Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST Mazingira Bora - TIST

12.07.2015 Views

Wakulima wanapokuja pamoja katikavikundi vidogo vya watu sita kufika kumina wawili, wanafunzwa na kujuzwakuhusu vitendo vya TIST, pamoja na kuhusukujihusisha na soko la hewa, kabla ya kujiunga rasmina TIST. Baada ya mfululizo wa mikutano ya cluster,mafunzo na kubadilishana habari, ndipowanapoamua iwapo watajiunga au hawatajiungakatika TIST.Iwapo wataamua kujiunga na TIST, watatia sainimkataba wa gesi chafu (GhG) pamoja na kampuniya Clean Air Action Corporation (CAAC), kampuniinayoshughulikia uhesabu wa kaboni, ukaguzi nauuzaji kwa ajili ya wakulima.Washiriki katika TISt huanza kupanda mitikuzunguka nyumba zao, mashamba yao, mio midogo,shule, barabara na makanisa. Miti hii huwapa kivuli,hupunguza mmomonyoko wa udongo, huboreshabionuwai, huboresha udongo, na uhamasisha ukuajiwa vichaka na nyasi. Aidha, miti hutupa matundayanayoliwa, madawa ya kienyeji, chakula cha mifugo,kuni hata na vifaa vya ujenzi.Jinsi miti inavyokua, utengenezaji wa chakulahuchukua hewa ya kaboni kutoka hewani nakuiweka mtini, mizizini na udongoni. Ikipimwa,kuzingatiwa a kuhakikishwa inavyofaa, miti yetuhuleta pesa kutoka kwa uuzaji wa kaboni hii, ambayohuwa mfumo wa biashara kutokana na mashambayetu.Kampuni ya Clean Air Action hununua kaboniinayotolewa hewani kufuatia shughuli zetu, halafukuchukua hatua inayotakikana ili kuibadilisha hiikaboni kuwa mkopo wa kaboni halafu kuiuza katikasoko la ulimwengu. Saa hizi, kwa sababu ya faida zajamii, na faida za kibionuwai, mikopo hii ya TISTinachukuliwa kuwa iliyo bora kabisa duniani.Washiriki wa TIST hupata pesa za awali kila mwakana pia watapata asilimia sabini ya faida za mwishonibaada ya uuzaji wa kaboni hii.Leo tuna furaha kutangaza kuwa kati ya mitimilioni sita, sabini na tano elfu na mia nane thelathinina moja iliyopandwa na wakulima wa TIST na iliyopohai kufikia leo katika Kenya, iliyohesabiwa nakukaguliwa, miti milioni tano, ishirini na tatu elfu namia mbili sabini imehakikishwa na kupitishwa natani hizi zimethibitishwa. Miti hii imeweka tani lakitatu sitini elfu, mia tisa sabini na nane kufikia hapo.Kila mwaka tani zingine zitawekwa mtini. Kabonitani elfu mia moja themanini na nane, mia mbiliarobaini na tisa, zishauzwa na zilizobakia elfu miamoja sabini na mbili, mia saba ishirini na tisa ziposokoni.Pesa zilizotokana na tani zilizouzwa, zilielekeaKISWAHILI VERSIONHabari njema kwa wakulima wa TIST:Tumesahihishwa na kuthibitishwa tena!kulipa mkopo wa awali wa CAAC, uliochukuliwa ilikupata pesa za kuanzisha TISt na kulipa wakulimamalipo ya mapema. Tunataka kuwajuza wakulimakuwa CAAC ina nia ya kutafutasoko bora zaididuniani ili kupata malipo bora zaidi ya kaboni.Gharama ya muradi itakapogharamiwa, kamailivyorejelewa katika kandarasi ya GhG, CAACitaanza kugawana faida na wakulima (wakulimawatapata asilimia sabini )Tukumbukeni , motisha ile ndogo ya shilingimoja na cumni (sasa KSh 1.7) ya kila mti uliopndwana kuwekwa hai hulipwa wakati miti ilipo midogokiasi cha kuwa inaweka kaboni chache sana. Twajuakuwa thamani ya bionuwai, kuni, chakula cha watuna wanyama na