12.07.2015 Views

HABARI MOTO MOTO - TIST

HABARI MOTO MOTO - TIST

HABARI MOTO MOTO - TIST

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

TISTHABARI MOTO MOTO©Tel. 026-2322246, P.O.BOX 53 MPWAPWA E-Mail tist@ twiga.com 31 July 2001The History Of Uvumilivu SmallGroup.Uvumilivu small group is a small group in Mkoka Parishin Zoissa Deanery. This is the new group under thesmall group program of 2000. The group has 13 groupmembers. This group has attended the small groupseminars’ for four days to get knowledge of treeplanting and Best Agriculture practices.The group got the loan of 20,000Tsh for each groupmember from TIST and used in agriculture andpreparation of the tree seeds.The group has fulfilled to repay their loan repaymentprocess by each member to contribute 2 bags of 7 tinsand they have stored them with their fellows in thegroup until when TIST will go to get them.The activities of the group (Uvumilivu) is also dealingwith the evangelist, prayers, helping those who haveproblems and also dealing with agriculture andenvironmental conservation meanwhile to encourageeach other under this verse of Ephesians 4:12-13 forthe purpose of fulfilling the saints even when the workof service being fulfilled, and build the body of Christuntil we meet the peace union and know well the sonof God.The group plan is to go on with development activitieswhen get another help.God’s blessing be upon you all.! Tafadhali Lipa Mkopo wako ili uwezekuendeleza mradi na kupata mkopomwingine.! Tunza miti ili ikutunze wewe, familiayako na vizazi vijavyo.! Zingatia mafundisho uliyoyapata juuya kilimo Bora cha upandaji miti nautunzaji wa mashamba.Continued on page 2Historia Ya Kikundi ChaUvumilivu.Watu wa parishi ya Mseta wakifundishwa kuchimbamashimo na Mkufunzi tarehe 23July2001 huko MangwetaKikundi cha Uvumilivu ni kikundi kilichopo katikaDinari ya Zoisa Parishi ya Mkoka. Hiki ni kikundikilichoanzishwa mwaka 2000 chini ya mpango wavikundi vidogo vidogo. Ni kikundi kinacho jumuishawanakikundi kumi na tatu. Kikundi hiki kilihudhuriasemina ya siku nne ya mafunzo ya upandaji miti nakilimo cha kisasa au kitaalamu na jinsi ya kupatamaendeleo endelevu.Kikundi kilipata mkopo wa fedha kwa kilamwananakikundi sh 20, 000 zikatumika kwa kilimo nauandaaji wa mbegu za miti.Kikundi kimekamilisha ulipaji wa mkopo wao kwakulipa mahindi kwa kila mwanakikundi gunia mbili zadebe 7 kwa kila gunia na wameyahifadhi kwamwanakikundi mwenzao hadi TISTwatakapo yachukua.Shughuli za kundi letu la uvumilivu tunajishughulishana uinjilisti maombi pamoja na kuwasaidiawenyeshida na kilimo na utunzaji wa mazingirapamoja na kutiana moyo chini ya andiko la efeso4:12-13 kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifuhata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa kristoujengwe, hata sisi tutakapo ufikia umoja wa imani nakumfahamu sana mwana wa Mungu.Matalajio ya kundi letu ni kujiendeleza zaidi pinditupatapo msaada mwingine.Bwana awabariki sana.Habari Moto Moto© 1

Conservation farmingConservation farming is the way of keeping yourfarm in a good condition and make sure that it isremaining with fertility in a long period of time. Forinstance, residue left in the holes or manure addedto the holes decompose to add some fertility in thesoil.The following are some points to be followed tokeep your farm’s soil from loosing fertility.Crop SuggestionsThe first idea is to avoid burning your residues inyour farm. Please make sure that you keep theresidues. The remaining’s after harvest are alwaysdecomposing to add fertility in the soil.Second, keep the cattle out of the stover so that itwill be there for fertilizer, make sure your residualare not eaten by animals like