Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST Mazingira Bora - TIST

11.07.2015 Views

• Kuongezea, ikiwa mtu ameona zawadiiliyoonyeshwa na kiongozi, mwanakikundianaweza pia kusema ni zawadi ipi.Kwa kupitia uongozi wa mzunguko, kila wiki kiongozimpya hujengwa. Kupitia Kujengana, tunatiana nguvukati yetu kuhusu vitu vizuri alivyofanya kiongozi wawiki hiyo mkutanoni na talanta alizoonyesha mtu huyo.Kujengana pia ni njia ya kujua kuangalia vitu vizurikuwahusu watu halafu kuvisema. Sote twahitajikufunza ndimi zetu kusema yaliyo mazuri. Kuongezea,kikundi chote hujua ni nini kikundi kinafikilia ni muhimukatika kiongozi mtumishi. Viongozi wanaofuatawatafaidika kupitia waliyosikia katika Kujenganakuhusu viongozi waliopita na kujua ni nini muhimukatika kuwa kiongozi.KISWAHILI VERSIONKujibu wakati wa kujengana, kiongozi wa wiki hiyoatasema, “Asante.” baada ya kila mwanakikundi kusemataarifa nzuri iliyo maalum. Hakuna kujadiliana kuhusuvipi kungekuwa kuzuri zaidi ama tofauti. Mara nyingi,mtu huyo hufurahi anapoambiwa kuhusu mambomazuri aliyofanya wakati wa mkutano. Wakatimwingine, huwa tunajua mambo kujihusu ambayohatukuwa tunajua!Kujengana husaidia kiongozi wa siku hiyo kujua talantazake na kuzidi kuzitumia. Kujengana pia husaidiakikundi kidogo kwa sababu wana kikundi wotehuboresha uongozi wao wa utumishi wanapozidikujifunza.Kujengana ni baraka mara mbili!Uchafuzi wa maji: Kwa nini ni muhimu na twaweza kufanyeje?Wakati watu huchota na kunyua majiyaliyochafuka yasiyotibiwa, wanawezakugonjeka sana. Twahitaji kusomeshawatu katika cluster na katika jamii kuhusu hatari yamaji yasiyotibiwa ili waweze kujua vizuri zaidi jinsiya kutibu maji ili wakae wenye afya.Uchafuzi wa maji unasababishwa na mambomengi:1. Usaha wa taka zisizotibiwa kutoka viwandanina wa maji taka2. Kazi za binadamu bila kujali karibu na maji[mito, visima, visima virefu].3. Mitaro duni, ivyo taka hubebwa hadi majini namaji yanafurika. Kemikali kama, fertilizer naviuatilifu, zaweza kutoka mashambani mwetuna kuchafua maji.4. Kuoga na kuoshe nguo majini( vyanzo vya maji).5. Kukojoa na kujisaidia karibu na vyanzo vya maji.6. Vifuniko vilivyopasuka visimani virefu auvisimani7. Ukosefu wa vyoo vya kuchimba maeneo yavijijini. Maji ya mvua yaweza kubeba taka yabinadamu hadi vyanzo vya maji.8. Wanyama wanaolishwa karibu au ndani yavyanzo vya maji yanayotumika na watu amaambapo mito inaanzia.Uchafuzi wa maji husababisha shida nyingi:1. Uchafuzi waweza moja kwa moja kutia sumuna kuua mimea na wanyama (pamoja na watu)ama usababishe sumu kupitia mbolea zaviwandani zilizo na madini ya naitrojeni nauchafu unaooshwa hadi majini ambaohusababisha kuongezeka kwa ukuaji wa mimeaya maji. Mimea hii inapokufa, inasababisha majiyanapoteza Oksijeni, jambo ambalohusababisha vifo vya wanyama wa majini.2. Polluted water used for cooking, washing anddrinking, spreads many human diseases. Majimachafu yanayotumiwa kupika, kuosha, kunyua,hueneza magonjwa mengi ya binadamu. Hayani