12.07.2015 Views

ELIMU YETU - Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu ...

ELIMU YETU - Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu ...

ELIMU YETU - Tanzania Education Network/Mtandao wa Elimu ...

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Toleo la 2: Chapisho la 20Kuhusu kampeni ya Lengo 1 ya Elimu kwa wotePage 2K ampeni yaElimu duani (GCE) ilianzishaLengo 1 la kampeni ya Elimumwaka 2009 ikiwa na dhumunila kufanya Elimu kwa wotekuwa kichocheo katika kombela dunia la mwaka 2010. Hasadhumuni lake ilikuwa nikuhakikisha mataifa yanatekeleza uwajibikajiuliopitishwa na kongamano laElimu kwa wote la Dakar lamwaka 2000, kwa kuongezauwekezaji katika elimu.Kiulimwengu inakadiriwakuwa kiasi cha bilioni 16 zakimarekani zinahitajikakuwekezwa katika elimuilikufikia malengo ya EFA yamwaka 2015. Suala hililinahitaji ongezeko la mara sitaya matumizi ya sasa ambapobilioni 11 za kimarekanizinahitajika kutumika katikaelimu kwa nchi za Afrika zilizoKusini mwa jagwa la Saharapeke yake.KwaTanzania, kampeni yakitaifa ya lengo 1 ilifanyikakipindi cha Wiki ya UtendajiDuniani (19-24 Aprili 2010).Muungano wa Kampeni yaElimu Duniani (GCE) kwaTanzania ulisimamiwa na TEN/MET, sambamba na kampeniya lengo 1,Tanzaniaimedhamilia kuhakikishainafanikisha majukumu yakekatika kufanikisha Elimu kwawote kwa kuongeza uwekezajikatika elimu na kuhakikishakunakuwa na ufanisi, uwazi, nauwajibikaji katika matumizi yaelimu.Wakati kumekuwepo najitihada za makusudi naendelevu kwa serikali katikakuongeza uwekezaji katikaelimu na kufanikisha Elimukwa wote kwa zaidi ya miakakumi, Tanzania badoinakabiliwa na changamotokatika uchangiaji wa elimu nahaitafikia malengo yake bilakuwepo ongezeko kubwa katikakuwekeza kwenye sekta yaelimu.Mifumo hafifu yausimamizi wa fedha na utawaladuni unarudisha nyumaongezeko la upatikanaji waelimu bora. Hata hivyo ushirikiwa asasi za kiraia katikamichakato ya bajeti badonimdogo, hivyo unaathiriuwajibikaji.Kwa kujikita katikamatokeo ya tafiti juu ya ufadhiliwa elimu nchini Tanzaniailiyofanywa na TEN/METmwezi Aprili 2010 kamasehemu ya kampeni ya lengo 1mapendekezo yafuatayoyalitolewa:Kuongezeka kwauwekezaji katika ElimuSerikali inatakiwa ielekezeangalau 20% ya bajeti ya taifakatika sekta ya elimu.Serikali inatakiwa kuongezamatumizi ya sekta katika elimuya awali, taadhimu ya elimu yamsingi na mafunzo na elimu yawatu wazima.Serikali ikague fedhamisaada iliyowekezwa kwsekta ya elimu mikoani ilikuakikisha kunakuwepo nusawa katika ugawaji waza elimu.Serikali inatakiwa ianutaratibu endelevu wa kodkuimarisha ukusanyaji wamapato ya taifa ilkuhakikifedha za umma zinatumikkatika elimu.Serikali inatakiwa kukupya utaratibu wa kuajiriwalimu, ujira na mazingirkazi ili kukabiliana upungwa walimu katika sekta yaelimu.Kuimarisha usimamiwa fedhaFedha za elimu zinatazilipwe na kusimamiwa nwizara moja tu ili kuhakikkunakuwepo uwajibikaji mna usimamizi madhubuti.Fedha zilipwe mapemshule ziweze kununua vifawanavyohitaji kwa mwakmasomo. Kwa kufanikishserikali inatakiwa kufikirikupeleka moja kwa mojaruzuku mashuleni badalakupitia kwenye halmashauMsimamo wa kielimupamoja na ushauri wa kamushauri zina nafasi kubwakatika kuimarisha usimamwa fedha za elimu katikaserikali za mitaa.Utekerezaji wa usimamwa fedha unatakiwakuimarishwa ili kupunguzutendaji duni wa halmashna shule.Kuimarisha utawala na mb