goats, cattle or anyother animals, keep away your animals from yourfarm. If the cattle will graze in the farm then theydestroy your soil and they make the soil to be hard.Third, re-dig an acre of holes to assure correctspacing, shape, and depth.Recommended size is (1by 1) feet and at the recommended row spacing (2by 3) feet. In each holes put two handfuls of farmyard manure. This is important while the ground isstill soft and easier to work. I think now the groundis still soft but if you delay and the sun hit theground the soil will be somehow hard.Fourth, remove all the weeds and avoid seeds tospread around the holes so that they don't have agood start next season.Tree SuggestionsAlso in digging holes, use "best practices" for treeplanting. It has been suggested that the holesshould be spaced farther apart for the trees. Thedistance apart should 12 feet from one hole toanother hole, that the holes should be square ratherthan round, and if possible we should be plantingtrees along the edges of the shambas, or along theroads and paths so that the trees provide manyuses. At the same time it is important to include thefruit trees when we plant trees, the trees will makeus feed our families and rise our economic level.For those who have not yet started the nursery forseedlings it is very important to start now, so thatyour seedlings will be grown enough to betransplanted. It will be better if you plant moreseeds in your nursery to make a good number ofseedlings to cover those which will die whengrowing or to sell to other groups.Board of trustees arereformed.It is time now for you to know about what are goingon in your Diocese. Two months ago Bishoptravelled around different parts of the sevendeaneries in the Diocese conducting seminars withthe ministers, apart from those seminars he spentone day talked about TIST He tried to analyse wellContinued on Page 3Utunzaji wa mashamba.Utunzaji wa mashamba ni njia ya kuliweka shambalako katika hali nzuri na kuhakikisha kwambalinabakia na rutuba kwa muda mrefu. Kwa mfano,mabaki yaliyosalia kwenye mashimo au mboleailiyoongezwa kwenye mashimo huoza na kuongezarutuba kwenye udongo.Yafuatayo ni mambo ya kuzingatiwa ilikuliwekashamba lako ili lisiweze kupoteza rutuba yake.Mazao yanayoshauriwa.Wazo la kwanza ni kuepuka kuchoma majaniyaliyosalia kwenye shamba lako. Tafadhali hakikishaunayaacha mabaki. Mabaki yaliyosalia baada yakuvuna sikuzote huoza na kuongeza rutuba katikaudongo.La pili, zuia mifugo yako isile mabaki yaliyo shambaniiliyawe mbolea, hakikisha kuwa mabaki yako hayaliwina mifugo kama Mbuzi, Ng’ombe au mifugo yeyoteile, weka mbali mifugo yako na shamba lako. Kamautaruhusu mifugo ichunge kwenye shamba lako basiwataharibu udongo na kuufanya udongo kuwamgumu.Jambo la tatu ni kuchimba mashimo kwenye shambala heka moja kwa ajili ya mazao na kuhakikishanafasi kati ya shimo na shimo ni ile inayotakiwa,urefu wa kwenda chini ni futi 1 kwa 1 na kati yamstari na mstari ni futi mbili kwa tatu). Katika kilashimo weka maganja mawili ya mbolea ya asili. Hii nimuhimu wakati udongo bado laini na ni rahisi kufanyakazi. Nadhani kwa sasa udongo bado ni laini lakiniukichelewa jua lipige sana udongo utakuwa mgumukiasi fulani.Jambo la nne, ondoa magugu yote kuzungukamashimo na mbegu zote zilizopo pembeni mwashimo lako ili kusiwe na magugu mengi msimu ujao.Ushauri wa Upandaji wa miti.Pia katika kuchimba mashimo,tumia “Njia Bora” kwakupanda miti. Ilikuwa imeshauriwa kuwa mashimoyawe mbalimbali kiasi kwa upande wa miti. Umbalikati ya shimo na shimo uwe ni futi 12, na kama kunauwezekano ni vizuri tukapanda miti kuzungukamashamba yetu, au pembeni mwa barabara na njia ilimiti iwe na matumizi mengi zaidi. Wakati huo huo