Maisha Ya Mtoto 1 Malengo Malengo

Maisha Ya Mtoto 1 Malengo Malengo Maisha Ya Mtoto 1 Malengo Malengo

twinningagainstaids.org
from twinningagainstaids.org More from this publisher
12.07.2015 Views

6/11/2012MASUALA YA UKUAJI:SHERIA NA MAADILIMaisha Ya Mtoto 1SIKU YA PILIMradi wa ushirikiano wa ustawi wa jamiikuhusu UKIMWI kwa ajili ya watoto yatimana waishio katika mazingira hatarishi.Makuzi Ya Binadamu NaKujenga UkaribuMalengoMalengoMwisho wa siku, msaidizi ustawi wa jamii atakua nauwezo wa:• Kueleza mahitaji ya watoto, wakiwemo wale waishiokatika mazingira hatarishi• Kueleza maeneo matano ya ukuaji wa mtoto• Kueleza umuhimu wa ukaribu katika makuzi yamtoto na mchakato wa kujenga ukaribu na mtoto• Kueleza miongozo ya maadili kwa wasaidizi ofisaustawi wa jamii• Elezea haki mahususi za mtoto kwa mujibu wa sheriaza kimataifa na za ndani• Elezea vipengele muhimu vya Mpango wa GharamaNafuu wa Kuhudumia Watoto Yatima na WaishioKatika Mazingira Hatarishi• Elezea sera na sheria za msingi zinazohusu watotowaishio katika mazingira hatarishi ikiwemo Sheria yaMtoto ya mwaka 20091

6/11/2012MASUALA YA UKUAJI:SHERIA NA MAADILIMaisha Ya Mtoto 1SIKU YA PILIMradi wa ushirikiano wa ustawi wa jamiikuhusu UKIMWI kwa ajili ya watoto yatimana waishio katika mazingira hatarishi.Makuzi Ya Binadamu NaKujenga UkaribuMalengoMalengoMwisho wa siku, msaidizi ustawi wa jamii atakua nauwezo wa:• Kueleza mahitaji ya watoto, wakiwemo wale waishiokatika mazingira hatarishi• Kueleza maeneo matano ya ukuaji wa mtoto• Kueleza umuhimu wa ukaribu katika makuzi yamtoto na mchakato wa kujenga ukaribu na mtoto• Kueleza miongozo ya maadili kwa wasaidizi ofisaustawi wa jamii• Elezea haki mahususi za mtoto kwa mujibu wa sheriaza kimataifa na za ndani• Elezea vipengele muhimu vya Mpango wa GharamaNafuu wa Kuhudumia Watoto Yatima na WaishioKatika Mazingira Hatarishi• Elezea sera na sheria za msingi zinazohusu watotowaishio katika mazingira hatarishi ikiwemo Sheria yaMtoto ya mwaka 20091

6/11/2012Ni yapi mahitaji ya msingi kwaMtoto?Bungua BongoMahitaji Ya Msingi.......• Malezi• Chakula na lishe• Hifadhi na Malazi• Ulinzi dhidi ya unyanyasajiy • Msaada wa kisheria• Huduma za kiafya• Msaada wa kisaikolojia• Msaada wa kielimu• Mahitaji ya kiuchumiUkuaji Wa Binadamu• Ukuaji wa binadamu hutokea katika maeneo matano(5):• Kimwili: Kuongezeka na kubadilika.• Kiakili: Uwezo wa kujifunza na kutatua matatizo.• Kihisia: Uwezo wa kutofautisha na kudhibitimihemko.• Kijamii: Uwezo wa kujenga na kuendeleza uhusianona watu wengine.• Kimaadili: Uwezo wa kujenga tabia kutokana namfumo wa kuamini ili kujua lililo sahihi na lisilosahihi.Ukuaji Wa Binadamu …….Hatua za ukuaji wa mtoto• Kuzaliwa• Uchanga• Kutambaa• Kabla ya kuanza shule• Umri wa kuanza shule• Kabla ya kubalehe• Umri wa Kubalehe• Kijana2

