agitf

agitf agitf

13.07.2015 Views

WIZARA YA KILIMO CHAKULA NAUSHIRIKAMFUKO WA PEMBEJEOJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA KILIMO CHAKULANA USHIRIKAMfuko wa Pembejeo unatoa mikopo mbalimbalikwa ajili ya kuendeleza uzalishaji katika sekta yakilimo na mifugo. Mikopo hiyo ni pamoja na yapembejeo, ununuzi wa matrekta mapya, mikopo yakuanzisha vituo vya kukodisha matrekta nakukarabati matrekta, mikopo ya kununua matrektamadogo ya mkono (Power tillers), zana zakukokotwa na ng'ombe kama vile plau, zana ndogondogo za umwagiliaji kama vile pampu, mashinendogo ndogo za kusindika na kuongeza thamaniya mazao. Zifuatazo ni taratibu za kuombamikopo hiyo.1. MIKOPO YA PEMBEJEO ZA KILIMO NAMIFUGOWalengwa wa mikopo ya pembejeo za kilimo namifugo ni wakulima au wafugaji kupitia kwenyevikundi, wakulima au wafugaji binafsi, Vyama vyaMsingi, Mifuko ya Pembejeo ya Wilaya, Vyamavya Kuweka na Kukopa (SACCOS) na mawakalawa pembejeo wenye uzoefu usioupungua miakamiwili.Pembejeo zinazoweza kuombewa mikopo ni rnboleaza aina mbalimbali za viwandani, mbegu bora,dawa za tiba na chanjo za mifugo, vyakula vyamifugo, dawa za kuhifadhi mazao ya kilimo namifugo, vifungashi vya mazao ya kilimo namifugo na sumu za magugu.A) Uteuzi wa waombaji-mikopo yaPembejeo za kilimo na Mifugo- Halmashauri za Wilaya zitatoa tangazo lakuwapo mikopo ya pembejeo za kilimo na mifugokupitia Mfuko Pembejeo- Waombaji watatakiwa kujaza fomu maalum zamaombi na kutoa maelezo binafsi, anuani ya makazina biashara/shamba ikiambatanishwa namchanganuo wa matumizi ya mkopo anaoomba(Business plan), kivuli cha leseni hai ya biashara yapembejeo kwa wafanya biashara na kivuli cha hati yadhamana ambacho mmiliki wake ndiye anayeombamkopo.MKURUGENZI MTENDAJI MFUKO WA PEMBEJEOS.L.P. 32081DAR ES SALAAMSimu: 022 2700191Fax: 022 2700191Barua pepe:agitf@mari.or.tz au agitf@pkilimo,go.tz au executive@mari.or.tz- Maafisa Kilimo/Mifugo wa Wilayawatathibitisha shughuli zinazoombewa mikopokatika wilaya husika. Fornu za maombizitahakikiwa na kusainiwa na Mkurugenzi Mtendajiwa Wilaya na Afisa Kilimo/Mifugo Wilaya.- Fomu za maombi ya mikopo ziwasilishwe kwaMkurugenzi Mtendaji wa Wilaya katika mudamaalum kama ifuatavyo