nimuhimu kupanda miti ya matunda wakatitunapopanda miti, miti hii itatumiwa na familia zetu nakuinua kiwango cha uchumi. Kwa wale wote ambaohawajaanzisha vitalu vya miche ni muhimu kuanzishasasa, ili miche yako ifikie umri wa kutosha kwakupandwa. Itakuwa ni vizuri kama utapanda idadikubwa ya miche kufidia miti iliyokufa na itakayokufawakati ikikua au kuwauzia vikundi vingine.Bodi za wadhamini zafufuliwa.Umefika wakati wa kukujulisha juu ya mambo yanayoendelea katika Dayosisi yako. Hivi karibuni BabaAskofu alikuwa akitembelea sehemu mbalimbali zaDinari za Dayosisi ya Mpwapwa kufanya semina zakiutumishi, mbali na semina hizo Askofu alitumiamuda wa siku moja kuongelea masuala ya TIST.Inaendelea ukurasa wa 3Habari Moto Moto© 2

continued from page 3 Inatoka ukurasa wa 3stored grains for harvesting loan now, is the time to getand fill those forms and return them to the office. Theforms are sent to Coordinators in your Deanery. If yourgroup has grain stored already for this project andrepaid the loan completely but you have not yet get theform to fill, you may go and ask the Board of trusteesto get them from Coordinators of your Deanery. Afteryou get the forms make sure you fill them immediatelyand return to the TIST Office by any means. Make sureyour Parish Board of trustees is aware that your groupwants to apply for this loan before returning the form tothe TIST Office, because it needs the Chairman of theBoard of trustees to sign that he/she saw the bags foryour qualification.Remember that the purpose of this loan is to rewardthose groups that completed all the requirements of theYear 2000 Planting Loan completely. The groups thatdid each of the following may qualify for a SpecialProject Loan:1. The group provided 2 or more monthly reports thatshow that the small group continues to meet2. The group planted ALL the required trees (1000) forparticipating in TIST3. The group repaid their 2000 planting loan IN FULL,4. The group followed Conservation Farming practicesincluding planting 1 acre of holes per member in 2000.No more than 200 groups can receive this loan, so inorder to be included in this loans you need to fill andreturn the forms before 3 rd August 2001.Those groups who want to ask for bicycle loans may fillthe forms which explaining about Bikes. Especiallythose groups from areas with a shortage of water maydo so, the forms are with your coordinators in yourDeanery.Loans will be distributed after TIST receives andapproves your application forms. The Board of trusteesis responsible to check the small groups for theirqualification and make sure the group members meettogether. At the same time the Office will be looking tosee if the groups sent at least two Monthly reportsforms to the office and if your group has fulfilledrequirements of 2000 loan program.I hope your group is going to repay the loan so that itmay apply for this loan before 3rd August 2001. Pleasebe informed that no more loan will granted until all loanrepayed, this is according to Bishop announcementduring his Deanery’s tour/visit in June. We are askingfor all group members, Parish trainers, Deanerycoordinator and others to help in convincing peoplethat TIST Program to proceed/advance.maalum wa kuhifadhi mazao ni wakati sasa wakujaza fomu hizo na kuzirudisha hapa ofisini. Fomuzilitumwa kwa Waratibu wa Dinari zenu. Kamakikundi chako kina mazao kwa ajili ya kuhifadhitayari kwa mradi huu na kimeshamaliza kulipamkopo wake na hamjapata fomu za kujaza,unaweza kwenda kuwaona wajumbe wa Bodi yawadhamini iliwazichukue kwa mratibu wa Dinariyako. Mara baada ya kuzipata fomu hizo tafadharijaza na kuzirudisha kwenye Ofisi ya TIST kwa njiayeyote ile. Hakikisha Bodi ya