11.07.2015 Views

Check Against Delivery 1.0 - kilimanjaro regional website

Check Against Delivery 1.0 - kilimanjaro regional website

Check Against Delivery 1.0 - kilimanjaro regional website

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Check Against DeliveryTALKING NOTES ZA MHE. MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YAMUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI UZINDUZI WA TOVUTI ZA SEKRETARIETI ZAMIKOA, TAREHE 19 FEBRUARI2009Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu;Katibu Tawala za Mkoa, Bibi Hilda Gondwe,Waheshimiwa Wabunge;Wakuu wa Wilaya wale mliopo hapa;Wakurugenzi wa Wilaya wale mliopo hapa;Mstahiki Meya;Wenyeviti wa Halmashauri za Wilaya;Waheshimiwa Madiwani;Watumishi;Mabibi na Mabwana.1.0 UTANGULIZI. Kabla ya kufanya kazi iliyonileta hapa ya kuzindua Tovuti ya Mkoa wa Kilimanjaroambayoitaashiria Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa yale 21 ya Tanzania Bara,nizungumzie kidogo kuhusu Ziara yangu na mambo yaliyojitokeza.. Tarehe 21 hadi 25 Oktoba 2008, nilifanya ziara katika Mkoa huu, ambayoiliniwezesha kuona utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo na changamotozinazoukabili Mkoa katika utekelezaji wa Miradi hiyo.Hata hivyo, wakati wa ziarahiyo, sikuweza kukamilisha maeneo yale, hivyo kulazimika kurudi lena hapa tarehe16 hadi 19 Februari 2009 ili kukamilisha ziara ya Mkoa huu kwa Wilaya zote.. Nachukua nafasi hii kukushukuru wewe binafsi Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa,Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Watendaji wale katika kufanikisha ziara hii kwakuandaa Ratiba na Taarifa nzuri.Ziara zote mbili zimenisaidia kuuelewa vizuri.sana Mkoa wa Kilimanjaro.Kwa moyo mkunjufu kabisa, naupongeza ushirikiano mzuri uliopo kati ya Viongoziwa Serikali, Chama na Waheshimiwa Wabunge. Ushirikiano huu siyo tuunawafanya kuwa na nguvu moja, ila unachochea utekelezaji wa kasi wa lIani yaCCM ya mwaka 2005, Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025, Malengo ya Milenia ya

Check Against DeliveryUmpja wa Mataifa na Mipango mingine ya Maendeleo. Nawapongezeni sana naendeleeni kudumisha ushirikiano hue.2.0 MAENEO NILlYOTEMBELEA. Katika ziara hii niliyoianza tarehe 16 na ninayoikamilishaleo, tarehe 19 Februari.2009, nilipata fursa ya kutembelea Miradi ya Umwagiliaji, Kufungua Jengo laSACCOS, Kuweka Jiwe la Msingila Ujenzi wa Kituocha parisi kujionea Nyumba zaBei Nafuu na Kiwanda cha Viatu katika Gereza la Karanga. Vilevile, nilishirikiMahafali ya Kidato cha Sita katika Taasisi ya Northern Highlands, KukaguaKiwanda cha Ngozi na lee hii Kuzindua Tovuti za Mikoa21 ya Tanzania Bara nakuzungumza na Watumishi wa Umma.Nimejifunza mengi sana katika maeneo yale niliyotembelea, hivyo nitayaongeleakwa muhutasari kama ifuatavyo:2.1 Skimu ya Mawalla~ Eneo linalolimwasehemu hii ni Hekta 1,804. Lakinieneo linalopata maji ya kutosha niyyyHekta 764, eneo linalobaki halipati maji ya kutosha kutokana na miundombinuchakavu.Mazao yanayolimwa ni Mpunga na Mbogamboga.Niliambiwakwamba kuna eneo lingine ambalo Iilikuwalinatumikalakinimferejiwa majiumefungwa na Mwekezaji wa TPC.Kinachoonekana wazi hapa ni mahusiano yasiyo mazuri sana kati ya Mwekezaji naWanakijiji.>- Tope limejaa na kupunguza wingi wa maji, vilevilehakuna miundombinu ya kuwezay.,kufikandaniya shamba; kuna tatizopia la ndege waharibifuaina ya Kwelekwelea.Niseme wazi kabisa kwamba - hizo Hekta 764 zikilimwavizurina kusimamiwa kitaalamtutavuna mazao mengi sana.Nilipotembelea Namibia Oktoba 2008, niliona SkimuNdogo kulikohii ambapo zinalimwa ni Hekta 600 tu, lakiniuzalishaji wake ni mkubwasana. Nikujipanga. Tunaweza.Niliahidiwakwamba tope litaanza kuondolewa tarehe 1/3/2009. Nategemea kazi hiiitaanza kama nilivyoahidiwa na kumalizi~a. Ninaamini ahadi hii itatekelezwa nahaitakuwa kama ambavyo Wananchi walivyolalamika kwamba ahadi kama hiizimeshatolewa mara nyingi bila utekelezaji kwa Vitendo. Wananchi wanataka majiwaendelee kulima ili wapunguze umasikini. !