Toleo la 2: Chapisho la 20Kampeni ya Elimu Duniani ya Lengo 1:naenyeafedhazishei nashaaaguaa yaufuzikiwaaishazuria iliaa waa hiliayari.ati zaiziiziaauriinuza uwajibikaji.Asasi za kiraia zinatakiwakuwa na uwezo mkubwa wakupata taarifa zinazohusu bajeti zaelimu na matumizi. Bajeti zaelimu za mwaka zinatakiwakutangazwa kwenye vyombo vyahabari na kusambazwa mashuleni.Asasi za kiraia zinatakiwakuwa na ushiriki mkubwa katikamichakato ya mipango ya bajetikwa ngazi za kitaifa na za mitaa.Kamati za usimamizi washule, wazazi na vyama vyawalimu zinapaswa kuwa na nafasikubwa katika usimamizi naukaguzi wa bajeti za elimu namatumizi ndani ya shule.Uanzishwaji wa mfuko wafedha wa kujitegemea kwa asasi zakiraia zinazofanyakazi katikaelimu ili kusaidia kazi zao.Uanzishwaji wa mfumo wakitaifa kwa ajili ya ukaguzi washughuli za usimamizi wa fedhana matumizi katika elimumashuleni.Tanzania nzima maendeleomakubwa katika elimu ya msingikwa muongo mmoja uliopitayamefanyika. Uandikishwaji wawanafunzi uko juu katika shule zamsingi na za sekondari, wanafunzizaidi ya milioni wanawezakwenda shule. Tanzania ina nafasiya juu katika kufanikisha malengoya maendeleo ya milenniaJe watoto wetuwanajifunza?Taarifa ya mwaka yaUWEZO juu yatathimini ya mafunzo.yanayohusiana na upatikanaji waelimu na usawa wa kijinsia.Madarasa yamekwisha jengwa,idadi ya walimu imeongezeka nabajeti ya elimu imeongezeka maratatu kwa kipindi hiki.Mafanikio haya sio rahisikuyapata; kwani yanahitajiuwajibikaji mkubwa wa kisiasa napia mgawanyo mkubwa warasilimali za umma. Wazaziwanatakiwa kuwa na jitihadakatika kutimiza sehemu yao katikakuchangia elimu kwani hata dhanaya elimu bure haikidhi kwani kunagharama za sare za shule, vitabuna kalamu, masomo ya ziada,usafiri na mengineyo.Katika mwaka 2010UWEZO Initiative ilyochini yaTEN/MET ilifanya tathimini yamatokeo ya mafunzo, Swalimuhimu katika tafiti hiililikuwa: jitihada na uwekezajiwa hali ya juu umeleta matokeogani?Ni kwa kiasi gani mafanikiohayo yametafsiriwa katikakuimarisha ustadi halisi wa wawanafunzi?Lengo kubwa la kusoma nikumuwezesha kila mwanafunzikupata maarifa yatakayomuwezesha kumudu mazingirayake kwa kuanzia na maarifa yamsingi ya kusoma na kuhesabuambayo yanajenga msingi wakuwa na uwezo wa ubunifu,kufikiri, kusikiliza, kuulizamaswali, Kuchambua, kubainishana kuwasiliana kwa ujasiri. Jeshule zetu zinawawezeshawanafunzi katika wajibu huu? Jewatoto wetu wanajifunza?Yafuatayo ni ufupisho wamatokeo muhimu katika tafitihiyo:Mmoja kati ya wanafunziwatano waliohitimu darasa la sabahawezi kusoma kitabu chaKiswahili cha darasa la pili.Nusu ya wanafunziwaliohitimu darasa la sabahawawezi kusoma maandishi yakiingereza.Wanafunzi 7 kati ya 10waliohitimu darasa la sabahawawezi hesabu za darasa lapili.Wanafunzi wanaoishi mijiniwanafaulu kati ya asilimia 7-10 yamasomo yote zaidi ya walewanaoishi vijijini.Wanafunzi wa kike walifauluvizuri zaidi ya wanafunzi wakiume katika masomo yote ingawakulikuwa na utofauti mdogo katikaviwango vya ufaulu.Wanafunzi ambao mama zaowanakiwango cha elimu yasekondari wanafaulu vizuri kulikowanafunzi ambao mama zaohawana kiwango cha elimu yasekondari.Page 3

