Hadithi ya Carol Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Carol Utambulisho - Raising Voices Hadithi ya Carol Utambulisho - Raising Voices

raisingvoices.org
from raisingvoices.org More from this publisher

Hadithi ya CarolUtambulishoA1

UtambulishoJina langu ni Carol, na nina umri wa miaka 16. Ninaishi maeneo ya kijijini ambako umeme hautabirikimacho makubwa ya kupendeza, na midomo iliyojaa, lakini niliugua ugonjwa wa polio nilipokuwa nawatoto wengine wakicheza na kukimbia huku na huko, mimi nilitambaa na kuachwa nyuma. Baadhimiguu yangu chini. Sikuweza kufurahia utoto kama inavyotakiwa, badala yake nilitumia masaa mengikufuma, ufundi stadi na kujifundisha mwenyewe kusoma.Nilijaribu kusoma shuleni pamoja na ndugu zangu lakini ilikuwa mbali sana kiasi kwamba karibu hatajambo lililonifanya nisiendelee na elimu yangu baada ya shule ya msingi.Watu wanaponitazama, wanachokiona sana sana ni ulemavu wangu tu, lakini na mimi nina ndotonajitahidi tu kupata manufaa ya siku…Hadithi ya Carol B1

Hadithi ya CarolUkatili Watokea 1A2

Ukatili Watokea 1kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Unapenda kukaa kwenye baraza la mbele ya nyumba kupataunashtuka kumuona aliyepo mlangoni, ni kijana mwenye tabia mbaya unamfahamu anakaa maeneoya jirani anaingia ndani, anakukanyaga kwa mguu, anabamiza mlango na kuufunga kwa komeo nyumayake. Kabla hujajua kinachoendelea, anakunyenyua na kukubeba akikupeleka kwenye moja ya vyumbaUnajaribu kupiga kelele lakini anakuziba mdomo kwa kukubana kwa mikono yake. Amekubana chini kiasikwamba hata mikono yako yenye nguvu sana haiwezi kumsukuma. Anafungua suruali yake, anakuvuawa kitendo hiki unaonekana kama kitambo kirefu sana. Anakukaba shingo na kukuonya usimwambieni kama dakika moja tu imepita unahisi ni kitu cha maishani. Unasikia mlango umebamizwa tena naunaanza kulia kimyakimya bila kujizuia. Kamwe hutabaki kama awali.Unapogundua kwamba una mimba miezi michache baadaye, hujui ujielezee jinsi gani kwa wazaziwako. Mama yako ameshtushwa na amekasirika na baba yako anakuita wewe kahaba, anasemawewe na mtoto wako mtarajiwa na hivyo wanakwambia ni lazima uhame nyumbani haraka kadriinavyowezekana.Ikiwa unaamua kwenda kukaa na dada yako mkubwa aliyeko mjini, nenda kwenye Familia nauchukue kadi namba 1.Ikiwa unawaomba wazazi wako wakuruhusu ukae nyumbani mpaka mtoto azaliwe, nenda kwenyeKurudi Nyumbani na uchukue kadi namba 1.Hadithi ya Carol B2

Hadithi ya CarolFursa 1A5

Hadithi ya CarolUkatili Watokea 2A6

Ukatili Watokea 2“Nini? Hapana, haiwezekani lazima kuna kosa hapa. Watu kama wewe hawawezi kushika mimba,”utafurahia. Tungeweza kuishi maisha mazuri pamoja…” tabasamu lako linapotea.“Umerukwa na nini Carol?” anauliza. “Siwezi kamwe kukuoa wewe! Wala hakuna hata mtuanayepaswa kujua kuhusu uhusiano wetu!” Ibrahim anasukumiza mbali chakula chake na kusimama.uhusiano wetu, naapa, nitakataa kila kitu.” Anatoka nje haraka bila kusema neno jingine. UnahisiHumwambii mtu yeyote kuhusu mimba yako lakini tumbo linapoanza kutuna, dada yako anatakaHadithi ya Carol B6

Huduma za Matibabu 1Unajaribu kumpigia simu Ibrahim tena na tena. Hapokei simu tena na unapokwenda mjini karibuatarudi.Maumivu ya uchungu yalipoanza ambayo kwa sasa siyo mageni tena kwako, unamuomba dadachako cha magurudumu, na unabingirika mbali zaidi kwenye kona ukiwa unalalamika kwa maumivu.kwenye chumba cha wanawake wengine wenye hali kama yako. Hakuna faragha, na unaweza kusikiabaadhi ya kina mama na manesi wakikuzungumzia.Uchungu unapoongezeka, daktari anakuja kukuandaa kwa ajili ya kuzaa kwa kupasuliwa. Unapomuulizani nini anachofanya, anakwambia kwa sababu huwezi kusukuma, utapasuliwa. Unaghadhabika nakudai unaweza kusukuma kama mwanamke mwingine yeyote na kwamba mtoto wako hatolewitumboni kwa kupasuliwa. Daktari anawaita manesi kuja, huku akicheka, anawaonesha kwambajinsi ulivyojifungua mtoto wako wa kwanza ndipo daktari anakubali kukuacha ujaribu kusukuma. Anamashaka kama mwili wako unaweza kuhimili maumivu na anasema wewe ni mbishi tu.Unajaribu kumpigia simu Ibrahim ili umpashe habari hizi njema, lakini simu yake inaonekana haikohewani.Ikiwa unaamua kutafuta kazi ili upate pesa, nenda kwenye Kazi na uchukue kadi namba 1.Ikiwa unahitaji muda kidogo ili upone vizuri baada ya kujifungua, nenda kwenye Songa Mbele nauchukue kadi namba 1.Hadithi ya Carol B7