Check Against pelivery. .2.2 Mradi wa Umwagiliaji Lower Moshi}> Skimu hii iliyopo katika Kata ya Mabogini na Kahe ina jumla ya Hekta 2,300. Kati yahizo, Hekta 1,100 zimejengewa miundombinu kwa ajili ya Kilimocha Umwagiliajina1,200 hazikujengwa.}> Mradi huu ulijengwamwaka 1984, miaka 25 imepita sasa na idadi ya Wakulimawanaonufaika ni 2,000. Skimu hii imeonyesha mafanikio kwa kuongeza uzalishajiwaMpunga taka wastani wa tani 2 hadi 6.5 kwa Hekta.hayatoshi.Haya si mafanikio haba jape}> Kinachofurahisha zaidi ni kwamba inawezekana kulima Mpunga zaidi ya mara mojakwa mwaka. Hata h;vyo, Mrad;sasa hauna v;faa vya kuweza kuendeleza kilimo kwaukamilifu.}> Mfereji wa maji umejaa matope na majani yameota sehemu nyingi na kusababishamaji yapotelee njiani. Hali hii ya kujaa tope na majani mengi ni lazima tu itapunguzamaji.Nimefarijikakuonajitihadazimeanzakuondoatope katikamJ~~ ~~-t L}> IIi mradi huu ufanye kazi kikamilifu yka:rcfb~--_mrkunahitajika~ujenzi mkubwa wamiundombinu. Kwa mfano, kunahitajika ujenzi wa kilomita 10.1 za mfereji mkubwaIe.....(main canal); Secondary Canal kilomita24.6; Terittry Canal kilomita65.6. Bado kunaDrainage Canal. Huu ni ujenzi mkubwa na utahitajifedha nyingi.}> Ni lazima sasatufikirienamna ya kutengafedha kwenyeBajetiyetukwa ajiliya Mradihuu kuanzia mwaka 2009/2010.>- Kuna Chuo kizuri cha KilimanjaroAgriculture Training Centre (KATC) kwa ajili yakufundisha na kusaidia Wakulima, kutoa Utaalam wa kuandaa mashamba,Y\.v-mbegubora, kulima kisasa, kupalilia na kuvuna kwa wakati. Hali hii imesababishakuongezeka kwa tija na hivyomavuno kwa Hekta kuongezeka}> Vifaa vya Chuo vimechakaa lakini bade kuna Wataalam na Mashamba ya kufundushiayapo. Chuo kinafundisha watu kutoka Nchi jirani pia. Hii ni ishara kwambakinakubalika.~ Tukitumie Chuo hiki; Halmashauri zisaidie Wakulima kadhaa kwa kila mwaka wapatemafunzokwaVitendotaka kwenyeChuohiki.,. Tuliopata bahati ya kuona Miradi miwili ya Umwagiliaji ya Mawalla na Lower Moshi,tutakubaliana kwamba Miradi hii ikitumika vizuri, Mkoa wa Kilimanjaro hautaombaChakula cha njaa hata siku moja. Najua tumekosea mahali fulani, tumeachamiundombinu ile bila usimamizi mzuri ikachakaa na hatukununua mingine wala