Toleo la 2: Chapisho 20Nini kifanyike kuhusu halihii? Kwa sasa Tanzania nasehemu zingine dunianiwamejikita zaidi kwenyeuwekezaji wa utoaji wa elimukama vile ujenzi wa vyumba vyamadarasa, maabara, vitabu nawalimu kuliko matokeo yakujifunza kama vile kusoma,kuhesabu, kuandika, fikra zakimantiki na ubunifu. Tanguvielelezo vilipoonesha kwambauwekezaji hautafsiriwi katikamatokeo ya kujifunza, kunauhitajiwa mifumo halisi ya malengokatika kufanikisha matokeomakubwa ya kujifunza katikawizara zinazohusika na elimu,taasisi za mafunzo, kuendelezamitalaa, mitihani, tathimini zashule na walimu, viashiria vyamaendeleo na uwajibikaji wakisiasa.Matatizo makubwa mawiliyanayojitokeza ni michango hafifuinayowafikia walimu na shulehaihamasishi ufundishaji (k.m.muda wa uwajibikaji ni mdogo).Hii inaweaza ikaleta maana yakulifanyia kazi masuala hayo nakufikiria namna ya kuboreshapamoja na kuangalia ugumuuliopo kati ya mahusiano yarasiliamali katika ngazi za shule namuda walionao walimu katikakutekeleza majukumu yao namatokeo ya kujifunza kwawanafunzi.Badala ya kutumia mudamwingi kufanya yale ambayoyamekwisha fanyika mudamuda huo ungetumika kufanyakitu kingine tofauti kwa harakazaidi. Uchambuzi na tafiti zetuduniani kote zimependekezakwamba sehemu muhimu yaPage 4kupata ufumbuzi wa suala hiliinatakiwa kuboresha motisha ilimfumo wa watendaji ukumbukekuchochea ufundishaji.Wazo moja muhimu lilijaribiwana tayari limeidhinishwa na RaisiKikwete, wazo hilo linaitwa Cashon Delivery. (www.cgdev.org/section/initiatives/ _active/codaid). Dhana kuu ya wazo hilini kuwekeza zaidi katika elimukuashirie matokeo ya mafunzoyaliyokubalika, kama vile kusomana kuhesabu (k.m, kwa kila mtotoaliyehitimu elimu ya msingi kwauwezo unaokubalika, atapewa dola200 za kimarekani).Wazo hili linaweza kugeuzwatofauti na ilivyopangwa ambapodola 200 za kimarekani zinawezakugawiwa kwa wataalamwakawaida, waalimu na hatawazazi. Lengo ni kuwawezeshawadau kujikita katika mafanikiozaidi ya mafunzi. Hakuna uhakikakama wazo hili litafanikiwa.Lakini katika kipindi ambachoTanzania imekumbwa na wasiwasiwa kushuka kwa ubora wa elimumbinu mbalimbali zinazotumikahuwa hazifanikiwi.Kuimarisha stadi zamawasiliano baina ya watotowenye matatizo ya kusikia nawazazi kwa kikundi cha SafinaWomen’s Association (SAWA)kilichopo mkoani Morogoro.SAWA inasaidiwa na KarkkuSTO kutoka Finland ilikuwezesha mafunzo katika lughaya alama Tanzania. Tafitiziliyofanywa na SAWA ilioneshakwamba kulikuwa na tatizo kubwakatika mawasiliano baina yawatoto wenye matatizo ya kusikiana jamii wakiwemo wazazi wao,walimu, watoa huduma na walezi.Pande zote mbili kati watotowenye matatizo ya kusikia najamii wasingeweza kuwasilianavizuri kwasababu ya kukosamaarifa na matumizi hafifu yalugha ya alama nchini Tanzania.Mbinu za ufundishajizinazotumika mashuleni kwawatoto wenye matatizo ya kusikiani za masimulizi tu ambazozinafahamika kwa kutoleta ufanisitangu miaka ya 1970 (DouglasBeynton, “Forbidden Signs”,University of