kama Minyoo ya matumbo, magonjwa yangozi, kipindi pindu na kuhara.3. Kemikali zingine katika maji machafu zawezakuongezeka katika miili yetu, na pole polekututia sumu na kusababisha madhara kwetuna kwa watoto wetu.Twaweza kufanyeje kuhusu uchafuzi wa maji?1. Usitupe taka au kumwaga mabaki katika vyanzovya maji. Himiza wengine kufanya vivyo hivyo2. Panda miti karibu na pande za mito na maziwa.Mizizi ya mimea ni nzuri sana katika kutoa takana kuzuia udongo kuingia majini kupitiammomonyoko wa udongo.3. Epuka kupanda mimea karibu sana na mito,maziwa ama visima ili kuepuka mbolea zaviwanda kuingia katika vyanzo vya maji.4. Himiza watu kujenga mbali iwezekanavyokutoka kwa pande za mito.5. Hakikisha visima na visima virefu vinasimamiwavizuri.6. Fensi vyanzo vya maji ili kuzuia wanyamakuchafua maji.7. Usiruhusu watu kuosha karibu na pampu.8. Hakikisha vyoo vya kuchimbwa vipo zaidi yamita hamsini kutoka kwa vyanzo vya maji.Hakikisha kuna mitaro tosha na huchimbemitaro ya kuelekeza maji kwa shimo la kulowa,shimo lililojazwa na mawe ambapo majiyatalowa.9. Karabati nyufa zilizo vifunikoni harakaiwezekanavyo zinapotokea na safisha mahalihapo kila baada ya muda.10. Kama hauna uhakika kuhusu usafi wa maji,yachemshe kabla ya kuyanyua kuua vijiumbemaradhi vinavyoweza kukufanya kuwamgonjwa.4

KISWAHILI VERSIONMoringa: Panda mti huu muhimu ili kuboresha lishe na afya.Umeletewa na Zakayo KayuriMoringa ni mti muhimu. Unapopandwashambani mwako, unaweza kukupa kivulina waweza kutimiza mahitaji yako mengiya kilishe. Pia unaweza kusafisha maji yako kupitiamajani yaliyokaushwa na kupodwa. Pia ina faidazingine za kidawa, kipesa na kilishe. Majani yaMoringa hupeana thamani ya kilishe ya kushangazakwa kutupa:1. Chuma mara tatu zaidi ya mchicha.2. Protini kama katika mayai3. Vitamini A mara nne zaidi ya iliyopo katikakaroti.4. Kalsiamu mara nne zaidi ya iliyopo katikamaziwa.5. Vitamini C mara saba zaidi ya iliyopo katikamachungwa.6. Potasiamu mara tatu iliyopo katika ndizi.Moringa hutibu magonjwa, husafisha maji na nichakula kwa walio na njaa.Ukosefu wa maji masafi ya kunyua ni moja ya tishiokubwa zaidi duniani. Mbegu za Moringa zilizopodwaSehemu hii inahusu msingi na mbali si traki. Trakimingi pia hazipo.Kuna mashamba elfu arobaini na moja katika Kenya,Elfu ishirini na tisa yaliyopitishwa, elfu nne mia tano tayarikupitishwa ukaguzi ujao na elfu saba yasiyo tayari.Mashamba hayo elfu moja na sitini na nane ndiomashamba yaliyo kipaumbele (hususan, tunachaguamashamba yote yaliyo na zaidi ya miti mia nne, halafutunaongeza mashamba yaliyo katika kikundi kimoja. Hiiinatupa asilimia hamsini ya miti isiyoonekana. Hii ilifanyikakwa sababu licha ya kazi nyingi iliyofanywa mwaka jana,kwa kasi tunayosonga, hatuamini timu ya Kenya itawezakumaliza yote elfu saba. Kuwa wazi, mashamba yaliyobakihayatastahiki kwa soko la VCS.Kama sehemu ya mahitaji ya soko la hewa chafu,vikundi vyote vilivyojiandikisha katika TIST vyafaa kuwana mashamba