10.07.2015 Views

Kujenga mahusiano na Wateja Mambo Muhimu katika Mawasiliano ...

Kujenga mahusiano na Wateja Mambo Muhimu katika Mawasiliano ...

Kujenga mahusiano na Wateja Mambo Muhimu katika Mawasiliano ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

6/11/2012Kujifunza Namna Ya Kufanya Kazi NaWatoto Yatima Na Wanaoishi KatikaMazingira HatarishiMradi wa ushirikiano wa ustawi wa jamii kuhusuUKIMWI kwa ajili ya watoto yatima na waishiokatika mazingira hatarishi.Kujenga mahusiano na WatejaMambo Muhimu katikaMawasiliano na Mahojiano naFamilia.Siku ya 3Kujenga mahusiano na watoto waishio katikamazingira hatarishi na familia zao.Imetokana na Mtaala wa huduma ya Saikolojia jamii wa shirikala Catholic AID Action, NamibiaMchakato Wa Huduma Za Jamii Kwa AjiliYa Watoto Yatima Na Wale Walio KatikaMazingira HatarishiWalioathirika/Walioathiriwa Na UKIMWI.1. Kuwafikia na kuwatambua2. Kujenga mahusiano ya watoto yatima nafamilia zao3. Kutathmini mahitaji na uwezo uliopoMchakato Wa Huduma Za jamii Wa JinsiTakufanya Kazi Na Watoto Yatima Na WaleWalio Katika Mazingira HatarishiWalioathiriwa Na UKIMWI4. Kutengeneza mpango wa huduma: Kuunda mitandao,kufanya utambuzi na kutoa rufaa kwenye vyanzo vinginevya huduma5. Kutoa huduma na misaada mingine i iliyo ndani ya uwezo wataasisi yako• Kuwasaidia watoto yatima na walio katika mazingirahatarishi• Kuwapa huduma ya ushauri nasaha pamoja na familiazao• Kubuni mifumo saidizi kwa ajili ya watoto yatima nawaishio katika mazingira hatarishi na familia zao6. Kuendeleza Kesi menejimenti, utetezi na ufuatiliaji1

6/11/2012MalengoMwisho wa siku, msaidizi ustawi wa jamii atakua na uwezowa :• Kutoa maana na sababu ya kujenga ukaribu na watotowaishio katika mazingira hatarishi pamoja na familia• Kuelezea mitazamo na mambo ya muhimu kwa ajili yakujenga mahusiano mazuri kati ya mtoa huduma namteja• Kubaini sifa za mawasiliano• kujenga stadi za msingi za mawasiliano bora• Kubaini stadi za kujenga mahusiano na mawasilianokulingana na umri wa mtejaMajukumu Ya Msadizi Ustawi WaJamii• Kusikiliza na kutoa msaada• Kutathmini mahitaji na uwezo• Kupanga huduma kwa kushirikiana na familia• Kusaidia kutatua matatazo• Kutoa rufaa• Kushirikiana na Afisa Ustawi wa Jamii wa Wilaya• Kutoa taarifa• Kusaidia wakati wa matatizo• Zingatia: Watoto na familia ambao hawana uwezowa kukabiliana kikamilifu na matatizo wapewe rufaakwenda kwa wataalamu wa ustawi wa jamiiMsaidizi Ustawi Wa JamiiHAWEZI..• Kutoa unasihi wa kina• kutoa huduma za kiafya au za kitabibu• Kushughulikia matatizo makubwa ya kihisia na kiakili• Kutatua matatizo yote ya mtoto!!!Kujenga uhusiano nawatoto na familiaNi nini maana ya kujenga uhusiano?2

