12.07.2015 Views

Kuboresha ufugaji wa kuku - Infonet-Biovision

Kuboresha ufugaji wa kuku - Infonet-Biovision

Kuboresha ufugaji wa kuku - Infonet-Biovision

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Toleo la 7 Julai, 2012Anza mapema ili kuwa na mitamba yenye afyaUangalizi wa karibu kwa mahitaji yalishe ya mtamba wako, unakuhakikishiauzalishaji wa maziwa akiwa naumri mdogo.Neema MbisseUnafahamu kwamba inagharimunini kumfanya mtamba kuzalishamaziwa? Na je unafuatilia maendeleoya mtamba wako ili kuhakikishamfumo wa ulishaji unakusaidia kufikialengo hili? Kama jibu ni hapana, basini wakati wako kuingia ulingoni nakupata ufahamu.Wafugaji wengi wanaamini kuwahaigharimu chochote kuwafugamitamba kwenye malisho. Lakinikulisha mitamba uwandani hakutoshelezikuwapatia virutubisho vinavyohitajika,na itakapofikia wakati wakumpandisha mbegu, itakugharimukuliko unavyodhani, tofauti na kuwaungezingatia matunzo ya mtambawako tokea mwanzo.Mtamba aliyetunzwa vizuri anakuwana afya nzuri na kuweza kuzaa katikaumri wa miezi 24. Hii inamaanishakuwa atazalisha maziwa mapema,kurudisha gharama na kumpatia faidamfugaji.Wafugaji hawazingatii vigezo vyotevinavyochangia gharama za ufugajiwa mitamba wa maziwa. Gharamahizo ni pamoja na chakula cha virutubisho,majani (ikiwa ni pamoja nauwanda wa kuchungia), nguvu kazi,gharama za daktari wa mifugo, bandana malazi, ulishaji na maji.Kwa kawaida wafugaji huondoagharama hizo na kuzifanya kamani sehemu ya ng’ombe, lakini inatakiwakuhesabu gharama hizo pekeyake. Kwa kiasi kikubwa, mafanikioau kutofanikiwa kwa mtamba hutokanana matunzo katika kipindi chamiezi miwili ya mwanzo tangu kuzaliwa.Mazingira ya kuzalia ni muhimusana, na kama inawezekana ng’ombeatengewe sehemu safi ya kumdondosheandama wakati wa kuzaa.Umuhimu wa maziwa ya awali(dang’a)Dang’a ni maziwa ya awali anayotoang’ombe baada ya kuzaa, hikini chakula muhimu kwa ndama.Dang’a ina virutubisho muhimuambavyo hujenga mwili na kusaidiammeng’enyo wa chakula tumboni, nakujenga kinga ya mwili.Dang’a ni muhimu sana, na ni lazimandama apewe kwa njia sahihi. Kingaya mwili hutumika kwa haraka sanandama anapozaliwa, hivyo ni muhimukupatiwa maziwa ya awali kwa harakandani ya saa nne toka kuzaliwa.Maziwa ya awali ni muhimu kwakuwa pia hupunguza vifo vya ndama,na vifo kuongezeka kwa ndama ambaohawakupatiwa maziwa ya awali.Unapofanya hesabu ni kiasi gani chadang’a kinachohitajika kwa ndama,makadirio mazuri ni kumnyweshandama 4%-5% ya uzito wake. Kwakawaida, inashauriwa ndama kupatadang’a lita 2 mara mbili kwa siku.Siyo mnene sana, na wala hajakondasanaKumpatia ndama vyakula vya kutianguvu ni muhimu. Ni lazima uhakikishekuwa wana nguvu ya kutoshakukua, na kumfanya awe na joto lakutosha muda wote. Uwezo wa mwiliwa ndama kuvunja vunja kemikalimwilini na kuujenga mwili unakuwa nimkubwa sana katika siku za mwanzoza maisha yake. Baridi na mazingiramapya husababisha