Check Against Deliyerykukarabaij iliyopo. Tusiendeleetufanye nini.kulumbana na kutafutana mchawi. Tufikirie upya~ Nilivyouona ule Mradi wa lower Moshi, hauwezi kuendeshwa na Halmashauri auMkoa. Tutadanganyana tu. Tukubali, tutafute utaratibu mwingine wa kuuendesha iIiMwananchi wetu aendelee kupata maji na kuzalisha Chakula.~ Miradihiimiwilina ule wa Ndungu na tukiendeleza kwa ufanisi ile Skimu ya Kirya,ninahakika tutafika mbali. Kwa maoni yangu, ninaamini kwa dhati kabisa kuwa Mkoa waKilimanjaro una uwezo wa kuzalisha Mpunga wa kulisha Nchi nzima na Nchi zaUkanda wa Afrika Mashariki. Hali ya Uchumi iliyopo Duniani kwa saga inatulazimishatujitahidikuzalisha Chakula kingi zaidi. Hatuwezi kuagiza Chakula nje kwa sababu hatakama tungekuwa na fedha, Chakula hakipo cha kutosha Duniani. Wenzetu waThailand na Vietnam wamepunguzawengine wakitembea.kuuza Mchele nje. Tunahitaji kukimbia wakati~ Nawasihi viongozi tuweke akili na nguvu zetu kwenye Miradi hii ya Umwagiliaji.Tukimbizane nayo kwelikweli.Wakulima wasaidiwe kupata Pembejeo. Tuwatembeleetusikilizewanachotuambia.~ Jambo kubwa na zuri nililojifunzakutoka kwenye Miradi hii miwilini utayari na ari yaWananchi kupenda KILIMO. Kiliocha Wananchi wote ni aidha kupatiwa maji yakutosha au shamba la kulima.~ Aidha, nilichogundua kutokana na malalamiko ya Wananchi, Viongoziwengi wa Mkoana Wilaya hamwendi kwenye maeneo ya Miradi. Narudia wito wangu wa kuwatakaWakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakurugenzi Watendaji wote kutoka Maofisinina kwendakukagua na kufuatilia utekelezaji wa Miradi. Magari ya kwenda huko mnayo yatumienikutatua kero za Wakulima2.3 Uwekaji wa Jiwe la Msingi~ Niliweka Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi Okaoni - Kibosho. Ujenzi wa Kituo hikiutagharimu takribani shilingimilioni300 utakapokamilika.~ Niwapongeze tena na kuwashukuru sana Wananchi wa Kijijicha MkamiloOkaoni -Kibosho, Wilaya ya Moshi Vijijinikwa uamuzi wac wa kutoa eneo ambalo ni mali yaKijijikwa ajiliya kujenga Kituocha Polisi.r Niwapongeze pia kwa ujasiri wac wa kukubali tatizo linalowakabili la Wimbi laUjambazi na uhalifu katika Kijiji chao na hivyo kulitolea maamuzi ya kulitatua kwakukataamaovu yote.

