12.07.2015 Views

HABARI MOTO MOTO - TIST

HABARI MOTO MOTO - TIST

HABARI MOTO MOTO - TIST

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Trees and Loan RepaymentsWe are writing to remind all small groups aboutusing trees for loan repayments. As we havementioned before we are accepting trees forrepayment and hope many of the groups takeadvantage of this method. There have been somequestions about this option though and I would liketo take the chance to answer these questions.<strong>TIST</strong> will accept seedlings that are in nurseriesclose to a water source and with holes dug. Pleasedo not think that holes only will be creteria to qualifyfor repayment. If your group has only holes, wesuggest that you have a nursery and a dependablewater source for the seedlings. All three of thesehave to be present to qualify for loan repayment:holes, seedlings in a nursery, and a dependablewater supply.Best Practices for ChristianSmall GroupsThis is the second in a series of HMM articlesreviewing “best practices” for Christian smallgroups. These points have come from many smallgroup seminars in the Diocese of Mpwapwa and inthe United States, and many groups sharing whatthey have learned from the Holy Spirit as theTeacher.What are the qualities of a small groupleader (mwezeshaji)?Be a Servant to the Group(Mark 10:42-44) So Jesus called them and said tothem, "You know that among the Gentiles thosewhom they recognize as their rulers lord it overthem, and their great ones are tyrants over them.But it is not so among you; but whoever wishes tobecome great among you must be your servant,and whoever wishes to be first among you must beslave of all.(Col 1:25) I became its servant according to God'scommission that was given to me for you, to makethe word of God fully known,Love Unconditionally(John 13:34, 35) I give you a new commandment,that you love one another. Just as I have loved you,you also should love one another. By this everyonewill know that you are my disciples, if you have lovefor one another."Be Accepting(Mat 7:1) "Do not judge, so that you may not bejudged.Miti kwa ajili ya kulipiamikopo.Tunawaandikieni kuwakumbusha wanavikundividogovidogo juu ya utumiaji wa miti katika kulipiamikopo. Kama tulivyoeleza kabla kuwa tunakubalimiti kwa ajili ya kulipia mikopo na nimatumaini yetukuwa vikundi vimeifurahia njia hii. Kumekuwa namaswali mengi juu ya njia hizi na ningependakuchukua nafasi hii kuyajibu maswali haya. <strong>TIST</strong>itakubali miche iliyopo kwenye kitalu sehemu yenyeuwezekano wa maji na mashimo yaliyochimbwatayari. Tafadhali tusidhani mkopo unaweza kulipwakwa njia ya kuchimba mashimo pekeyake. Kamakikundi kina mashimo peke yake, tunawashauriwaandae kitaru na uwezekano wa maji kwa ajili yamiche hiyo. Mambo hayo yote matatu ni lazimayawepo ilikikundi kihesabiwe kulipa mkopo wake:Mashimo, Miche kwenye kitalu na uwezekano waupatikanaji wa maji kwa ajili ya kumwagilia.Njia Bora ya vikundi vidogovidogo.Hii ni mara ya pili kwa gazeti la HMM katika mfululizowake linawaletea “Njia Bora” kwa vikundi vyaKikristo. Jambo hili lilikuja baada ya vikundi vingikutoka sehemu mbalimbali za Dayosisi ya Mpwapwana Marekani, na vikundi vingi vinashirikishina yaleviliyojifunza kutokana na roho MtakatifuNi mambo gani yaliyobora kwa kiongozi wavikundi vidogo vidogo(Mwezeshaji)?Uwe Mtumishi wa wengineMark 10:42-44 Ndipo Yesu akawaita akisema nao”mnafahamu kwamba wale wanaohesabiwawakuu wa mataifa huwatawala kwa nguvu nawakubwa wao huwatumikisha lakini haitakuwa hivyokwenu anayetaka kuwa wa kwanza atakuwamtumishi wa wote”.( Kol 1;25) nimekuwa muhudumu wake sawasawana wakili wa Mungu niliyepewa kwa faida yenunilitimize neno la Mungu.Upendo usiyojivuna(Yohana 13;34-35) Amri mpya nawapeniMpendane. Kama vile nilivyo wapenda ninyi nanyivivyohivyo mpendane.Hapo ndipo watu watajua kuwaninyi niwanafunzi wangu.Mkiwa na upendo ninyi kwaninyi.Ukubalike(Mt 7;1) “Usihukumu, usije nawe ukahukumiwa.(Warumi 14;1) Wapokeeni walio wadhaifu wa imanina wala msiwahukumu mawazo yao.Continuted on Page 6Habari Moto Moto© 5Inaendelea ukurasa wa 6

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!