6/11/2012Ukuaji Wa BinadamuUkuaji Wa Binadamu• Ukuaji wa binadamu huchangiwa na mazingira navinasaba (genes).• Kila mtoto hurithi vinasaba kutoka kwa wazaziwake, ambavyo vinamfanya kuwa wa pekee, tofautitina binadamu wengine lakini wote ni sawa.• Watoto huhitaji malezi na matunzo kwa miakamingi.• Kuna tofauti kubwa za kiukuaji kwa binadamu,kila mmoja wetu anakua katika kasi tofauti.• Ukuaji huenda hatua kwa hatua . Na kila hatuani muhimu kwa ajili ya inayofuata. Hakunahatua inayoweza kurukwa.• Huathiriwa na Kabila na tamaduni husika,elimu, muonekano na uzoefu katika maisha.Ukuaji Wa BinadamuKiini Cha Nadharia Ya KujengaUkaribu (Attachment Theory)• Ingawa kuwepo kwa tofauti kubwa kiukuaji kwabinadamu ni kawaida, kudumaa au kuchelewa kukuakunaweza kuashilia uwepo wa tatizo.• Mshituko wa maono (trauma) na hata msongo wamawazo (stress) huweza kuchelewesha maendeleo yaukuaji na hata kurudisha nyuma ukuaji.• Kuchelewa kufika hatua fulani ya ukuaji haimaanishimtoto hatafikia hatua nyingine ya ukuaji. Ili kufikiahatua hiyo mzazi au mlezi (mwangalizi) anahitaji kuwamvumilivu na mwangalifu.Ili mtoto aweze kuja kuwa mtu mzima mwenye tabianzuri na afya, anahitaji kukua k katika mazingira i yamahusiano endelevu na mtu mzima anayejali nakusikiliza, ambaye mtoto anamuona kuwa ni mzaziwake.3

6/11/2012Umuhimu Wa Kujenga UkaribuVipengele Muhimu Vya Ukaribu• Makuzi mazuri yanategemea sana mazingiraaliyolelewa mtoto.• Watoto wanahitaji kulelewa kwa upendo na kujaliwa ilikuwa na uwezo wa kujenga mahusiano salama, kujalina ya kudumu watakapokuwa watu wazima.• Watoto walio wengi wamezaliwa katika familia zenyeangalau mtu mzima mmoja au wawili ambao hujengamapenzi (hisia) sahihi na za kudumu kwa mtoto.• Mahusiano ya karibu ya muda mrefu na mtu fulani• Uhusiano huu huleta hali ya usalama, amani nafuraha• Kupoteza au kuwa na hatari ya kupoteza mtummoja katika mahusiano huleta hali ya mfadhahiko• Uhusiano wa aina hii mara nyingi huwa kati yamzazi na mtotoUmuhimu Wa Kujenga UkaribuJinsi Ya Kujenga Ukaribu• Ukaribu, upendo, na kujitoa kwa wanafamilia hujengamazingira ya makuzi mazuri• Mtoto ambaye amejenga ukaribu na wazazi anamsingi mzuri wa kujenga uaminifu katika mazingirayake na kwa wale wanaomzunguka• Mtoto ambaye amejenga ukaribu na wazazi ana msingimzuri wa kujifunza, kujenga upendo na makuzi mazurikijamii• Mazoea ya ukaribu: kushikwa, kuimba, kulisha,kutazama machoni, kubusu na tabia nyinginezenye kuashiria ukaribu• Vigezo muhimu katika kujenga uhusiano thabitihujumuisha kukaa pamoja/kuwa na muda wakuwa pamoja (utotoni), kuongea ana kwa ana,kumtazama mtoto usoni mnapoongea, kuwakaribu/kukaribiana, kugusa, na njia zinginezinazogusa hisia kama vile harufu, sauti, namuonjo.4

6/11/2012Jinsi Ya Kujenga UkaribuMasuala Yahusuyo Ukaribu• Wanasayansi huamini kuwa kigezo muhimu katikakujenga ukaribu ni pamoja na mgusano chanya(mfano kukumbatia, kubeba na kucheza)• Kubeba watoto, kuwatazama, kutabasamu, kubusu,kuimba na kucheka husisimua kemikali katika ubongoambazo zinahusika katika kuufanya ubongo kujengaukaribu kati ya mtoto na mlezi.• Ijapokuwa ukaribu ni muhimu katika miaka yauchanga, ukaribu na mzazi ni muhimu katika kipindichote cha utoto• Kukosa au kutojenga ukaribu wakutoshahusababisha matatizo katika maisha yote ya mtuZoeziHatua Za Ukuaji Wa MtotoUmri wa kwenda ShuleKabla ya KubaleheUmri wa Kubalehe• Tutaona tofauti gani katika maeneo yafuatayo kwanamna ambavyo mtoto atakabiliana na hali ngumukulingana na umri wake?• Kimwili• Kijamii• KihisiaFanyeni hili zoezi katika kundi kubwa au dogo5

