11.07.2015 Views

mwalimu na fikra mpya za ufundishaji unaolenga ujenzi jkatika elimu

mwalimu na fikra mpya za ufundishaji unaolenga ujenzi jkatika elimu

mwalimu na fikra mpya za ufundishaji unaolenga ujenzi jkatika elimu

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kasoro ndogo ya hapa ni mwingiliano wa kiwango cha chini kati ya mwalimu na mwanafunzi,mwalimu hupote majukumu katika mchakato wa ujifunzaji wa mwanafunzi. Uzuri ni kuwawanafunzi huweza kujifunza wao kwa wao.TUNAKOTAKIWA KUFIKAMWALIMU MWEZESHAJI (mwingiliano).Huu ndio mchakato ambao mwanafunzi ndiye kiini cha kujifunza na mwalimu ni mwelekezaji. Nimchakato wenye njia mbili, mwalimu na mwanafunzi hutegemea kama timu moja na kunamajukumu ya pande zote na hivyo kujenga ukuaji wa ukweli kwa pande zote.MWALIMUVichocheoMWANAFUNZIVichocheoKutazama na kuelezakukubaliKuchunguza na kuelekezakufikiri na kutendaKueneza taarifakutumia mahitaji na kuzalishaKutathminikutathmini.Tatizo katika mfumo huu ni sharti mwalimu awe na stadi nyingi na pana, awe na matumaini,ukweli, kujiamini, uwezo na nguvu juu ya kile anachotaka mwanafunzi kujifunza. Kwa halihiyouongozi wa shule na uongozi wa elimu ngazi zingine sharti uwe na msaada mkubwa kwamwalimu (Donna(1996).Mbinu hizi mpya ni ngumu na ni vigumu sana kuzimudu bila ya mwendelezo wa mafunzo.Mwalimu ambaye ameshakwisha kuzimudu stadi hizo inamaana tayari amekwisha kubadilimtazamo wa zamani na maelekeo ya kale na kukuza mbinu tafauti kisha kuingia katikautamaaduni mpya.4

Kozi fupi katika eneo mhimu analohitaji ili kumuendeleza mwalimu katika eneo maalumuanaloshughulikia.Miaka kumi na tano (15) hadi ishirini (20) kazini.Mahitaji muhimu ya mwalimu katika majukumu mapya, kozi mpya kwa ajili ya kumpa motisha nakumfanya aendane na wakati.Maeneo mengine yanayoweza kuboresha ufundishaji fanisi ni kuimarisha uwezo eneo la utawala,ulezi/mentor na uhusiano imara kati ya watafiti wa elimu na walimu.ENEO LA UTAWALA.Mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu wakuu ni muhimu sana kwa kuwa eneo la utawala ndilolinalosimamia maendeleo ya shule, walimu wakuu wanatakiwa wawe na uwezo wa kuandaamikakati ya uboreshaji wa wanafunzi na namna ya kufuatilia maeneo maalumu kama vilevipaumbele, ufundishaji unaoambatana na upimaji, uandaaji na utoaaji taarifa, ushirikishajimipango, ufuatiliaji na usimaizi imara.UHUSIANOKATI YA WATAFITI NA MWALIMU.Walimu wanapaswa kuhusishwa kikamilifu katika tafiti mbalimbali za kielimu na pia kuwapamrejesho kuhusu matokeo ya tafiti mbalimbali, changamoto na mahitaji yanayojitokeza kielimu(deogratias 2011).Utafiti kielimu unaweza kuimarisha kwa kuunda jumuia ya watafiri wa elimunchini.UTAFITI WA KIUTENDAJI DARASANIMradi wa EQUIP (Education Quality Improvement Through Pendagogy) katika wilaya yaShinyanga uliibua eneo hili mhimu kwa walimu, changamoto niliyoiona ni kukosekana kwausimamizi baada ya mradi kumaliza muda wake. Pamoja na kuwa tafiti hizi zilihusu mwalimubinafsi shuleni na darasani lakini endapo zitatiliwa mkazo na kuwaimarisha walimu katikakumudu stadi na mbinu za kufanya tafiti hizo zitasaidia sana katika kuendeleza mipango ya shulena maendeleo ya mwalimu kitaaluma.6