wadhamini ya Parishiyako inahabari na kikundi chenu na maombi yenukabla ya kuzirudisha fomu zenu kwenye Ofisi yaTIST, kwa sababu inamhitaji mwenyekiti wa Bodi yawadhamini wa Parishi yako asaini baada ya kuonamazao mliyonayo.Kumbuka mikopo hii maalumu ni kwa ajili ya vikundivyote vilivyorudisha mkopo na mahitaji yote yamkopo wa mwaka 1999/ 2000. Vikundi vilivyofanyamambo yafuatayo vinahaki yakupata mkopomaalum.Kikundi kilichorudisha fomu 2 au zaidi za ripoti yamwezi zinazoonyesha kuwa vikundi viko hai nawanakikundi wanakutana.Kikundi kilichopanda miti yote 1000 iliyokuwainahitajika katika kuwa mwanachama wa TIST.Kikundi kilicholipa mikopo ya mwaka 2000 nakumaliza.Kikundi kilicho lima angalau heka moja kwa kilamwana kikundi kwa kutumia Njia Bora za kilimo.Hakuna vikundi zaidi mbali na vile vya mwaka 2000vitakavyopokea mkopo huu, iliuweze kupata mkuponi vizuri mjaze fomu na kuzirudisha kabla ya tarehe3 August 2001.Vikundi vyote vinavyohitaji kuomba mikopo yaBaiskeli. Na hasa vile vya sehemu zenye ukame wamaji vinaweza kufanya hivyo. Fomu zipo kwawaratibu wa Dinari zenu.Mkopo utagawiwa baada ya TIST kupokea na kuonafomu zenu. Bodi ya wadhamini inawajibu wakuhakikisha kuwa vikundi vina mazao na kuonakama wanakikundi wanakutana. Wakati huo huoOfisi itaangalia kuona kama kikundi kimerudishaangalau fomu mbili za ripoti ya mwezi kwenye ofisiya TIST na kama kikundi kimekamilisha mahitaji yamkopo wa mpango wa mwaka 2000.Na tumaini kikundi chako kitalipa mkopo wake ilikiwe tayari kuomba mkopo wa 3 Agost 2001.Pia kuzingatia agizo la baba Askofu kuwa mikopo yaaina yoyote ile haitatolewa mpaka hapo mikopo yoteitakaporejeshwa katika ofisi ya TIST. Tunaombawanavikundi, Wawezeshaji wa parishi, Waratibu waDinari msaidie; kuhamasisha zoezi hili ili mikopo hiiitunufaishe zaidi.Habari Moto Moto© 4

Trees and Loan RepaymentsWe are writing to remind all small groups aboutusing trees for loan repayments. As we havementioned before we are accepting trees forrepayment and hope many of the groups takeadvantage of this method. There have been somequestions about this option though and I would liketo take the chance to answer these questions.TIST will accept seedlings that are in nurseriesclose to a water source and with holes dug. Pleasedo not think that holes only will be creteria to qualifyfor repayment. If your group has only holes, wesuggest that you have a nursery and a dependablewater source for the seedlings. All three of thesehave to be present to qualify for loan repayment:holes, seedlings in a nursery, and a dependablewater supply.Best Practices for ChristianSmall GroupsThis is the second in a series of HMM articlesreviewing “best practices” for Christian smallgroups. These points have come from many smallgroup seminars in the Diocese of Mpwapwa and inthe United States, and many groups sharing whatthey have learned from the Holy Spirit as theTeacher.What are the qualities of a small groupleader (mwezeshaji)?Be a Servant to the Group(Mark 10:42-44) So Jesus called them and said tothem, "You know that among the Gentiles thosewhom they recognize as their rulers lord it overthem, and their great ones are tyrants over them.But it is not so among you; but whoever wishes tobecome great among you must be your servant,and whoever wishes to be first among you must beslave of all.