faida za miti huwa juu zaidi. Tukiwatumejipanga na tuna motisha, twaweza kuweka pesatosha miakani za kuwekeza katika miradi mingineya mapato.Ni tu miti inapokomaa, thamani ya gesi chafuhuwa nyingi na itakapopata asilimia sabini ya faida.Pia kumbuka, miti iliyo shambani, hubaki kuwa maliya mkulima. Vikundi vidogo vya TISt vinavopandakatika maeneo ya hifadhi, kwa mfano misitu yaserikali, watagawana faida na KFS au na CFA yakaribu. Miti iliyo misituni ni mali ya KFS au taifa.Wakulima wa TIST waweza kupata taarifakamili kuhusu miti ya kila mmoja na nambari kutokakwa watumishi wa cluster wa TIST (wahesabu miti)katika mikutano yao ya cluster. Kila mtumishi waTISt amepewa simu ya TIST iliyo na tovuti ya TIStiliyotengezwa inayowezesha kupata taarifa kuhusukila kikundi kidogo kwa urahisi na katika mikutanoya cluster.Licha ya uuzaji wa kaboni, TIST pia huanzishana kugawana taarifa kuhusu kilimo bora, uhifadhiwa bionuwai, misitu, afya (pamoja na ukimwi) nashughuli za maendeleo endelevu na TISt hujipangakufikisha habari hii inayotumika kwa vikundi vidogo.Tuna magazeti, mikutano ya kila mwezi ya clusterna semina za kikanda ambapo tunagawana mienendoyetu bora tuliyoanzisha.Faida nyinginezo za TIST ni pamoja na;• Malipo ya mapema ya miti iliyo hai.• Vuno bora kutokana na Kilimo hai.• Bionuwai bora shambani na katika maeneohifadhi.• Kujenga uwezo wa utumizi wa teknolojia,mafunzo na ushirika.• Ujuzi wa Kilimo mseto.• Marafiki wapya.• Ujuzi kuhusu uongozi na usimamizi.• Fursa za kuwatumikia wengine.• Makubaliano ya kugawana faida.2

Vikundi vingi vidogo vya TIST hufahamu nakufuatilia maadili ya TIST. Mafanikio yetuhuongozwa na uadilifu na juhudi za kilaKISWAHILI VERSIONMaadili ya TIST: Nguzo na nguvu ya TIST Umeletewa.na Joseph Gitumammojawetu. Mafanikio yetu yanaongozwa kwaurahis na kufuatilia kwa maadili haya na kila mmojawetuKatika shughuli zetu nyingi, kutoka upandajimiti, kilimo hai, kuboresha bionuwai, kujenga aukununua meko bora, kufunza na kufuatilia masualaMti wa kiasili ni upi?Mti wa kiasili ni ambao umezoeana na eneo hilokwa sababu umekua na kuzaana wenyewe kwa mudamrefu. Si miti yote tunayoijua ni ya kiasili. Mingiimeletwe na watu kutoka maeneno yaliyo mbali.Kuna zaidi ya aina mia nane za miti ya kiasili katikaKenya.Ni kwa nini miti ya kiasili ni muhimu?Kwa sababu miti ya kiasili imebadilika pamoja namazingira, wanyama, mimea na viumbe wenginewanaoizunguka, inafaa kwa eneo hilo. Sana sanainahitaji utunzi mdogo kuliko miti iliyoletwa.Inaongeza mseto mashambani mwetu, kwa hivyouwezekano wa kuzuka kwa wadudu unapungua.Inaleta faida za kibionuwai kwa mfano huwa kikaocha wanyama pori na faida mbalimbali ketu kutokanana matunda, mbao, majani na dawa ya kiasili. Mitiiliyoletwa eneoni yaweza kuwa na faida nyingi lakinimingine huwa gugu na kuiondoa miti na mimeamingine.Tunapopanda miti ya aina ya kiasili mashambanimwetu, tunasaidia kuweka aina zilizokuwa muhimukwa mama na akina baba wetu, mababu zetu, nakwa watu na wanyama pori wa Kenya kwa vizazivingi. Bado tunasoma kuhusu faida za aina nyingizinazotuzunguka. Tumegundua kwamba baadhi yamiti hii hukua haraka kama miti ya aina ya kigeni.Tunapopanda