MENTORING/ULEZIUlezi pia ni eneo mhimu linalopaswa kutiliwa mkazo katika elimu, kazi ya mentor/mlezi ni kutoamsaada na kutatua changamoto zinazojitokeza kwa mwalimu mwenzake anaye mlea kutokana nakuwa yeye anazo stadi, maarifa, mbinu nyingi na uzoefu kuhusiana na aina ya mafunzo anayo lea.Umhimu wake ni kule kukuza uwezo na uelewa wa kitaalam wa pamoja kwa kumwonesha uhitajiwa kujiendeleza zaidi. Pia ni kurithisha maarifa, stadi na mbinu kutoka kizazi kimoja kwendakuingine.Idara ya ukaguzi inaweza kufanya ushirikiano na walezi wa walimu katika changamotombalimbali zinazowakabili walimu darasani. Hata hivyo ufanisi wa ulezi utakuwa na nguvu iwapomfumo wa elimu na mtaala wa shule utawatambua na kuwafunza zaidi.USHIRIKIANO NI NGUZO YA KUMWENDELEZA MWALIMUMaendeleo ya mwalimu kitaaluma yanahitaji nguvu ya pamoja kutoka serikali kuu, serikaliza mitaa, wanasiasa, watunga sera, mashirika ya kimataifa na asasi za kijamii zinazojishughulisha na maswala ya elimu Tanzania.Pamoja na ushirikiano huo ni mhimu sana wizara ya elimu ianzishe bodi ya walimu ambayoitasimamia maendelo ya taaluma ya walimu nchini. Bodi hiyo ndiyo itakayo ratibu mpango wamafunzo ya walimu kazini pamoja na kuweka vingezo ambavyo mwalimu atatakiwa kuvifikia ilikuwa mwalimu mahiri.MTANDAO WA ELIMU TANZANIAMtandao wa elimu Tanzania uimarishe na kutanua matawi yake katika maeneo ya msingi kamavile kata, wilaya na mkoa ili kusudi matawi hayo yasimamie kikamilifu mitandao midogomidogokamavile, virabu vya masomo na watafiti wadogowadogo. Lakini pia ushirikiano na asasi zingineza kielimu kama vile HAKI ELIMU inaweza kuleta nguvu ya pamoja na kumwinua mwalimu.NINI KIFANYIKE NA NANI AFANYE.Katika ngazi ya shule za msingi yapo maeneo mhimu yanayohitajika kuboreshwa zaidi: Maeneohayo ni uongozi na utawala (mafunzo kwa walimu wakuu), ufuatiliaji na tathmini (mentors waleziwatafiti wa kiutendajidarasani) na ufundishaji darasani katika maeneo mhimu kama vile walimuwa masomo ya hisabati, sayansi na Lugha na stadi za kufundisha darasa la kwanza na pili.7

Mafunzo hayo yafanyike mara mbili kwa mwaka na yawe ni kozi fupi na ndefu kati ya wiki mbiliau tatu wakati wa likizo.hali hiyo inatokana na ukweli kuwa mabadiliko katika elimu yapo kilasiku.Ofisi ya mkurugenzi mtendaji wa wilaya idara ya elimu igharimikie mafunzo hayo kutokana nafedha inayotengwa na wizara kwa ajili ya kuendesha mafunzo ya walimu kazini.Maeneo ambayo bado yana miradi ya kielimu na ambayo bado yana ufadhili kama vile EQUIP –Shinyanga yaunganishe fedha za ufadhili na ruzuku kutoka serikali kuu ili yasfikie kila mwalimukatika eneo husika la mafunzo.Mafunzo hayo yatolewe katika maeneo ya klasta na vituo vya walimu (TRCS) ili kupunguzagharama za mafunzo.HITIMISHO:Umahiri ni faida kubwa katika shughuli yoyote na mwalimu akifanyya kazi yake vuzuri, thamaniyake ni kubwa kwa wengine kwa sasa na baadaye. Ualimu pia ni kundi la wataalamu mahala paona panahuduma mhimu katika jamii (kuelimisha).REJEA.1. Donna Branders & Paul Ginnis(1996) ‘A guide to student – centred learning’uk.19’.2. Pollard A(2005) ‘Reflective teaching’ 2 nd Edition London, New York(uk 402-404).3. J.S. Farant (MA) (1980) “Principle and Practice of Education” Longiman education. GPSMalesia(uk 363)4. Abel Ishumi (March 2011)”Towards Improving the teaching profession for Qualityeducation”5. M. Wassena & Eliamling (March 2011) ‘Towards Improving the teachingprofession forQuality education.6. Mary V. Soko (March 2011) Professional development among primary school teachingexperiences and perception of their work.7. Enea Mhando (March 2011) ‘miss reading teacher professionalism.8. Masawe Deogratias (2010) why should Teachers Conduct School bassed research.8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!