uhitaji zaidi wanguvu.Inashauriwa kulisha ndama kwavyakula vyenye virutubisho vya haliya juu, vyakula vya mwanzo vyenyeprotini kwa wingi (21% ya protini). Hiiinaanza toka ndama kuzaliwa mpakawiki mbili baada ya kuachishwa kunyonya.Lisha chakula cha mwanzo(Kiasi cha protini 18%) kuanzia miezimitatu mpaka sita, ikifuatiwa nachakula cha kukuza (protini 16%) kilo3 kila siku kwa miezi 12. Kuanzia hapona kuendelea protini 17%, inapendekezwakiwangocha kilo 2.5kwa siku. Kiasikinaweza kubadilikakulinganana hali yandama.Mtamba anatakiwakukomaana kufikia 90%ya uzito wakekabla ya kuzaa.Kuna uhusianomkubwa katiya uzito nauzalishaji wamaziwa katikauzazi wa mwanzo. Kadri mtambaalivyo na uzito, ndivyo uzalishaji wamaziwa utakavyokuwa mzuri.Kuwa makini: Kushinikiza ukuajiili ndama wawe wanene hupunguzaurefu wa maisha na uzalishaji. Kwaupande mwingine, mtamba mwenyeumbo dogo atakuwa na uzalishajimdogo na wanapata matatizo wanapozaa.Miezi minne mpaka tisa, ni hatuamuhimu sana ya ukuaji wa ndama.Ndama akinenepa sana, husababishaupungufu wa chembe chembe zaalveola ambazo zinahusika na uzalishajiwa maziwa.Kupima ni kufahamuNi muhimu kufuatilia maendeleo yamtamba wakati wote. Hii itasaidiakuepuka kupata mtamba mnene sana,au aliekondeana. Jaribu kufuatiliauzito na urefu wa mtamba kila mwezi.Baadhi ya wafugaji hawapimi, lakiniwanawaelewa wanyama wao kwakuwatazama, na kuweza kubaini kwaharaka kunapokuwa na tatizo. Endapomtamba anahitaji virutubisho, hakikishaanapata ipasavyo. Wasiwe wanenezaidi, lakini wawe katika hali nzuri.Kama ni gharama kufuga mitamba, nigharama zaidi kutowatunza vizuri.

Toleo la 7 Julai, 2012Vitunguu, kiungo cha chakula chenye faidaAyubu NnkoHapo awali kitungu kilikuwa ni zaolililokuwa linapatikana porini katikaukanda wa bahari ya Mediterania.• Zao hili hulimwa katika nchi nyingiza magharibi, nchi za milima zilipokaskazini mwa dunia, likwemo barala Afrika.• Vitunguu hustawi katika hali yahewa ya jotoridi 13°C - 24°C, haliya hewa inayofaa kwa kuotesha nakukuzia miche kwenye kitalu ni jotoridi20°C - 25°C.• Kwa kawaida vitunguu huhitaji kiasicha joto nyuzi 20°C-25°C ili kuwezakustawi na kukua vizuri. Joto zaidi yahapo hufanya vitunguu kudumaa nakutoweza kutengeneza viazi (bulbs).MatumiziKitunguu hutumika kama kiungo chakuongeza ladha kwenye chakula, napia hutumika kama dawa ya kansa yatumbo, vidonda na majipu.UstawiZao la vitunguu hustawi katika udongowa tifu tifu wenye mbolea ya kutosha,ukiwa na uchachu wa udongo (PH)kiasi cha 6 - 6.8.Udongo wa mfinyanzi haufai kwa zaoKuna aina nyingi za waduduwanaoweza kushambulia vitunguu.Hawa wafuatao ni baadhi ya waduduwaliozoeleka kwenye zao la vitunguu.Thiripi (Thrips): Wadudu hawa hukaakwenye jani sehemu inayokutana nashina. Wadudu hawa hufyonza majikwenye majani ya vitunguu na kusababishamajani kuwa na doti nyeupe.Madhara: Husababisha vitunguukudumaa hivyo kuathiri ukuaji wakejambo ambalo huathiri