miti ya aina ya kiasili, tunaweza kusaidiakuhakikishakuwa miti na faida zake zitawafikiawatoto wetu.muhimu ya kiafya, kulinda mashamba yetu dhidi yammomonyoko wa udongo na uharibifu wa sababunyingine, kukumbana na mabadiliko ya tabianchi naukataji miti, kulinda mito yetu ili kupata maji safi natosha na shughuli nyinginezo zinazoleta pesa, maadiliya TIST yana jukumu kubwa.Katika TIST, Tuko. Sisi ni waaminifu; Sisi niwenye usahihi; Sisi ni wenye Uwazi; Sisi utumikiana;Sisi huwajibika; Sisi ni mifano ya kuigwa; Sisi hujitolea.Miti aina ya Kiasili ina faida kadha.Katika TISt, tuna motisha nyongeza za bionuaikwa kupanda miti ya aina ya kiasili. Vikundi karibuna mito vinavyofuatilia mienendo bora kabisa yaTIST katika maeneo yaliyo karibu na mito nakupanda miti ya kiasili, vinaweza kustahili kupokeamotisha nyongeza kupitia mradi wa TIST RiparianCorridor initiative. Kwa kuwa na miti ainambalimbali ya kiasili kando ya mito midogo namikubwa, wadudu wengine, ndege na wanyamawataweza kusonga na kustawi.Vikundi vidogo vya TISt vilivyo karibu na misituiliyohifadhiwa, vinavyopanda miti ya kiasili, vyawezakuingia katika vikundi vya CFA vilivyo karibu nao, ilikupanda aina ya kiasili na kupata pesa kutokana nakaboni iliyo katika hii misitu.Iliyo hapa ni miti ya kiasili chache iliyo Kenya;1. Muringa (Cordia Africana)2. Meru oak-muhuru (vitex keniensis)3. Mugumo, murumba (ficus thonningii)4. Podo, muthengera (podocarpus falcatus)5. Mwiria (prunus africana)6. Mutoo, Mukeu,(Dombeya rotundifolia).7. Muuti (erythrina abyssinica)8. Muuuku, (terminalia brownii)Jaribu kupanda mti wa kiasili katika shambalakomsimu huu wa mvua!3

Wakulima wanapokuja pamoja katikavikundi vidogo vya watu sita kufika kumina wawili, wanafunzwa na kujuzwakuhusu vitendo vya TIST, pamoja na kuhusukujihusisha na soko la hewa, kabla ya kujiunga rasmina TIST. Baada ya mfululizo wa mikutano ya cluster,mafunzo na kubadilishana habari, ndipowanapoamua iwapo watajiunga au hawatajiungakatika TIST.Iwapo wataamua kujiunga na TIST, watatia sainimkataba wa gesi chafu (GhG) pamoja na kampuniya Clean Air Action Corporation (CAAC), kampuniinayoshughulikia uhesabu wa kaboni, ukaguzi nauuzaji kwa ajili ya wakulima.Washiriki katika TISt huanza kupanda mitikuzunguka nyumba zao, mashamba yao, mio midogo,shule, barabara na makanisa. Miti hii huwapa kivuli,hupunguza mmomonyoko wa udongo, huboreshabionuwai, huboresha udongo, na uhamasisha ukuajiwa vichaka na nyasi. Aidha, miti hutupa matundayanayoliwa, madawa ya kienyeji, chakula cha mifugo,kuni hata na vifaa vya ujenzi.Jinsi miti inavyokua, utengenezaji wa chakulahuchukua hewa ya kaboni kutoka hewani nakuiweka mtini, mizizini na udongoni. Ikipimwa,kuzingatiwa a kuhakikishwa inavyofaa, miti yetuhuleta pesa kutoka kwa uuzaji wa kaboni hii, ambayohuwa mfumo wa biashara kutokana na mashambayetu.Kampuni ya Clean Air Action hununua kaboniinayotolewa hewani kufuatia shughuli zetu, halafukuchukua hatua inayotakikana ili kuibadilisha hiikaboni kuwa mkopo wa kaboni halafu kuiuza katikasoko la ulimwengu. Saa hizi, kwa sababu ya faida zajamii, na faida za kibionuwai, mikopo hii ya TISTinachukuliwa kuwa