Hadithi ya CarolKazi 1A9

Kazi 1Maisha ukiwa na mtoto mdogo ni magumu sana, na unahitaji sana kuwa na kazi. Tangu Ibrahimakuache, unajihadhari na madereva taksi na badala yake unaendesha mwenyewe kwenye mitaayenye shughuli nyingi. Unapita magenge mengi yakiuza vitu mbalimbali na unaanza kuyafuata mojabaada ya jingine, ukiuliza kama unaweza kupata kazi yoyote ya ziada unayoweza kufanya.Baadhi ya wamiliki wa magenge wanakucheka hata kabla hujauliza, wengine wanakupuuza, nawengine hata wanakufukuza kabisa. “Kazi gani ambayo huenda unaweza kufanya?” mtu mmojakupindukia kwenye magari lakini unawahi kushikiria breki kabla hujapata ajali.Unajihisi umeshindwa kabisa na unawaza kama ni kweli hufai kwa lolote kama jinsi mama yakounataka kukataa msaada wake kununua chakula, lakini anakusimamisha. Anaeleza kwamba alikuwaanatazama jinsi walivyokuwa wanakutendea wale watu, na kwamba yeye ana duka dogo la mamboya ufundi ambapo anashona vikapu na kutengeneza vitu vingine vya ufundi mdogo mdogo.Anasema kipato sio kikubwa lakini anakukaribisha uungane naye. Unakubaliana na msaada wakeHadithi ya Carol B9

Hadithi ya CarolShirika Lisilo laKiserikali 1A10

Shirika Lisilo la Kiserikali 1kadhaa kuelekea mlango wa mbele. Unamuomba mlinzi akusaidie, lakini anasema hawezi kuondokaeneo lake la kazi lakini badala yake anapiga simu, na anakwambia kuna mtu atakuja kukusaidia mudasi mrefu.na misaada au kupata kazi. Unakwambia umfuate na anatembea kushuka kwenye ushoroba kwaujikumbushie kutambaa sakafuni na unainamisha kichwa kwa mateso hayo.wanaweza kukutolea huduma za rufaa tu, na sio msaada wowote wa kifedha kusaidia watu “kamakwamba anawajua wanawake walemavu ambao wanaendesha kikundi kidogo cha ufundi stadi.Nenda kwenye Kazi na uchukue kadi namba 2.Hadithi ya Carol B10

Hadithi ya CarolKazi 2A11

Kazi 2Unahisi kukata tamaa baada ya kutembelea Shirika Lisilo la Kiserikali, kiasi kwamba unakosa nguvukwa kitambo kidogo. Lakini dada yako anaendelea kukubughudhi na unapotazama hali ya watotouendelee kutafuta kazi.mmoja anayeonekana kuwa ni mkarimu anayetumia magongo kutembea anakusogelea na kukuulizaikiwa unahitaji akusaidie kupata kitu fulani. Unatabasamu na kumwelezea kuwa umeelekezwa nauzungumze na mwanamke ambaye ni msimamizi.zimetengezwa vizuri na zinapendeza sana. Japokuwa uliwahi kutamani kuwa mwandishi, unahisimkubwa na anakuuliza una ujuzi gani. Unamwambia umekuwa ukishona na kufuma vikapu tangumtu mwenye ujuzi wa kushona. Anakutahadharisha kipato sio kikubwa, lakini kwako unafurahiaHadithi ya Carol B11

Hadithi ya CarolUkatili Watokea 3A12

Ukatili Watokea 3Kadri muda unazidi kwenda, unajiimarisha mwenyewe kama fundi stadi aliyebobea pale bandani.Umekusanya pesa za kutosha kuwalipia watoto wako ada za shule ya msingi, na Mtoto IbbyJioni moja, unajisukuma mwenyewe ukitoka kazini kwako. Ulibaki kazini kwa muda mrefu kulikowako unahuzunika kwa sababu umebeba pesa zote kutoka kibandani upeleke nyumbani kwa sababuwewe ndiye ulikuwa wa mwisho kuondoka kazini. Anapata kimkoba kidogo cha mapato ya siku nangumi baada ya ngumi zikitua mwilini na lazima iwe ulipoteza fahamu kwa sababu unapozinduka,tena kukaa mjini.Ikiwa unataka kusahau yaliyotokea na kuendelea kufanya kazi, nenda kwenye Kazi na uchukuekadi namba 3.Ikiwa unataka kutumia fursa na kurudi nyumbani kwa wazazi wako ambako ni salama zaidi, nendakwenye Fursa na uchukue kadi namba 2.Hadithi ya Carol B12