Check Against Delivery~ Nawapongeza pia Wananchi ambao pamoja na kutoa eneo, wameweza kukubali kilaKaya kushiriki katika ujenzi wa Kituo hiki. Niliambiwakila Kaya inachangia shilingi10,000/=.~ Kwa dhati kabisa na kipekee niwapongeze na kuwashukiuru Wakazi wa Okaoniwanaoishi Arusha, Tanga, Dar-es-Salaam pamoja na Mijimingine nje ya Mkoa kwakushiriki katika shughuli za maendeleo ya Kijijichao. Wac wenyewe wamewezakuchangia jumla ya shilingi milioni 14 na bade wanahamasishana kuendeleakuchangia.~ Nimshukuru Mkuu wa Jeshi la Polisi Bw. Saidi Mwema kwa kuwaongezea nguvu nakuwapa move Wananchi wa Okaoni kwa kuchangia shilingimilioni10.~ Juhudi zilizoonyeshwa na Wananchi wa Okaoni zinadhihirisha kwamba, kile ambachowengi wanasema Mkoa wa Kilimajaro na Mikoa va Kaskazini inapendelewakimaendeleo sic kwelif Kinachoonekana ni juhudi za kufanya kazi kwa bidii, kufanyamaamuzi, na kutenda kile kilichoamuliwa.~ Kutokana na juhudi zilizoonyeshwa na Wananchi hawa, ndio maana nasi tukawaungamkono na kuchangia jumla ya shilingi milioni 10 (Halmashauri ya Wilaya ya Moshishilingimilioni5 na mimiOtisi ya Waziri Mkuu shilingimilioni5).~ Juhudi zilizoonyeshwa na Wananchi wa Okaoni ni mfano wa kuigwa na Watanzaniawote wanaopenda maendeleo katikamaeneo yao.~ Napenda kusisitiza kwamba ni wajibu wa kila Mtanzania na kila Mwananchi kushirikikatika ulinzi shirikishi. Wenzetu wa Okaoni wameonyesha mfano, nasi ni budikuwaiga.~ Nimewaahidi Wananchi wa Okaoni na Tarafa nzima ya Kibosho kwamba, kwa juhudiwalizoonyesha, Serikali nave itafanya kila njia kuhakikisha kwamba ahadi ya Rais yakujenga Barabara kutoka Barabara Kuu ya Moshi-Arusha kupitia Kindi - kwaRaphael-KirimahadiInternationalSchool itatekelezwajapo kwaAwamuifikapo2010~ Kwa maneno machache. Wananchiwa Okaoni,Viongoziwac na hasa MheshimiwaMbunge wameonyesha kwa vitendo maana ya POLISI JAMIINA UliNZI SHIRlKISHI.Nawapongezeni sana na kuwasihi Wananchi wa Vijijivingine vya Mkoa wa Kilimanjarokujifunza kutoka kwa wenzao wa Okaoni

Check Against Delivery2.4 Gereza la Karanga2.4.1 Kinnda cha Viatu~ Nimeona Kiwanda kizuri cha kuzalisha viatu pale Gereza la Karanga. Nimefarijikakwamba tuna uwezo wa kuzalisha viatu kwa Askari wetu.~ Baada ya kuona kazi ile nzuri nilijiulizaharaka haraka hivi bade tunaagiza viatu vyaMajeshi yetu taka nje? Nilidhanikabisa Kiwanda kite kikiimarishwatutaweza kuzalishaviatu vya kutosha na tusiagize nje.~ Viatu ambavyo siyo vya Majeshi nilivyoona pale navyo vina ubora wa hajj ya juukabisa. Sioni tofautiyake na vilevinavyotokaNje ya Nchiila wa kasumba mbayatutunaona vitu vya Nje ni bora na kudharau vya kwetu. Hivyotukiongezea Kiwanda kiteuwezo tunaweza kuzalisha kwaajiliya Raia wengine wa kawaida.~ Wafungwa wanaotumikia vifungo vyao katika Gereza hili pia wanaondoka na ujuzimzuri wa kutengeneza viatu na kuweza kujiajiriau kuajiriwasehemu nyingine adhabuzaG zinapomalizika. Ningefurahi sana kama kungekuwa na mfumo mzuri wakuwafuatilia kuona kama ujuzi wanaopata pale Gerezani unatumika vizuri kwa faidayao na jamii kwa ujumla.~ Ningependa sana Wizara ya Mambo ya Ndanl ikiangalie upya Kiwanda hiki na kubainimahitajiyake iIiSerikali itafute namna ya kukiongezea nguvu.~ Miradi mingine yale inayoendeshwa na Magereza Nchi nzima nayo iangaliwe upya.Tujue nini kinaweza kufanyika iliutekelezaji wake uwe wa ufanisi zaidi.~ Ninashawishika kuamini kuwa Magereza mengine Nchini nayo yana Miradi kama huuwa Gereza la Karang ambao mbali na kuisaidia Serikali katika uzalishaji, Wafungwawanatumia taaluma zao vizuri na wengine kupata ujuzi.Hivyo, naitaka Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi kuandaa Taarifa ya Miradi mbalimbali inayoendeshwa naMagereza Nchini kale.2.4.2 Ujenz; wa Nyumba za Be; Nafuu,. Nimeahidi kwamba kila nikifanyaziara katika Mkoa wenye Gereza nitatembelea Miradiya Kiuchumi ili kuona mafanikio yake na namna ambavyo Wafungwa wanawezakutumika katika uzalishaji. Hiini Nguvukazi kubwa sana ikitumikavizuri.> Ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa Askari Magereza naG ni mzuri sana. Utaongezahadhi ya nyumba za Askari wetu ambao makazi yao yamekuwa hayaridhishi.kufurahisha zaidi Mradi huu umepata mchango mkubwa wa Nguvukaziya Magereza,Cha