(Col 1:25) I became its servant according to God'scommission that was given to me for you, to makethe word of God fully known,Love Unconditionally(John 13:34, 35) I give you a new commandment,that you love one another. Just as I have loved you,you also should love one another. By this everyonewill know that you are my disciples, if you have lovefor one another."Be Accepting(Mat 7:1) "Do not judge, so that you may not bejudged.Miti kwa ajili ya kulipiamikopo.Tunawaandikieni kuwakumbusha wanavikundividogovidogo juu ya utumiaji wa miti katika kulipiamikopo. Kama tulivyoeleza kabla kuwa tunakubalimiti kwa ajili ya kulipia mikopo na nimatumaini yetukuwa vikundi vimeifurahia njia hii. Kumekuwa namaswali mengi juu ya njia hizi na ningependakuchukua nafasi hii kuyajibu maswali haya. TISTitakubali miche iliyopo kwenye kitalu sehemu yenyeuwezekano wa maji na mashimo yaliyochimbwatayari. Tafadhali tusidhani mkopo unaweza kulipwakwa njia ya kuchimba mashimo pekeyake. Kamakikundi kina mashimo peke yake, tunawashauriwaandae kitaru na uwezekano wa maji kwa ajili yamiche hiyo. Mambo hayo yote matatu ni lazimayawepo ilikikundi kihesabiwe kulipa mkopo wake:Mashimo, Miche kwenye kitalu na uwezekano waupatikanaji wa maji kwa ajili ya kumwagilia.Njia Bora ya vikundi vidogovidogo.Hii ni mara ya pili kwa gazeti la HMM katika mfululizowake linawaletea “Njia Bora” kwa vikundi vyaKikristo. Jambo hili lilikuja baada ya vikundi vingikutoka sehemu mbalimbali za Dayosisi ya Mpwapwana Marekani, na vikundi vingi vinashirikishina yaleviliyojifunza kutokana na roho MtakatifuNi mambo gani yaliyobora kwa kiongozi wavikundi vidogo vidogo(Mwezeshaji)?Uwe Mtumishi wa wengineMark 10:42-44 Ndipo Yesu akawaita akisema nao”mnafahamu kwamba wale wanaohesabiwawakuu wa mataifa huwatawala kwa nguvu nawakubwa wao huwatumikisha lakini haitakuwa hivyokwenu anayetaka kuwa wa kwanza atakuwamtumishi wa wote”.( Kol 1;25) nimekuwa muhudumu wake sawasawana wakili wa Mungu niliyepewa kwa faida yenunilitimize neno la Mungu.Upendo usiyojivuna(Yohana 13;34-35) Amri mpya nawapeniMpendane. Kama vile nilivyo wapenda ninyi nanyivivyohivyo mpendane.Hapo ndipo watu watajua kuwaninyi niwanafunzi wangu.Mkiwa na upendo ninyi kwaninyi.Ukubalike(Mt 7;1) “Usihukumu, usije nawe ukahukumiwa.(Warumi 14;1) Wapokeeni walio wadhaifu wa imanina wala msiwahukumu mawazo yao.Continuted on Page 6Habari Moto Moto© 5Inaendelea ukurasa wa 6

Continued from page 5 Inatoka ukurasa wa 5(Rom 14:1) Accept him whose faith is weak, withoutpassing judgment on disputable matters.Listen in love(1 Cor 13:4-7) Love is patient; love is kind; love is notenvious or boastful or arrogant or rude. It does notinsist on its own way; it is not irritable or resentful; itdoes not rejoice in wrongdoing, but rejoices in thetruth. It bears all things, believes all things, hopes allthings, endures all things.It is easy to be a small group leader (mwezeshaji), butnot always natural. The leader is not the boss or thechairman of the group. Instead, the leader serves thegroup by bringing the group together, welcomeseveryone, makes group members feel comfortable,gets agreement on what the tasks for the meeting are,and encourages each member of the group to shareand participate.Small groups in the DMP have identified furtherattributes of a small group leader. A good mwezeshajiis thankful, a good listener, creative, polite, disciplined,humble, compassionate, wise, trustworthy, patient,cheerful, and encouraging. A good mwezashajidepends on God, values the gifts of others, knows thegroup members, shares openly and smiles.And don’t forget the co-leader (mwezeshaji mwenza)who also serves the group by keeping time and helpingthe mwezeshaji!