mavuno pia.Kimamba: Wadudu hawa hufyonzamaji kwenye vitunguu, na kusambazaugonjwa wa virusi. Husababishakudumaa kwa vitunguu. Waduduhawa ni hatari zaidi kwa kuwa husambazavirusi vinavyoingia hadi kwenyembegu.Minyoo fundo (Nematodes): Ainahii ya minyoo hushambulia miziziya vitunguu. Hali hii husababishakudumaa kwa vitunguu kwa kuwahushindwa kufyonza maji na chakulakutoka ardhini.Vidomozi (Leaf minor): Hushambuliamajani kwa kujipenyeza kwenyengozi ya jani na kusababisha michoroambayo huathiri utendaji wa majani.Utitiri mwekundu (Red spider mites):Wadudu hawa hufyonza maji kwenyemajani na kusababisha vitunguu kunyauka.Funza wakatao miche: Funza hawahutokana na wadudu wajulikanaola vitunguu kwa kuwa hauruhusuviazi vya vitunguu (bulbs) kutanuka.Hivyo uwezekano wa kupata mazaoni mdogo. Pia udongo wa kichangahaufai kwa zao la kitunguu kwa kuwahauna mbolea na hivyo vitunguu huwavidogo sana, jambo ambalo ni vigumukupata mazao yanayofaa kwa soko.Zao la kitunguu huhitaji unyevu mudawote wa ukuaji wake. Zao hili linamizizi mifupi hivyo linahitaji kumwagiliwamaji mara kwa mara.Aina za vitunguuKuna aina mbili za vitunguu ambazozimezoeleka;• Vitunguu vya asili kama vileSingida, na Rujewa (aina hii ina rangiya kahawia iliyopauka),• Chotara: Hii ni aina ya vitunguuinayojulikana kama vitunguu vyakisasa. Katika kundi hili kuna vitunguukama Texas grano, Red creole,Bombay red, White granex, na Super rex.MgawanyikoZao la vitunguu limegawanyika katikamakundi mawili. Hii inatokana nauhitaji wa mwanga na ukuaji wake.Aina ya kwanza inahitaji mwanga kwasaa 8-13 ili kuweza kuchanua na kutoambegu.Aina ya pili inahitaji mwanga kwasaa 13-15 kuweza kuchanua na kutoambegu.KupandaVitunguu hupandwa kwa kutumiambegu ambazo husiwa kwenye vitalu.Kitalu kinaweza kuwa na upanawa mita 1, urefu unategemeana naukubwa wa eneo ulilo nalo.Unaweza kupanda vitunguu kwenyematuta mbonyeo (Sunken bed). Aina hiiya upandaji hutumika kwenye eneolenye shida ya maji. Upana wa tutauwe mita moja.Kupanda kwenye matuta mwinuko(Raised bed) upandaji wa iana hii hutu-Wadudu wanaoshambulia vitunguuKimambaThiripikama Nondo, na hushambulia shinana kulikata kabisa.Namna ya kukabiliana nawadudu hawaUnaweza kukabiliana na waduduhawa kwa kufanya kilimo cha mzunguko.Usioteshe vitunguu sehemumoja kwa muda mrefu, au kufuatanishamazao jamii ya vitunguu kamavile leaks.Tumia mbegu bora zilizothibitishwakutoka kwenye kampuni zinatambuliwakisheria na kibiashara.Kupanda kwa wakati unaotakiwa; vitunguuvisipandwe wakati wa kiangazi. Vipandwewakati wa majira ya baridi na kuvunwawakati wa joto.Tumia dawa za asili za kuulia wadudu,au dawa nyinginezo zinazopendekezwa nawataalamu wa kilimo.Magonjwa yanayoshambulia vitunguu1. Purple blotch: Ugonjwa huu husababishwana ukungu (fungus). Ugonjwahuu husababisha mabaka ya zambarauna meusi katika majani ya vitunguu.Ugonjwa huu hutokea wakati waunyevu unyevu mwingi.Madhara: Ugonjwa huu hupunguzamavuno mpaka asilimia hamsini (50%).2. Stemphylium leaf blight: Hukaushamajani kuanzia kwenye ncha hadiokwenye shina.; Ugonjwa huu hutokeawakati wa unyevu na ukungu mwingi.Madhara: Hupunguza mavuno hadi

