Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST Mazingira Bora - TIST

12.07.2015 Views

KISWAHILI VERSIONSisi utumikiana: Kiongozi wa Cluster ya Wamurani mfano wa kuigwa.Mwezi jana, Cluster ya Wamura, Kupitiakiongozi wao wa cluster, bwana CharlesNg’anga, ilinunua meko kumi (10) ya ainaya Envirofit. Haya ni meko ya kuokoa nishatiyaliyotengezwa kutoka kwa TISTCharles alijitolea kukusanya pesa kutokana nawanacluster waliokuwa na nia ya kununua, akatumapesa na njia ya M-Pesa kwa Dorothy Naitore(KitiMoto) aliye Meru. Kwa bahati nzuri, mmoja wacluster ya Wamura alikuwa anaelekea semina Gitoro.Alitumwa kuyafikisha meko haya yaliyoitishwa nacluster ya Wamura. Tunawahimiza cluster zingineUkataji misitu ni kutolewa kwa miti namimea mingine yenye mbao.Misitu na vichaka hufunika sehemu moja juu ya tatuya ardhi. Miti hubadilisha tabianchi, hulinda maji,hutupa vitu vinavyotokana na misitu (kwa mfano,mbao, dawa, matunda na vingine) vinavyo ughalimkubwa na huruhusu mimea na wanyama wengitofauti kuishi. Hata hivyo inakatwa kwa mwendokasi; hectare milioni ishirini kila mwaka. Nusu yawanaoishi kwa hii dunia hutumia misitu kama nishati,hata hivyo watu kama milioni mia moja hawananishati tosha kutumia kwa matumizi madogomadogo.Sababu za ukataji misituUkataji miti hufanyika wakati mimea inakatwaili kufungua shamba kutumika kwa njia nyinginekama kufungua shamba ili liweze kulimwa au kwamatumizi mengine kama kutumika kama kuni,kutengeneza matofali, kukausha samaki, kukaushamajani chai, kujenga na kama mbao.Kuzoroteka kwa shamba lenye msitu ni wakatimsitu unakuwa na miti ya aina chache na unashindwakuyavumilia mabadiliko yanayokuja kwa sababu yautumizi na usimamizi mbaya (kwa mfano, miti mizeeinapokatwa, ikiachwa midogo, ama aina fulaniikikatwa yote, hadi inapotea kutoka msituni, amamsitu unalishwa wanyama zaidi ya inavyoruhusiwa,hadi miti inashindwa kukua badala ya iliyokufa).Ukataji miti na uharibifu wa shamba lenye msitumwingi hutokana na kutokuwepo kwa ujuzi kuhusuthamani kamili ya miti.Wakati mwingine, thamani ya miti yaweza kuwainajulikana lakini umaskini na kutambulika kusiosahihi kuhusu ukosefu wa lingine la kufanyaUmeletewa na Dorothy Naitorekufanya vivyo hivyo. Tutawapa punguzowatakaojipanga kama hawa. Hapa ni meko ya kuokoanishati yanayouzwa na TIST kwa wanaTISt na wasiowanaTISt, kwa bei za ruzuku.Envirofit G-3300:2,500 Kshhulazimisha watu kukata miti.4Envirofit 2-pot/ chimneyattachment (to be itakayotumikana G-3300): 1,200 KshUkataji miti na kuzorota kwa mashamba yenyemisitu ni shida kubwa sana. Tunaweza kufanyeje?Shida zinazojitokeza kufuatilia ukataji wamisitu. Mmomonyoko wa Udongo:Ukosefu wamiti ya kufunika ardhi na mizizi huacha udongohatarini na huruhusu mmomonyoko wa udongo.Ukosefu wa rasili mali ya msitu tunayohitaji:kukata miti huharibu mahali pa wanyama pa kuishi,hupunguza viumbe hai/ bioanuwai, hutoa rasili maliya chakula na dawa na huongeza ushindani ili