(Eccl 4:9-12) Two are better than one, because theyhave a good reward for their toil. For if they fall, onewill lift up the other; but woe to one who is alone andfalls and does not have another to help. Again, if twolie together, they keep warm; but how can one keepwarm alone? And though one might prevail againstanother, two will withstand one. A threefold cord is notquickly broken.Congratulations for loanrepayment.By Sikitu PangaweHere below I would like to remind you again about yourloan repayment. The time of loan repayment hadalready passed 15 June 2001 and the Office extendedthe time, deadline of loan repayment to be 31 july2001, we want to congratulate those groups repaidtheir loans for the good job which you did, for yourgroup benefit for repaying completely your loans. Byusing this article through newsletter as stated above Iwant to congratulate those groups finished to repaytheir loans using different ways. These groups did agood job by repaying fully their loans, Some by cash,by crops or by trees and some by combination.The list of groups are as follows: Yehova Matongoro,Sikiliza kwa upendo(1kor 13;4-7) Upendo huvumilia ; upendo hufadhilipia hauhusudu ‘upendo hautakabari;haukosiadabu au hautafuti mambo yake hauoni uchunguau hauhesabu mabaya haufurahii udhalimu.Upendo huamini yote hutumaini yote hustahimiliyote.Ni rahisi kuwa kiongozi wa kikundi kidogo(mwezeshaji) lakini siyo siku zote kama kawaida.Kiongozi siyo ndiyo mkuu au mwenyekiti wakikundi. Badala yake, ni kiongozi wa kuhudumiakikundi kwa kulikusanya kundi pamoja, nakuwakaribisha kila mmoja, kuwafanya wanakikundikuwa na amani, kupata makubaliano juu ya mahitajiya vikao na kufarijiana kila mmoja wa kikundikushirikishwa na kushiriki.Vikundi vidogo vidogo vya DMP vimegundua njiampya ya uongozi wa kikundi. Kiongozi mzuri nimwenye shukrani, ni msikilizaji mzuri, ni mbunifu,mtulivu, ana adabu*. Mwezeshaji mzurianamtegemea Mungu, anathamini wenzake,anawajua wanakikundi, anashirikiana kwa uwazi nani mwenye tabasamu.Na bila kusahau mwezeshaji mwenza ambayehusaidia kikundi kwa kutunza muda na kumsaidiamwezeshaji.Mhubiri 4:9-12) Afadhali kuwa wawili kuliko mmojamaana wapata ijala njema kwa kazi yao. Kwamaana wakianguka mmoja wao atamwinuamwenzake; Lakini ole wake aliye peke yakeaangukapo, wala hana mwingine wa kumuinua!Tena wawili wakilala pamoja hapo watapata motolakini mmoja aliyepeke yake tu awezaje kuonamoto? Hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliyekumshinda wawili watampiga; wala kamba ya nyuzitatu haitakatika upesi.Hongera kwa kulipa mkopoNa Sikitu PangaweHapa chini napenda kuwakumbusha tena juu yaulipaji wa mikopo yetu. Kwa vile muda wa ulipajimkopo ulikuwa umeisha 15Juni na bado tuliongezamuda tena wa kulipa mkopo bila penati kuwa31July 2001.Tunapenda kuwapongeza kwa kazinzuri mnayoifanya kwa ajili ya faida ya kikundi hasakwa vile vikundi vilivyomaliza kabisa kulipa mikopoyao. Kwa makala ya gazeti hili kwa kichwa chahabari hapo juu ni kwamba tunapendakuwapongeza sana vikundi vyote vilivyomalizakulipa mikopo yao kama vile Vikundi vya YehovaMatongoro, Jipemoyo Matongoro, Isaka Matongoro,Uinjilisti A Matomgoro, Israel Mlanje, UhubiriMlanje, Sayuni Berege, Mkombozi Mwenzele, IsraelMwenzele, Upendo Iwondo, Matendo Lenjulu, MusaHabari Moto Moto© 6

Jipemoyo Matongoro, Isaka Matongoro, Uinjilisti AMatomgoro, Israel Mlanje, Uhubiri Mlanje, SayuniBerege, Mkombozi Mwenzele, Israel Mwenzele,Upendo Iwondo, Matendo Lenjulu, MusaMwenzele, Jikomboe Njoge, Mhubiri Lenjulu,Ushahidi Lenjulu Uinjilisti B Matongoro, OmbeniMkoka, Yohana Matongoro, Amosi Matongoro,Mama Jusi Songambele, KilimoSongambele,Uinjilisti Songambele, ChapakaziSongambele, Dolikasi Songambele, Kazi motoSongambele, Dameski Mtanana na UtakatifuManungu.. *Congratulation* we expect to give the groupsCertificates for the good job done by them inorder to show the existance of the group.So for those groups which are not yet fulfill theirloan repayment to make effort in fulfilling theirloan repayment from the loan taken, and here Imean to both 1999 and 2000 groups. For thegroups which received