12.07.2015
•
Views
Dunstan Mkapa, Mheshimiwa Murtaza Mangungu,Mheshimiwa Abdalla Haji Ali, Mheshimiwa Said MussaZubeir, Mheshimiwa Bahati Ali Abeid, Mheshimiwa Eng.Hamad Yussuf Masauni, Mheshimiwa Amina NassoroMakilagi, Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mheshimiwa NassirYussuf, Mheshimiwa Jenista Mhagama na ndugu zanguwaliowakilisha hapa Mheshimiwa Steven Maselle naMheshimiwa George Simbachawene.Waheshimiwa Wabunge, napenda kusisitiza fursaniliyowapatia kwamba, huenda muda hautoshi namaswali mnayo mengi sana. Wizara yetu inatakakufanya kazi karibu sana na ninyi. Kwa hiyo,nimewaagiza wafanyakazi wote ambao wapo hapakwa ajili ya bajeti wakiwa na Wakuu wao wa Vitengo,kuanzia kesho watasikiliza hoja zenu ambazo mnazo.Kwa hiyo, kesho Jumapili, kati ya saa tatu asubuhimpaka saa saba, tafadhali kama una tatizo lolote hasaukiangalia ile michoro, tuliwapatia njooni ofisini kwetu,ofisi ipo nyuma ya Dodoma Hoteli. Watakaa hapahapa Jumatatu na Jumanne kuanzia saa mbili asubuhimpaka saa 12 jioni. Kwa hiyo, jamani wenye kiu yamaswali tunawakaribisha sana. (Makofi)Pili, napenda sasa niwaeleze kidogo tatizo ambalolimeleta mambo mengi, la TANESCO nadhani ni vizurimlisikie kutoka kwangu mwenyewe. Kabla sijalisemahilo, kuna vitu viwili ambavyo ni vya muhimu sana.Napenda niwaeleze Waheshimiwa Wabunge naWatanzania wote wanaotusikiliza hapa; alikuwepoMwanafilosofia mmoja, mwenyeji wa Scotland,walikuwa kwenye majadiliano mengi sana ya mambo
ya filosofia. Mwaka 1852 alisema nitayatafsiri kwaKiswahili baadaye.Alisema truth like a touch, the more it shock itshines, narudia tena hii ni lugha ya zamani kidogo, siyoKiingereza chepesi cha siku hizi. Truth like a touch, themore it shock it shines, yaani ukweli ni kama tochi aukurunzi yenye betri, ndani unavyozidi kuitingisha ndivyojinsi ambavyo mwanga unazidi kuwaka. Unajua tafsirihizi unamwachia mtu mwenyewe huwezi ukamtafsiria.(Makofi)Wa pili, alikuwepo Mwandishi maarufu sana waKimarekani alikuwa anaitwa Walter Lipman, tarehe 14Aprili, 1945 alikuwa Mwandishi wa New York HeradTribunal, Gazeti la New York lile, ni kubwa sana mpakasasa hivi bado lipo. Tarehe 14 Aprili, 1945 alisema haya:“The final test of a leader is that he lives behind him inother men the conviction and the will to carry on.”Naomba nirudie tena: “The final test of a leader is thathe lives behind him in other men the conviction andthe will to carry on.” Kwa maneno mengine, ukitakakujua mafanikio ya Kiongozi yeyote ni yule ambayeameacha kitu nyuma, amewaacha watu nyumaambao wanataka kuyaendeleza yale aliyoyaacha.Kwa siku chache nilizokaa hapa Bungeni, hapa nduguzangu mtakapokuwa mnafanya hii tafsiri kuna makundiya watu wawili; kuna kundi la Mwalimu Nyerere, kunakundi la Marehemu Sokoine na kuna kundi la Kawawa.Utakavyokuwa unafanya tafsiri, kuna kundi lingine laMobutu, kuna kundi la Bokasa na kundi la Abani.(Makofi/Kicheko)