Chicago Press,1996). Maelezo yanayotolewa kwanjia ya masimulizi hayaelewekikwa upande wowote. Ubaguzi naunyanyasaji katika jamiiunabainisha kuwa ni tatizo ambalohalijapatiwa ufumbuzi kwa watotowenye matatizo ya kusikia.Kutokana na matokeo yatafiti hii, SAWA imeamuakutekeleza mradi wa kuiwezeshajamii na watoto wenye matatizo yakusikia kuboresha stadi zamawasiliano kupitia mafunzo yalugha ya alama yanayotolewaTanzania kwa watoto wenyematatizo ya kusikia, wazazi,walimu na wanajamii.SAWA iliajiri wafanyakaziwawili ( wakike na wakiume )kama watoa mafunzo ya lugha yaalama nchini Tanzania pamoja nakusaidia katika upandemaendeleo ya mafunzo kwa

Toleo la 2: Chapisho la 20kutoa zana za kufundishia nakujifunzia.Pia SAWA ilifanyakazi nahalmashauri ya manispaals ilikuhakikisha shughuli zotezinatekelezwa kwa mujibu wakanuni na taratibu, pamoja nakutengeneza umiliki nauendelezaji wa mradi kwamamlaka husika. Pia SAWAilifanyakazi kwa uangalizi namaelekezo ya Chama cha ViziwiTanzania-CHAVITA,ilikuendeleza zana za kufundishia nakujifunzia.Madhumuni na Malengo:Dhumuni kuu la mradi huuni kuboresha ustawi na maisha yawatoto wenye matatizo ya kusikiakwa kupitia utetezi wa kutumialugha ya alama nchini Tanzaniakama njia muhimu yamawasiliano.Malengo maalumyanahusisha:Lugha ya alamanchiniTanzania iwe ni sehemuya kujifunzia n na mtalaa wakufundishia.Kuhakikisha jamii inatambuana inaweza kutumia lugha yaalama nchini Tanzania.Utoji wa miundombinu mizurina zana zinazohitajika katikakutoa mafunzo nakufunddishia lugha ya alamanchini Tanzania .Matokeo yanayotarajiwa:Inatarajiwa kuwa mwishonimwa mwaka:Lugha ya alama nchiniTanzania iwe inatumika katikashule kwa watoto wenyematatizo ya kusikia kamalugha maalum ya kufundishia.Zaidi ya watoto 50 wenyematatizo ya kusikia waliokatika shule za msingiwajifunze lugha ya alamanchini Tanzania.Kadili inavyowezekana,walimu wengi, wazazi nawanajamiiwengine wajifunzestadi za mawasiliano ya lughaya alama nchini Tanzania.Zana za kujifunzia nakufundishia lugha ya alamanchini Tanzania zinaendeleana kusambazwa.MafanikioKama matokeo, mradiumewezesha mafunzo ya lugha yaalama kwa wadau na umeongezauelewa na utumiaji wa lugha yaalama hasa katika shule na kwangazi ya jamii.Maendeleo ya zana zakujifunzia na kufundishiayamewezesha ufundishaji namazingira ya kujifunzia,nakuongeza umakini, na kuimarishaufundishaji na kujifunza.Watoto wenye matatizo yakusikia kwa sasa wanapendakwenda shule kwani wanawezakufuata maelekezo na kufahamumasomo yao. Hii imeongezamaudhurio na kupunguza idadi yawatoto wanaoacha shule.Mahusiano kati ya watotowenye matatizo ya kusikia nawazazi wao au jamii yameimarikatangu wazazi na wanajamiiwengine wapate uwezokuwasiliana na watoto wenyematatizo ya kusikia. Watotowenye matatizo ya kuskia kwasasa wanahusishwa katikashughuli za kijamii. Hiiimepunguza kwa kiasi kikubwawatoto wenye matatizo ya kusikiawanaoomba na kuzurura mitaani.Pia hii imepunguza misongo yamawazo na mifadhaiko waliokuwawakiipata wazazi kutokana nawatoto wao wenye matatizo yakusikia.Mradi wa kuwaunganishawatoto wenye matatizo ya kusikiana wale wasio na matatizo hayokutoka shulee za Leena piaumekuwa wa