loans in 1999 let them notforget repaying their loans, thus they arereminded to repay and start preparing for the nextloans.Thank you.The time for the loanrepayment extended up to31July before penalty.It is another time again we write to you loanrepayment issue. There were a lot of complaintabout time limited for loans repayment. Most ofthe people said that during that time of loansrepayment almost overall Mpwapwa Diocesepeople would be not yet harvest their crops.According to that suggestions TIST Office had anemergency meeting and during that meeting wediscovered that it was important to extend time forthe loan repayment before penalty. ThereforeTIST office decided to extend that time to 31 July2001 within that period it would have no penalty.Therefore we encouraged you and challenged allthose who were not yet repay to repay their loansto avoid penalty by sent letters through DeaneryCoordinators and Board of trustees of your Parish.Now after 31/07/2001 all those who are not yetrepay their loans they will repay with the increaseas it is stated in the Loan request forms of 2000.After 31 July 2001 those who will intended torepay their loans by crops, they will repay byconsider the value of the crops by that time withthe exert price at a particular area but without theincrease of 20%. For those who will repay theirloans by planting trees they will supposed toprepare 600 seedlings and 600 holes ready fortransplanting next rain season.Mwenzele, Jikomboe Njoge, Mhubiri Lenjulu,Ushahidi Lenjulu Uinjilisti B Matongoro,Ombeni Mkoka, Yohana Matongoro, AmosiMatongoro, Mama Jusi Songambele, KilimoSongambele,Uinjilisti Songambele, ChapakaziSongambele, Dolikasi Songambele, Kazi motoSongambele, Dameski Mtanana na UtakatifuManungu. Vikundi hivi vimefanya vizuri sanakumaliza mkopo wao wote,labda kwa njia yafedha taslim, kwa njia ya mazao au kwa njia yamiti. *Hongera sana * na tunatarajia kuvipatiavyeti kwa ajili ya kazi nzuri iliyofanywa navikundi hivi ili kuonyesha uhai wa kikundi.Hivyobasi kwa vikundi vyote ambavyo havijamalizakulipa mkopo wao tunaomba vijitahidi sana ilikumaliza mkopo wao waliochukua na hii nikwa vikundi vyote vya 1999 na vya 2000. Vilevikundi vya 1999 ambavyo vilichukua mkopovisijisahau kwa kutokulipa mikopo wao, hivyonavyo tunavikumbusha kulipa mikopo yao iliwamalize deni lao na wajiandae kwa kupatamkopo mwingine.Asanteni sana.Kuongezwa kwa Muda waulipaji wa mikopo kabla yaPenati 31Julai 2001Ni wakati mwingine tena tunakuletea jambo laurejeshaji wa mikopo. Kulikuwa na malalamikomengi juu ya kuwekwa karibu kwa mwisho waulipaji mikopo. Watu wengi walieleza kuwakufikia wakati huo wa kulipa deni sehemunyingi za Dayosisi ya Mpwapwa watuwatakuwa hawajavuna mazao yao.Kutokana na mawazo hayo Ofisi ya TISTilikuwa na kikao cha dharura na kuona kuwakulikuwa kuna umuhimu wa kuongeza mudawa kulipa mkopo bila ya penati. Hivyo Ofisiilifikia uamuzi wa kuongeza muda huo kwambamwisho wa kulipa mkopo bila ya nyongeza yapenati kuwa tarehe 31 Julai 2001. Tuliwapamoyo na changamoto wale wote ambaowalikuwa hawajachukua hatua ya kulipamikopo kufanya hivyo ili kuepuka ongezeko lapenati kwa kuwatumia taarifa kupitia kwaWaratibu na Bodi za wadhamini za Parishi.Sasa basi wote ambao bado hawajalipamkopo wao watalipa kukiwa na ongezeko hilosawa na fomu za maombi ya mkopo wamwaka 2000 zilivyoeleza. Baada ya tarehe 31Julai watu watakaolipa mikopo yao kwa njia yamazao, watalipa kwa kuthamanisha mazao nabei zilizopo bila kuwa na ongezeko la asilimia20%. Kwa wale watakaolipa mikopo yao kwanjia ya miti watatakiwa kuandaa miche 600 namashimo 600 tayari kwa kuipanda msimu ujaowa mvua. Na wale wote watakaolipa mkopowao kwa njia ya fedha taslimu watalipa kiasicha shilingi 25000 kwa kila mwanakikundibadala ya kulipa shilingi 20000 kwa kilamwanakikundi.Habari Moto Moto 7

