12.07.2015 Views

HABARI MOTO MOTO - TIST

HABARI MOTO MOTO - TIST

HABARI MOTO MOTO - TIST

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Conservation farmingConservation farming is the way of keeping yourfarm in a good condition and make sure that it isremaining with fertility in a long period of time. Forinstance, residue left in the holes or manure addedto the holes decompose to add some fertility in thesoil.The following are some points to be followed tokeep your farm’s soil from loosing fertility.Crop SuggestionsThe first idea is to avoid burning your residues inyour farm. Please make sure that you keep theresidues. The remaining’s after harvest are alwaysdecomposing to add fertility in the soil.Second, keep the cattle out of the stover so that itwill be there for fertilizer, make sure your residualare not eaten by animals like goats, cattle or anyother animals, keep away your animals from yourfarm. If the cattle will graze in the farm then theydestroy your soil and they make the soil to be hard.Third, re-dig an acre of holes to assure correctspacing, shape, and depth.Recommended size is (1by 1) feet and at the recommended row spacing (2by 3) feet. In each holes put two handfuls of farmyard manure. This is important while the ground isstill soft and easier to work. I think now the groundis still soft but if you delay and the sun hit theground the soil will be somehow hard.Fourth, remove all the weeds and avoid seeds tospread around the holes so that they don't have agood start next season.Tree SuggestionsAlso in digging holes, use "best practices" for treeplanting. It has been suggested that the holesshould be spaced farther apart for the trees. Thedistance apart should 12 feet from one hole toanother hole, that the holes should be square ratherthan round, and if possible we should be plantingtrees along the edges of the shambas, or along theroads and paths so that the trees provide manyuses. At the same time it is important to include thefruit trees when we plant trees, the trees will makeus feed our families and rise our economic level.For those who have not yet started the nursery forseedlings it is very important to start now, so thatyour seedlings will be grown enough to betransplanted. It will be better if you plant moreseeds in your nursery to make a good number ofseedlings to cover those which will die whengrowing or to sell to other groups.Board of trustees arereformed.It is time now for you to know about what are goingon in your Diocese. Two months ago Bishoptravelled around different parts of the sevendeaneries in the Diocese conducting seminars withthe ministers, apart from those seminars he spentone day talked about <strong>TIST</strong> He tried to analyse wellContinued on Page 3Utunzaji wa mashamba.Utunzaji wa mashamba ni njia ya kuliweka shambalako katika hali nzuri na kuhakikisha kwambalinabakia na rutuba kwa muda mrefu. Kwa mfano,mabaki yaliyosalia kwenye mashimo au mboleailiyoongezwa kwenye mashimo huoza na kuongezarutuba kwenye udongo.Yafuatayo ni mambo ya kuzingatiwa ilikuliwekashamba lako ili lisiweze kupoteza rutuba yake.Mazao yanayoshauriwa.Wazo la kwanza ni kuepuka kuchoma majaniyaliyosalia kwenye shamba lako. Tafadhali hakikishaunayaacha mabaki. Mabaki yaliyosalia baada yakuvuna sikuzote huoza na kuongeza rutuba katikaudongo.La pili, zuia mifugo yako isile mabaki yaliyo shambaniiliyawe mbolea, hakikisha kuwa mabaki yako hayaliwina mifugo kama Mbuzi, Ng’ombe au mifugo yeyoteile, weka mbali mifugo yako na shamba lako. Kamautaruhusu mifugo ichunge kwenye shamba lako basiwataharibu udongo na kuufanya udongo kuwamgumu.Jambo la tatu ni kuchimba mashimo kwenye shambala heka moja kwa ajili ya mazao na kuhakikishanafasi kati ya shimo na shimo ni ile inayotakiwa,urefu wa kwenda chini ni futi 1 kwa 1 na kati yamstari na mstari ni futi mbili kwa tatu). Katika kilashimo weka maganja mawili ya mbolea ya asili. Hii nimuhimu wakati udongo bado laini na ni rahisi kufanyakazi. Nadhani kwa sasa udongo bado ni laini lakiniukichelewa jua lipige sana udongo utakuwa mgumukiasi fulani.Jambo la nne, ondoa magugu yote kuzungukamashimo na mbegu zote zilizopo pembeni mwashimo lako ili kusiwe na magugu mengi msimu ujao.Ushauri wa Upandaji wa miti.Pia katika kuchimba mashimo,tumia “Njia Bora” kwakupanda miti. Ilikuwa imeshauriwa kuwa mashimoyawe mbalimbali kiasi kwa upande wa miti. Umbalikati ya shimo na shimo uwe ni futi 12, na kama kunauwezekano ni vizuri tukapanda miti kuzungukamashamba yetu, au pembeni mwa barabara na njia ilimiti iwe na matumizi mengi zaidi. Wakati huo huo nimuhimu kupanda miti ya matunda wakatitunapopanda miti, miti hii itatumiwa na familia zetu nakuinua kiwango cha uchumi. Kwa wale wote ambaohawajaanzisha vitalu vya miche ni muhimu kuanzishasasa, ili miche yako ifikie umri wa kutosha kwakupandwa. Itakuwa ni vizuri kama utapanda idadikubwa ya miche kufidia miti iliyokufa na itakayokufawakati ikikua au kuwauzia vikundi vingine.Bodi za wadhamini zafufuliwa.Umefika wakati wa kukujulisha juu ya mambo yanayoendelea katika Dayosisi yako. Hivi karibuni BabaAskofu alikuwa akitembelea sehemu mbalimbali zaDinari za Dayosisi ya Mpwapwa kufanya semina zakiutumishi, mbali na semina hizo Askofu alitumiamuda wa siku moja kuongelea masuala ya <strong>TIST</strong>.Inaendelea ukurasa wa 3Habari Moto Moto© 2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!