6/11/2012Kujenga Uhusiano Kati YaFamilia Na Watoto• Kujenga uhusiano ni mchakato ambao unawasaidiawatu kuondokana na vikwazo vya kupata huduma aumsaada.• Matatizo haya yanaweza kuwa yamesababishwa nakutokupata k t taarifa yahuduma fulani au kutokua k nanjia ya kapata huduma hizo.• Matatizo haya yanaweza kuwa ya mtu binafsi kamavile mtu kutotaka kuomba msaada au hata kutodhaniya kwamba huduma zinaweza kumsaidia• Uhusiano mzuri hutegemea uwezo wa mtoa hudumakujenga uhusiano sahihi na watu, familia, vikundi aujamii kwa ujumlaMambo Ya Msingi Ya KujengaUhusiano• Jenga mawasiliano na ukaribu kati yako nafamilia• Jitambulishe kwa ndugu wa karibu na familia• Jieleze kikamilifu na eleza majukumu yako• Onyesha kuwa mwaminifu• Jenga uelewa wa huduma ambazo msaidiziustawi wa jamii anaweza kutoa• Kazi ya msadizi ustawi wa jamii ni kusaidia familiakatika kutatua matatizo yake kwa kutumia uwezo waona rasilimali zilizopo katika jamiiMada Za KujadilianaSifa Za Mahusiano Mazuri Ya KikaziMsaidizi ustawi wa jamii hufanya kazi kwa kushirikianana wale wanaowasaidiaMahusiano tunayojenga na watu tunaofanya nao kazini tofauti na urafiki na mahusiano mengine binafsitunayoukuwa nayo. Je tofauti ni zipi?Bungua Bongo• Mahusiano mazuri kati ya mtoa huduma na mteja:• Ndani ya mipaka• Yana lengo• Yana muda maalumu• Yanaongozwa na maadili ya kitaaluma• Yanaongozwa na imani juu ya thamani ya utu naheshima3

6/11/2012Jadiliana Na Jirani Yako• Ni sifa gani ungependa mtu awe nayo ili uwezekumshirikisha siri zako za ndani haswa juu yamambo yanayokuumiza?• Mgeukie jiranii yako namjadili swali hili kwadakika 2-3 na muwasilishe kwenye darasaSifa zinaongozwa na maadili ya kitaaluma ambazo ni:• Toa kipaumbele kwa Huduma kwa wengine dhidiya maslahi binafsi• Heshimu utu na thamani ya kila mmoja• Tambua umuhimu wa mahusiano na binadamuwengine• Kuwa mwaminifu• Heshimu usiri na ufaragha wa watejaMitazamo Muhimu Katika KujengaUhusiano Mzuri Kati Ya Mtoa HudumaNa Mteja• Zinaongozwa na mitazamo ambayo inaheshimu utuna kuchochea heshima ya kila binadamu• Ushirikeli• Kutohukumu• Kutokubagua• Kuthamini hisiaUshirikeli ni uwezo wa mtu kuelewa hali ya mwenzake nakuwa pamoja naye kwa hisia katika mazingira hayo,vile vile kuwa na uwezo wa kutoka katika hisia hizo.Tofauti ya Ushirikeli, Huruma Na Husini• USHIRIKELI - Kuwa pamoja na mtu kwa hisiakatika hali Fulani.• HURUMA - Kufikiria kuwa katika hali sawasawa namuhusika mwenye tatizo.• HUZUNI- Kuwa na hisia ya huruma na mtu.4

6/11/2012Mbinu Za Msingi Za KujengaMahusiano1: Anzia Pale Mteja Alipo1. Anzia pale mteja alipo2. Jenga na dumisha uaminifu if naushirikeliik 3. Tumia mbinu za kuwasiliana kama vile kusikilizakwa makini, kuuliza maswali na kujibu• Mteja analionaje tatizo?• Je anataka umsaidieje au mtu mwingine amsaidiaje?• Anataka kuanzia wapi?Kuwa mvumilivu- Inawezekana mteja amekaa na tatizokwa muda mrefu kwa hiyo utatuzi wake utachukuamudaSifa Za Kuweza KuwasilianaVizuri• Wakubali watu kama walivyo• Usihukumu• Chukulia taarifa zote za mteja kama siri• Uwe mkweli na mwaminifuKuwa MshirikeliUshirikeli ni uwezo wa mtu kuelewa hali ya mwenzake nakuwa pamoja naye kwa hisia katika mazingira hayo,vile vile kuwa na uwezo wa kutoka katika hisia hizo.Tofauti ya USHIRIKELI, HURUMA NA HUZUNI• USHIRIKELI- Kuwa pamoja na mtu kwa hisiakatika hali Fulani.• HURUMA- Kufikiria kuwa katika hali sawasawa namuhusika mwenye tatizo.• HUZUNI- Kuwa na hisia ya huruma na mtu.6