WIZARA YA KILIMO CHAKULA NAUSHIRIKAMFUKO WA PEMBEJEOJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA KILIMO CHAKULANA USHIRIKAMfuko wa Pembejeo unatoa mikopo mbalimbalikwa ajili ya kuendeleza uzalishaji katika sekta yakilimo na mifugo. Mikopo hiyo ni pamoja na yapembejeo, ununuzi wa matrekta mapya, mikopo yakuanzisha vituo vya kukodisha matrekta nakukarabati matrekta, mikopo ya kununua matrektamadogo ya mkono (Power tillers), zana zakukokotwa na ng'ombe kama vile plau, zana ndogondogo za umwagiliaji kama vile pampu, mashinendogo ndogo za kusindika na kuongeza thamaniya mazao. Zifuatazo ni taratibu za kuombamikopo hiyo.1. MIKOPO YA PEMBEJEO ZA KILIMO NAMIFUGOWalengwa wa mikopo ya pembejeo za kilimo namifugo ni wakulima au wafugaji kupitia kwenyevikundi, wakulima au wafugaji binafsi, Vyama vyaMsingi, Mifuko ya Pembejeo ya Wilaya, Vyamavya Kuweka na Kukopa (SACCOS) na mawakalawa pembejeo wenye uzoefu usioupungua miakamiwili.Pembejeo zinazoweza kuombewa mikopo ni rnboleaza aina mbalimbali za viwandani, mbegu bora,dawa za tiba na chanjo za mifugo, vyakula vyamifugo, dawa za kuhifadhi mazao ya kilimo namifugo, vifungashi vya mazao ya kilimo namifugo na sumu za magugu.A) Uteuzi wa waombaji-mikopo yaPembejeo za kilimo na Mifugo- Halmashauri za Wilaya zitatoa tangazo lakuwapo mikopo ya pembejeo za kilimo na mifugokupitia Mfuko Pembejeo- Waombaji watatakiwa kujaza fomu maalum zamaombi na kutoa maelezo binafsi, anuani ya makazina biashara/shamba ikiambatanishwa namchanganuo wa matumizi ya mkopo anaoomba(Business plan), kivuli cha leseni hai ya biashara yapembejeo kwa wafanya biashara na kivuli cha hati yadhamana ambacho mmiliki wake ndiye anayeombamkopo.MKURUGENZI MTENDAJI MFUKO WA PEMBEJEOS.L.P. 32081DAR ES SALAAMSimu: 022 2700191Fax: 022 2700191Barua pepe:<strong>agitf</strong>@mari.or.tz au <strong>agitf</strong>@pkilimo,go.tz au executive@mari.or.tz- Maafisa Kilimo/Mifugo wa Wilayawatathibitisha shughuli zinazoombewa mikopokatika wilaya husika. Fornu za maombizitahakikiwa na kusainiwa na Mkurugenzi Mtendajiwa Wilaya na Afisa Kilimo/Mifugo Wilaya.- Fomu za maombi ya mikopo ziwasilishwe kwaMkurugenzi Mtendaji wa Wilaya katika mudamaalum kama ifuatavyo