kwa mkulimamika sehemu yenye maji mengi auyanayotuama.Tahadhari: Maji yakituama kwenyevitunguu hufanya vitunguu kuoza,hivyo kuathiri mavuno.NafasiVitunguu vipandwe kwa nafasi ya sentimita7.5 kutoka mche hadi mche, sentimita12.5 kutoka mstari mmoja hadimwingine kwenye matuta.Mbole ya kupandiaUnaweza kutumia mboji, au samadiiliyo oza vizuri kupandia. Baada yahapo unaweza kuongeza mboji baadaya miezi miwili.Toleo la 7 Julai, 2012Endapo unafanya kilimo kisichozingatiamisingi ya kilimo hai, unawezakupanda kwa kutumia mbolea ainaya NPK (20:10:10) baada ya mwezi nanusu, unaweka mbolea ya Urea.PaliziVitunguu ni zao lenye uwezo mdogosana wa kushinda na magugu. Hivyo,inabidi shamba liwe safi muda wotewa ukuaji hadi kuvuna.UvunajiKwa kawaida, vitunguu huchukuamuda wa miezi 5-6 tangu kupandwahadi kuvunwa. Unaweza kuanzakuvuna vitunguu baada ya asilimia75 ya shingo za vitunguu kuvunjika.Baada ya kuvuna, unaweza kuwekakwenye madaraja (grades) kwa kufuataukubwa, rangi na unene wa shingoya kitunguu. Vitunguu vyenye shingonyembamba hudumu zaidi, vyenyeshingo nene huoza haraka.UkatajiHakikisha kuwa shingo ya kitunguuinabaki kiasi cha sentimita 2. Hiihusaidia kuzuia kuoza haraka.Namna ya kuhifadhi vitunguuBaada ya kuvuna, hifadhi vitunguukwenye kichanja chini ya kivuli na uvitandazevizuri.Unaweza kuhifadhi vitunguu kwakufunga kwenye mafungu na kuvitundika.Vitunguu vikihifadhiwa vizurivinaweza kukaa hadi miezi minne bilakuharibika, hii hutegemeana na ainaya uhifadhi.Kwa maelezo zaidi wasiliana naBwana Suleiman Mpingama mkufunzina mtaalamu wa mazao kutoka chuocha kilimo Tengeru. Unaweza kutumianamba +255 756 428 877Vitunguu vinalipaOnion yellowdraft viruskwa asilimia sabini na tano (75%).3. Magonjwa ya virusi (Onionyellow draft virus): Ugonjwahuu husababisha vitunguu kuwana rangi iliyochanganyika, kijanina michirizi myeupe au njano.Vitunguu hudumaa kwa kiasikikubwa;Ugonjwa huu husababishwana kimamba.Madhara: Huathiri mavuno kwaasilimia 80 mpaka asilimia 100%.4. Kuoza kwa kiazi (Bulb rot): Husababishwana fangasi. Ugonjwa huuhutokea vitunguu vikishakomaa,huku udongo ukiwa na maji maji.Vitunguu vikishakomaa visimwagiliwetena.Uharibifu wa vitunguu usiotokanana magonjwa1. Kuchipua baada ya kuvunwa:Hali hii hutokea endapo vitunguuPurple blotchvitavunwa kabla ya muda wake.Endapo vitunguu havitakaushwavizuri baada ya kuvunwa. Halihii husababisha uharibifu mpakaasilimia themanini (80%).Sehemu ya kukaushia vitunguuiwe na hewa inayozunguka namwanga wa kutosha. Vitunguuvikiwekwa gizani huchipua kwaurahisi.2. Muozo laini (Soft rot): Ugonjwahuu hushambulia vitunguu baadaya kukomaa; husababishwa navimelea (bacteria). Vitunguu hutoaharufu mbaya ya uozo.Kuepuka hilo vuna kwa wakatiunaofaa, hifadhi sehemu yenyemwanga na hewa inayozunguka.VirusiUnaweza kuzuia vimamba ambaondio wanaoeneza virusi kwa kutumiadawa za kuulia wadudu.