kupatavifaa vyz ujenzi. Watu wanahitajika kutembea mbalizaidi ili kupata kuni, na bei za bidhaa zinazotokamisituni zinapanda juu sana.Ukataji misitu unamaanisha ukosefu wa faidanyinginezo za miti: miti hupunguza upepo,uhifadhi unyevu, huongeza hewa safi hewani, nahuongeza virutubisho udongoni. Kwa hivyo bila mitihali ya anga ya mahali hapo itakuwa kavu zaidi nakuongeza hatari ya mafuriko, mmonyoko wa udongounaosababishwa na upepo, kupunguzwa kwa rutubaya udongo na kupunguzika kwa usafi wa hewa.Tunaweza kufanyeje ili kuzuia ukataji wamiti?Kuanzisha vitalu vya miti na kukuza miti ya kupandana kupeana au kuuza miti kwa wanajamii. Twafaakutia moyo wengine kupanda miti pia, na kujiungana TIST!Tumia meko ya kuokoa nishati, ambayo hutumiakuni na makaa chacheTumia nishati badala inapowezekana (kwamfano, joto la jua, machujo ya mbao, maganda yakahawa, nyasi, magugu, mabaki ya mimea, taka zawanyama).

Kujihusisha na shughuli za upandaji miti za jamii.Kuweni kikundi kizuri cha TIST chenye mafanikio!Himiza majirani na marafiki yako pia kuingiakatika TISTUsilime shamba lililopakana na mto. Iache mitina mimea kumea ili kulinda maji hayaKuwa mwenye macho usije ukalisha mifugoVikundi vingi vya TIST hufanya kazi nyingizinazoonekana: kupanda miti na kuboresha mbinuza ukulima. Wakati kuna kazi nyingi inayohitajikufanyika, ni vizuri kufanya mpango wa hatuazitakazochukuliwa. Kila mwanakikundi afaa kuambiakikundi ni kitu gani wataweza kufanya katika wiki hiyo.Tutawafunza nyinyi na kikundi chenu jinsi ya kufanyampango wa hatua zitakachochukulia kufanya kazi hiyo.Tafadhali gawana haya na wanakikundi wengine wakatiwa mkutano.Hatua ya Utekelezaji ni iliyo:• Maalum• Inayoonekana (Nzi iliyo ukutani yaweza kukuonaukifanya!)• Inayopimika• Iliyo na mwanzo na mwisho• Hakikisha hatua yako ya utekelezaji niitakayowezekana na unayoweza kufikia!Kwa mfano, kusema ‘Nitapanda miti’ si hatua yaUtekelezaji kwa sababu ni taarifa ya ujumla. ‘Nitafanyakazi asubuhi tatu wiki hii kupandikiza miche sabini natano shambani letu jipya’ ni hatua ya utekelezaji kwasababu ni iliyo maalum (kupandikiza miche sabini natano), inayoonekana(watu waweza kukuona ukifanya),inayopimika (miche sabini na tano, asubuhi tatu) naina mwanzo na mwisho(mwishoni mwa siku tatuutaona matokeo).Kikundi chako kitakapokutana tena, ruhusu dakika tanomwishoni mwa mkutano ili kila mtu aripoti kuhusu hatuayake mwenyewe ya utkelezaji. Kila mtu haraka:(1) Aambie kikundi hatua yake ya utekelezajiya wiki iliyopita.(2) Aseme ni nini chenyewe alichofanya.