13.07.2015 Views

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Aprili - Juni, 2011ZIARA YA RAIS KATIKA MAENEO YA KILIMOmadhara hayo ambayo yameathirikwa kiasi kikubwa kilimo cha mpunga,aliagiza kujengwa kizuizi katika eneohilo kama ilivyofanyika katika maeneomengine. Wakulima nao walimuombaMhe. Rais kuwasaidia ujenzi wa tuta lazege, kuwapatia mbegu bora, mboleana huduma za matrekta.Katika Shamba la Mtama lililopo MjiniWingwi, wakulima walimlalamikiaMhe. Rais kutokutekelezwa kwaahadi yake aliyoitoa mwezi Februariya kuwapatia mbegu bora ya mtamaambapo kulisababisha wakulimakutumia mbegu za kienyeji. Nae KatibuMkuu wa Wizara ya Kilimo alielezakuwa mbegu tayari zimeshanunuliwana ilishindikana kuigawa kwa sababuwakulima walikuwa wamekwishapanda. Hata hivyo, Mhe. Rais aliagizambegu hiyo ipelekwe kwa wakulima iliwaitunze wenyewe na Wizara ya Kilimona Maliasili tayari imetekeleza agizohilo.Ziara ya Mhe. Rais iliendelea siku yanne kwa kupokea taarifa ya MkoaKusini Pemba ambayo ilisomwa naMkuu wa Mkoa, ambapo alifi ka bondela Kichwa ambalo lina jumla ya ekari20 na wakulima 46, ambapo alipatamaelezo mafupi. Naye Waziri wa Kilimona Maliasili aliahidi kuwa Serikaliitaongeza usambazaji wa taalumana wataalamu wa kilimo kwa kuajirimabwana/mabibishamba 110” nakuwashauri wakulima kuunda Jumuiaili kurahisisha upatikanaji wa hudumahizo.Rais pia alifi ka katika bonde la mpungaKimbuni lenye wakulima 67, ambalolilianza kilimo cha umwagiliaji majimwaka 1979 katika hekta 6. Wakulimanao walimueleza Mhe. Rais kilio chaokinachorejesha nyuma jitihada zaoza kuendeleza kilimo cha umwagiliajimaji kunakopelekea kupata mavunomadogo ikiwa ni pamoja na ukosefuwa mabwanashamba na bei kubwa zapembejeo.Mhe. Rais aliendelea na ziara katikakijiji cha Sanani kwa kuangalia athariya uharibifu wa mazingira iliyotokanana uchimbaji wa matofali ambakoaliwasihi wananchi kuachana nauharibifu huo na kuagiza mashimohayo yapandwe miti. Huko Makombenikurahisisha usafi rishaji wa mazao yakarafuu, mpunga na pembejeo hasawakati wa mvua.Katika Wilaya ya Chake Chake Mhe.Rais alitembelea bonde la Mfubahahuko Vitongoji ambalo hutumika kwakilimo cha mpunga wa kutegemeamvua, bonde hilo lina ukubwa wa ekari100 na kwa msimu huu asilimia 90 yaekari hizo zililimwa. Wastani wa mavunokwa sasa ni kilo 600 kwa eka wakatiupo uwezekano wa kupata tani 2.8kwa eka. Mbali na maelezo aliyoyapatakutoka kwa wakulima na changamotozinazosababisha uzazi duni zikiwemoukosefu wa mvua za kutosha namatumizi madogo ya mbolea naupungufu wa mabwanashamba. hivyowakulima waliomba waongezewemabwanashamba kwani mmoja aliyopohatoshi na waundiwe taasisi itakayosimamiwa na wakulima kufuatiliakilimo.Mhe. Rais alitembelea Skuli yaWakulima wa Muhogo Dodo Pujini nakuwaambia wakulima kuwa Serikaliitawapatia huduma za matrekta napembejeo na inawataka walime kilimocha kisasa chenye tija.Mhe. Rais aliwashukuru viongozi nawananchi walioshiriki katika ziara hiyoUnguja na Pemba. pia alifurahishwana juhudi za wakulima katika maeneoaliyoyatembelea. Katika ziara hiyoaliagiza kuangalia uwezekano wakusarifu mazao ya mashelisheli, ndizina muhogo ambayo yanapatikana kwawingi hapa visiwani ili kupata soko. Piaaliitaka Wizara ya Kilimo kulitafutiaufumbuzi suala la uhifadhi wa chakulaili kuhakikisha usalama na uhakika wachakula Zanzibar.Mhe. Rais aliitaka Wizara ya Kilimona Maliasili kwenda sambamba naazma ya Serikali ya kuimarisha kilimohivyo kufi kisha taarifa za kitaalamukwa wakulima na kwa wakati. Aidha,aliwataka watendaji kuwa wazi,wakweli, wabunifu na kuwatembeleawakulima badala ya kutumia mudamwingi maofi sini.Mhe. Rais alisema Serikali imedhamiriakutoa kipaumbele kwa zao lakarafuu pamoja na kufanya utafi tiutakaoongeza thamani ya karafuuna mazao mengine ya viungo. Aidha,aliitaka Wizara ya Fedha kutoa Shillingimillioni 14.5 kwa ajili ya kurekebishamashamba yaliyoharibika kwa kujaamchanga wakati wa ujenzi wa barabaraya Wete – Gando huko Mangwena nakuahidi kuchangia Shilingi milioni mbili(2,000,000/=) ili kuimarisha ushirikawa Mabibo Junguni.Mhe. Rais aliahidi kuwapatia ardhikikundi cha wakulima wa muhogocha Mitamani Pujini ambapo Wizaraya Biashara imeahidi kukipatia garidogo la mizigo (pick-up) na Wizara yaUshirika imeahidi kutoa gari la matairi3 (bajaj) ili kurahisisha usafi rishaji wamazao yao.MAPINDUZI YA KILIMO NCHINI ni kaulimbiu inayohusisha dhana nzima yakuendeleza kilimo na kupatikana kwauhakika wa chakula. Hivyo wananchiwametakiwa kufanyakazi kwa bidii.Mhe. Rais aliangalia kilimo cha mpungawa umwagiliaji maji na kupata maelezoya mradi unaofadhiliwa na JICA,Serikali na wananchi. Wakulima wahapo walimuomba Mhe Rais kusaidiaujenzi wa bara bara ya lami yenye urefuwa kilomita mbili katika maeneo yaMbuguani, Uweleni na Ng’ombeni iliRaisi wa Zanzibar, Mhe: Dkt. Ali Mohamed Shein wa tatu kushoto akiwa na viongoziwengine wa Serikali alipata fursa ya kuangalia kilimo cha Karafuu na kuzungumza nawakulima wa zao hilo huko Pemba.4

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!