11.07.2015 Views

Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST

Mazingira Bora - TIST

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

a) Ni njia gani bora zaidi ya kuwapanga watuwakati wa mkutano wa Kikundi kidogo?Msiwe na meza kwa sababu inajenga vizuizi katiya watu. Msiwe na kiti cha kukaliwa na mtu aliyena muhimu zaidi kati yenu. Katika TIST, sotetwaketi kwa njia iliyofanana. Sote hukaa chiniudongoni au sote kukalia viti.b) Mtafanyaje kukiwa na watu zaidi ya kumina wawili wanaotaka kujiunga na kikundichenu?Kama kuna zaidi ya watu kumi na wawiliwanaotaka kujiunga na kikundi chenu ni vizurizaidi kuanzisha kikundi kipya. Kikundi chawezakujigawanya na kuwa vikundi viwili, amawanakikundi asili watatu au wanne wawe msingiwa kikundi kipya. Hii ni vizuri kulikoRatiba ya mkutano.Kutumia muda vizuri, kikundi kidogo chapaswa kuwana ratiba ya mkutano iliyopangika vizuri. Hii nimuhimu kwa sababu itakusaidia kuzingatia yaliyokatika ajenda na mambo yaliyo muhimu zaidi. Nimuhimu pia kwa sababu katika TIST, tunajitoleakufanya kazi pamoja kwa muda mrefu ili kukua nakudumisha miti yetu katika soko la hewa. Tunahitajikujua wanakikundi wenzetu vizuri, kwa sababumatendo ya kila mtu hushikilia kikundi chote naTIST yote.Ni muhimu pia, kwa kikundi chako kidogokuwa na mikutano ya mara kwa mara, ikiwezekanamara moja kila wiki au mara moja kila wiki mbili.Hili litawapa wanakikundi chenu nafasi ya kuimarishakikundi na kugawana na kujifunza mafunzo mapya.Wakati wa mkutano, ni muhimu kuzingatia mamboyaliyo muhimu. Vikundi vingi vya TIST vimeonautaratibu unaofuata ukiwa mwenendo bora zaidi ilikuwa na mikutano ya kufanikiwa:Hatua ya kwanza. Salamu na kujijulishakwa wanakikundi wapya ( dakikatano kufika kumi na tano):Hakikisha kila mtu anajisikia nyumbani.Hakikisha ni fupi lakini muache kila mtuajijulishe.KISWAHILI VERSIONMbinu za vikundi vidogo: Mwingiliano wa kikundi.Hatua ya pili.Maombi ya kuanza (Dakikambili):Ombi fupi laweza kusaidia kuunganishakikundi.mwanakikundi mmoja kujaribu kuanzishakikundi peke yake. Kumbuka kuanza uongoziwa mzunguko kutoka mwanzo.c) Ni mbinu zipi mwaweza kutumia ikiwanishati ya kikundi iko chini?Gawanya kikundi kiwe wawili wawili na uulizekila jozi kujadiliana kuhusu kazi iliyopo. Michezoya kuigiza husaidia pia. Mara kwa marakuwasimamisha na kila mtu kusema kitu kizuriambacho kikundi chao kinafanya husaidiakuwapa watu motisha nyingine. Pia kumbukakuuachisha mkutano usiwe mrefu. Kwa njia yakuwa na msaidizi wa kiongozi anayesaidiakuweka masaa, unaweza kuelekeza nishati yakikundi kuhakikisha kazi inafanyika katika mudauliopangiwa.TIST: Mwenendo bora zaidi katika kuendelezamikutano ya kila wiki.Hatua ya tatu. Nyimbo (Dakika tano):Hizi zaweza kuwa zilizoandikwa nakikundi chako, au nyimbo zinazowatiawatu nguvu kama nyimbo za kidini.Hatua ya nne. Kuitikiana kuhusu kazina masaa (Dakika tano):Kiongozi anaeleza yatakayofanyikamkutanoni na wanakikundi waitikiekufanya kazi hiyo. Masaa yatakayotumikakwa kazi hiyo au mjadala yakubalianweili msaidizi wa kiongozi aweze kuwekamasaa ya mkutano.Hatua ya tano. Kazi ya vikundi (saa moja):Ili kufanya vizuri zaidi, kazi yapaswakujadilianwa mkutano wa mwishoukiisha. Kazi zaweza kuwa pamoja nakugawana ni nini kila mtu amefanya ilikusaidia kazi za TIST, kugawanamienendo bora zaidi ya kufanya mambotofauti, kufunza kuhusu vitu fulani najambo lingine lolote la maanalitakalosaidia kikundi chenu kukua .Hatua ya sita. Kujengana (Dakika tano):Kila mwana kikundi anasema jambomoja nzuri kwa kiongozi wa wiki hiyokuhusu uongozi wake ulioonekanakatika mkutano. Kuongezea, mtu yeyoteaweza kusema ni zawadi gani katikauongozi ameona katika kiongozi huyo.Hatua ya saba. Ombi la kufunga (Dakikambili):2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!