6/11/2012ZoeziWatoto Wa Umri Wa KwendaShule• Watoto wa umri wa kwenda shule (miaka 6-10)• Kabla ya umri wa kubalehe (miaka 10-12)• Umri wa kubalehe (miaka 13-17)• Ujana (miaka 18-24)• Watoto wa umri wa kwenda shule-ishara kuu:ukuajikimwili mara nyingi hutokea polepole• Kuongezeka kwa uwezo wa kufanya kazi za mikonopamoja na kuongezeka k kwa uwezo wa kuzungumza,akili na maadili• Wasichana na wavulana hawatofautiana katika njiaya kukua• Uwezo wa kufanya shughuli mbalimbali huongezekakadri umri unavyoongezekaFanya hili zoezi katika kundi dogo au kubwaWatoto Wa Umri Kabla YaKubalehe• Watoto wa umri kabla ya kubalehe- Ishara Kuu:mwanzo wa homoni kubadilika• Kiwango cha kukua huongezeka• Ukuaji usiolingana unaweza kuathiri tabia• Majukumu kati ya wasichana na wavulanahuanza kutofautiana• Tabia huathiriwa na kubadilika kwa homoni• Kutaka kuwa tofauti na kutotegemea wazazihuongezekaUmri Wa Kubalehe• Umri wa kubalehe- Ishara kuu: Kuongezeka kwa kasi yakukua kwa homoni na kimaumbile• Kasi ya ukuaji uendelea kupungua. Kwa wasichanahufika kikomo kwenye miaka 16 na wavulana miaka 18-20• Ukuaji kimaumbile hukamilika na majukumu kati yawasichana na wavulana hutofautiana• Majukumu ya kikazi huendana na maumbile (me auke) lakini pia kufuatana na mila na desturi• Kuendelea kujitofautisha na kupunguza kuwategemeawazazi huendelea kwa kiwango kikubwa katika umrihuu• Makuzi ya kiakili na kimaadili huanza kukaribia ya mtumzima6

6/11/2012UjanaRejea• Ujana• Makuzi ya kimwili na kiakili kwa vijana hufikiwakatika umri wa miak 25• Ukuaji wa akili unakua umekamilika na kuruhusuwatu wazima kuweza kujipangia muda, kukuakiimani na kukabiliana na mambo mengi katikamaisha• Pastor., Blome, W., Cavin, B., Langan, J., Leighton,M., McFadden, E., Olea, M. Petras, D., Polowy, M.,Ryan, P.,Sweency-Springwater, J., & Wynne, S.(1993).• FosterPRIDE/AdoptPRIDE: Preparation andassessment program for foster and adoptive families.Washington, DC: CWLA. The Costed MVC ActionPlan, 2007 - 2010. The Government of Tanzania. 2008(FHI)1. Masuala ya Kimaadili nakisheriaHAKI ZA WATOTOMasuala ya Kimaadili na kisheria• Ni nini maana ya maadili?• Sheria ni nini?• Ni nini maana ya haki za binadamu?Bungua bongo7