Hadithi ya CarolKazi 3A13

Kazi 3Umeumizwa vibaya na unaogopa kushambuliwa tena. Hutaki kutoka nje ya nyumba, lakini unadhaniwanawake wa kibanda cha ufundi stadi watakuwa na wasiwasi juu yako. Na bado unadaiwa kulipaada ya shule. Unapotokea kazini siku chache baadaye, Furaha anaona wasiwasi sana. Anapoangaliahali yako, anakuuliza nini kimekusibu. Unamsimulia kuhusu kibaka alivyokushambulia, huku akiwana hasira kwa sababu pesa zimeporwa, anaendelea kuonyesha wema na kukusaidia. Anakuombaradhi na kusema kwamba hakupaswa kukuacha ufunge na kwenda nyumbani peke yako ukiwa nafuraha anakukaribisha uende naye kwenye kikundi cha kutoa msaada ambako anahudhuria marambili kwa mwezi.Unasitasita, lakini unaanza kuhudhuria pamoja naye na unashangaa kwa kukutana na walemavuwengine wengi. Baada ya kipindi mojawapo, kiongozi anakuita na anakuambia amefurahishwa sanana wewe na angependa akusaidie urudi shuleni kusoma. Unafurahia sana kupata fursa hiyo, lakinimasomo yanagharimu pesa kiasi. Huna uhakika kama unaweza kumudu, hivyo hujui ufanye nini.Ikiwa unataka ujiandikishe kwenye darasa la elimu ya watu wazima, nenda kwenye Elimu nauchukue kadi namba 1.Ikiwa unaamua kwamba umri wako ni mkubwa sana kwa wewe kuanza kusoma na ungependaurudi nyumbani ukaishi na wazazi wako, nenda kwenye Fursa na uchukue kadi namba 2.Hadithi ya Carol B13

Hadithi ya CarolElimu 1A14

Elimu 1Kuna mambo mengi sana unajifunza nje ya yale yanayofundishwa vitabuni, na unatarajia kuwezana Furaha. Hutaki kuachana naye, lakini sasa kwa kuwa una elimu kubwa unaamini unaweza kupatakazi bora zaidi.simu na kusalimiana na wateja. Kwa sehemu kubwa unafurahia kazi yako, ingawa mara nyingi watuwanatoa maoni ya dharau kuhusu miguu yako au wanakusema kila wanapodhani huwasikii.Unatamani kuongea na wazazi wako kuhusu mafanikio yako ili wajivunie japo tu kwa hilo. Unatumiaataendelea kuwaza kwamba wewe hufai kwa lolote.vile unavyoishi wewe mwenyewe na unaweza hata kulimbikiza kiasi cha kutosha kujenga nyumbayako mwenyewe.MWISHOHuu ndio mwisho wa hadithi ya Carol. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yakeCarol. Unapokuwa tayari, muombe mwezeshaji akupe hadithi ya mwanamke mwingine.Hadithi ya Carol B14

Hadithi ya CarolFursa 2A15

Fursa 2wewe na watoto wako nyumbani kwa wazazi wako na kuchangia kiasi kidogo kwenye gharama zamaisha. Una hofu juu ya kurudi nyumbani, lakini unajua hawawezi kukufukuza.Dada yako anasema wazo la kurudi kijijini sio wazo zuri, lakini unajua atapata nafuu ya matumizi kwakuondoka kwenu. Baada ya kushambuliwa unaona hilo ndio suluhisho pekee. Kwa sababu unaishiUnajisikia vibaya kuondoka, lakini huwezi kuendelea kuishi mjini.Wazazi wako wanakukaribisha kwa shingo upande lakini wanaendelea kukwambia kwamba wewehufai kwa lolote. Hata unapomlipia mwanao ada ya shule na kuchangia gharama za maisha nyumbani,bado hawaridhiki wala kuona mafanikio yako, wanaendelea kukunung’unika kwa kila kitu.wako Ibby. Unajiona uko salama zaidi kuliko ulivyokuwa unaishi na dada yako mjini.Siku moja ukiwa unaenda kununua mboga, unatumbukia kwenye shimo ambalo limechimbwa hivikaribuni kando ya barabara. Unafanikiwa kutoka mwenyewe lakini umelala hapo ukiwa umeumiavibaya huku gari linakuja na karibu hata likugonge. Unaita kuomba msaada lakini hakuna anayetokea.Unagundua kwamba maisha haya si kweli kwamba ni bora kuliko maisha ya mjini. UnamkumbukaFuraha na jinsi ulivyokuwa unajivunia kazi zako za ufundi stadi. Unatamani uishi salama lakini hakunasehemu yoyote duniani ambayo ni salama kwako.MWISHOHuu ndio mwisho wa hadithi ya Carol. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yakeCarol. Unapokuwa tayari, muombe mwezeshaji akupe hadithi ya mwanamke mwingine.Hadithi ya Carol B15

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!