(3) Aseme hatua yake ya utekelezaji ya wikiinayofuata.Kama huyo mtu alifanikiwa katika hatua yake yautekelezaji, kikundi kinasherehekea fanikio hilo.Ikiwa, kama mara mengi inavyotokea, mwanakikundiameweza kufanikiwa kufikia kiwango fulani cha lengolake, kikundi kimtie nguvu na kisimkosoe au kumtialawama. Watu wanapoweza kugawana bila hofu kuhusuKISWAHILI VERSIONshamba kuliko inavyoruhusiwa. Usitake mifufoikaribie miche isije ikaharibu na kunyimu msitu nafasiya kukua mara ya pili.Himiza kilimo mseto na matumizi ya mashambamadogo ya miti. Kuwa na miti shambani mwakohukupa vitu vinavyotokana na msitu na husaidiakulinda msitu ulio karibu.Mienendo bora zaidi ya vikundi vidogo ya kufanyamambo tofauti: Hatua za kuchukua na kupangia hatua.mafanikio na kutofaulu kwao, watahimizwa kufanyavyema zaidi wiki inayofuatilia. Himiza wana kikundi chakokufikiria hatua za utekelezaji zinazowezekana. Hakikishakila mojawapo ni maalum, inapimika na inawezekana!Gawana na msherehekee hatua za utekelezaji kikundichako kilichotimiza.Hatua za utekelezaji unapofanya hatua zamipangoNjia sawa yaweza kutumiwa unapopangia kitu. Hapa nimfano katika mabano. Wakati kikundi chako kinapopangakitakavyofanya, hakikisha mipango yenu ni:Specific- Maalum (Kikundi chetu cha TIST kitapandamiti elfu moja katika hospitali mtaani kabla ya tarehethelathini, Novemba)Measurable-Inapimika (Ngapi? - Miti elfu mojaitapandwa)Achievable/Realistic –Inayoweza kufikiwa (Kikundichetu cha TIST chaweza kupanda miti elfu moja katikamuda wa wiki tano- miti mia moja kila jumanne naalhamisi, miti kumi kwa kila mmoja kila kila siku)Time-bound- Inapimiwa muda (Ina mwanzo namwisho- tutapanda miti kati ya tarehe kumi na tano,Octoba hadi tarehe thelathini Novemba)Observable- Inaonekana (Nzi ukutani yawezakutuona tukipanda miti. )SMARTO!Huu ni mwongozo na kipimo cha hatua zako zautekelezaji na unakusaidia kuwa maalum:1) Nini – (Kupanda miti elfu moja)2) Nani – (Wana Kikundi kidogo cha TIST kwa jina)3) Lini – (Oct 15 – Nov 30)4) Wapi– (Hospitalini)5) Aje – (Tutakutana kila Jumanne na Alhamisi alasiribaada ya joto la siku na kuchimba mashimo, halafutupande miti)6) Kwa nini– (Kuboresha eneo linalozungukahospitali, tuwe na kivuli zaidi kwa wagonjwa nawageni, watu waweze kukaa chini ya miti na kivulikitafanya hospitali iwe baridi zaidi. )+Sasa, jaribu kujizoesha kufanya hatua za mipango katikamkutano wako wa kikundi kidogo ujao.5

KISWAHILI VERSIONSisi utumikiana: Kiongozi wa Cluster ya Wamurani mfano wa kuigwa.Mwezi jana, Cluster ya Wamura, Kupitiakiongozi wao wa cluster, bwana CharlesNg’anga, ilinunua meko kumi (10) ya ainaya Envirofit. Haya ni meko ya kuokoa nishatiyaliyotengezwa kutoka kwa <strong>TIST</strong>Charles alijitolea kukusanya pesa kutokana nawanacluster waliokuwa na nia ya kununua, akatumapesa na njia ya M-Pesa kwa Dorothy Naitore(KitiMoto) aliye Meru. Kwa bahati nzuri, mmoja wacluster ya Wamura alikuwa anaelekea semina Gitoro.Alitumwa kuyafikisha meko haya yaliyoitishwa nacluster ya Wamura. Tunawahimiza cluster zingineUkataji misitu ni kutolewa kwa miti namimea mingine yenye mbao.Misitu na vichaka hufunika sehemu moja juu ya tatuya ardhi. Miti hubadilisha tabianchi, hulinda maji,hutupa vitu vinavyotokana na misitu (kwa mfano,mbao, dawa, matunda na vingine) vinavyo ughalimkubwa na huruhusu mimea na wanyama