- Machi hadi Mei, mikoa ya Ruvuma, Rukwa,Mbeya, Iringa, Dodoma, Singida, Tabora,Shinyanga, Kigoma, Kagera, Mara na Mwanza.-Agosti hadi Septemba, mikoa ya Arusha,Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Pwani,Mtwara, Lindi Dar es salaam.Fomu za maombi na vielelezo vinavyohitajika pamojana mahitaji ya pembejeo ya wilaya husika zitatumwakwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Pembejeo.Maombi haya huchambuliwa na kuwasilishwa kwenyekikao cha Bodi ya Wadhamini wa Mfuko iliyaidhinishwe. Maamuzi ya Bodi hutumwa kwawaombaji na kwenye Halmashauri za Wilaya huska.B) Masharti ya Mikopo ya Pembejeo za Kilimo naMifugo- Wauza pembejeo binafsi, wakulima na wafugajikupitia kwenye vikundi au wakulima na wafugajibinafsi sharti wawe na dhamana isiyohamishikayenye hati miliki (Title deed) na inayokubalikakisheria. Mwombaji sharti awe ndiye mmiliki wahati itakayodhamini mkopo.- Mwombaji awe amefanya biashara ya pembejeokwa muda usiopungua miaka miwili.- Mifuko ya Pembejeo ya Wilaya isiyo nadhamana zenye hati miliki itadhaminiwa naHalmashauri za Wilaya husika.- Vyama vya kuweka na kukopa (SACCOS),vikundi vya wakulima na wafugaji visivyo nadhamana za hati miliki sharti viwe na akibaambayo ni sawa na theluthi moja ya mkopowanaoomba. Waombaji wa kundi hili watatakiwakuwa wanachama wa asasi ya kifedha itakayotoamkopo kwa niaba ya Mfuko wa pembejeo.- Muda wa mkopo ni miezi kumi na nane kwariba ya asilimia nane (8%).2. MIKOPO YA KUNUNUA TREKTA MPYAWalengwa wa mikopo hii ni wakulima binafsiwanaomiliki mashamba yenye ukubwa usiopunguaekari hamsini.A) Uteuzi wa waombaji wa mikopo ya kununuliamatrekta mapya- Halmashuri za Wilaya zitatoa tangazo kuhusukuwepo kwa mikopo ya ununuzi wa matrektamapya kupitia Mfuko wa Pembejeo.- Mwombaji atatakiwa kujaza fomu ya maombiitakayopitishwa na Afisa Kilimo na Maendeleo yaMifugo pamoja na Mkurugenzi Mtendaji waHalmashauri ya Wilaya, Mji au Manispaa husika- Maombi yote yatatumwa kwa MkurugenziMtendaji wa Mfuko wa Pembejeo.- Mfuko wa Pembejeo utachambua maombi nakuyawasilisha kwenye Bodi ya Wadhamini waMfuko.- Maombi haya huchambuliwa na kuwasilishwakwenye kikao cha Bodi ya Wadhamini wa Mfukoili yaidhinishwe. Maamuzi ya Bodi hutumwa kwawaombaji na kwenye Halmashauri za Wilayahusika.B) Masharti ya Mikopo ya Kununua Trekta- Mwombaji sharti awe na dhamanaisiyohamishika yenye hati miliki (Title deed) nainayokubalika kisheria ambayo mwombaji ndiyemmiliki wake.- Mwombaji sharti awe na shamba lenye ukubwausio chini ya ekari 50 na awe tayari kutoa hudumana kukodisha trekta hilo kwa wakulima wenzake- Mwombaji atatakiwa kulipia gharama zakutathmini dhamana ya mkopo wake pamoja naasilimia moja ya mkopo utakaokuwaumeidhinishwa.- Mwombaji atatakiwa kulifanyia matengenezomadogo na makubwa trekta litakalonunuliwa kwamkopo mara kwa mara kama atakavyoelekezwa namtengenezaji au muuzaji wa trekta hilo. Aidha,trekta hilo litakuwa sehemu ya dhamana yamikopo na kadi ya uandikishaji (Registration card)itakuwa chini ya umiliki wa Mfuko mpaka mkopoutakaporejeshwa.- Mkopo wote na riba utatakiwa urejeshwe katikakipindi cha miaka mitatu- (3) kwa riba ya asilimianane (8%) kwa miaka mitatu.3. MIKOPO YA KUKARABATI TREKTAWalengwa wa mikopo hii ni wamiliki wa matrektaambayo yanaweza kukarabatiwa kwa gharamaisiyozidi shilingi milioni tatu na laki tano.A) Uteuzi wa waombaji wa Mkopo ya KukarabatiTrekta- Halmashauri za Wilaya zitatoa matangazokuhusu kuwepo kwa mikopo ya kukarabatimatrekta kupitia Mfuko wa Pembejeo. Mwombajisharti awe tayari kutoa huduma ya kukodishatrekta hilo kwa wakulima wenzake- Mwombaji atatakiwa kujaza fomu ya maombiitakayopitishwa na Afisa Kilimo na Maendeleo ya