6/11/2012Kazi Ya Kikundi• Kaeni kwenye makundi ya watu wawili• Mmoja aeleze kitu kimoja kilichomtokea k wiki iliyopitait• Mwingine ajibu kwa mbinu ya kutumia ushirikeli• Badilishaneni baada ya dakika 5• Jiandae kuwasilisha darasaniWakati ukiwa mshirikeli, tunamsaidia mtoto auwanafamilia kutambua hisia zao na kuwasaidiakuzitoa. Lakini hakikisha unazungumza mawazoyako kwa kuanza sentensi na maneno kama “Nafikiri..” au “Najiuliza kama…”3. Jinsi Ya KuulizaUulizaji Maswali….Maswali Hii ni mbinu ya kwanza tunayotumia kupatataarifa kutoka kwa mteja na inayomsaidia mteja kujuakwamba tunajali na inamfanya aanze kufikiri/kutafakaritatizo au hitaji lake.Maswali ya kujieleza (open ended) yanamwezesha mtejakujiweka wazi katika kuelezea tatizo lake, huku mtejaakibaki anajiweka sawa juu ya taarifa anayoitoa.Maswali ya moja kwa moja (closed) yanaweza kujibiwa kwanjia ya mkato kama “ndio”, “hapana”, “kesho” au“miaka 10”.Maswali ya kujielezaNani …..mwingine anayejua?Ilianza…..lini?Ilianzia ……….wapi?Ungependa .. kufanya nini?Je unafikiri hii itasaidiaje?Utafanyaje?• Angalia usiulize maswaliyenye kuashiria majibukama vile, “ ungependakufanya hivyo, sio?Maswali ya moja kwamojaJe, kuna mwingine anayejua?Je, ilianza ……. karibuni?Je, limekuwa ni tatizo kilawakati?Je, Ungependa kulitatua?Je, unafikiri …hii itasaidia?Je, utaweza kufanya hivyo?7

6/11/2012Uulizaji Maswali….Kazi Ya Kikundi• Aina zote mbili za maswali zina matumizi yake.Maswali ya moja kwa moja husaidia kupatataarifa maalum na pia humsaidia mtu mwenyeaibu kuweza kuongea. Lakini pia maswaliKama haya humfanya mtu ajihisi kamaanahojiwa.Maswali ya kujieleza humpa mtu uhuru wakuongea na kukusaidia muulizaji kukusanyataarifa kuhusu tatizo la mteja wake.• Gawanyikeni tena kwenye kikundi cha watu wawili• Mtu mmoja ajifanye msadizi ustawi wa jamii namwingine ajifanye mteja• Kazi yako ni kujifunza mambo zaidi kuhusu mteja• Uliza maswali ya kujieleza na yale ya moja kwa moja• Badilishaneni baada ya dakika 2-3• Jiandae kuwasilisha darasani4: Mbinu Za KujibuNi mbinu zipi nzuri za kujibu ambazo utatumiawakati wa kuzungumza na watoto na familiazao?Bungua Bongo4. Vitu Vya Kuzingatia KatikaMawasiliano• Sikiliza kwa makini iwezekanavyo mawazo na hisiazote za mteja.• Usijibu mpaka uwe na uhakika kwamba umeelewamawazo na hisia za mteja. (usimkatishe mteja mpakaawe amemaliza kuongea) Kwa mfano, “na hisi kamaunajisikia upweke, ni kweli?• Usiingilie ukimya wa mshauriwa8