yaliyorekondiwa misingi na kupitishwa.Mashamba yafaa kuwa na traki sahihi zinazoonyeshamahali miti imepandwa. Wakaguzi wa nje hupitishamashamba, wakiangalia data kuhakikisha ni sahihi nakamilifu. Kupitishwa ni hatua muhimu na inayohitajikakatika soko ya kaboni. Husaidia kuwahakikishia wanunuzina wadhibiti wa soko kuwa kazi inayofanywa na wakulimawa TIST ni ya ukweli, sahihi na inafikia viwango vya soko.Leo, kuna mashamba elfu arobaini na moja katikaKenya, elfu ishirini na tisa yamepitishwa.Mengine yamehakikiwa. Kuhakikiwa, kama jinalinavyoonyesha, uhakiki kiasi cha kaboni iliyonyonywazaweza kugeuza majimachafu kuwa maji masafi kwakiuchumi kuliko kutumia kemikali za nchi za nje.Changanya vijiko vikubwa viwili vya mbegu zaMoringa zilizopodwa na maji lita ishirini. Koroga auutingishe kwa nguvu dakika mbili, halafu pole poledakika kumi. Uchafu na bakteria utatua kutoka majinipamoja na Moringa na waweza kuchujwa.Sifa za kidawa za Moringa pia ni zenye kutiamatumaini. Moringa waweza kusaidia katikamaambukizo ya ngozi, kushusha sukari katika damu,kushusha uvimbe, kuponya vidonda vya tumbo,kushusha shinikizo la damu na hata kutuliza mfumawa neva.Moringa ni kuni fanisi, mbolea na chakulacha mifugo.Ni mojawapo ya miti iliyo na matumizi mingizaidi, kama unavyoona kutokana na faida zilizo hapojuu. Wakulima wa TIST, mbona kungoja?Tunapopanda Moringa, tunapata pesa kutokana nakuuza hewa na twaweza kufurahia faida zinginezilizoelezwa hapo juu.Acheni kila mmoja wetu apande angalau mtimmoja!Saidia cluster yako Saidia Cluster yako kurekondiwa msingi wa mashamba yote.na miti ya wakulima wa TIST. Ni tu baada ya kuhakikiwaTIST yaweza kuuza kaboni na kupata pesa za wakulima.Hata hivyo, TIST yafaa kuonyesha usahihi, uwazi na ukwelikatika data inayorekondiwa.Katika mashamba elfu kumi na mbili yaliyobaki,mashamba elfu nne na mia tano yapo tayari lakinimashamba elfu saba hayako tayari. Katika mashamba elfusaba yaliyobaki, elfu moja na sitini na nane yamepewakipaumbele.Hivyo basi, TIST inawauliza wanaTIST wote kusaidiana kuwapa mkono wahesabu miti katika uhesabu mitipamoja kurkondi misingi (yaliyo shambani kabla ya TIST)na traki katika mashamba haya haraka iwezekanavyo.If all groves are fully baselined by the end of this month(October, 2012), we will request Mashamba haya yoteyakimaliziwa kazi mwisho wa mwezi huu (Octoba, 2012),tutawauliza wakaguzi kuja kuyakagua mwezi hujao amaDecemba. Tafadhali pangia kuwa na wanacluster yenukuwaonyesha wahesabu miti yalipo mashamba na kuwatayari kujibu maswali yao.Jedwali lifuatalo laonyesha majina ya cluster namashamba yanayohitaji kuchukiwa rekondi za msingiharaka. Tafadhali jadiliana na cluster yako njia ambazomwaweza kufikia mashamba haya wiki hii au wikiinayofuata. Pia, ongea na wahesabu miti na mjue kamawameyafanyia kazi ama wanahitaji usaidizi nyongeza ilikuyakamilisha. Uongozi wa TIST katika Kenya na timuya US wapo tayari kuwasaidia.5

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!