Check Against Delivery,.na hivyo, kufanya gharama kupungua. NimeariflWakwamba katika shilingi'milioni30.zilizotumikakatikaujenzi,nguvukaziimeokoatakribanshilingimilioni15.> Ninahakikakabisa jambohililinawezakufanywapia sehemu nyinginesiyo Magerezatu hats Majeshimengineambayo yana watu wazuri,wachapakazi na wenyetaalumahiziza ujenzi.2.5 Mahafaliya Pili ya Kidatocha Sita Shute ya Northern Highlands> Ninafarikijasana ninapoonaWananchiWazalendowakiwekezakatikaTaasisiza Elimuna kushuhudiazikikua.Shule hii ni mfano mzuri sana wa kuigwana Watanzaniawengine. Nilitoavyetuvya KuhitimuKidatocha Sits kwaWanafunzi79. Hiisi haba nihatua kubwa.> Mahitaji ya Elimu yameongezeka sana na kwa vyovyote vile, Serikali haitawezayenyewe bila mkono wa Selda Binafsi. Changamoto tunayoiona katika Shute zeta nikuongeza ubora wa Elimuna kuzalisha Wanasayansi wengi zaidi.> SuBIa la migomo katika Shute nyingiza Sekondari Nchini unatoa sura isiyo nzuri sanakwa Serikali yetu na kwa Jamii. Lazima tujiulize ni wapi tumeteleza.Je kunaushirikiano mzuri kati ya Walimu na Wanafunzi; Je Wazazi na Walimu wanasaidiajekuimarisha nidhamu ya Mwanafunzi?> SuBIa la malezi ya Watoto ni jukumu letu wote kwa pamoja - Wazazi, Walezi naWalimu.> Matokeoya mioto katikaShule za Mkoawa Kilimanjaroyanatisha sana. Tushirikianekulimalizatatizo hili. Haitujengeipichanzurihasa kwa Mkoaambao una Historianzuriya kuwana shule nyingina nzuri.2.6 Kiwanda cha Ngozi Moshi> Pamoja na maelezo mazuri yaliyotolewa kuhusu Kiwanda hiki, hali ya mazingira yaKiwanda nitatizo hususan harufu mbaya inayotokana na ngozi zinazozalishwa.> Nakubaliana kwamba hali ya kawaida ya uzalishaji wa ngozi; lazima kutakuwepo naharufu.> Hata hivyo,Uongozi wa Kiwanda unaweza kufanya kazi ya ziada kwa kujenga "EffluentTreatment Plant" nzuri zaidi ambayo itapunguza harufu iliyopekwa sass.> Niliambiwa kuwa Watalaam wa Baraza la Mazingira la Taita (NEMC) walitembeleaKiwanda hikimapema mwezi Januari 2009. Ofisiyangu itaomba Taarifa hiyo ilikuonaWataalam wanasema na kushauri nini.7