-
Page 1 and 2:
BUNGE LA TANZANIA_______________MAJ
-
Page 3 and 4:
Mheshimiwa Spika, mimi nimesoma lit
-
Page 5 and 6:
Napenda niwatakie kheri ya mwezi wa
-
Page 7 and 8:
Pia utengenezaji wa magari lazima u
-
Page 9 and 10:
Mheshimiwa Spika, haiwezekani kumbe
-
Page 11 and 12:
Mfano huko Arusha katika uchimbaji
-
Page 13 and 14:
Serikali ina taarifa hii na kwamba
-
Page 15 and 16:
Bunge na Serikali usipoimarishwa, T
-
Page 17 and 18:
Maswa kila siku tuna mgao kipindi c
-
Page 19 and 20:
Je, wale tembo wanaobeba viroboto m
-
Page 21 and 22:
Mheshimiwa Waziri na Mheshimiwa Kat
-
Page 23 and 24:
kwamba mtu ambaye hajaridhika aende
-
Page 25 and 26:
Mheshimiwa Spika, kuna suala la Ser
-
Page 27 and 28:
Mheshimiwa Spika, wamesikia kazi nz
-
Page 29 and 30:
vile, hayatakuwa na manufaa kwa mgo
-
Page 31 and 32:
Mheshimiwa Spika, tunakemea rushwa,
-
Page 33 and 34:
ya kupandishwa kodi ya leseni kwa w
-
Page 35 and 36:
Mheshimiwa Spika, Wabunge wengi,wam
-
Page 37 and 38:
yake kwa sababu, kutakuwa na mradi
-
Page 39 and 40:
Kwa hiyo na sisi lazima tufanye maa
-
Page 41 and 42:
Lakini ninavyofahamu mimi kwa mujib
-
Page 43 and 44:
uhujumu uchumi, hii inaonekana dhah
-
Page 45 and 46:
au baridi ya wastani zisitetereke,
-
Page 47 and 48:
SPIKA: Waheshimiwa Wabunge naomba p
-
Page 49 and 50:
Mheshimiwa Spika, nianze kwanza kum
-
Page 51 and 52:
tunaambiwa katika Ilani ya Chama ch
-
Page 53 and 54:
matumizi. Naomba sana Serikali ilif
-
Page 55 and 56:
vijijini kwamba gharama hizi sasa z
-
Page 57 and 58:
Tuna vyanzo vingi sana sana lakini
-
Page 59 and 60:
Kwanza kabisa napenda nimshukuru Mw
-
Page 61 and 62:
kwa ajili ya mambo ya ufisaidi. Sas
-
Page 63 and 64:
anasema hii ni sehemu yangu kama ka
-
Page 65 and 66:
ninaungana nao na ninaunga mkono ho
-
Page 67 and 68:
kubwa sana ya ushuru. Sasa hivi hai
-
Page 69 and 70:
Kwa mfano, kuna Kilwa, kuna Jenga,
-
Page 71 and 72:
ambalo liko kwenye Ziwa Victoria, y
-
Page 73 and 74:
wenzake kwa jinsi walivyolishughuli
-
Page 75 and 76:
nisingependa nianze kurudia yale am
-
Page 77 and 78:
inawezekana ni katika wale wenye ni
-
Page 79 and 80:
waendelee kutafiti vyanzo viko ving
-
Page 81 and 82:
vile ambavyo nchi ilielekeza. Kukaw
-
Page 83 and 84:
SPIKA: Basi malizia dakika hizo mbi
-
Page 85 and 86:
wa Nishati na Madini ukurasa wa 57,
-
Page 87 and 88:
Mheshimiwa Spika, wachimbaji hawa w
-
Page 89 and 90:
hotuba yake iliyopelekea nitambue a
-
Page 91 and 92:
watakuwa wakikatishwa tamaa na umem
-
Page 93 and 94:
nguvu kubwa ya umeme kwa kuwa kuna
-
Page 95 and 96:
- Ku-publish taarifa zao za mahesab
-
Page 97 and 98:
Mheshimiwa Spika, kuhusu fedha zili
-
Page 99 and 100:
na mradi huu, ni dhahiri kuweka bom
-
Page 101 and 102:
wapewe kipaumbele ili tupate power