6/11/2012Vitu Vya Kuzingatia KatikaMawasilianoVitu Vya Kuzingatia KatikaMawasiliano• Tikisa kichwa au tumia maneno machachemafupi kama ‘mhh’ kumpa moyo mteja aongeezaidi• Jitahidi kutomshauri au kutoa maamuzi.• Usimwingilie mteja kwenye maongezi yake walakuingiza mada zisizohusika.• Usiongee mara kwa mara au kwa muda mrefu.Usihubiri!• Chunguza hisia za mteja wako juu ya majibu yako• Fanya majumuisho ya kile ulichokisikia• Jitahidi kupata maoni ya mtoto au mmoja wawanafamilia juu ya hatua zifuatazo5. Njia Nyingine Za KumsikilizaMtejaNjia Nyingine Za Kusikiliza• Kutoa mawazo (maoni) yako juu ya mchakato• - Mara nyingine wateja wanaweza kuwa kimya,au wakacheka, hapo unaweza kumuulizamteja “unaonekana mwenye huzuni,je unajihisiikulia?”• - Tamka unachokiona/unachokihisi, kama “unaonekana unataka kucheka” Usihukumu.• Kurudia kwa ufupi kile mteja alichosema inasaidiakuleta maana au kitu halisi ya kile kinachoongelewa• inasaidia kufafanua• inamsaidia mteja kujieleza• inaonyesha kwamba ulikuwa unasikiliza kwa makini• Inampa mteja fursa ya kukurekebisha9

6/11/2012Njia Nyingine Za Kusikiliza• Kutoa mukhtasari• kurudia kwa kifupi alichosema mteja, kwa kuchukuamaelezo ya muhimu yaliyojadiliwa.• Mukhtasari unatumika kwa• Kuhakikisha kwamba umemuelewa mteja• Wakati wa kubadili mada• Mnapofunga mjadala au kufafanua jambo• Kujikumbushia endapo mtakwama• Kuonyesha kwamba umewaelewa watu wote nakwamba unaheshimu michango yaoMuhtasari Wa Mbinu Za KujengaUhusiano1. Anzia pale mteja alipo2. Tumia ushirikeli ili kumfanya mtu ajue ya kwambaunajaribu kuelewa hisia zake-ya kwamba mkopamoja3. Tumia maswali stahili ili kumfahamu mteja kikamilifuKila aina ya swali lina sababu yake- iwe swali lamoja kwa moja au la kujieleza4. Tumia mbinu ya kusikiliza kwa makini na kujibu5. Jenga maelewano kwa kufanya majumuisho namuhtasari wa mliyozungumzaSifa Za Kuweza Kuwasiliana Vizuri• Taaluma na uwezo wa kufanya kazi na watu• Kujiamini – usijishuku• Mfumo wa ushauri nasaha uwe mrahisi hasaunapowahusu watoto• Uwe msikilizaji mzuri• Uwe na moyo wa ushirikeli• Weka mipaka na heshimu siri za mtejaMasuala Yanayohusu KujengaUhusiano Na Watoto10

6/11/2012Kujenga Uhusiano Na WatotoKuwasiliana Na Watoto• Ni muhimu kuelewa kwanza mila na desturi za jamiifulani zinazohusu jinsi mtu mzima anavyowezakuwasiliana na watoto• Ukiwa unafanya kazi na watoto ni muhimu kupataridhaa ya walezi wao kabla ya kujenga mahusianonao:• Wazazi au walezi• Viongozi wa kijiji wanaowalinda watoto• Watu wazima au ndugu• Elewa mila na desturi zinazohusu mawasiliano nawatoto. Taja baadhi ya mila na desturi za kuwasilianana watoto katika jamii yakoBungua BongoMambo Ya Kimila YanayohusuKuwasiliana Na Watoto• Baadhi ya tamaduni zinakataza watoto kumtazamamtu mzima usoni au kujibizana moja kwa moja.• Saa nyingine kuna tofauti za kijinsia katikamawasiliano.• Inawezakana kukawepo na tofauti kati ya wavulanana wasichana wanavyoweza kuzungumza na watuwazima wasiowajua.• Lazima tutambue muktadha wa kimila ili kuwezakuwasiliana na watoto ipasavyo.• Ni vizuri kupata msaada toka kwa mtu anayeelewamila husika• Changamoto katika mawasiliano hutatuliwa baada yakujenga uaminifu kwa muda mrefuTunaweza Kufanya Nini IliKuboresha Mawasiliano Yetu NaWatoto?Bungua Bongo11

