mansoor Yussuf Himid akiangalia shamba lamkulima wa muhogo ndugu Khamis Mkubwa wa Kichunjuu Pembe alietumia mbegubora aina ya Kizimbani iliyotolewa na Kituo cha Utafi ti wa Kilimo Kizimbani.ambapo mbegu ya Machui inastawivizuri katika kijiji hicho.Mhe. Mansoor akiwa katika ziara yakutembelea Msitu wa Kiwengwa-Pongwe aliwataka wanakijiji kuwa namtazamo wa ulimwengu unaolengazaidi katika uhifadhi na utunzaji warasilimali ya misitu na kujua kwambamisitu humkomboa binaadamu kwakumpatia kipato na kuongeza patola Taifa. Aliwafahamisha wanakijijihao alisema ili nchi iweze kunufaikakutokana na misitu, jamii inapaswakuendeleza ushirikiano katika jitihadaza kuhifadhi misitu isipotee.Hifadhi ya Msitu wa Kiwengwa-Pongweni ya pekee, yenye thamani na ni yapili kwa ukubwa katika ukanda waKaskazini Unguja kwa kuzalisha kuni,mkaa na dawa za asili. Msitu huu nirasilimali muhimu unaochangia pato laTaifa na ni chanzo kikuu cha mvua nauna mapango ya maji ambayo ni chanzcha maji ya uhakika kwa matumiziya mahoteli ya Ukanda wa Pwani yaKiwengwa. Hivyo amewataka wananchikuitunza rasilimali hiyo ili iendeleekuinufaisha nchi na kuimarisha ustawiwa maisha yetu.Lengo kuu la hifadhi ya msitu huu nikuimarisha utalii na kukuza mfuko wahazina ya Serikali. Katika kuhakikishamsitu huo unavutia kiutalii. Wazirialisisitiza kuwa ipo haja kwawawekezaji kuwekeza ndani ya msituhuo, kinachosubiriwa ni kukamilikakwa taratibu za kisheria.Sehemu ya msitu wa hifadhi ya Masingini unaokabiliwa na uharibifu mkubwa hivisasa ambao ni chanzo kikuu cha maji yanayotumika na wakaazi wa Mjini.6Uhifadhi wa Msitu wa Kiwengwa-Pongwe unakabiliwa na changamotoza ukosefu wa vitendea kazi pamoja nauvamizi hivyo wananchi wameshauriwakuongeza za msitu huo na kwambaSerikali iko pamoja nao.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!