11.07.2015 Views

Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

• Kuongezea, ikiwa mtu ameona zawadiiliyoonyeshwa na kiongozi, mwanakikundianaweza pia kusema ni zawadi ipi.Kwa kupitia uongozi wa mzunguko, kila wiki kiongozimpya hujengwa. Kupitia Kujengana, tunatiana nguvukati yetu kuhusu vitu vizuri alivyofanya kiongozi wawiki hiyo mkutanoni na talanta alizoonyesha mtu huyo.Kujengana pia ni njia ya kujua kuangalia vitu vizurikuwahusu watu halafu kuvisema. Sote twahitajikufunza ndimi zetu kusema yaliyo mazuri. Kuongezea,kikundi chote hujua ni nini kikundi kinafikilia ni muhimukatika kiongozi mtumishi. Viongozi wanaofuatawatafaidika kupitia waliyosikia katika Kujenganakuhusu viongozi waliopita na kujua ni nini muhimukatika kuwa kiongozi.KISWAHILI VERSIONKujibu wakati wa kujengana, kiongozi wa wiki hiyoatasema, “Asante.” baada ya kila mwanakikundi kusemataarifa nzuri iliyo maalum. Hakuna kujadiliana kuhusuvipi kungekuwa kuzuri zaidi ama tofauti. Mara nyingi,mtu huyo hufurahi anapoambiwa kuhusu mambomazuri aliyofanya wakati wa mkutano. Wakatimwingine, huwa tunajua mambo kujihusu ambayohatukuwa tunajua!Kujengana husaidia kiongozi wa siku hiyo kujua talantazake na kuzidi kuzitumia. Kujengana pia husaidiakikundi kidogo kwa sababu wana kikundi wotehuboresha uongozi wao wa utumishi wanapozidikujifunza.Kujengana ni baraka mara mbili!Uchafuzi wa maji: Kwa nini ni muhimu na twaweza kufanyeje?Wakati watu huchota na kunyua majiyaliyochafuka yasiyotibiwa, wanawezakugonjeka sana. Twahitaji kusomeshawatu katika cluster na katika jamii kuhusu hatari yamaji yasiyotibiwa ili waweze kujua vizuri zaidi jinsiya kutibu maji ili wakae wenye afya.Uchafuzi wa maji unasababishwa na mambomengi:1. Usaha wa taka zisizotibiwa kutoka viwandanina wa maji taka2. Kazi za binadamu bila kujali karibu na maji[mito, visima, visima virefu].3. Mitaro duni, ivyo taka hubebwa hadi majini namaji yanafurika. Kemikali kama, fertilizer naviuatilifu, zaweza kutoka mashambani mwetuna kuchafua maji.4. Kuoga na kuoshe nguo majini( vyanzo vya maji).5. Kukojoa na kujisaidia karibu na vyanzo vya maji.6. Vifuniko vilivyopasuka visimani virefu auvisimani7. Ukosefu wa vyoo vya kuchimba maeneo yavijijini. Maji ya mvua yaweza kubeba taka yabinadamu hadi vyanzo vya maji.8. Wanyama wanaolishwa karibu au ndani yavyanzo vya maji yanayotumika na watu amaambapo mito inaanzia.Uchafuzi wa maji husababisha shida nyingi:1. Uchafuzi waweza moja kwa moja kutia sumuna kuua mimea na wanyama (pamoja na watu)ama usababishe sumu kupitia mbolea zaviwandani zilizo na madini ya naitrojeni nauchafu unaooshwa hadi majini ambaohusababisha kuongezeka kwa ukuaji wa mimeaya maji. Mimea hii inapokufa, inasababisha majiyanapoteza Oksijeni, jambo ambalohusababisha vifo vya wanyama wa majini.2. Polluted water used for cooking, washing anddrinking, spreads many human diseases. Majimachafu yanayotumiwa kupika, kuosha, kunyua,hueneza magonjwa mengi ya binadamu. Hayani kama Minyoo ya matumbo, magonjwa yangozi, kipindi pindu na kuhara.3. Kemikali zingine katika maji machafu zawezakuongezeka katika miili yetu, na pole polekututia sumu na kusababisha madhara kwetuna kwa watoto wetu.Twaweza kufanyeje kuhusu uchafuzi wa maji?1. Usitupe taka au kumwaga mabaki katika vyanzovya maji. Himiza wengine kufanya vivyo hivyo2. Panda miti karibu na pande za mito na maziwa.Mizizi ya mimea ni nzuri sana katika kutoa takana kuzuia udongo kuingia majini kupitiammomonyoko wa udongo.3. Epuka kupanda mimea karibu sana na mito,maziwa ama visima ili kuepuka mbolea zaviwanda kuingia katika vyanzo vya maji.4. Himiza watu kujenga mbali iwezekanavyokutoka kwa pande za mito.5. Hakikisha visima na visima virefu vinasimamiwavizuri.6. Fensi vyanzo vya maji ili kuzuia wanyamakuchafua maji.7. Usiruhusu watu kuosha karibu na pampu.8. Hakikisha vyoo vya kuchimbwa vipo zaidi yamita hamsini kutoka kwa vyanzo vya maji.Hakikisha kuna mitaro tosha na huchimbemitaro ya kuelekeza maji kwa shimo la kulowa,shimo lililojazwa na mawe ambapo majiyatalowa.9. Karabati nyufa zilizo vifunikoni harakaiwezekanavyo zinapotokea na safisha mahalihapo kila baada ya muda.10. Kama hauna uhakika kuhusu usafi wa maji,yachemshe kabla ya kuyanyua kuua vijiumbemaradhi vinavyoweza kukufanya kuwamgonjwa.4

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!