13.07.2015 Views

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Aprili - Juni, 2011WAHARIRI/MAONI/PICHA YA JARIDABodi ya WahaririWashauriAffan O. MaalimJuma Ali JumaDk. Bakar S. AsseidMhariri MkuuDk. Juma M. AkilMsanifu na MhaririMtendajiHashim H. ChandeWahariri WasaidiziMakame M. AbdulrahmanNassor S. MkarafuuOthman A. MaulidNassor S. MohammedMpiga chapaFatma A. JumaMpiga pichaKhamis A. BakariANUWANIWizara ya Kilimo,Maliasili - ZanzibarS.L.P. 159Simu: +255 24 2230986Fax: +255 24 2234650E-mail: kilimo@zanlink.comTovuti: kilimoznz.or.tzMAONI YA MHARIRINdugu Wakulima, umuhimu wa kilimo cha mpunga unaonekana wazina viongozi wakuu wa Serikali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Mhe. Ali Mohamed Shein, Makamo wa kwanzawa Rais Mhe. Seif Sharif Hamad na Makamo wa pili wa Rais Mhe.Seif Ali Iddi katika siku tofauti walipotembelea mabonde ya mpungayaliyopo katika wilaya na mikoa ya visiwa vya Unguja na Pemba nakujionea wenyewe jinsi kilimo hicho kinavyoendelezwa. Wakati waziara zao viongozi hao walipata fursa ya kuzungumza na wakulimana wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo na Maliasili na kuweza kujua halihalisi ya kilimo hicho muhimu cha chakula kwa wazanzibari wengi. Nijambo la fahari kwetu kuona kuwa viongozi wetu hao licha ya kazi zaowana nyingi wameweza kutembelea sekta ya kilimo na kutilia mkazokilimo hicho na zaidi walifurahishwa na juhudi zinazochukuliwa katikakuimarisha kilimo hicho.Ndugu Wakulima, hata hivyo ni juu yetu kuongeza bidii katikakuimarisha ukulima wa mpunga kwa kuongeza kasi kwa kutumiambegu bora, mbolea na kuhakikisha tunapalilia kwa wakati ili mpungauote vizuri bila ya kuzongwa na magugu. Mara nyingi uzalishaji mpungahuwa duni iwapo hatutotumia mbegu bora, mbolea na kufanya palizikwa wakati kama inavyoshauriwa na wataalamu.Ndugu Wakulima, wakati wote wa kuvuna mpunga tunashauriwakuhakikisha mavuno yetu yanakuwa bora hatuna budi kufuata kanunibora za uvunaji, uanikaji na uhifadhi wa mpunga wetu. Tukiwa badokatika suala hilo la kilimo cha mpunga inabidi wakulima wa mpungahivi sasa tufi kirie nini cha kupanda baada ya kuvuna mpunga ili tuwezekuongeza kipato chetu, tuhifadhi mashamba yetu kutokana na maguguna kuirutubisha ardhi kwa ajili ya msimu ujao.Ndugu Wakulima, utafi ti uliofanywa unaonesha kuwa katika mabondeya mpunga wa kutegemea mvua inashauriwa na inandekezwa sanawakulima kupanda kunde baada ya kuvuna mpunga. Kwa mpangohuu mkulima anafaidika kwa kupata kunde, kuzuia magugu kuota kwawingi na kurutubisha ardhi kutokana na zao hilo, hivyo kupanda kundekunamwezesha mkulima kutengeneza konde yake kwa msimu ujao.Ndugu Wakulima, mara nyingi baada ya kuvunwa mpunga kondezinaachiwa bila ya kupandwa kitu chochote kunakosababisha kuotakwa magugu na inapofi ka musimu wa mpunga kazi huwa kubwa zaidiya kuchimbua na kuburuga.Ndugu Wakulima, kwa kumalizia ni vizuri tukumbushane kwambatusijaribu kuuza mpunga wetu wote baada ya kuvuna bila ya kujiwekeaakiba, kwanza tuhakikishe tunajiwekea chakula cha kutosha na ziadandiyo tunaiuza.PICHA YA JALADAKatika picha anaonekana Waziri wa Kilimo na Maliasili Mhe. MansoorYussuf Himid akipata maelekezo kuhusu kilimo cha zao la vanila kutokakwa mkulima mzoefu wa zao hilo huko Kizimbani wakati alipofanyaziara za kuwatembelea wakulima na taasisi zilizomo katika Wizara yaKilimo na Maliasili.2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!