6/11/2012Tofauti Kati Ya Maadili Na Haki• Maadili:Taratibu/MiongozoT • Haki: Sheria au kanuniMaadili Ya Msaidizi Afisa UstawiWa Jamii• Jali utu na hadhi ya kila mmoja.• Wasaidizi wa afisa ustawi wa jamii wanatakiwakutambua na kuheshimu utu wa kila mmoja/familiakama alivyo kwani hakuna mtu anayefanana namwingine• Wasaidizi afisa ustawi wa jamii wanatakiwa kuteteana kuheshimu kila mtoto na utu wake• Tambua umuhimu wa mahusiano na binadamuwengine• Wasadizi afisa ustawi wa jamii wanatakiwakutambua ya kwamba binadamu hawaishi nakufanya kazi wenyewe/peke yaoMaadili Ya Msaidizi Afisa UstawiWa Jamii• Onyesha kuwa mwaminifu• Msaidizi Afisa Ustawi wa Jamii anatakiwa kuwamfano, atende haki, mkweli na muwazi katika kazizake na watoto pamoja na familia• Heshimu haki ya kila mtu kujiamulia• Mara zote kwa kadiri iwezekanavyo, msaidizi afisaustawi wa jamii aheshimu haki za watoto waishiokatika mazingira hatarishi kuweza kufanya maamuziyao binafsi ili mradi tu hayaingilii haki za wengine.Maadili Ya Msaidizi Afisa UstawiWa Jamii• Kuchochea haki za watoto walio katika mazingirahatarishi kushiriki katika maamuzi yanayowahusu• Watoa huduma wahimize ushiriki kamilifu wa watotowaishio katika mazingira hatarishi na kutoa hudumakwa njia ambayo itawajengea uwezo wa kujiamuliakatika nyanja mbalimbali za maisha yao• Kumchukulia kila mtoto kama mtu aliyekamilika• Tunatakiwa kuhusika na mtu kama alivyokamilikandani ya familia, jamii, na mazingira yake natuhakikishe tunaelewa kila nyanja ya maisha ya mtoto8

6/11/2012Maadili Ya Msaidizi Afisa UstawiWa Jamii• Pambana na upotoshaji wa haki katika jamii• Wasaidizi afisa ustawi wa jamii wasimame imarakatika kutetea haki za watoto waishio katikamazingira hatarishi ikiwa ni pamoja na kupambanana aina zote za unyanyapaa na kutengwa.• Chochea haki za kiuchumi• Wasaidizi afisa ustawi wa jamii watambue tofauti zakiuchumi zilizopo kati ya wanaume na wanawake,hususani katika ngazi ya kaya/familia k.mmgawanyo na utumiaji mali usio sawa.Maadili Ya Msaidizi Afisa UstawiWa Jamii• Heshimu siri na mipaka yake• Ustawi wa Jamii wana jukumu la kuweka siri/faragha taarifaza wateja wao isipokuwa kwa ridhaa ya mterja mwenyewe aupale ambapo inaaminika ya kwamba kutotoa siri kutamnyimahaki mteja au watu wengine• Tufanye kazi kulingana na taaluma zetu na uwezo wetu• Wasaidizi wa afisa ustawi wa jamii wana jukumu la kufanyakazi katika mipaka ya taaluma na stadi zao na kulingana namradi au programu. Kwa mfano, usifanye ushauri nasahakwani hiyo sio taaluma yako• Huduma kwa wengine iwe kipaumbele• Wasaidizi wa afisa ustawi wa jamii wanapaswa kuwekamaslahi ya watoto/familia anazohudumia mbele ya maslahibinafsi2. Haki Ya KijamiiHaki Ya Kijamii Watoa huduma wana wajibu wa kuinua haki katikajamii, kulingana na jamii kwa ujumla na WYWMHwanaowahudumia.Hii ina maana: -Kupinga ubaguzi• Ni wajibu wetu kupinga ubaguzi kwa WYWMH kwavigezo vya uwezo, umri, utamaduni, jinsia na jinsi.• Ni muhimu kutambua na kuheshimu tofauti zamakabila na tamaduni mbalimbali katika jamii, kwakuangalia watu binafsi, familia, makundi na jumuiambalimbali.9