manufaa. Wanafunziambao hawana matatizo ya kusikiawamejifunza lugha za alama nawanauwezo wa kuwasiliana nawatoto ambao wana matatizo yakusikia. Watoto wenye matatizoya kusikia hawaachwi nyumakatika shughuli mbalimbali zashule na wanauwezo wa kushirikikikamilifu na kuwa sehemu yawatendaji.Ugawaji wa umeme katikashule ya msingi Kiwanja chaNdege umewezesha kitengo chawatoto wenye matatizo ya kusikiakuweza kutumia zana na vifaavinavyohitajika kutoa huduma zauangalizi na matunzo kwa watotowenye matatizo ya kusikia.Uanzishwaji wa maktabakatika shule ya msingi Leenaimeongeza uelewa wa watukuhusu masuala yanayohusiana namatatizo ya kusikia, kwakuboresha upatikanaji wa vitendeakazi vinavyotoa taarifa.Kituo cha mafunzo cha Leenakimewavutia washiriki kutokamataifa mengine kuhudhuriampango wa mafunzo ya lugha yaalama nchini Tanzania.Mipango ya baadaye:Kufuatia mafanikio katikautekelezaji wa mradi, SAWAingependa kuendelea na kurudiashughuli hizi katika jamii namaeneo mengine.1. Walimu wa shule ya msingiKilakala na wazazi katika kata zaKilakala and Kihonda walipatamafunzo ya lugha alama.2. Ufundishaji wa stadi za lughaya alama kwa walimu wa Taasisiya Mafunzo ya Ufundi StadiMorogoro ili kuruhusu wanafunziwenye matatizo ya kusikiawanaohitimu darasa la sabakujiunga na jitihada hizo.Page 5

Toleo la 2: Chapisho la 203. Kuongeza vifaa zaidi vyakufundishia na kujifunzia kwaajili ya kuwapa kipaumbele watotowenye matatizo ya kusikia wakiwashuleni.4. Kufanyakazi na CHAVITAkatika kushawishi uanzishwaji wastadi za mawasiliano ya lugha zaalama katika Chuo Cha Mafunzoya Ualimu Morogoro.5. Kuendeleza ushawishi kwaserikali ili ianzishe lugha ya alamakuwa lugha ya kufundishia katikashule za watoto wenye matatizo yakusikia.Kwa uhakika, mafanikio zaidiyamepatikana kutoka kwenyemradi, yote hayo yameoneshwakatika taarifa ya mwaka ya SAWAya mwaka 2010, ambayo inayopatikana kwenye tovuti ya TEN/MET.Safina Women’s Associationinapatikana mkoani Morogoro.P.O.Box 6031, Morogoro,Office Tel: 255232613707Mobile: +255713514989Email: safinawomen@yahoo.comOR sawa98@gmail.com,Website: www.sawa-tz.orgOfisi yao iko maeneo yaKigurunyembe-nyuma ya KolaHill Hotel, pembezoni mwa OldDar Es Salaam-Road.Childhood Development TrustFund Network (CDTFN)Mradi wa Changarawe , Mei2010Mzumbe, MorogoroUtanguliziDTFN ikishirikiana namradi wa Changarawe nawanadau wengine wa maendeleoilitekeleza miradi ya Mei 2010iliyojikita katika maeneo makuuambayo ni e,imu ya msingi katikashule ya Zawadi, kutokomezaumasikini– miradi ya fedha,malezi kwa watoto yatima, kuzuiana kutoa taarifa za VVU naUKIMWI na malezi ya wazee.1. Elimu ya msingiKituo cha Kutwa cha kuleleawatoto cha Zawadi kiliendeleakutoa malezi kwa watoto 100wenye umri kati ya miaka 3hadi 6ambao kati yao 60 ni watotoyatima. Watoto wanaendeleakupewa uji wa lishe mara mbilikwa kutwa ili kuboresha afya zaona kuepusha utapiamlo nakudumaa.Katika kituo watotowanaelekezwa ufinyanzi,kuchora, kusoma, kuhesabu nakushiriki katika michezo ya nje iliwaweze kuendelea kimaumbile nakifikra.Wastani wa mahudhurioulibakia kuwa mzuri kwa asilimia98.2. Kutokomeza umasikiniUrejeshaji wa mikopoulitekelezwa kwa wakati kamaratiba ya