CheckAgainst Delivery~ Pamoja na hatua hiyo, bade nitamtuma Mheshimiwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamuwa Rais (Mazingira) kutembelea Kiwanda hicho, kuzungumza na MenejimentiWafanyakazi kuhusu mazingira ya utendaji kazi.naUshiriki wa Wananchi~ Katika baadhi ya sehemu nilizotembelea Wananchi walipata nafasi ya kuuliza maswalimbalimbali.~ Maswali mengi yaliyoulizwa ni ya kutia moyo sana. Wananchi wanataka mbolea yaruzuku ya kutosha na kwa wakati; wale wanaolima zaidi ya mars moja wanatakambolea mars mbili; wanataka maji wamwagilie mashamba yao, wanataka Chuo chaKATC kiwape mafunzo. Haya ni mawazo, fikra na mitazamo ya kimaendeleo.Tuwasaidie.~ Wengine wanaulizia namna ya kuimarisha mfumo wa masoko Hiwapate bei nzuri yamazao yao; wanataka wasaidiwe kuua ndege waharibifu wa Kweleakwelea.~ Unapoona maswali kama hays ujue hayo ni maendeleo makubwa na hatuna budikama Serikali kuyataMia majibu mazuri tens majibu ya vitendo.~ Kuna maswali yanayohusiana na kero ndogondogo ambazo Uongozi wa Mkoa naWilaya wanaweza kuyamaliza kwa kujiwekea utaratibu wa kutembelea Wananchi naMiradi yao. Msikae Maofisini hadi Viongozi wa Kitaifa wafanye ziara.mkatatue kero za Wananchi.Nendeni Vijijini~ Tuyafahamua mahitaji yao. Wananchi wetu wanahitaji sana kusikia wanachoambiwana Viongozi wac. Tuwafuate walipo. Hizi kero ndogondogo tuzitafutie ufumbuzi.2.7 Uzinduziwa Tovuti za Sekretariati za Mikoa.. Nashukuru kwamba nimepata nafasi ya kuzindua Tovuti hii ya Mkoa ikiwakilishaUzinduzi wa Tovuti za Mikoa yote 21 hapsNchini na kuzungumza kidogo naWatumishi wa Umma.. Dhana ya upatikanaji Habari na Taarifa ni pans. Haki ya kutafuta, kupokea nakusambaza Habari ni haki ya msingi kwa Binadamu wote katika suala zima la.uwajibikaji wa Serikali kwa Wananchi.Katika kutekeleza jukumu hili, Serikali imeanzisha Vitengo vya Habari, Elimu naMawasiliano katika Wizara zeta iIi Sera, Mikakati na Utekelezaji wa Shughuli zaSerikali uweze kuwafikia wananchi.8

Check Against DeliveryAidha Serikali imeweka utaratibu wa kuwa na Msemaji wa kila WlZaraambaye anawctjibu wa kutoa Taarita kwa Umma kuhu5u mambo yote yanayotekelezwa naWlZara.Mapinduzi katika utumiajiwa Teknolojia ya Habari na Mawasilano (TEKNOHAMA)Duniani yamefanyaDunia kubadilika na kuwa kama Kijiji. Jambo linalotokeaupande mmoja wa Dunia linasambaa Duniani kote mara moja. Dunia inapobadilika,na Tanzania inapaswa kubadilika ili kuendana na kasi ya ukuaji wa Teknolojia yaHabari na Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kwa ujumla.Maendeleo katika Teknolojia, hags TEKNOHAMAni fursa ya kutekeleza dhananzima ya mawasiliano ya uwajibikaji wa Serikali kwa Wananchi wakekatikakutekeleza majukumuya Serikalikama vile Kupanga, Kuandaa Bajeti, KusimamiaUtekelezaji na KutoaTaarifa na Huduma kwa Wananchi (Serikali Mtandao).Serikaliimeweka msisitizokatikamatumiziya TEKNOHAMAkwa kupitishaSera yaTaita ya TEKNOHAMA mwaka 2003. Pia imeimarisha usimamizi wa SerikaliMtandao kwa kuanzisha WlZara ya Sayansi, Mawasiliano na Teknolojia.lIani ya Uchaguzi ya CCM (2005), pamoja na mambo mengine inabainishaumuhimuwa Habari na Mawasilianokatika kujenga Uchumi imara kwa kufanyayafuatayo:~ Kuandaa mazingira mazuriya kufikishaTaarifa muhimu kuhusu masoko,ubora wa viwango vinavyotakiwa na masharti mengineyo kwaWafanyabiasharana hasaWatanyabiasharaWadogona wa Kati.~ Halmashaurikutambua na kutangazamaeneoyenye vivutio vya Kitalii nakuvitangaza. Katika Dunia ya leo, Tovuti ndio njia ambayo tunawezakujitangaza kwa gharama nafuu na kuwafikiawatu wengi Duniani kote kwaharaka sana.Leo hii nimezindua rasmi Tovuti (Website) ya Mkoa wa Kilimanjaro ikiwakilishaUzinduzi kwa Mikoa mingine 21 ya Tanzania Bara ili Taarifa mbalimbali za Mikoaziweze kupatikana kote Duniani.Kwa Mkoa wa Kilimanjaro Anwani ya Tovuti yenu itakuwa (www.kilimaniaro.Qo.tz).Nimefurahi kupata Taarifa kuwa Mikoa ya Mbeya, Manyara, Kagera, Ruvuma,Singida, Mwanza naDar-es-salaam Tovuti zao ziko hewani. Pia, Halmashauri