6/11/2012Haki Ya KijamiiHaki Ya Kijamii• Lazima tuhakikishe kuwa rasilimali zilizopo kwa ajiliyao zinagawiwa kwa usawa, kulingana na mahitaji.• Program zote zawatoto t lazima zihamasishe i h haki namatakwa yao na kulinda utu wao.• Maslahi ya mtoto lazima yapewe kipaumbele chakwanza.• Haki za mtoto kufanya uamuzi kwa masuala yakelazima iheshimiwe siku zote.• Umakini lazima ufanyike ili kuhakikisha kwambawatoto wanaelewa maana ya wao kushiriki.• Watoto lazima wawezeshwe ili waelewe kwambawanaweza kuamua kushiriki au la.• Hakuna mjadala, ni lazima kuhakikisha kwambawatoto wana haki ya kuweka siri mambo yao nahawatengwi.• Watoto ni lazima washiriki wakiwa katika mazingiraambayo wanajisikia salama na marika yao, naambapo hawatajisikia kutishwa, kuogopeshwa aukutumikishwa.Haki Ya KijamiiHaki Za Mtoto• Watoto hawatakiwi kutazamwa kwa muonekanohasi au kuonyeshwa kwamba wanahali mbaya.• Watoto hawatakiwi kunyonywa kwa sababu zakibiashara, tiba au tafiti.• Watoto, wazazi na walezi lazima washirikishwekatika kutengeneza sera ili sera hizo ziwezinamlenga mtoto.• “Kwa kuzingatia kwamba mtoto anatakiwa aandaliwekikamilifu kuishi maisha yake yeye binafsi katika jamiina kulelewa katika hali muafaka kama inavyoainishwakatika Mkataba wa Umoja wa Mataifa, hususani katikamisingi ya amani, heshima, uvumilivu, usawa namshikamano”.Utangulizi: Mkataba wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Mtoto.10

6/11/2012Haki Za Kisheria Za WatotoMkataba Wa Haki Na Ustawi WaMtoto Wa AfrikaMkataba wa Haki na Ustawi wa Mtoto waAfrika ni andiko linalotoa haki fulani naupendeleo kwa watoto wa Afrika.• Kuna mikataba ya kimataifa mingi inayozungumziahaki za watoto. Mhimu zaidi katika hii ni Mkataba waUmoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Mtoto.• Sheria zinazohusu haki za mtoto katika nchimbalimbali zinatofautiana sana kama ilivyoainishwakatika katiba za nchi hizi.• Watu wanatakiwa kuijua sheria na inatakiwakutekelezwa.Mkataba Wa Umoja Wa MataifaWa Haki Za MtotoMkataba Wa Umoja Wa MataifaUnajumuishaMkataba huu una kanuni kuu nne:• Haki ya mtoto kuhusu maisha, kuishi, namaendeleo.• Haki ya mtoto ya kutendewa kiusawa. Hii inamaana mtoto asibaguliwe.• Haki ya mtoto kushiriki katika shughuli na maamuziyanayowahusu.• Vitendo vyote lazima vizingatie ”masilahi ya mtoto”.• Haki ya jina.• Ulinzi kwa mtoto asiye na familia.• Haki ya Utaifa.• Ulinzi katika kazi ambazo zinamadhara katikaafya, elimu na maendeleo ya mtoto.11

6/11/2012Mkataba Wa Umoja Wa MataifaUnajumuisha• Ulinzi dhidi ya unyanyasaji nakukataliwa/kutengwa.• Ulinzi dhidi ya kunyonywa kingono.• Haki ya huduma za afya na matibabu.• Uhuru wa mawazo, kujua baya na zuri, na Dini.Haki Za Kikatiba Za Mtoto WaKitanzaniai) Maisha, kuishi, na maendeleo (Kif. 3).ii) Kuheshimiwa (Kif. 12)iii) Kujiunga na jumuia na kushiriki katika mikusanyiko yaamani.iv) Kupata elimu ya msingi na sekondari.v) Kujieleza kama mtu binafsi.Haki Za Kikatiba Za Mtoto WaKitanzania.vi. Uhuru wa mawazo kujua jema na baya, na dini (Kif.14)vii Uhuru wa kujumuika na mikusanyiko ya amani (Kif.15)viii Watoto wana haki ya kujiunga katika jumuia namakundi mengine kama vile umoja wavijana,vyama vya kisiasa, skauti, na makundimengine.ix. Ulinzi wa faragha (Kif. 16)x. Kupata habari zinazowahusu (Kif.17)xi. Haki ya kutopata mateso au ukatili, kuteswa auadhabu isiyo ya kawaida (Kif. 37 (a)Haki Za Kikatiba Za Mtoto WaKitanzania.• Watoto wanahitaji ulinzi maalumu kwani hawanauwezo wa kujilinda wenyewe dhidi ya mateso naunyanyasaji.• Sheria ya Makosa ya Kujamiiana ya mwaka 1998imeongeza kifungu katika kanuni ya adhabu, kifungu169A kuhusu ukatili kwa watoto, kulinda watotokuhusu kunyanyaswa, kubaguliwa na kuumizwa.12