iliyo bora kabisa duniani.Washiriki wa TIST hupata pesa za awali kila mwakana pia watapata asilimia sabini ya faida za mwishonibaada ya uuzaji wa kaboni hii.Leo tuna furaha kutangaza kuwa kati ya mitimilioni sita, sabini na tano elfu na mia nane thelathinina moja iliyopandwa na wakulima wa TIST na iliyopohai kufikia leo katika Kenya, iliyohesabiwa nakukaguliwa, miti milioni tano, ishirini na tatu elfu namia mbili sabini imehakikishwa na kupitishwa natani hizi zimethibitishwa. Miti hii imeweka tani lakitatu sitini elfu, mia tisa sabini na nane kufikia hapo.Kila mwaka tani zingine zitawekwa mtini. Kabonitani elfu mia moja themanini na nane, mia mbiliarobaini na tisa, zishauzwa na zilizobakia elfu miamoja sabini na mbili, mia saba ishirini na tisa ziposokoni.Pesa zilizotokana na tani zilizouzwa, zilielekeaKISWAHILI VERSIONHabari njema kwa wakulima wa TIST:Tumesahihishwa na kuthibitishwa tena!kulipa mkopo wa awali wa CAAC, uliochukuliwa ilikupata pesa za kuanzisha TISt na kulipa wakulimamalipo ya mapema. Tunataka kuwajuza wakulimakuwa CAAC ina nia ya kutafutasoko bora zaididuniani ili kupata malipo bora zaidi ya kaboni.Gharama ya muradi itakapogharamiwa, kamailivyorejelewa katika kandarasi ya GhG, CAACitaanza kugawana faida na wakulima (wakulimawatapata asilimia sabini )Tukumbukeni , motisha ile ndogo ya shilingimoja na cumni (sasa KSh 1.7) ya kila mti uliopndwana kuwekwa hai hulipwa wakati miti ilipo midogokiasi cha kuwa inaweka kaboni chache sana. Twajuakuwa thamani ya bionuwai, kuni, chakula cha watuna wanyama na faida za miti huwa juu zaidi. Tukiwatumejipanga na tuna motisha, twaweza kuweka pesatosha miakani za kuwekeza katika miradi mingineya mapato.Ni tu miti inapokomaa, thamani ya gesi chafuhuwa nyingi na itakapopata asilimia sabini ya faida.Pia kumbuka, miti iliyo shambani, hubaki kuwa maliya mkulima. Vikundi vidogo vya TISt vinavopandakatika maeneo ya hifadhi, kwa mfano misitu yaserikali, watagawana faida na KFS au na CFA yakaribu. Miti iliyo misituni ni mali ya KFS au taifa.Wakulima wa TIST waweza kupata taarifakamili kuhusu miti ya kila mmoja na nambari kutokakwa watumishi wa cluster wa TIST (wahesabu miti)katika mikutano yao ya cluster. Kila mtumishi waTISt amepewa simu ya TIST iliyo na tovuti ya TIStiliyotengezwa inayowezesha kupata taarifa kuhusukila kikundi kidogo kwa urahisi na katika mikutanoya cluster.Licha ya uuzaji wa kaboni, TIST pia huanzishana kugawana taarifa kuhusu kilimo bora, uhifadhiwa bionuwai, misitu, afya (pamoja na ukimwi) nashughuli za maendeleo endelevu na TISt hujipangakufikisha habari hii inayotumika kwa vikundi vidogo.Tuna magazeti, mikutano ya kila mwezi ya clusterna semina za kikanda ambapo tunagawana mienendoyetu bora tuliyoanzisha.Faida nyinginezo za TIST ni pamoja na;• Malipo ya mapema ya miti iliyo hai.• Vuno bora kutokana na Kilimo hai.• Bionuwai bora shambani na katika maeneohifadhi.• Kujenga uwezo wa utumizi wa teknolojia,mafunzo na ushirika.• Ujuzi wa Kilimo mseto.• Marafiki wapya.• Ujuzi kuhusu uongozi na usimamizi.• Fursa za kuwatumikia wengine.• Makubaliano ya kugawana faida.2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!