12.07.2015 Views

Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kujihusisha na shughuli za upandaji miti za jamii.Kuweni kikundi kizuri cha TIST chenye mafanikio!Himiza majirani na marafiki yako pia kuingiakatika TISTUsilime shamba lililopakana na mto. Iache mitina mimea kumea ili kulinda maji hayaKuwa mwenye macho usije ukalisha mifugoVikundi vingi vya TIST hufanya kazi nyingizinazoonekana: kupanda miti na kuboresha mbinuza ukulima. Wakati kuna kazi nyingi inayohitajikufanyika, ni vizuri kufanya mpango wa hatuazitakazochukuliwa. Kila mwanakikundi afaa kuambiakikundi ni kitu gani wataweza kufanya katika wiki hiyo.Tutawafunza nyinyi na kikundi chenu jinsi ya kufanyampango wa hatua zitakachochukulia kufanya kazi hiyo.Tafadhali gawana haya na wanakikundi wengine wakatiwa mkutano.Hatua ya Utekelezaji ni iliyo:• Maalum• Inayoonekana (Nzi iliyo ukutani yaweza kukuonaukifanya!)• Inayopimika• Iliyo na mwanzo na mwisho• Hakikisha hatua yako ya utekelezaji niitakayowezekana na unayoweza kufikia!Kwa mfano, kusema ‘Nitapanda miti’ si hatua yaUtekelezaji kwa sababu ni taarifa ya ujumla. ‘Nitafanyakazi asubuhi tatu wiki hii kupandikiza miche sabini natano shambani letu jipya’ ni hatua ya utekelezaji kwasababu ni iliyo maalum (kupandikiza miche sabini natano), inayoonekana(watu waweza kukuona ukifanya),inayopimika (miche sabini na tano, asubuhi tatu) naina mwanzo na mwisho(mwishoni mwa siku tatuutaona matokeo).Kikundi chako kitakapokutana tena, ruhusu dakika tanomwishoni mwa mkutano ili kila mtu aripoti kuhusu hatuayake mwenyewe ya utkelezaji. Kila mtu haraka:(1) Aambie kikundi hatua yake ya utekelezajiya wiki iliyopita.(2) Aseme ni nini chenyewe alichofanya.(3) Aseme hatua yake ya utekelezaji ya wikiinayofuata.Kama huyo mtu alifanikiwa katika hatua yake yautekelezaji, kikundi kinasherehekea fanikio hilo.Ikiwa, kama mara mengi inavyotokea, mwanakikundiameweza kufanikiwa kufikia kiwango fulani cha lengolake, kikundi kimtie nguvu na kisimkosoe au kumtialawama. Watu wanapoweza kugawana bila hofu kuhusuKISWAHILI VERSIONshamba kuliko inavyoruhusiwa. Usitake mifufoikaribie miche isije ikaharibu na kunyimu msitu nafasiya kukua mara ya pili.Himiza kilimo mseto na matumizi ya mashambamadogo ya miti. Kuwa na miti shambani mwakohukupa vitu vinavyotokana na msitu na husaidiakulinda msitu ulio karibu.Mienendo bora zaidi ya vikundi vidogo ya kufanyamambo tofauti: Hatua za kuchukua na kupangia hatua.mafanikio na kutofaulu kwao, watahimizwa kufanyavyema zaidi wiki inayofuatilia. Himiza wana kikundi chakokufikiria hatua za utekelezaji zinazowezekana. Hakikishakila mojawapo ni maalum, inapimika na inawezekana!Gawana na msherehekee hatua za utekelezaji kikundichako kilichotimiza.Hatua za utekelezaji unapofanya hatua zamipangoNjia sawa yaweza kutumiwa unapopangia kitu. Hapa nimfano katika mabano. Wakati kikundi chako kinapopangakitakavyofanya, hakikisha mipango yenu ni:Specific- Maalum (Kikundi chetu cha TIST kitapandamiti elfu moja katika hospitali mtaani kabla ya tarehethelathini, Novemba)Measurable-Inapimika (Ngapi? - Miti elfu mojaitapandwa)Achievable/Realistic –Inayoweza kufikiwa (Kikundichetu cha TIST chaweza kupanda miti elfu moja katikamuda wa wiki tano- miti mia moja kila jumanne naalhamisi, miti kumi kwa kila mmoja kila kila siku)Time-bound- Inapimiwa muda (Ina mwanzo namwisho- tutapanda miti kati ya tarehe kumi na tano,Octoba hadi tarehe thelathini Novemba)Observable- Inaonekana (Nzi ukutani yawezakutuona tukipanda miti. )SMARTO!Huu ni mwongozo na kipimo cha hatua zako zautekelezaji na unakusaidia kuwa maalum:1) Nini – (Kupanda miti elfu moja)2) Nani – (Wana Kikundi kidogo cha TIST kwa jina)3) Lini – (Oct 15 – Nov 30)4) Wapi– (Hospitalini)5) Aje – (Tutakutana kila Jumanne na Alhamisi alasiribaada ya joto la siku na kuchimba mashimo, halafutupande miti)6) Kwa nini– (Kuboresha eneo linalozungukahospitali, tuwe na kivuli zaidi kwa wagonjwa nawageni, watu waweze kukaa chini ya miti na kivulikitafanya hospitali iwe baridi zaidi. )+Sasa, jaribu kujizoesha kufanya hatua za mipango katikamkutano wako wa kikundi kidogo ujao.5

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!