“Vitunguu vinatofauti kidogo namazao mengine ya mboga mbogakwa kuwa si rahisi kukosa soko, naendapo bei si nzuri unaweza kuhifadhikwa muda ili kusubiri bei iwenzuri.”Ni maneno ya mkulima PenielRodrick (pichani) ambaye amejikitazaidi katika kilimo cha vitunguu kibiashara.Mkulima huyu kutoka kijijicha Oloigeruno anasema pamojana kwamba anazalisha pia mazaomengine, lakini ameamua kujikitazaidi kwenye vitunguu baada yakugundua siri na namna ya kupatafaida zaidi.Toka aanze kilimo cha vitunguumiaka 12 iliyopita, ameweza kuendeshamaisha yake vizuri, ikiwa nipamoja na kuanzisha miradi minginekama ufugaji wa ng’ombe, kujenganyumba ya kisasa na kuitunza familiayake ya watoto watatu ipasavyo.Pamoja na hayo anasema tatizokubwa la vitunguu ni magonjwana wadudu. Anasema si rahisi sanakugundua mara moja kuwa kunaugonjwa unaoshambulia vitunguu,na mara unapogundua unakuwaumefikia kwenye hali mbaya.

Toleo la 7 Julai , 2012Namna ya kuboresha ufugaji wa kukuUfugaji wa kuku wa kienyeji unawezakuimarika kupitia uzalishaji na utunzajisahihi.John CheburetWafugaji wengi wa Tanzania wanafugakuku wa kienyeji. Ndege hawa kwakawaida wanafugwa sehemu za vijijiniambapo wanaachiwa huru kuzurura.Kuna uwezekano mkubwa sana wakizazi kujirudia kwa kuwa jogooanaweza kumpanda mtetea ambayealitokana naye, au kumpanda mteteaambaye wamezaliwa pamoja. Kuzalianakwa namna hiyo kunasababishamatatizo makubwa, ikiwa ni pamojana kudumaa, kupunguza uzalishajiwa mayai, kuwa na vifaranga dhaifuambavyo ni rahisi kushambuliwana magonjwa, na mengineyo mengiyasiyokuwa ya kawaida. Ufugaji huruambao una udhibiti ni muhimu sanaili kuepuka kizazi kujirudia. Kukuwanaweza kuwekwa kwenye makundina kuachiwa kwa makundi ili kuzuiauwezekano wa kuzaliana kwa kizazikimoja.Mfugaji anayetaka kufanikiwa katikaufugaji wa kuku wa kienyeji ni lazimaachanganye mbinu za kienyeji na zakisasa. Hii inajumuisha njia zifuatazo:Kuchagua aina/mbeguKuchagua mbegu inamaanisha:Mtetea au jogoo mwenye ubora wahali ya juu , akiwa na sifa kama uzalishajiwa juu wa mayai au uzalishajiwa nyama, wanachanganywa na ainamfugaji alionayo, au kuboresha mbeguambayo ni dhaifu. Kuna makundimatatu ya aina za kuku.• Kuku wenye umbo dogo ni wazurizaidi kwa uzalishaji wa mayai.• Kuku wenye umbo kubwa niwazuri zaidi kwa uzalishaji wanyama.