makubaliano ilivyokuwaingawa wakopaji wachachewanarejesha taratibu fedhawalizokopa.Utoaji wa mikopo ulisaidiakuboresha maisha katika jamii.3. Malezi ya YatimaIdadi ya watoto yatimainaongezeka katika jamii yetu.Hali hii imepelekea watoto nabibi zao kuchukua jukumu lakuwalea watu wanaoishi naVVU na UKIMWI pamoja nayatima.Kwa mwaka huu katikakituo chetu tumeongezawatoto yatima wapyawapatao 25 na idadi yaokutoka 107 hadi 132. Kati yahao 25 ni wapya, 18 wakokatika umri wa kuanza elimuya msingi na 7 wana umri wakusoma sekondari.Siku ya watoto Yatimailifanyika tarehe 14 na 28mwezi Mei. Kikundi chawaelimishaji rika 16shule yasekondari Mongolawaliandaa igizo fupi juu yaVVU na UKIMWI pamoja naugonjwa wa malaria.Siku hizo mlo watotowalipewa mlo kamili, mayaiya yaliyochemshwa, karangazilizokaangwa na maziwa.Unga wa lishe na sabunivilitolewa kwa watotowalioathirika na VVU na kilamtoto alipata.Idadi ya watoto kutokaNigel Lloyd wanaotumiahuduma za maktabaimeongezeka kutoka watoto55 hadi 80. Wanafunzi 38 nikutoka shule za msingi nawanafunzi 42 wanatokashule za sekondari. Kwamwezi huu tumenunua vitivya plastiki 25 na meza 3 zambao ili kuwapatia watotowanaotumia maktaba nafasiza kuketi za kutosha ilikuwawezesha kuwa makini.Page 6

Toleo la 2: Chapisho la 20Hali ya afya kwa watoto wadaraja la 11 na IllMuuguzi wa afya waCDTFN, Susan, alifanyamatembezi ya mara kwa marakwa shule za msingi na zasekondari ili kukagua urefu, uzitona jotoridi la watoto ili kutambuaukuaji, ongezeko na ustawi wao.Zoezi hili lilifanyika katika shuleya Zawadi mnamo tarehe 19 Mei2010, na tarehe 20 Mei 2010lilifanyika katika shule ya msingiMzumbe na shule ya sekondariMongola. Tarehe 21 Meialitembelea shule za msingiChangarawe na Vikenge. Umakiniulifanyika kwa watoto sitawaliogunduliwa kuwa na VVU.Muuguzi wa afya alifanyamatembezi ya mara kwa maranyumbani na shuleni ili kufanyamajadiliano na walezi namna yakuwatunza watoto hao.Dawa za kurefusha maisha(ARV) na dawa nyinginezo zakutibu magonjwa njemeleziziliotolewa. Mahitaji ya lisheyalichunguzwa kwenye makaziyao na msaada wa unga wa lishekutoka Nigel Fund uligawanywakwa watoto wote sita mara mbilikwa kila mwezi kwa kipindi chachote cha ya maadhimisho yawatoto yatima. Hali za watotowanaoumwa sana zilichunguzwamara kwa mara.4. Kuzuia na Kutoa taarifa zaVVU na UKIMWIUkitoa malaria, VVU naUKIMWI ni ugonjwa wa piliambao ni hatari katika nchi yetu.Ugonjwa huo umeathiri karibiamatabaka yote ya kijamii katikanchi hii. Vielelezo halisi nikuongezeka kwa idadi ya watotoyatima katika jamii yaChangarawe.Dawa za kurefusha maishazilichukuliwa kutoka hospitali yamkoa wa Morogoro kwa ajili yawatoto wetu wanaoishi na virusivya ukimwi na walipewakulingana na maelekezo yadaktari.Waelimishaji rikawanaendelea kupata umaarufukatika kuelimisha jamii zetu hasakupitia maigizo mafupi namaonyesho ya JUKWAANI juuya VVU NA UKIMWI.5. Malezi ya Wazee:Nchini Tanzania, na hasaChangarawe, wazee wamekuwani walezi wa watoto kwa watotoyatima walio wengihuku wakiwahawana mavazi mazuri nahuduma kwao ni duni.CDTFNiliendeleza malezi ya wazee kwakuwakaribisha kwenyemaadhimisho ya wanawakewazee yaliyofanyika tarehe 28Mei 