13.07.2015 Views

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

Jarida la Kilimo, Aprili

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Toleo la SitaAprili - Juni, 2011MCHANGO WA MFUKO WA MAENDELEO YAJAMII (TASAF) KATIKA SEKTA YA KILIMONa Shaaban AbdulmalikMfuko wa Maendeleo ya Jamiiawamu ya Pili (TASAF II) ulianzakazi mwaka 2006, kwa kuhamasishana kutoa elimu kwa Jamii kuhusumadhumuni ya Mfuko huo na majukumuya kila mdau katika utekelezaji wake,ambapo Visiwa vya Unguja na Pembavinaendelea kunufaika na mfuko huo.TASAF II ina jukumu la kusaidia jamiimasikini katika kuongeza upatikanajiwa matumizi ya huduma za msingi zajamii ili kufi kia malengo ya Milenia nakuziwezesha jamii kutumia fursa zilizopokuomba, kutekeleza na kusimamiamiradi yao watakayoichangua ili kuinuahali zao za maisha na hatimae kufi kialengo la Mpango Mkuu wa KupunguzaUmasikini.Katika kutekeleza mkakati wa Taifawa kupunguza umasikini nchini, Sektaya kilimo kupitia TASAF II imepewakipaumbele, hivyo iliweza kutekelezajumla ya miradi 27 ambayo ilikuwa nathamani ya shilingi 660,012,552/=.Kutokana na mabadiliko ya hali yahewa kunakosababisha kilimo chakutegemea mvua kuwa si cha uhakika,nguvu kubwa za utekelezaji zilielekezwakatika kilimo cha umwagiliaji majiambacho ni mkombozi kutokana nahali hiyo.Aidha katika utekelezaji wamiradi hiyo maeneo ya Bonde laBumbwisudi nambari tano, Uzini naMgenihaji, Mchangani, Kianga naCheju kulianzishwa miundombinuya kumwagilia maji mpunga. Eneo laKitogani, Kijini Makunduchi, Mzuri,Jendele, Dunga, Mpapa, Matetemana Zingwezingwe kumeanzishwamiundombinu ya umwagiliaji majikwa njia ya matone katika kilimo chambogamboga.Miradi mingine ya uhifadhi wa mazingirana upandaji wa miti imetekelezwa katikaKatibu Mkuu, Afi si ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Dkt. Khalid S. Mohamedanaechimba mtaro akizindua mradi wa miundombinu ya umwaguliaji maji Bumbwisudimaeneo ya Kianga, Kikobweni, Kandwina Matemwe. Kazi ya utekelezaji wamiradi katika maeneo haya ilinufaishazaidi ya wakulima 1000.Uhamasishaji na upelekaji wa fedha kwajamii kwa ajili ya utekelezaji wa miradi,mafunzo ya usimamizi wa miradi,uwekaji wa kumbukumbu, utunzaji wafedha, mipango ya biashara na kuwekana kuwekeza yalifanyika kwa jamii.Mafunzo hayo yamenufaisha Shehia172 za kisiwa hiki, ni mategemeoyetu kuwa yataifaidisha Jamii katikautekelezaji wa miradi yao ya maendeleokwa sasa na baadae, Pia mashirikianobaina ya TASAF na mradi wa kuimarishahuduma za Kilimo yameimarisha zaidiya vikundi 200 vya Skuli za wakulimaUnguja.Katika usimamizi na utekelezaji wakazi za miradi ya jamii, ni vyemakuwepo kwa wataalamu mahiri wakusimamia miradi, iandaliwe mapemana kwa uhakika ili itoe matunda bora.Kuhakikisha tathmini zimefanywa vizurikuhusu kuwepo kwa wachangiaji namichango inapatikana kwa wakati.Uratibu na mashirikiano kwa programuzinazofanana au miradi inayohitajiwataalamu kutoka sekta tofauti ni jambomuhimu sana. Hata hivyo, changamotokubwa baada ya wananchi kufurahiautaratibu shirikishi wa utekelezaji waMiradi ya TASAF na matunda yakekumeonekana ni kwamba tunawezakutanua wigo na kuudumisha mpangohuu.Kumalizika kwa kazi ya upelekaji wafedha za utekelezaji wa miradi kwawanajamii, hakujabadilisha majukumuya msingi ya Halmashauri zetu, Sektana Taasisi husika katika kusimamiamwenendo wa miradi hiyo kitaalamu,kisiasa na kiuchumi na kuhakikishauendelevu wake. Ili kufi kia mikakatituliyojiwekea ya kupunguza umasikinitunahakikisha kuwa fedha za mkopozilizotolewa zinaleta manufaa kwawananchi na nchi yetu.GAZETI HILI HUTOLEWA KILA BAADA YA MIEZI MITATU NAWIZARA YA KILIMO NA MALIASILI - ZANZIBARP. O. Box 159 Zanzibar, Simu: +255 24 2230986, Fax: +255 24 2234650Barua pepe: kilimo@zanlink.com, Tovuti: www.kilimoznz.or.tz

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!