13.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIABUNGE LA TANZANIAORODHA YA SHUGHULI ZA LEOMKUTANO WA KUMIKIKAO CHA KWANZA29 JANUARI, 2013

ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO______________MKUTANO WA KUMIKIKAO CHA KWANZA – TAREHE 29 JANUARI, 2013Wimbo wa Taifa Kuimbwa, Dua Kusomwa naKikao Kuanza Saa Tatu Asubuhi.I. HATI ZA KUWASILISHWA MEZANI:WAZIRI MKUU:Taarifa ya matoleo yote ya Gazeti la Serikalipamoja na nyongeza zake zilizochapishwa tangukikao cha mwisho cha Mkutano wa Bunge uliopita.2

II.MASWALI:OFISI YA WAZIRI MKUU:1. MHESHIMIWA KANGI ALPHAXARD LUGOLA(MWIBARA):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri Mkuu:- Baadhiya Majimbo hapa nchini yana zahanati kwakila kijiji wakati vijiji 36 vya Jimbo la Mwibarahavijapata zahanati:-Je, ni vigezo gani vimetumika kujengazahanati hizo.2. MHESHIMIWA RAYA IBRAHIMU KHAMIS(VITI MAALUM):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri Mkuu:- Kwasababu Serikali haijaweka mfumo wa ukaguzina udhibiti wa makusanyo ya ushuru katikavitega uchumi mbalimbali kama vile vituo vyamabasi ya abiria, masoko, maegesho yamagari nk; inapoteza mapato mengi kwa kutoazabuni kwa kampuni binafsi kukusanya ushurukatika maeneo hayo:-3

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA:4. MHESHIMIWA KHATIB SAID HAJI (KONDE):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Viwandana Biashara:- Serikali imepitisha Sheria yaUkaguzi wa Bidhaa Nje ya Nchi kablahaijasafirishwa kuletwa nchini kwa lengo lakudhibiti bidhaa zisizo na viwango:-(a) Je, mafanikio gani yamepatikana tangukuanza kwa utaratibu huo;(b) Je, utaratibu huu unafanyika katika nchigani.5. MHESHIMIWA MOHAMED HAMISMISSANGA (SINGIDA MAGHARIBI):Atamuuliza Mheshimwa Waziri wa Viwanda naBiashara:-(a) Je, Serikali haioni kuwa kutojengaviwanda Mikoani kunasababisha vijanawengi kukimbilia Dar es Salaam jamboambalo linaweza kusababisha vurugu nana uvunjifu wa amani nchini;5

(b) Je, Serikali haioni ni vyema na busarakutawanya viwanda mikoa mbalimbali ilikuweka usawa wa bei za bidhaa muhimukama vile mabati, simenti, nondo nk.ambazo hivi sasa zinauzwa bei ghalimikoani ikilinganishwa na Dar es Salaamkuliko ilivyo hivi sasa.WIZARA YA FEDHA:6. MHESHIMIWA DUNSTAN DANIEL MKAPA(NANYUMBU):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Fedha:- Je,ni lini Tawi la NMB Mangaka WilayaniNanyumbu litatoa huduma kwa siku sita kwawiki kama ilivyo kwa Matawi mengine nchini.6

WIZARA YA MAJI:7. MHESHIMIWA LAMECK OKAMBO AIRO(RORYA):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Maji:- ZiwaVictoria ni miongoni mwa Maziwa makubwaDuniani na Wilaya ya Rorya imebahatikakumiliki sehemu kubwa ya Ziwa hilo lakiniwananchi wake wanataabika sana na shida yamaji:-(a) Je, ni lini wananchi wa Rorya watanufaikana maji ya Ziwa Victoria;(b) Je, Serikali ina mikakati gani mahususi yakulinda mazingira ya Ziwa hilo.7

WIZARA YA UJENZI:9. MHESHIMIWA FREEMAN AIKAEL MBOWE(HAI):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi:-(a) Je, barabara ya Kilimanjaro Machine toolshadi Machame Gate Wilayani Hai inakilomita ngapi na ilijengwa mwaka ganikwa kiwango cha lami;(b) Je, Barabara hiyo imefanyiwa fullresurfacing mwaka gani;(c) Je, Serikali ina mpango gani wakuikarabati barabara hiyo kwa kupanua nakuweka sehemu za watembea kwa miguuna mifumo ya maji.9

10. MHESHIMIWA DKT. MAUA ABEID DAFTARI(VITI MAALUM):Atauliza Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi:- Siri yamafanikio ya biashara yoyote ni pamoja na kuwajaliwateja wake:-(a) Je, kwa nini TBA inakosa utu wa kuwajaliwateja wake hata pale wanapoibiwa;(b) Je, kwa nini wahusika wa ulinzi walioajiriwa naTBA wakati wa tukio la wizi wa kufananahawaguswi na hawaulizwi na viongozi husikawa karibu nao wanahusika vipi;(c) Je, kwa nini TBA isivunjwe na kazi zakezikafanywa na NHC Shirika linalojali watejawake.10

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII:11. MHESHIMIWA MARGARETH AGNESMKANGA (VITI MAALUM):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Afya na Ustawiwa Jamii:- Makali ya ugonjwa wa UKIMWIhuzidishwa na magonjwa nyemelezi kama vile TB,kisonono, malaria n.k:-Je, Serikali ina mikakati gani ya kuhakikisha kuwadawa za kutibu magonjwa hayo zinapatikana kwawingi katika zahanati na vituo vya afya nchini.WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NATEKNOLOJIA:12. MHESHIMIWA DAVID ZACHARIA KAFULILA(KIGOMA KUSINI):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia:- Kwa muda mrefu Kata zaKalya, Mtegowanoti, Sunuka na Sigunga ndaniya Wilaya mpya ya Uvinza zinakabiliwa na tatizola mawasiliano ya simu:-Je, Serikali ina mpango gani wa kuzipakipaumbele Kata hizo ili kuwaondoa wakazi haokatika maisha ya ujima.11

13. MHESHIMIWA ALBERT OBAMA NTABALIBA(MANYOVU):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri waMawasiliano, Sayansi na Teknolojia:-Mawasiliano ni muhimu kibiashara, ulinzi naustawi wa jamii:-(a) Je, ni lini Tarafa ya Muyama JimboniManyovu itawekewa mnara wamawasiliano;(b) Je, Serikali ipo tayari, kufika Manyovukuona hali ilivyo kwa kulinganisha minaramingi iliyopo upande wa Burundi wakatiupande wa Tanzania hakuna minara.12

WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGATAIFA:14. MHESHIMIWA RUKIA KASSIM AHMED(VITI MAALUM):Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi naJeshi la Kujenga Taifa:- Hospitali ya Jeshi yaAl-Khamis Camp Chakechake iliyojengwa kwaajili ya kuwahudumia wanajeshi na familia zao,ina hudumia idadi kubwa ya wananchi kwasasa:-Je, Serikali haioni kwamba ipo haja yakuiongezea ruzuku ili iweze kuwahudumiavizuri wagonjwa wote wanaofika hospitalinihapo.DODOMADKT. T. D. KASHILILAH29 JANUARI, 2013 KATIBU WA BUNGE13

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!