Check Against Deliverykadhaa zimeweka Tovuti zao hewani.Hivyo, uzinduzi wa lea nimeufanya haps.koashiria kuzinduliwa kwa Tovuti za Mikoayote 21 ya Tanzania Bara.. Kupitia Tovuti hizi tunaweza kupata Taarifa mbalimbali za Fedha na Bajeti;Mipango; Kilimo na Mifugo; Maliasili na Mazingira; Elimu; Afya; Maji; Ushirika;Biashara na nyinginezo nyingi.Safari ni ndefu na changamoto ni nyingi.. Tusifanye Tovuti hizi kama 8fasheni8, zifanye kazi. Watumishi na Viongoziwawezeshwekuitumia na itangazwe kama njia ya kupata Taarifa za Mikoa naWilaya zake.. Mikoa ambayo haijamalizia kuandaa Tovuti hizi ifanye hivyo haraka na kuwekaTaarifa muhimu hasa zUe za utekelezaji wa lIani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka2005 na kutangaza Viwtio vilivyopokatika Mikoa hiyo. Natarajia ifikapo tarehe 30Machi 2009, Mikoa yote itakuwa imekamilisha uandaaji wa Tovuti kama ambavyoimeshaagizwa kupitia barua ya TAMISEMIkwa Mikoa yote yenye KumbukumbuNamba BA.307/413/01 ya tarehe 4 Februari 2009 ambayo ilikuwainasisitiza baruaya tarehe 2 Machi 2008.. Mikoa iandae utaratibu wa kuweka Taarifa katika Tovuti hizo mars kwa mars natusiache Taarifa zikae kwa muds mrefu sana bila ya kuziboresha na kuwezeshaupatikanaji wake. Sitarajii nikifungua Tovuti hii mwezi Mei nikutane na Habari ileUe.niliyoikutalee.Mikoa iendelee na jitihada ya kuziwezesha Wilaya ziweke Taarifa zake kwenyeTovutiza Mikoa.. Tuendelee kuhimiza matumizi sa hihi ya TEKNOHAMAkuimarisha upangaji wa.Mipango na Bajeti; ufuatiliajina tathmini pamoja utoajiTaarifa.Tutakapokamilisha ujenzi wa Mkonga wa Taifa, ambao utagharamiwa kwa pamojana Serikali yetu na Serikali ya China, nina uhakika tutapiga hatua kubwa sanakatika TEKNOHAMA. Gharama za Mtandao zitakuwa nafuu na kOOkakatika kilakens ya Nchi. Hiiitawezesha Watanzania wengi kupata Habari na Taarifa muhimuza Serikali.10

