12.07.2015 Views

Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

KISWAHILI VERSIONKujengana: Msikose baraka ya Kikundi chenu.Kujengana ni sehemu muhimu sana ya mkutanowa kila wiki wa kikundi chako. Inasema katikaAefeso 4:15,16 kuwa tujengane hadi tuwe nautimilifu wa Kristu. Kila mtu katika Kikundi chako cha<strong>TIST</strong> huleta talanta na zawadi zake maalum kikundini.Moja ya vitu vya kuajabisha inayotokea katika kikundikidogo ni kujua, kugawana na kutumia talanta hizoulizopewa na Mungu.Kujengana ni njia moja ya kufanya hizo talantakuonekana na kutumika. Kuna sehemu mbili zaKujengana:• Kabla ya ombi la kufunga, kila mtu katika kikundiaseme kitu kizuri maalum ambacho kiongoziamefanya katika mkutano huo. Kwa mfano,alitabasamu, aliweka masaa, alifanya mipangomizuri, aliwatia nguvu wanakikundi wotekuongea, alinisalimu na alinifanya nijisikienimekaribishwa, alisema kitu kilichokuwakinaendelea vizuri katika mkutano ama katikakazi iliyokuwa ikifanywa na kikundi, na kadhalika.Kila mwanakikundi anahitajika kusema kitutofauti. Hili si la kujichagulia. Kila mtu ajengekiongozi wa utumishi. Vikundi vingine hujengahata msaidizi wa kiongozi.• Kuongezea, ikiwa mtu ameona zawadiiliyoonyeshwa na kiongozi, mwanakikundianaweza pia kusema ni zawadi ipi.Kwa kupitia uongozi wa mzunguko, kila wiki kiongozimpya hujengwa. Kupitia Kujengana, tunatiana nguvukati yetu kuhusu vitu vizuri alivyofanya kiongozi wawiki hiyo mkutanoni na talanta alizoonyesha mtu huyo.Kujengana pia ni njia ya kujua kuangalia vitu vizurikuwahusu watu halafu kuvisema. Sote twahitajikufunza ndimi zetu kusema yaliyo mazuri. Kuongezea,kikundi chote hujua ni nini kikundi kinafikilia ni muhimukatika kiongozi mtumishi. Viongozi wanaofuatawatafaidika kupitia waliyosikia katika Kujenganakuhusu viongozi waliopita na kujua ni nini muhimukatika kuwa kiongozi.Kujibu wakati wa kujengana, kiongozi wa wikihiyo atasema, “Asante.” baada ya kila mwanakikundikusema taarifa nzuri iliyo maalum. Hakuna kujadilianakuhusu vipi kungekuwa kuzuri zaidi ama tofauti. Maranyingi, mtu huyo hufurahi anapoambiwa kuhusumambo mazuri aliyofanya wakati wa mkutano. Wakatimwingine, huwa tunajua mambo kujihusu ambayohatukuwa tunajua!Kujengana husaidia kiongozi wa siku hiyo kujuatalanta zake na kuzidi kuzitumia. Kujengana pia husaidiakikundi kidogo kwa sababu wana kikundi wotehuboresha uongozi wao wa utumishi wanapozidikujifunza.Kujengana ni baraka mara mbili!Tunashukuru kwa sababu ya mvua tosha msimuhuu, lakini tukumbuke kupalilia mimea yetu.Kupalilia kuna umuhimu kwa sababu hizi:1. Mimea yako yahitaji maji, virutubisho vyaudongo na mwanga ili ikue kinguvu. Kama kunamagugu yatashindana na mimea yako kupatavitu hivi. Magugu yatatumia virutubisho vyaudongo na maji ambayo mimea yako inahitaji.Matokeo ni kuwa mimea yako itakuwa dhaifuna yaweza kushindwa kuishi.2. Kama eneo lako halijatolewa magugu, waduduwatavutwa kwa eneo hilo. Wadudu wanawezakuharibu na kuua mimea yako. Kwa hivyomagugu yalivyo chache, ndivyo nafasi ya nyokana wadudu kuwa inapungua.Hapa zipo baadhi ya faida za kupalilia shamba lako:• Mimea Hukua haraka zaidi kwani maguguhayachukui virutubisho na maji kutoka kwaudongo.• Mimea itakuwa yenye nguvu na ikue kwa urefukwa wakati mfupi• Mimea yaweza kupata mionzi ya jua inayohitajibila kuzuiliwa• Mimea haijawekwa wazi ksz magonjwa mengi.• Mimea imezuiliwa kutokana na kuenezwa kwamoto• Mashamba yasiyo na magugu yanaonyeshakuwa vikundi vidogo vinayadumisha na ni mfanokatika mradi wa <strong>TIST</strong>. Hili litawavutia watuwengi kuja na kuona kazi yenu.Ukishapalilia eneo hilo, hakikisha umetoa magugukutoka shambani. Ukiyaacha magugu yaliyokufakaribu na mimea, bado yanaweza kuwavutia waduduna magonjwa ambayo yanaweza kuharibu mimeayako. Unaweza kutumia magugu kutengenezambolea kwa sababu joto la mtengano wa magugulaweza kuua mbegu za magugu na baadhi yamagonjwa.Kumbuka kupalilia mashamba yenye miti yako pia!6

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!