• Mbegu iliyochanganywa ni nzurikwa uzalishaji wa mayai na nyama.Endapo mfugaji anataka kufuga kukukwa ajili ya mayai, basi anawezakuchanganya mbegu ya kienyeji aliyonayona mbegu yenye umbo dogoambao wana historia nzuri ya uzalishajiwa mayai, na kama anataka kuzalishakwa ajili ya nyama, basi anawezakuchagua wenye umbo kubwa. Naambae anahitaji kwa ajili ya mayaina nyama, basi anaweza kuchanganyambegu.Chagua mbegu kwa umakiniWafugaji wenye uzoefu huchanganyambegu tofauti ambazo zina ubora nasifa maalumu, kama vile uwezo wakukabiliana na magonjwa, ukubwa wamayai, umbo, na kiasi cha chakulawanachohitaji.Vigezo vifuatavyo vinaruhusu uchaguzisahihi;1. Mtetea au jogoo kati ya kilo 1mpaka 2, anahesabiwa kuwakwenye kundi la umbo dogo.2. Kuku wote wenye uzito wa kilo3 au zaidi wanahesabiwa kwenyeumbo kubwa.Kuku wenye kilo 2 mpaka 3 wanahesabiwakuwa mbegu mchanganyiko(Chotara).Uzalishaji mzuri wa kuku ni pamojana kuhakikisha kuwa, kila baadaya mzunguko mmoja, jogoo anabadilishwa,au kuku wote pamoja namayai yake wanauzwa na kuleta ainanyingine ili kuzuia kizazi kujirudia.Ruhusu jogoo mmoja kuhudumiakuku 10 tu. Mfugaji pia anawezakuzuia uwezekano wa kizazi kujirudiakwa kuweka kumbukumbu rahisi,kwa mfano, unaweza kuweka viota nakufahamu ni kuku yupi yupo kwenyekiota kipi na kwa muda upi.Kumbukumbu ni muhimuUwekaji wa kumbukumbu ni lazima!Kumbukumbu humsaidia mfugajikufahamu kizazi na tabia za kila kukuambaye amechaguliwa kwa ajili yauzalishaji, kiasi kwamba anawezakuelezea kuhusu kila kuku aliye nayebandani, kwa kuzingatia uzalishaji wamayai na nyama.Tahadhari : Ugonjwawa mahindiunaosambaa kwa harakaMahindi ni chakula kinachohitajikana kutegemewa sana na Watanzaniana Wakenya. Nchini Kenya, zao hililinakabiliwa na hatari ya ugonjwaambao unasambaa kwa kasi sana.Ugonjwa huo unapunguza uzalishajikwa kiasi kikubwa, unasababishwa namchanganyiko wa virusi, uliripotiwakugundulika kwa mara ya kwanzamwezi wa tisa mwaka jana nchiniKenya katika wilaya ya Bometi, mkoawa Bonde la Ufa. Ugonjwa ulisambaakwa kasi katika wilaya za jirani,na hivi sasa ugonjwa huu umesambaakatika maeneo yote yanayolimamahindi nchini Kenya.Utafiti wa kisayansi uliogunduliwana KARI-NARL, kutoka chuokikuu cha Ohio nchini Marekani naFERA kutoka Uingereza umebainishakuwa ugonjwa huu unasambazwa namuunganiko wa virusi, mmoja waoakiwa kirusi ajulikanae kama ChloroticMottle Virus (MCMV), kirusi ambayehakuwahi kuripotiwa kuwepo nchiniKenya wala Afrika ya Mashariki hapokabla, pamoja na kirusi aina ya SugarcaneMosaic (SCMV), ambao kwapamoja wakiungana wanasababishaugonjwa wa mahindi unaojulikanakama Maize Lethal Necrotic disease(MLN).Utafiti unaonesha kuwa ugonjwahuu unasambazwa kwa njia yambegu, na wadudu wa mahindi kamavile Vithiripi, Nondo, Minyoo wamizizi, na aina nyingine za waduduwanaosambaa kwenye eneo ambalohalijaathirika.Aina zote za mahindi zinazopandwakwenye eneo ambalo limeathiriwazina athiriwa na ugonjwa huu jamboambalo linapunguza chaguo la wakulimakatika eneo ambalo limeathirika.Nchini Kenya vituo vya utafiti vimetengamaeneo mawili ya utafi ambayoni Naivasha na Bometi, ili kuangaliauwezo wa aina tofauti za mahindikukabiliana na ugonjwa huo.Hima wakulima na watafiti nchiniTanzania kuchukua tahadharimapema kuweza kukabiliana naugonjwa huu.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!