2010. Walipata chakula chapamoja cha mchana na kuchezapamoja ala mbalimbali za muzikiwa makabila ya Kitanzania.Fungu la chakula lilindeleakutolewa kwao kwa kupewa kilomoja moja za unga namaharagwe za kutumianyumbani. Malaria CommunityInitiative of Tanzania6. Kushiriki kwa wadauwengine wa maendeleoCARE Tanzania na CDTFNwanafanyakazi kwa ubia ilikuwawezesha watoto wa kikewanaotoka katika jamii zawafugaji kupata elimu ya msingi.Maendeleo ya kazi Tunatarajiakuanza kuandaa mapendekezo yaujenzi wa kituo cha watotoyatima cha Nigel Lloyd.Page 7

Volume 2: Issue 20Tanzania Education Network / Mtandao wa ElimuTanzania (TEN/MET) ni mtandao wa kitaifa unaojumuishaasasi zaidi ya 200 zikiwemo asasi zisizo kuwa za kiserikali, naasasi za kijamii, asasi za kimataifa, na mitandao ya kiwilaya,zinazohusika na kuboresha elimu.Phone: +255222150793Fax: +255222152237E-mail: info@tenmet.orgWebsite: www.tenmet.orgLengo kuu la TEN/MET ni kufanyakazi na kuwaunganishawadau wengine katika asasi za kiraia ili kusaidia jamii kamavile asasi za kijamii, asasi za madhehebu ya dini na asasizisizo za serikali zinazofanyakazi za utetezi kwa sauti yapamoja ili kushawishi sera katika kuleta ubora wa elimu kwawote Tanzania. TEN/MET ni mwanachama wa mataifa mengina asasi nyingi za kimataifa kama vile baraza la sera, theGlobal Campaign for Education, na African NetworkCampaign on Education for all (ANCEFA). Ofisi zakezinapatikana Upanga wilaya ya Ilala, mkoani Dar es Salaam,Tanzania.Www.tenmet.orgKuhusu TEN/METDiraMtandao wa Elimu Tanzania,ungependa kuona watanzania wote,hususani watoto wakifurahia fursa zaushirikishwaji nzuri katika nafasi zamafunzo, ili waweze kuzitambuarasilimali zao katika ushirikishwaji wakijamii.DhamiraMtandao wa Elimu Tanzaniautafanya kazi na Asasi zisizo zakiselikari, asasi za madhehebuyakidini na asasi za kijamiikushawishi sera za elimu na utendaji,kwa kuongeza uwajibikaji wa kijamii,katika kuhakikisha kwamba fursanzuri za mafunzo zinawezesha kwawatu wote bila ubaguzi.MalengoWadau wa elimu (Mitanda yawilaya, asasi za kijamii, asasizisizo za serikali, wanafunzi, naviongozi wa serikali za mitaa)wanashiriki katika mabarazambalimbali kudai mwitikio nauwajibikaji mkubwa katikautekelezaji wa sera za elimu ilikuhakikisha kunakuwa nausawa wa upatikanaji wa elimumsingi kwa watoto woteTanzania.KaziTEN/MET itafanyakazi na wadaukukabiliana na changamoto kwakushawishi sera za elimu kupitia:Mawasiliano na kupeana taarifaKuendeleza uwezoMidahalo na ushawishi wasera, kuratibu matokeo ya serakatika ngazi za wila.TEN/MET inajitahidikuhakikishakuwa inaendele kutekeza matakwaya wanachama wake. Huu nimchakato ambaoTEN/MET lazimaianzishe njia nzuri za mawasilianoili mahitaji ya mawasilianoyazigatiwe katika mfumo wauundaji wa sera na upatikanaji waelimu kwa watu.Kwa kutekeleza haya, TEN/METlazima ienendeleze ubia na serikalina wadau wegine wa maendeleo(wafadhiri). Ili kupata hadhi,kutambuliwa, na kujiamini, TEN/MET lazima ianzishe mahusianomazuri katika ngazi zote ikiwemoserikali na wafadhiri, wakatitukiendeleza malengo yetu nakuwa namsimamo kwa masuala yakero mbalimbali.Page 8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!