-
Page 103 and 104:
mkubwa juu ya watu waliokutwa na mr
-
Page 105 and 106:
kwa namna gani? Je, ni kwa maeneo y
-
Page 107 and 108:
(iv) Diversification; na(v) Intergr
-
Page 109 and 110:
Mheshimiwa Spika, tarehe 21 Julai k
-
Page 111 and 112:
watakuwa tayari kushiriki katika fa
-
Page 113 and 114:
kununua) kwenye migodi. Serikali ia
-
Page 115 and 116:
Mheshimiwa Spika, kuhusu kutunza dh
-
Page 117 and 118:
Minerals Marketing Corporation (PMM
-
Page 119 and 120:
Mheshimiwa Spika, ukisoma malengo,
-
Page 121 and 122:
ni muhimu ziharakishwe ili ziweze k
-
Page 123 and 124:
nchi muda mwingi kuwa kwenye giza,
-
Page 125 and 126:
Mheshimiwa Spika, tunashukuru kupat
-
Page 127 and 128:
wananchi wa kawaida weweze kumudu g
-
Page 129 and 130:
kupitia TANESCO na ZECO kwa makubal
-
Page 131 and 132:
ado wanadai malipo yao ya fidia, la
-
Page 133 and 134:
Mheshimiwa Spika, kuhusu gesi asili
-
Page 135 and 136:
Zanzibar anapandishiwa bei ya umeme
-
Page 137 and 138:
(iii) Ruhudji(iv) RusumoJUMLA358MW7
-
Page 139 and 140:
kwa kuwa mradi huu upo katika majar
-
Page 141 and 142:
fedha ili waweze kujikimu kimaisha
-
Page 143 and 144:
MHE. DAVID E. SILINDE: Mheshimiwa S
-
Page 145 and 146:
Mheshimiwa Spika, pia niipongeze Wi
-
Page 147 and 148:
wamekuwa wagumu kutimiza wajibu wa
-
Page 149 and 150:
Mheshimiwa Spika, suala la kuwezesh
-
Page 151 and 152:
Mheshimiwa Spika, Suala la umeme vi
-
Page 153 and 154:
yao na tumedumaza maendeleo ya viwa
-
Page 155 and 156:
Mkutano wa Kumi na Nne, Kikao cha S
-
Page 157 and 158:
zinazotengwa hazitolewi zote, lazim
-
Page 159 and 160:
Mheshimiwa Spika, nawapa hongera sa
-
Page 161 and 162:
Mheshimiwa Spika, wale wote watakao
-
Page 163 and 164:
kukicha. Serikali itueleze kwa nini
-
Page 165 and 166:
Mheshimiwa Spika, kuhusu REA; mtaka
-
Page 167 and 168:
tension), lakini hakuna transfoma n
-
Page 169 and 170:
Wananchi iliyoongozwa na Mkuu wa Wi
-
Page 171 and 172:
MHE. MWANAMRISHO TARATIBU ABAMA:Mhe
-
Page 173 and 174:
taarifa mbalimbali kwa maslahi ya n
-
Page 175 and 176:
Mheshimiwa Spika, ninaishauri Serik
-
Page 177 and 178:
Mheshimiwa Spika, kauli ya Waziri k
-
Page 179 and 180:
Mheshimiwa Spika, napenda kusikia k
-
Page 181 and 182:
Mheshimiwa Spika, naipongeza sana S
-
Page 183 and 184:
Mheshimiwa Spika, utajiri wa gesi u
-
Page 185 and 186:
Jimboni Mpwapwa, ingawa bado kuna m
-
Page 187 and 188:
Mheshimiwa Spika, nampongeza Waziri
-
Page 189 and 190:
MHE. DKT. BINILITH S. MAHENGE: Mhes
-
Page 191 and 192:
Dirma na Simbay kutoka Nangwa. Pamo
-
Page 193 and 194:
na Kamanda Maswi kama Katibu Mkuu.N
-
Page 195 and 196:
ya kupewa umeme yameoneshwa ndani y
-
Page 197 and 198:
wananchi hawa, iwatengee maeneo ya
-
Page 199 and 200:
aada ya kumpa ki-note cha kumweleza
-
Page 201 and 202:
Mheshimiwa Spika, naunga mkono hoja
-