6/11/2012Sheria Muhimu Zinazowalenga WatotoYatima Na Waishio Katika MazingiraHatarishi Tanzania• Sheria ya Hakia za Mtoto Na.21 2009• Sheria hii inabadilisha sheria nyingine zilizohusumtoto na kuzijumuisha katika sheria moja. Inalindahaki na kuchochea ustawi wa mtoto kwa mujibu wamikataba ya kimataifa na ya kikanda; inatoamwongozo juu ya uasilishaji, malezi ya kambo naulinzi wa mtoto.Wajibu Wa Mtoto Wa TanzaniaKwa mijibu wa Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009mtoto wa Tanzania ana wajibu wa:• Kuhifadhi umoja wa familia• Kuheshimu wazazi, walezi, na wakubwa zakewakati wote, pamoja kuwasaidia wakati wamahitaji• Kutumikia jamii yake na taifa kwa ujumla kwanguvu na uwezo kiakili kufuatana na umri wake.• Kulinda na kuimarisha umoja wa kijamii nakitaifa; na• Kulinda na kuimarisha mila na desturi njemakatika jamii yake na taifa kwa ujumlaSheria Muhimu Zinazowalenga Watoto YatimaNa Waishio Katika Mazingira HatarishiTanzania• Sheria ya Makosa ya Kujamiiana 1998( SOSPA)• The Law prohibits any forced sexual relationship,example any sexual relationship with a personunder 18 years old is considered as a forced sexualrelationship/raped. Sheria hii inakataza mahusianoya kimapenzi ya kulazimisha, k.m. muhisianoyoyote ya kimapenzi na mtu aliye chini ya umri wamiaka 18 yanatafsiriwa kuwa ya kulazimisha• Sheria ya Kuzuia Maambukizi ya VVU/UKIMWI 2009.• Sheria ya elimu na Ufundi Stadi.Sheria Muhimu Zinazowalenga Watoto YatimaNa Waishio Katika Mazingira HatarishiTanzania• Sheria ya Kupinga Usafirishaji Haramu wa Binadamu2008.• Sheria hii inakataza usafirishaji haramu wa binadamupamoja na watoto. K.m, kumsafirisha mtoto kutokasehemu moja kwenda nyingine kwa misingi ambayo nikinyume na haki za mtoto kama vile, kwenda kufanyakazi haramu, ukahaba, uchuuzi, kufanya kazi baharini,machimboni, ubebaji wa mizigo, kufanya kazi katikaviwanda vinavyotengeneza/kutumia sumu kali, kufanyakazi katika sehemu za starehe kama vile baa, na hoteli• Sheria ya Uendeshajhi Mashtaka• Sheria inatafsiri aina ya adhabu kwa makosa mbalimbaliya jinai13

6/11/2012Sera• Sera ya Mtoto na Maendeleo 2008.• Mwongozo wa Kitaifa kwa Watoto WaishioKatika Mazingira Hatarishi, 2006• Sera ya Elimu• Sera ya Afya• Sera ya Maendeleo ya Vijana 2007• Sera ya Ulemavu 2003• Sera ya Kuzuia Maambukizi ya VVU/UKIMWI2001Pitio La Mpango Wa Taifa WaUtekelezaji Wenye Gharama NafuuKuhusu Matunzo, Msaada Na UlinziWa Mtoto 2007-2010.UtanguliziProgramu za Tanzania zimetokana na:• Kikao Maalumu cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifakiliazimia;Ifikapo 2005 kila nchio iwe na mikakati ya kusaidiaprogramu za UKIMWI na watoto wanaoishi katika mazingirahatarishi ikilenga maeneo yafuatayo• Mpango wa utekelezaji wenye gharama nafuu wakuhudumia watoto t waishio katika mazingira i hatarishihi• Mfumo wa uratibu na usimamizi wa mipango inayohusuwatoto yatima na waishio katika mazingira hatarishi• Mfumo wa Sera wa kisheria• Mfumo wa kitaifa wa ufuatiliaji na tathimini (Mfumo wakumbukumbu na takwimu)• Mfumo shirikishi wa kitaifa wa tathimini na ufuatiliaji• Tamko na shirika la kazi duniani dhidi ya utumikishaji wawatotoUtangulizi• Mkataba wa Kimataifa wa haki za mtoto1989• Inatoa mwongozo wa haki na ustawi wa mtoto.• Malengo ya Maendeleo ya milenia• Lengo namba 1,2, 3, 4, &6- Kupunguza umasikini,elimu ya msingi, umoja, kupunguza vifo vya watoto,kuzuia maambukizi ya VVU/UKIMWI na magonjwamengine ya kuambukiza14