6/11/2012Miongozo Ya Kuwasiliana NaWatotoToa Maelekezo Chanya (UnayotakaMtoto Afanye) Na Sio Kinyume Chake• Kichwa kiwe sambamba na urefu wa mtoto• Tazamana na mtoto uso kwa uso• Mwonyesha upendo• Ongea na mtoto bila kuyumbisha maneno, na siohasira, kubembeleza au kulalamika• Badala ya: ”Usicheze katika kiti chako”• Jaribu: ”Keti katika kiti chako”• Badala ya: ”Usiguse kitu chochote, wewe ni mchafu”• Jaribu: ”Futa mikono yako kwa kutumia taulo hili”Usikivu Makini Ni Upi?• Ongeza uelewa na ufahamu wa uzoefu wa maisha yawatoto – kama unavyoyaona wewe wenyewe kutokakwa mtoto. Hii itakuwezesha kuwahudumia haraka –kuwapa raha, utulivu na uelewa wa sababu yamatukio yaliyowapata na maana ya matukio hayo.“ Usikivu makini” kwa mtoto mwenye msongo ni uelewathabiti wa yale anayozungumza.Usikivu Makini Ni Upi?• Jifanye kama chombo kinachopokea hisia za mtoto iliaweze kujisikia huru na aweze kutoa hisia kalizilizomo ndani yake kwa namna nzuri• Mfanye mtoto ajisikie kuwa amesikilizwa na kwambahisia zake zimetambulika na kueleweka. Huenda hiiikamfanya asijisikie iki mpweke tena.• Uwe mfano wa yule mtu wa muhimu katika maisha yamtoto ambaye hakutambua haja yake ya kusikilizwana kufarijiwa.• Sikiliza kwa upendo na mtazamo wa kujali12

6/11/2012Vipengele Vya Kuzingatia KatikaMazungumzo Na MtotoKujitambulisha: Utajitambulishaje kwa mtoto ili awezekukuelewa wewe ni nani na kwa nini unazungumzanaye?Matumizi ya lugha rahisi ni muhimu sana.Muda:Tenga muda wa kutosha wa mazungumzo iliumweke mtoto katika mazingira ya kuhimili hisiazake.Iwapo muda ni mfupi, epuka kumuibulia mtoto hisianzito.Vipengele Vya Kuzingatia KatikaMazungumzo Na MtotoMsaada chanya: Muunge mkono mtoto kwa jitihadaanazozifanya kukabiliana na mishtuko ya maono, namaisha magumu ya kila siku.Mtie moyo azungumzie yale yanayomsaidia katikamchakato huo.Faragha: Hakikisha kwamba mazungumzo yako katiyako na mtoto/familia yanafanyika pahala pa faragha.Vipengele Vya Kuzingatia KatikaMazungumzo Na MtotoVipengele Vya Kuzingatia KatikaMazungumzo Na MtotoNani awepo?• Muulize mtoto mtu gani angependa awepo.• Ni muhimu kuwepo na mtu ambaye mtotoanamfahamu na kumuamini na ambaye anawezakumfuatilia baadae.(Wazazi, ndugu, mwalimu, auni mwanajamii anayeaminika)Kukaa au kuketi?:• Kila jamii ina mila na desturi zake kuhusu namnawatu wazima na watoto wanapaswa kuwasiliana.• Hakikisha kuwa uko karibu na mtotoTambua hali ya mtoto:• Mtoto anaweza kuwa amechoka, ana njaa, anaumwa, mwogaanasikia baridi n.k vyote hivi vinaweza kuathiri mahusianoyako na mtoto.• Usimlazimishe mtoto au kumruhusu mtu mwinginekumlazimisha mtoto kusema mambo asiyoyataka. Kufanyahivyo ni kuharibu majadiliano yote, na mtoto hatakuaminitena.• Ukiona kuna kitu kinamsononesha mtoto unaweza kusema:”nadhani swali nililokuuliza ni gumu kulizungumzia”13