Page 203 and 204:
Taifa ili mwananchi aelewe ili kuon
-
Page 205 and 206:
(a) Je, Wizara ina mikakati gani ya
-
Page 207 and 208:
yanauzwa kwa Nembo ya Makaburu. Kwa
-
Page 209 and 210:
MHE. JOYCE J. MUKYA: Mheshimiwa Spi
-
Page 211 and 212:
Mheshimiwa Spika, sasa ni miaka min
-
Page 213 and 214:
shilingi bilioni 60 mpaka 70 kwa mw
-
Page 215 and 216:
imeliunganisha Bunge lako na Wabung
-
Page 217 and 218:
Mheshimiwa Spika, naiomba EWURA na
-
Page 219 and 220:
mkataba na Serikali ambao una kipen
-
Page 221 and 222:
ali Vito hivyo vinauzwa nje na nyak
-
Page 223 and 224:
Mheshimiwa Adam Malima katika ziara
-
Page 225 and 226:
zote chanya zenye lengo la kuipatia
-
Page 227 and 228:
wajisikie wao hasa wameisaidia Nchi
-
Page 229 and 230:
MHE. KURUTHUM J. MCHUCHULI: Mheshim
-
Page 231 and 232:
Mheshimiwa Spika, ili tunufaike na
-
Page 233 and 234:
ya kupikia, aidha kwa kupikia kuni
-
Page 235 and 236:
kuzalisha umeme ambao haununuliki k
-
Page 237 and 238:
Mkuu, fanyeni kazi, simameni imara.
-
Page 239 and 240:
Mheshimiwa Spika, naomba kuongelea
-
Page 241 and 242:
Mheshimiwa Spika, ahsante.MHE. JAME
-
Page 243 and 244:
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ku
-
Page 245 and 246:
Mheshimiwa Spika, nchi yetu ina Mik
-
Page 247 and 248:
Mheshimiwa Spika, umeme bado ni tat
-
Page 249 and 250:
kutumia Shirika la kueneza umeme vi
-
Page 251 and 252:
umeme huu unakotokea, lakini wamesa
-
Page 253 and 254:
MHE. LUCY T. MAYENGA: Mheshimiwa Sp
-
Page 255 and 256:
promotion na advertsment ni party y
-
Page 257 and 258:
Suala la umeme wa REA ni hakika na
-
Page 259 and 260:
ambayo viongozi wenye uroho walisai
-
Page 261 and 262:
Mheshimiwa Spika, kumekuwa na ahadi
-
Page 263 and 264:
Kitongoji cha Mpera kilometa mbili
-
Page 265 and 266:
kutopatikana kwa nishati hii, kunaw
-
Page 267 and 268:
Mheshimiwa Spika, umeme ni wa muhim
-
Page 269 and 270:
zenye uwezo mkubwa kutoka KV 220 na
-
Page 271 and 272:
Mheshimiwa Spika, mchango wangu ni
-
Page 273 and 274:
wasikie mradi huu sasa, na kwa haki
-
Page 275 and 276:
Mheshimiwa Spika, mkakati huu utanu
-
Page 277 and 278:
Ndugu E. Maswi kwa kuteuliwa kushik
-
Page 279 and 280:
ikatwe hapa hapa Tanzania na kuwepo
-
Page 281 and 282:
Mheshimiwa Spika, maendeleo ya nchi
-
Page 283 and 284:
Mheshimiwa Spika, katika Jimbo la K
-
Page 285 and 286:
Mheshimiwa Spika, kwa mara nyingine
-
Page 287 and 288:
kwa kazi kubwa anayoifanya ya kupam
-
Page 289 and 290:
unategemea uendeshaji na udhibiti w
-
Page 291 and 292:
elimu ya ufund,i uzoefu wa ufundi,
-
Page 293 and 294:
Umma na Makampuni binafsi ambayo mi
-
Page 295 and 296:
nje. Vyombo vinavyotawala au kuende
-
Page 297 and 298:
kushitukiza au dharura ambao sasa u
-
Page 299 and 300:
sana kwa kuwa fedha yote wameitumia
-
Page 301 and 302:
Mheshimiwa Spika, njia hiyo mpya it
