12.07.2015 Views

HABARI MOTO MOTO - TIST

HABARI MOTO MOTO - TIST

HABARI MOTO MOTO - TIST

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Jipemoyo Matongoro, Isaka Matongoro, Uinjilisti AMatomgoro, Israel Mlanje, Uhubiri Mlanje, SayuniBerege, Mkombozi Mwenzele, Israel Mwenzele,Upendo Iwondo, Matendo Lenjulu, MusaMwenzele, Jikomboe Njoge, Mhubiri Lenjulu,Ushahidi Lenjulu Uinjilisti B Matongoro, OmbeniMkoka, Yohana Matongoro, Amosi Matongoro,Mama Jusi Songambele, KilimoSongambele,Uinjilisti Songambele, ChapakaziSongambele, Dolikasi Songambele, Kazi motoSongambele, Dameski Mtanana na UtakatifuManungu.. *Congratulation* we expect to give the groupsCertificates for the good job done by them inorder to show the existance of the group.So for those groups which are not yet fulfill theirloan repayment to make effort in fulfilling theirloan repayment from the loan taken, and here Imean to both 1999 and 2000 groups. For thegroups which received loans in 1999 let them notforget repaying their loans, thus they arereminded to repay and start preparing for the nextloans.Thank you.The time for the loanrepayment extended up to31July before penalty.It is another time again we write to you loanrepayment issue. There were a lot of complaintabout time limited for loans repayment. Most ofthe people said that during that time of loansrepayment almost overall Mpwapwa Diocesepeople would be not yet harvest their crops.According to that suggestions <strong>TIST</strong> Office had anemergency meeting and during that meeting wediscovered that it was important to extend time forthe loan repayment before penalty. Therefore<strong>TIST</strong> office decided to extend that time to 31 July2001 within that period it would have no penalty.Therefore we encouraged you and challenged allthose who were not yet repay to repay their loansto avoid penalty by sent letters through DeaneryCoordinators and Board of trustees of your Parish.Now after 31/07/2001 all those who are not yetrepay their loans they will repay with the increaseas it is stated in the Loan request forms of 2000.After 31 July 2001 those who will intended torepay their loans by crops, they will repay byconsider the value of the crops by that time withthe exert price at a particular area but without theincrease of 20%. For those who will repay theirloans by planting trees they will supposed toprepare 600 seedlings and 600 holes ready fortransplanting next rain season.Mwenzele, Jikomboe Njoge, Mhubiri Lenjulu,Ushahidi Lenjulu Uinjilisti B Matongoro,Ombeni Mkoka, Yohana Matongoro, AmosiMatongoro, Mama Jusi Songambele, KilimoSongambele,Uinjilisti Songambele, ChapakaziSongambele, Dolikasi Songambele, Kazi motoSongambele, Dameski Mtanana na UtakatifuManungu. Vikundi hivi vimefanya vizuri sanakumaliza mkopo wao wote,labda kwa njia yafedha taslim, kwa njia ya mazao au kwa njia yamiti. *Hongera sana * na tunatarajia kuvipatiavyeti kwa ajili ya kazi nzuri iliyofanywa navikundi hivi ili kuonyesha uhai wa kikundi.Hivyobasi kwa vikundi vyote ambavyo havijamalizakulipa mkopo wao tunaomba vijitahidi sana ilikumaliza mkopo wao waliochukua na hii nikwa vikundi vyote vya 1999 na vya 2000. Vilevikundi vya 1999 ambavyo vilichukua mkopovisijisahau kwa kutokulipa mikopo wao, hivyonavyo tunavikumbusha kulipa mikopo yao iliwamalize deni lao na wajiandae kwa kupatamkopo mwingine.Asanteni sana.Kuongezwa kwa Muda waulipaji wa mikopo kabla yaPenati 31Julai 2001Ni wakati mwingine tena tunakuletea jambo laurejeshaji wa mikopo. Kulikuwa na malalamikomengi juu ya kuwekwa karibu kwa mwisho waulipaji mikopo. Watu wengi walieleza kuwakufikia wakati huo wa kulipa deni sehemunyingi za Dayosisi ya Mpwapwa watuwatakuwa hawajavuna mazao yao.Kutokana na mawazo hayo Ofisi ya <strong>TIST</strong>ilikuwa na kikao cha dharura na kuona kuwakulikuwa kuna umuhimu wa kuongeza mudawa kulipa mkopo bila ya penati. Hivyo Ofisiilifikia uamuzi wa kuongeza muda huo kwambamwisho wa kulipa mkopo bila ya nyongeza yapenati kuwa tarehe 31 Julai 2001. Tuliwapamoyo na changamoto wale wote ambaowalikuwa hawajachukua hatua ya kulipamikopo kufanya hivyo ili kuepuka ongezeko lapenati kwa kuwatumia taarifa kupitia kwaWaratibu na Bodi za wadhamini za Parishi.Sasa basi wote ambao bado hawajalipamkopo wao watalipa kukiwa na ongezeko hilosawa na fomu za maombi ya mkopo wamwaka 2000 zilivyoeleza. Baada ya tarehe 31Julai watu watakaolipa mikopo yao kwa njia yamazao, watalipa kwa kuthamanisha mazao nabei zilizopo bila kuwa na ongezeko la asilimia20%. Kwa wale watakaolipa mikopo yao kwanjia ya miti watatakiwa kuandaa miche 600 namashimo 600 tayari kwa kuipanda msimu ujaowa mvua. Na wale wote watakaolipa mkopowao kwa njia ya fedha taslimu watalipa kiasicha shilingi 25000 kwa kila mwanakikundibadala ya kulipa shilingi 20000 kwa kilamwanakikundi.Habari Moto Moto 7

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!