6/11/2012Usuli• Mkataba wa Haki na Ustawi wa Mtoto wa Afrika-1990.• Mkataba huu unaendana na ule wa umoja wamataifa lakini unaongeza haki na majukumu yamtoto wa Afrika• Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza UmasikiniTanzania (MKUKUTA).Nia Ya Mpango Wa GharamaNafuu• Kutoa mwelekeo na mwongozo katika juhudi nashughuli mbalimbali zinazolenga kuwalinda,kuwahudumia watoto yatima na walio katika mazingirahatarishi nchini.• Kutambua wadau na kupanua wigo wa utekelezaji washughuli za yatima na watoto walio katika mazingirahatarishi na maeneo makuu yaliyoainishwa kwakuangalia nani ,wapi na kwa kiasi gani.Nia Ya Mpango Wa GharamaNafuuVipengele 8 Katika Mpango• Utafutaji, uratibu na upatikanaji wa rasilimalindani na nje.• Kutoa na kuweka wazi mambo ya kufanywa nawadau mbalimbali kwa kushauri kutumia mbinu,mikakati ili kujua nani,wapi,lini,wanufaikaji nagharama.• Sera na mazingira ya utoaji huduma• Huduma na msaada katika ngazi ya kaya• Elimu• Huduma ya Afya ya Msingi• Ulinzi na usalama• Mahitaji ya kisaikolojia• Kujengea uwezo jamii na utafutaji rasilimali.• Ufuatiliaji na tathmini15

6/11/2012Sera Na Mazingira Ya HudumaSera Na Mazingira Ya Huduma• Kushawishi serikali kuunga mkono• Kuratibu na kusimamia utoaji wa huduma (Kitaifa,Mkoa, Wilaya na Kijiji)• Majukumu ya Idara ya Ustawi wa Jamii, Wizaranyingine na taasisi mbalimbali zinazohusika namasuala ya watoto.• Sera na mipango.• Utetezi na uhamasishaji jamii.Huduma Na Matunzo KatikaNgazi Ya Kaya• Uhakika na hifadhi ya chakula na lishe• Makazi (kuwepo kwake na ubora wake)• Malazi na mavazi• Usafi wa mtu binafsi• Malezi na makuzi ya mtoto.• Malezi ya kambo na kuasili, na kuwepo kwawatoa huduma.Elimu• Programu za elimu ya awali (vituo vya kulelea watotowadogo mchana(day care centers), elimu ya awali(pre primary school)• Elimu ya msingi na sekondari• Elimu ya ufundi stadi16

6/11/2012Huduma Ya Afya.Mahitaji Ya Kisaikolojia• Ukuaji na maendeleo ya mtoto( IMCI)kudhibitimagonjwa ya watoto kwa uwiano, na kuzuiamaambukizi ya VVU toka kwa mama kwenda kwamtoto• Huduma za afya (matunzo na matibabu), huduma yamatibabu majumbani kwa watoto wanaoishi naVVU/UKIMWI.• Upatikanaji wa maji safi na salama• Usafi wa mazingira.• Ni vitu gani ambavyo mtoto aliye katika mazingirahatarishi anahitaji ili aijisikie kuwa anajaliwa kihisia nakijamiiBungua bongoMambo Yanayosaidia KufanyaMtoto Ajihisi Kuwa AnajaliwaUlinzi Na Usalama• Upendo na kupendwa• Kutambuliwa• Usalama• Kuthaminiwa• Kukubalika• Kusifiwa• Kushirikishwa• kuaminiwa• Vyanzo vya usalama na ulinzi(Safety nets)• Ushiriki wa watoto• Hifadhi ya jamii• Haki za mtoto katika jamii• Stadi za maisha17