-
Page 303 and 304:
Kibati na Poma. Naishukuru Serikali
-
Page 305 and 306:
kupeleka umeme Jimboni Nyang’hwal
-
Page 307 and 308:
mdogo. Ndiyo katika mawasiliano mba
-
Page 309 and 310:
MHE. MODESTUS D. KILUFI: Mheshimiwa
-
Page 311 and 312:
kubwa mno, heri ukanunue nje ya nch
-
Page 313 and 314:
Mheshimiwa Spika, naomba wananchi h
-
Page 315 and 316:
yake cha Nambonji ambapo Kituo cha
-
Page 317 and 318:
nilivyoeleza, wameonyesha jitihada
-
Page 319 and 320:
kila Mkoa: Je, ni ma-generator mang
-
Page 321 and 322:
Mheshimiwa Spika, mimi namtaka Mhes
-
Page 323 and 324:
Mheshimiwa Spika, naunga mkono hoja
-
Page 325 and 326:
MHE. GOODLUCK J. OLE-MEDEYE. Mheshi
-
Page 327 and 328:
muda mrefu la maji, moja ya sababu
-
Page 329 and 330:
wake, akisaidiana na Ndugu Eliakim
-
Page 331 and 332:
(b) Vijiji ambavyo vilishapeleka ma
-
Page 333 and 334:
mkubwa wa madini, naomba msilegeze
-
Page 335 and 336:
wachimbaji wadogowadogo nchini ili
-
Page 337 and 338:
kuunganisha umeme mjini na vijijini
-
Page 339 and 340:
mbele yetu. Katika hotuba hii yenye
-
Page 341 and 342:
Serikali kuhusu kupelekewa umeme. W
-
Page 343 and 344:
(Iwembele swamps), madini ya dhahab
-
Page 345 and 346:
zimefanyiwa tathmini na baadhi wame
-
Page 347 and 348:
Maendeleo ya Mkoa wa Rukwa hayataku
-
Page 349 and 350:
wawekezaji wafanye prospecting laki
-
Page 351 and 352:
hii muhimu ya madini umekuwa sio wa
-
Page 353 and 354:
Mheshimiwa Spika, nashauri Serikali
-
Page 355 and 356:
Salaam, ni kweli bomba la gesi lita
-
Page 357 and 358:
MHE. IGNAS A. MALOCHA: Mheshimiwa S
-
Page 359 and 360:
Makambako, Njombe hadi Iringa. Njia
-
Page 361 and 362:
mchana, ukomeshwe mara moja na Wiza
-
Page 363 and 364:
Mheshimiwa Spika, mimi ndiye niliye
-
Page 365 and 366:
mengi na ukosefu wa maadili katika
-
Page 367 and 368:
kuelekea Rwangwa, ukipita juu ya vi
-
Page 369 and 370:
Mheshimiwa Spika, sasa ni wakati wa
-
Page 371 and 372:
Mheshimiwa Spika, wananchi wa vijij
-
Page 373 and 374:
tunaambiwa tu kuna sheria fulani la
-
Page 375 and 376:
mgodi wa Murus Endabash Gold Mining
-
Page 377 and 378:
Mheshimiwa Spika, Serikali baada ya
-
Page 379 and 380:
inakauka kutokana na kukosa mvua ya
-
Page 381 and 382:
Mheshimiwa Spika, pili, kasi ya kua
-
Page 383 and 384:
Mheshimiwa Spika, sehemu nyingine a
-
Page 385 and 386:
na Manaibu Waziri wawili (2), naami
-
Page 387 and 388:
sekta ya madini na mfanyie kazi mik
-
Page 389 and 390:
napenda kupata orodha ya vijiji vya
-
Page 391 and 392:
Madini kuwa Tanga kwa Mikoa ya Lind
-
Page 393 and 394:
kwetu? Ni vyema sasa hili lingeanga
-
Page 395 and 396:
Mheshimiwa Spika, eneo la madini na
-
Page 397 and 398:
Mheshimiwa Spika, eneo la Tarafa ya
-
Page 399 and 400:
Mheshimiwa Spika ili nchi hii upone
-
Page 401 and 402:
Mheshimiwa Spika, hata hivyo, kutok
-
Page 403 and 404:
MHE. FELISTER A. BURA: Mheshimiwa S
-
Page 405 and 406:
kwenye Kamati ya Matumizi. Kwa hiyo
-
Page 407 and 408:
wa kazi zangu. Kwa namna ya pekee n
-
Page 409 and 410:
asilimali hizo. Lakini tunazo kodi
-
Page 411 and 412:
Vita hiyo tumeweza kuishinda kwa pa
-
Page 413 and 414:
kwa makampuni ya ndani na kuweza ku
-
Page 415 and 416:
wafidiwe wahamishwe pale na Nyang
-
Page 417 and 418:
tumekwishaliona na tunalifanyia kaz
-
Page 419 and 420:
kuwashukuru Waheshimiwa Mawaziri na
-
Page 421 and 422:
yetu. Kubwa kuliko yote ambalo lime
-
Page 423 and 424:
tunaenda tukiwa very analytical. Tu
-
Page 425 and 426:
wote wa Lindi na Mtwara, Jumatatu,
-
Page 427 and 428:
Mheshimiwa Spika, suala zima la kuf
-
Page 429 and 430:
umeme unapita, tunataka kote kwenye
-
Page 431 and 432:
Mheshimiwa Rachel Mashishanga Rober
-
Page 433 and 434:
Aggrey Mwanri, Mheshimiwa Edward Lo
-
Page 435:
Mheshimiwa Salum Khalfan Barwany, M
-
Page 439 and 440:
Sasa basi kama ni hisa 100 na ninyi
-
Page 441 and 442:
mkataba ambao yeye mwenyewe ana mas
-
Page 443 and 444:
Mheshimiwa Spika, sasa niruhusu nij
-
Page 445 and 446:
marshal plan, hata mkisoma kwenye k
-
Page 447 and 448:
Mheshimiwa Spika, sekta ya madini.
-
Page 449 and 450:
Mheshimiwa Spika, lingine lililouli
-
Page 451 and 452:
kwamba ununuzi wa mafuta sijui umev
-
Page 453 and 454:
tumepeleka lakini hizi za PUMA, fai
-
Page 455 and 456:
Kif. 1001- Administration and HRMan
-
Page 457 and 458:
NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI -
-
Page 459 and 460:
MHE. ESTHER N. MATIKO: Mheshimiwa M
-
Page 461 and 462:
Mheshimiwa Mwenyekiti, labda niseme
-
Page 463 and 464:
Mheshimiwa Mwenyekiti, kingine amba
-
Page 465 and 466:
MHE. AUGUSTINO M. MASELE: Mheshimiw
-
Page 467 and 468:
kwa nguzo mbili kutoka shilingi mil
-
Page 469 and 470:
tunafikiri tulichukue hili tuweze k
-
Page 471 and 472:
mbaya machoni pa wananchi wote amba
-
Page 473 and 474:
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI: Mheshi
-
Page 475 and 476:
3%. Kwa hiyo, nikasema, ili tuipe R
-
Page 477 and 478:
MHE. MAGALLE J. P. SHIBUDA: Mheshim
-
Page 479 and 480:
kuhusu kuweka visima vya gesi vya S
-
Page 481 and 482:
MWENYEKITI: Naomba ujibu kwa kifupi
-
Page 483 and 484:
kwa hiyo, nimhakikishie Mheshimiwa
-
Page 485 and 486:
Makampuni kwamba, kuanzia mwezi Sep
-
Page 487 and 488:
hiyo, nilikuwa Arusha kule na nimes
-
Page 489 and 490:
madhara kiafya. Lakini nilipozungum
-
Page 491 and 492:
huku kwenye mafuta yakishashuka kum
-
Page 493 and 494:
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI: Mheshi
-
Page 495 and 496:
hili kwa kweli jibu lake ni jepesi.
-
Page 497 and 498:
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI: Mheshi
-
Page 499 and 500:
wa Kibunge unaofanana na utaratibu
-
Page 501:
ya Mheshimiwa Vita Kawawa, naridhia