Mifugo wa Halmashauri ya Wilaya/Mji/Manispaa.- Maafisa Zana katika Halmashauri watashirikianana mmiliki pamoja na fundi wake kufanyatathmini ya kiwango cha ubovu wa matrekta hayokatika maeneo yaliyoanishwa katika taarifa yatafiti za awali na ukarabati. Mapendekezoyazingatie kiwango cha matengenezo ili gharamaza vipuri na fundi zisizidi kiwango cha juukinachoweza kutolewa.- Maombi yote yatatumwe kwa MkurugenziMtendaji Mfuko wa Pembejeo baada yakupitishwa na Halmashauri yaWilaya/Mji/Manispaa husika.- Mfuko wa Pembejeo utachambua maombi hayokwa kuzingatia taarifa ya tathmini ya MaafisaZana wa maeneo husika ikiwa ni pamoja nakuhakiki kuwepo kwa trekta zinazoombewamkopo.- Maombi haya huchambuliwa na kuwasilishwakwenye kikao cha Bodi ya Wadhamini wa Mfukoili yaidhinishwe. Maamuzi ya Bodi hutumwa kwawaombaji na kwenye Halmashauri za Wilayahuska.B) Masharti ya Mikopo ya Kukarabati Trekta*Dhamana ya mkopo ni hati miliki ya nyumba aushamba pamoja na kadi halisi ya trekta ambalommiliki wake ndiye atatakiwa kuomba.- Mwombaji atawasilisha ankara vifani kutoka kwamuuzaji aliyeingia mkataba na Mfuko wa Pembejeo.Malipo yatafanyika moja kwa moja kwa muuzaji wavipuri.- Mwombaji atatakiwa kulipa asilimia moja yamkopo utakaokuwa umeidhinishwa- Muda wa mkopo ni miezi kumi na nane kwa riba yaasilimia nane (8%).4. MIKOPO YA MATREKTA MADOGO YAMIKONO (POWER TILLERS)Walengwa ni wakulima binafsi, vikundi vya wakulimahasa kwenye maeneo ya umwagiliaji vilivyosajiliwakisheria, Vyama vya Msingi Mifuko ya Pembejeo yaWilaya na Vyama vya Kuweka na Kukopa(SACCOS).A) Uteuzi wa Waombaji wa Mkopo- Halmashauri za Wilaya zitatoa matangazo kuhusukuwepo kwa mikopo ya matrekta madogo ya mkono(Power tillers) kupitia Mfuko wa Pembejeo.- Waombaji wa mikopo hii watatakiwa kujaza fomuza maombi zitakazopitishwa na Afisa Kilimo naMaendeleo ya Mifugo na Mkurugenzi Mtendaji waHalmashauri ya Wilaya/Mji/Manispaa husika.- Maombi yote yatatumwa kwa MkurugenziMtendaji Mfuko wa Pembejeo, pamoja na vielelezovyote vitakavyokuwa vimeanishwa kwenye fomu yamaombi- Mfuko wa Pembejeo utachambua maombi hayo nakuyawasilisha kwenye Bodi ya Wadhamini waMfuko wa Pembejeo kwa ajili ya kuidhinishwa.B) Masharti ya Mkopo- Wakulima binafsi sharti wawe na dhamanaisiyohamishika yenye hati miliki (Title deed) nainayokubalika kisheria.- Mifuko ya Pembejeo ya Wilaya isiyo na dhamanazenye hati miliki sharti ipate udhamini waHalmashauri za Wilaya husika- Vyama vya kuweka na kukopa (SACCOS), vikundivya wakulima visivyo na dhamana za hati milikisharti viwe wanachama wa Shirikisho la Vyama vyaKuweka na Kukopa Tanzania (SCCULT, 1992 Ltd.).Kiasi cha mkopo utakaotolewa ni mara tatu ya akibaya mwombaji.- Muda wa mkopo ni miaka mitano kwa riba yamikopo ni asilimia nane (8%).5. MIKOPO YA KUANZISHA VITUO WAKUKODISHA MATREKTAWalengwa ni waombaji binafsi wenye uzoefu wakutumia matrekta. Vituo vya kukodisha matrektavitaanzishwa kwenye maeneo yenye mahitajimakubwa ya matrektaA) Uteuzi wa Waombaji wa Mkopo- Halmashauri za Wilaya zitatoa tangazo kuhusukuwepo kwa mikopo ya kuanzisha vituo vyakukodisha matrekta kupitia Mfuko wa Pembejeo.Vituo vitaanzishwa kwa kukopeshwa matrekta katiya mawili hadi matano kulingana na thamani yadhamana.- Waombaji wa mikopo hii watatakiwa kujaza fomuya maombi itakayopitishwa na Afisa Kilimo naMaendeleo ya Mifugo na Mkurugenzi waHalmashauri ya Wilaya/Mji/Manispaa husika.- Maombi yote yatatumwa kwa MkurugenziMtendaji Mfuko wa Pembejeo yakiwa na vielelezovyote kama vitakavyokuwa vimeainishwa kwenyefomu ya maombi.- Mfuko wa Pembejeo utachambua maombi hayo nakuyawasilisha kwenye Bodi ya Wadhamini wa


Mfuko wa Pembejeo kwa ajili ya kuidhinishwa.B) Masherti ya Mkopo- Waaombaji sharti wawe na dhamanaisiyohamishika yenye hati miliki (Title deed) nainayokubalika kisheria. Mwombaji sharti awe ndiyemmiliki wa hati husika.- Kadi za usajili za matrekta zitasajiliwa kwa pamojana Mfuko na zitabaki kwenye Mfuko hadi mkopowote utakapokuwa umerejeshwa.- Muda wa mkopo ni miaka mitano kwa riba yaasilimia nane (8%).

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!