6/11/2012Kupima Matokeo Ya Mpango WaKitaifa (Ufuatiliaji Na Tathmini)Washirika• Kuwepo na mfumo wa ufuatiliaji na tahmini.• Kujengea uwezo jamii.• Rasilimali (kuwepo na mfumo wa upatikanaji nautumiaji wa rasilimali)• Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.• Wizara na idara zinazohusika na masuala ya watoto• Mashirika ya kiraia• Wadau wa maendeleo na mashirika ya umoja wamataifa mf.UNICEF, USAID, DFID,WBUratibuKazi Za Kujenga Stadi• Kamati elekezi ya kitaifa ya watoto yatima na waliokatika mazingira hatarishi.• Kamati ya kiufundi ya kitaifa ya watoto yatima nawalio katika mazingira hatarishi.• Kikundi cha wadau watekelezaji (implementingpartners group)• Ili kuwa Msaidizi Afisa ustawi wa jamii unapaswakujifunza stadi kwa njia ya vitendo• Msaidizi afisa ustawi wa jamii hujifunza kupitia:• Majadiliano• Kubungua bongo• Majadaliano katika makundi makubwa• Visa mkasa• Maigizo• Mbinu nyingine za kukazia maarifa na kujengastadi18

6/11/2012Kitabu Cha Kujifunzia StadiKazi Za Makundi• Fungua kitabu chako cha kujifunzia stadi• Utakua unafanya kazi za kupeleka nyumbani kila sikukatika kitabu hiki• Kila siku unapofika kwenye mafunzo unapaswakumpatia mmoja wa wakufunzi kitabu chako wakati wamapunziko ya chai• Mkufunzi atapitia kazi yako atatoa alama na kukupamrejesho.• Unatakiwa kumaliza kazi 4 kati ya 5 ili uweze kufuzumafunzo haya• Hesabu moja mpaka nne. Kila namba ni kundi moja.Hesabu hadi kila mtu awe na kundi. Kila kundi litapewakisa cha kupitia (Rehema, Koku, Tumaini, au Amani)• Mtakijadili hicho kisa kila siku kwenye kikundi• Mtapata fursa ya kukazia mlichojifunza kwenye darasakwa njia ya kazi ya kikundi• Kikundi kitajadili masuala ya msingi kwa ujumla kwadakika kumi na tano. Andika mada muhimu kutokana nahayo majadiliano na pia kwa kutumia kitabu chako.• Baada ya majadiliano mtafanya kazi ya kikundi ambayoinaweza kujumuisha kujigawa katika makundi madogozaidi ili kufanya igizo au mbinu nyingine ya kukazia maarifaKazi Za MakundiMrejesho Wa Kazi Za Makundi• Jadili mlichojifunza kutokana na kazi ya kikundi namada ya siku• Jaribu kuandika kwa kifupi mlichojifunza mkawasilishekwenye darasa siku inayofuata• Mrejesho usiwe zaidi ya dakika tano na usiwe na zaidiya MAMBO MATANO MUHIMU• Usirudie kuelezea kila kitu kuhusu visa vilivyojadiliwa• Mrejesho uandikwe na wanakikundi kuzingatiawaliyokubaliana• Mrejesho uzingatie stadi mlizojifunza kutokana namada za siku iliyopita. Msitoe maelezo mengi sana juuya kisa mlichojadili19

6/11/2012Kazi Za VikundiSiku Ya 2: Kazi Za Vikundi: Kutambua WatotoNa Familia Zilizo Katika Mazingira Hatarishi Pitia kisa cha kikundi chenu na mjaribu kujifunza stadi zautambuzi na kuwafikia watoto waishio katika mazingira hatarishi• Fanya igizo la utambuzi katika kijiji• Igizo linaweza kuwa na: Msaidizi afisa ustawi wa jamii,viongozi wa kijiji, wanafamilia, polisi, majirani, watoa hudumaza afya na watoto• Katika mchakato wa utambuzi, jiulize kama utaanza kuwafikiakwanza viongozi wa kijiji( serikali ya kijiji, viongozi wa kimila,viongozi wa kidini, nk) ili ikusaidie katika utambuzi• Tumia fomu ya utambuzi kupanga mchakato mzima wautambuzi na kuwafikia familia• Chagueni mtu mmoja ambaye atawasilisha kazi ya kikundikwenye darasa kesho saa mbili na nusu asubuhi. Mrejeshouelezee mchakato wa kuwafikia na kuwatambua watoto waishiokatika mazingira hatarishi20

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!