And for those planned to repay their loans by cashthey will repay 25000/= for every group memberinstead of 20000/= for every group member.Please we ask for all groups to know theimportance of repaying their loan so that we willhave enough time to prepare the agricultural loanprogram for 2001.Tunaomba vikundi vyote vione umuhimu wakulipa mkopo wake ili tuwe na muda wakutosha katika kuandaa mkopo wa kilimo wamwaka 2001.AsanteniThanks.Board member profileJoseph MahonaI was born in 1930 at Mwitikila village in RuralDistrict in Dodoma Region. I attended primaryschool at Chipogoro from standard one tostandard 4 from 1945 to 1949.After finishing standard 4, I worked as arepresentative of the Democratic Party when itwas TANU, for ten years from 1975 to 1985 inChipogoro. I worked as a driver from 1986 to1997 in private car hire. After that, I worked as aChairman of the Chama cha Mapinduzi (CCM)Democratic Party until now in a section ofMlunduzi in Mpwapwa District.I got married in 1947 but my wife died and Imarried another wife in 1985, Vaileth Mahona,who is living with me up to this time. I have 11Children who are still alive up to this time.I heard about TIST in late 1999, and I joined thesame year. In the TIST program I am veryinterested in how it managed to put peopletogether. It helped to collect people to church,especially those who have not been attending,they are now attending and worshiping together.TIST also helped to bring environmentaleducation.I have the following suggestions and advice tothe small groups: TIST is serving peoplespiritually and physically. Please let us follow theinstructions from this program so that it can growand live for a long time. I advise people to betrusting and to speak the truth.Thank you,Historia ya mjumbe wa BodiJoseph MahonaJina langu ni Joseph Mahona nilizaliwa mwaka1930 katika kijiji cha Mwitikila wilaya yaDodoma vijijini mkoani Dodoma. Nilianzamasomo yangu hususani shule ya msingi katikakijiji cha Chipogoro kuanzia darasa la kwanzahadi darasa la nne mwaka 1945 hadi 1949.Baada ya masomo yangu ya darasa la nne,nilianza kufanya kazi kama muwakilishi wachama cha siasa cha TANU kwa muda wamiaka kumi, kuanzia mwaka 1975 hadi mwaka1985 katika kijiji cha Chipogoro. Na pia nilifanyakazi kama dereva wa gari la mtu binafsi. Baadaya hapo nikafanyakazi kama mwenyekiti waChama cha Mapinduzi (CCM) chama chakidemokrasia hadi sasa katika sehemu yaMlunduzi katika wilaya ya Mpwapwa.Nilioa mnamo mwaka 1947 lakini mke wangualifariki baadaye, na baada ya kifo cha mkewangu nilifanikiwa kuoa mwanamke mwinginehapo mwaka 1985 anayeitwa Vaileth Mahonaambaye ninaishi naye hadi sasa. Kwa upandewa familia nina watoto 11 ambao wote wapo haihadi wakati huu.Niliisikia Habari za TIST mwishoni mwa mwaka1999, na nikajiunga na Mpango huo mwaka huohuo. Katika mpango huu wa TIST ninavutiwazaidi kwa kuona jinsi TIST inavyowezakuwaunganisha watu kuwa kitu kimoja.Imesaidia kukusanya watu kwenda makanisanikwa wale ambao walikuwa hawahudhuriimakanisani kabla ya hapo, kwa hivi sasawanahudhuria na wanaabudu pamoja na piaOfisi inatoa elimu ya kutunza mazingira.Sasa yafuatayo ni mawazo au ushauri wangukwa vikundi vidogo vidogo.TIST ni mpango unao hudumia watu kiroho nakimwili. Tafadhalini nawaomba tufuatemaelekezo ya mpango huu ili uweze kukua nakudumu kwa muda mrefu.Pia nawashauri watu wawe waaminifu nawasema kweli tupu. Kwani kwa kusema kwelitutaleta taarifa sahihi Ofisini nao watapelekataarifa hiyo kwa watu wanaoisaidia Ofisi ya TISTkatika mpango huu.Asanteni,Habari Moto Moto 8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!