Chakula Kwa Elimu: ni Nini? - Tanzania Education Network ...

Chakula Kwa Elimu: ni Nini? - Tanzania Education Network ... Chakula Kwa Elimu: ni Nini? - Tanzania Education Network ...

Issue12_3_col Swa1.pdf 1 11/19/09 9:35 AMElimu Yetu/Chakula Kwa Elimu: ni Nini?Kurasa 2wasichana wanaondokakatika mfumo wa shule.Mpango wa chakula kwaelimu (Food ForEducation—FFE)umeongeza uandikishajiwa wasichana kwa 28% nawa wavulana kwa 22%Nchini Tanzania ugawajiwa chakula shuleniumeongeza mahudhurio yakawaida ya wanafunzi.Kiwango cha mahudhuriokatika shule za msingizilizo katika mpango waChakula kwa Shulekimeongezeka 79% kwawavulana na 76% kwawasichana katika mwaka2003; 80% kwa wavulanana 82% kwa wasichanakatika mwaka 2006Ongezeko la mahudhuriokwa mwaka 2003 hadi2006 imekuwa 1% kwawavulana, 6% kwawasichana. Chakula chashule kimesaidia piakupunguza kiwango chawanafunzi wanaoachashule. Nchini Tanzaniakiwango cha wanafunziwanaoacha shule katikashule zilizo chini nimpango ya Chakula kwaShule kimepungua: Mwaka2003 kwa 60%, na 2004kwa 3.5% Pia kunaushahidi madhubuti kuwachakula kinasababishakuboresha matokeo yamasomo.Wanafunzi waliopewachakula cha mchanashuleni kwa miaka miwiliwamekuwa na matokeomazuri mwisho wamafunzo kwa ongezeko lakipimo cha idadi (IQ) laalama 3.8 zaidi ya waleambao hawakupewachakula cha mchanashuleni. Kumekuwa naongezeko la alama 11katika mazoezi ya hisabatiyaliyoidhinishwa. Pia kunamanufaa mengine katikajamii yatokanayo hudumaya chakula shuleni. Katikamaendeleo ya wananchi,chakula cha shulekinalazimu uzalishaji kwawakulima wadogowadogo. Nchini Brazili50% ya bajeti ya fedhakwa ajili ya wakulimawadogo inatumikakununua chakula katikangazi ya manispaa nawilaya. Uwezeshaji wajamii pia unongezeka.Chakula cha shulekinakuwa kama chachukwa asasi za jamii katikausindikaji na upishi. Piakunaonyesha uhai zaidikwa chama kikuu chawalimu (Parent TeachersAssociation)kilichoshawishikakushirikishwa katikausimamizi wa mpango waChakula kwa Shule.Chakula cha shulekinakuwa pia ni mahali pashughuli za afya na lishe(The Essential Package).Kanuni ambayo chakulacha shule inahimiza nikwamba kuwe na chakulasalama, chenye lishe, majisafi, usafi unaotakiwa,bustani za shule, namazingira safi ya afya yashule. Kwa muhtasarivipengele vya mafanikioya mpango wa chakulakwa elimu wa WFP nikama vifuatavyo:Kunahitajika sera kamilikuhusu chakula cha shule.Kuweka vigezo vyamafanikio vinavyokuwakama malengo mahususikwa wote wanaohusika.Mkabala wa Awamu(Phased Approach) ambaounahusisha ahadi zaserikali zinazohusishawizara mbalimbali,mchango wa jamii nakununua kwa kuhisishasekta binafsi. Kuna namnambalimbali za mpango huokama vile Mkabala waAwamu Umuhimu kujengauwezo (Botwana, CIV),ngazi za juu na za jamiikushirikishwa tangumwanzo (Namibia), NchiniSwaziland wazazi wanatoamchango wa fedha taslimu.Nchini El Salvador, wazaziwanajitolea kwa hali nachakula cha nyongeza,wanajitokeza kufanyakaziya kutayarisha chakula,ugawaji na kujitolea kuni.Gharama WFP inatoachakula kwa kiasi cha 3%ya watoto wa shule zamsingi nchini Tanzaniagharama ya kumlishamtoto (kwa kuzingatia beiza sasa za chakula kuwa zajuu) ni senti 16 (Tshs.192)kwa siku, au Dola zaMarekani 31 (Tshs.37,000) kwa mwaka.Kuwalisha kiasi chawatoto 285,000 katikamaeneo yasiyo na uhakikawa chakula kwenye wilaya13 za Tanzaniakutagharimu Dola zaMarekani 8.8 milioni.

page 4.pdf 1 11/19/09 10:32 AM

Issue12_3_col Swa1.pdf 1 11/19/09 10:35 AM

Issue12_3_col Swa1.pdf 1 11/19/09 10:18 AM

Issue12_3_col Swa1.pdf 1 11/19/09 10:14 AM

Issue12_3_col Swa1.pdf 1 11/19/09 10:36 AMJuzuu ya 3: Toleo 12Kuhusu TEN/METDira, Dira ya TEN/MET ni Tanzaniaambayo watu wote na hasa watotowanafurahia upatikanaji na ushirikishwajiwa kweli katika fursa za kujifunza,ili waweze kufikia kilele cha uwezo waona kuishi maisha bora na jumuishiDhamiraDhamira ya TEN/MET ni kufanya kazipamoja na asasi zisizokuwa za kiserikali(NGOs), asasi za kidini (FBOs), Asasiza kijamii (CBOs) katika ushawishi nautekelezaji wa sera ya elimu ili kukuzadhana ya uwajibikaji wa jamii, kuhakikishafursa sawa ya kujifunza kwa watuwote bila ubaguzi.Malengo/MadhumuniWadau wa elimu (Mitandao ya wilaya,CBOs, NGOs za nchini, wanafunzi naviongozi wa wilaya) wanashiriki katikamikutano mbalimbali kudai mwitikiomkubwa zaidi na uwajibikaji katikautekelezaji wa sera za elimu kuhakikishaupataji sawa wa elimu ya msingi kwawote nchini Tanzania.ShughuliTitashirikiana na wadau kushughulikiachangamoto kwa kushawishi sera zaelimu kwa njia ya: Mawasiliano na upashanaji wa habari Kujenga uwezo Mijadala kuhusu sera na utetezi na Kufuatilia athari ya sera katika ngazi yawilaya.TEN/MET inafanya jitihada ya kuhakikishakuwa inakidhi matarajio ya wanachamawake. Huu ni mchakato ambapoTEN/MET haina budi kuweka njia zamawasiliano zinazoeleweka ili mahitajiya jamii yaweze kuingizwa katika mfumowa utungaji sera na watu wawezewanapata elimu. EN/MET Katika kufanyahivi, TEN/MET haina budi kudumishaubia wake na serikali na wabia wamaendeleo (wahisani) ili kujenga uaminifu,kutambuliwa na kujiamini,TEN/MET haina budi kuweka uhusianomzuri katika ngazi zote na serikali nawahisani wakati huo huo kudumishamtazamo wetu wa kuchukua msimamowetu katika masuala ya kutoelewana aukutokubaliana.Kurasa 9

Issue12_3_col Swa1.pdf 1 11/19/09 9:56 AMISSN 18327362

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!