Check Against Delivery2.8 Wajibuwa Utumishiwa Umma katika KuwaleteaMaendeleo Wananchi.(i) Utendaji Madhubuti wa Watumishi. Kwa kuwa nimepata fursa ya kukutana na Watumishi wa Serikali wa Mkoa waKilimanjaro na baadhi ya Halmashauri, niseme machacheambayo yanahusuUtendaji KaziWatumishi wa Serikali kwa ujumla.. Kilanikikutana na Viongoziwa ngazi mbalimbalitunalalamikia Utendaji usioridhishakatika Ofisizetu. Jambo hililinanisumbua sana mimi binafsi kwa sababu kila wakatitunalisemea na inaonekana hatujalitafutia ufumbuzi. Sioni ni kwa vipi tunawezakupiga hatua kubwa ya maendeleo kwa aina hiiya Utendaji Kazi.. Tumejaribu kuweka mifumo ya kupima Utendaji Kazi kwa njia za wazi - OPRAs,lakini bado hatujatatua tatizo. Tumeanzisha Mikataba ya Huduma kwa Mteja lakinibado. Ukisoma Mikataba mingi utaona kwa mfano kwamba, barua inatakiwakujibiwa baada ya siku tatu tangu ifike Ofisi husika. Lakiniwapi? Bado kabisa hilihalifanyiki.(Ii) Tuongeze Juhudi Kwanza. Tunalalamikia maslahi duni. Kwa hivyo, tunaamini kwamba tukiongezewa maslahiUtendaji Kazi utaimarika. Inawezekana ikawa hivyo. Lakini, tutaongezamaslahihayo kwa kitu gani au njia zipi? iii maslahi yaongezeke ni lazima tuzalishe zaidi.Tutazalisha zaidi kwa kufanya kazi zaidi.. Niwaombe tens Wafanyakazi wa Serikali tubadilike. Tuutumikie Umma uliotuwekakwenye Ofisi hizi. Tunaitwa Watumishi wa Umma kwa vile tunawatumikiaWatanzania ambao ndio wanatulipa hicho kidogowanachomudu kwa sass hivi.(Iii) Utendajiwa Pamoja. Eneo lingineni migogoro isiyo ya lazima kati ya ngazi moja na nyingine.Kwamfano,Sekretariatiza Mikoainabidizifanyekazi kwa karibusana na Halmashaurizetu.WotemnawatumikiaWatanzania. Mgawanyo uliopo wa Serikali Kuu naSerikali za Mitaa ni wa kurahisisha Utendajitu. Lengo letu ni moja - KuwaleteaWananchiwa kawaida maendeleo. Tuache hizichokochokondogondogoambazohaziletitija.11

Check Against Delivery. Tukiwana tofauti za kimtazamoau za maoni zisiharibuUtendajiKaziwetu. NatLisidhaniwale tunaweza kuwa na mawazo yanayofananakilawakati.Ndiomaanatuna Sheria,Kanuni,Taratibuna Miongozoinayotuongoza.. Pale ambapo tunaona kazi fulani hatuwezi kuifanyakwa ukamilifu,Matute njiambadalaya kuifanyaHiHeteufanisi.3.0SHUKRANI. Mwisho,nirudie kukushukuruwewe Mhe. Mkuuwa Mkoa,Wakuu wa WilayanaTImu zenu kwa maandalizimazuri na ratiba nzuri iliyoniwezeshakuona Miradi. mingi.Nawashukuru watu wale walionipa zawadi mimi na Mke wangu. Yote hayo ni..mapenzi mama. Nasema Asanteni sana.Nimalizie kwa kusema ukweli na kutoa changamoto kwa Viongozi wale wa Mkoa,hasa Mkuu wa Mkoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi; na Wananchi, kuwahakuna sababu yoyote ya Mkoa wa Kilimanjaro kuwa kati ya Mikoa inayokabiliwana baa la njaa. Hiini aibu! Lazima muondokane na aibu hii kwa kujibu swali Kwanini.Mwisho, nawatakieni utendaji kazi rnzuri na wenye tija. Tuondoke hapa namtazamo mpya wa kuto-kung'ang'ania Ofisini na badala yake tuwatembeleeWananchi kutatua kero zao na kushauriana nao njia bora zaidi za uzalishaji katikaSelda mbalimbali.Asanteni kwa kunisikHiza.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!