12.07.2015 Views

Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Vikundi vingi vidogo vya TIST hufahamu nakufuatilia maadili ya TIST. Mafanikio yetuhuongozwa na uadilifu na juhudi za kilaKISWAHILI VERSIONMaadili ya TIST: Nguzo na nguvu ya TIST Umeletewa.na Joseph Gitumammojawetu. Mafanikio yetu yanaongozwa kwaurahis na kufuatilia kwa maadili haya na kila mmojawetuKatika shughuli zetu nyingi, kutoka upandajimiti, kilimo hai, kuboresha bionuwai, kujenga aukununua meko bora, kufunza na kufuatilia masualaMti wa kiasili ni upi?Mti wa kiasili ni ambao umezoeana na eneo hilokwa sababu umekua na kuzaana wenyewe kwa mudamrefu. Si miti yote tunayoijua ni ya kiasili. Mingiimeletwe na watu kutoka maeneno yaliyo mbali.Kuna zaidi ya aina mia nane za miti ya kiasili katikaKenya.Ni kwa nini miti ya kiasili ni muhimu?Kwa sababu miti ya kiasili imebadilika pamoja namazingira, wanyama, mimea na viumbe wenginewanaoizunguka, inafaa kwa eneo hilo. Sana sanainahitaji utunzi mdogo kuliko miti iliyoletwa.Inaongeza mseto mashambani mwetu, kwa hivyouwezekano wa kuzuka kwa wadudu unapungua.Inaleta faida za kibionuwai kwa mfano huwa kikaocha wanyama pori na faida mbalimbali ketu kutokanana matunda, mbao, majani na dawa ya kiasili. Mitiiliyoletwa eneoni yaweza kuwa na faida nyingi lakinimingine huwa gugu na kuiondoa miti na mimeamingine.Tunapopanda miti ya aina ya kiasili mashambanimwetu, tunasaidia kuweka aina zilizokuwa muhimukwa mama na akina baba wetu, mababu zetu, nakwa watu na wanyama pori wa Kenya kwa vizazivingi. Bado tunasoma kuhusu faida za aina nyingizinazotuzunguka. Tumegundua kwamba baadhi yamiti hii hukua haraka kama miti ya aina ya kigeni.Tunapopanda miti ya aina ya kiasili, tunaweza kusaidiakuhakikishakuwa miti na faida zake zitawafikiawatoto wetu.muhimu ya kiafya, kulinda mashamba yetu dhidi yammomonyoko wa udongo na uharibifu wa sababunyingine, kukumbana na mabadiliko ya tabianchi naukataji miti, kulinda mito yetu ili kupata maji safi natosha na shughuli nyinginezo zinazoleta pesa, maadiliya TIST yana jukumu kubwa.Katika TIST, Tuko. Sisi ni waaminifu; Sisi niwenye usahihi; Sisi ni wenye Uwazi; Sisi utumikiana;Sisi huwajibika; Sisi ni mifano ya kuigwa; Sisi hujitolea.Miti aina ya Kiasili ina faida kadha.Katika TISt, tuna motisha nyongeza za bionuaikwa kupanda miti ya aina ya kiasili. Vikundi karibuna mito vinavyofuatilia mienendo bora kabisa yaTIST katika maeneo yaliyo karibu na mito nakupanda miti ya kiasili, vinaweza kustahili kupokeamotisha nyongeza kupitia mradi wa TIST RiparianCorridor initiative. Kwa kuwa na miti ainambalimbali ya kiasili kando ya mito midogo namikubwa, wadudu wengine, ndege na wanyamawataweza kusonga na kustawi.Vikundi vidogo vya TISt vilivyo karibu na misituiliyohifadhiwa, vinavyopanda miti ya kiasili, vyawezakuingia katika vikundi vya CFA vilivyo karibu nao, ilikupanda aina ya kiasili na kupata pesa kutokana nakaboni iliyo katika hii misitu.Iliyo hapa ni miti ya kiasili chache iliyo Kenya;1. Muringa (Cordia Africana)2. Meru oak-muhuru (vitex keniensis)3. Mugumo, murumba (ficus thonningii)4. Podo, muthengera (podocarpus falcatus)5. Mwiria (prunus africana)6. Mutoo, Mukeu,(Dombeya rotundifolia).7. Muuti (erythrina abyssinica)8. Muuuku, (terminalia brownii)Jaribu kupanda mti wa kiasili katika shambalakomsimu huu wa mvua!3

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!