wengitofauti kuishi. Hata hivyo inakatwa kwa mwendokasi; hectare milioni ishirini kila mwaka. Nusu yawanaoishi kwa hii dunia hutumia misitu kama nishati,hata hivyo watu kama milioni mia moja hawananishati tosha kutumia kwa matumizi madogomadogo.Sababu za ukataji misituUkataji miti hufanyika wakati mimea inakatwaili kufungua shamba kutumika kwa njia nyinginekama kufungua shamba ili liweze kulimwa au kwamatumizi mengine kama kutumika kama kuni,kutengeneza matofali, kukausha samaki, kukaushamajani chai, kujenga na kama mbao.Kuzoroteka kwa shamba lenye msitu ni wakatimsitu unakuwa na miti ya aina chache na unashindwakuyavumilia mabadiliko yanayokuja kwa sababu yautumizi na usimamizi mbaya (kwa mfano, miti mizeeinapokatwa, ikiachwa midogo, ama aina fulaniikikatwa yote, hadi inapotea kutoka msituni, amamsitu unalishwa wanyama zaidi ya inavyoruhusiwa,hadi miti inashindwa kukua badala ya iliyokufa).Ukataji miti na uharibifu wa shamba lenye msitumwingi hutokana na kutokuwepo kwa ujuzi kuhusuthamani kamili ya miti.Wakati mwingine, thamani ya miti yaweza kuwainajulikana lakini umaskini na kutambulika kusiosahihi kuhusu ukosefu wa lingine la kufanyaUmeletewa na Dorothy Naitorekufanya vivyo hivyo. Tutawapa punguzowatakaojipanga kama hawa. Hapa ni meko ya kuokoanishati yanayouzwa na <strong>TIST</strong> kwa wanaTISt na wasiowanaTISt, kwa bei za ruzuku.Envirofit G-3300:2,500 Kshhulazimisha watu kukata miti.4Envirofit 2-pot/ chimneyattachment (to be itakayotumikana G-3300): 1,200 KshUkataji miti na kuzorota kwa mashamba yenyemisitu ni shida kubwa sana. Tunaweza kufanyeje?Shida zinazojitokeza kufuatilia ukataji wamisitu. Mmomonyoko wa Udongo:Ukosefu wamiti ya kufunika ardhi na mizizi huacha udongohatarini na huruhusu mmomonyoko wa udongo.Ukosefu wa rasili mali ya msitu tunayohitaji:kukata miti huharibu mahali pa wanyama pa kuishi,hupunguza viumbe hai/ bioanuwai, hutoa rasili maliya chakula na dawa na huongeza ushindani ili kupatavifaa vyz ujenzi. Watu wanahitajika kutembea mbalizaidi ili kupata kuni, na bei za bidhaa zinazotokamisituni zinapanda juu sana.Ukataji misitu unamaanisha ukosefu wa faidanyinginezo za miti: miti hupunguza upepo,uhifadhi unyevu, huongeza hewa safi hewani, nahuongeza virutubisho udongoni. Kwa hivyo bila mitihali ya anga ya mahali hapo itakuwa kavu zaidi nakuongeza hatari ya mafuriko, mmonyoko wa udongounaosababishwa na upepo, kupunguzwa kwa rutubaya udongo na kupunguzika kwa usafi wa hewa.Tunaweza kufanyeje ili kuzuia ukataji wamiti?Kuanzisha vitalu vya miti na kukuza miti ya kupandana kupeana au kuuza miti kwa wanajamii. Twafaakutia moyo wengine kupanda miti pia, na kujiungana <strong>TIST</strong>!Tumia meko ya kuokoa nishati, ambayo hutumiakuni na makaa chacheTumia nishati badala inapowezekana (kwamfano, joto la jua, machujo ya mbao, maganda yakahawa, nyasi, magugu, mabaki ya mimea, taka zawanyama).

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!