6/11/2012Kuwasiliana na WatotoKuwasiliana na WatotoUsimwache mtoto akiwa na fikra za kushindwa kwasababu tu ya kutokuweza kujibu maswali yako.Weka kumbukumbu u buya mazungumzo yako na watoto• ikiwezekana kwa maandishi. Ni muhimu sanawatoto wapewe uangalizi mkubwa katikamazingira kama hayaFafanua – usiingilie kati:Kuingilia maelezo ya mtoto kunaweza kumfanyamtoto akae kimya hivyo kumpa hisia kwambaayasemayo siyo sahihi.Msubiri i mtoto t atulie, fafanua f yale unayotakakuelewa; ”ulikuwa na maana hiyo”? ”Baadayeikawaje”?Kuwasiliana na WatotoLugha rahisi:Tumia lugha rahisi/nyepesi,Uliza maswali mafupi,Toa maelezo mafupi na rahisi.Usiri:Mtoto inabidi aelewe kuwa ’utambulisho’ wakehautaanikwa bayana; siri zitafichwa pamoja na mipakaya usiriNjia nyingine za Kumuwezeshamtoto aongeeKupima tatizo –uliza swali ili kutambua ukubwa wa tatizo.K t t k t i ik bKwa watoto, unaweza ukatumia mikono au nambakuuliza swali hili; mara ya mwisho ulisema una hasirakiasi hiki, hebu nionyeshe leo una hasira kiasi gani?14

6/11/2012Maisha Ya Mtoto IIKukabiliana na Matatizo ya watoto yatimana wale waishio katika mazingira hatarishiKukabiliana Na Matatizo YaWatoto Yatima Na WaleWaishio Katika MazingiraHatarishi.Malengo• Mwisho wa siku msaidizi ustawi wa jamii ataweza:• Kutoa maana ya tatizo kubwa,aina ya matatizo, namchakato wa kuvurugikiwa kutokana na kupatatatizo kubwa• Baini viashiria vya kukabiliana au kushindwakukabiliana na tatizo kubwa• Elezea jinsi ya kukabiliana na tatizo• Onyesha stadi za kuweza kuwasaidia watoto nafamilia zao kukabiliana na tatizo• Je umeshawahi kupata tatizo kubwa?• Kama ndio, ulijisikiaje? Ilichukua mudagani?ulijisikiaje baadaye?• Je watu walikufanyia nini au walikuambia vitugani ambavo vilikusaidia katika kukabiliana natatizo?• Mjadala wa darasani16

6/11/2012Matatizo Ni Nini?Matatizo Ni Nini.......?• Wakati fulani katika maisha yetu sisi wenyewe au mtuwa karibu hufikwa na matatizo makubwa.• Ni hali isiyokuwa ya kawaida yakupotelewa na ,mabadiliko au mashinikizo yanamfanya a a mtu kukosafuraha au kushindwa kuendelea na maisha yake yakawaida•Huchochewa na:•Tukio la ghafla na la ajabu linalomfanya mtukushindwa kuyapokea mabadiliko – ugonjwa,matukio ya awali na mashinikizo katika maisha.Wakati mwingine jambo dogo tu linaweza kuwa namadhara makubwa.•kipindi cha mabadiliko katika maisha ya mtukisichoepukika-kustaafu,mtoto kuondoka nyumbanikufiwa na mzazi,kufiwa na mwenza.Mchakato Wa Kujengeka KwaHali Ya Kuvurugikiwa• Ni yapi baadhi ya mambo ambayo yanawezakusababisha hali ya kuvurugikiwa kwa watotowaishio katika mazingira hatarishi?Bongoa BongoAina Ya Matatizo Makubwa• Matatizo yatokanayo na makuzi• ya kawaida, na yatarajiwa• kukua toka umri fulani kwenda mwingine• kutoka hatua moja ya kimajukumu ya familiakwenda nyingine• Matatizo ya ghafla• hayategemewi,sio ya kawaida• hutokea ghafla,ya kidharura,na yanawezakuwa na madhara kwa jamii17

6/11/2012Matatizo Makubwa Ni Hatari Na NiFursa• Fursa• Akisaidiwa/kupewa ushauri nasaha, mtualiyepitia matatizo makubwa, uwezo wake wakuhimili mambo, kukua kihisia na ujuzi wakupitia matatizo ti utamfanya kuwa jasiri i apatapomatatizo hapo baadaye.• Hatari• Bila msaada, mtu anaweza kudhoofu kihisia,kushindwa kufanya kazi na kufikiri na anawezakulaumu watu wengine au kujitetea badala yakukubali ukweli. Huwaza kujiua, hisia za kuuaau matatizo makubwa ya kisaikolojia.Mchakato Wa KuvurugikiwaKutokana Na Kupata Tatizo Kubwa• Kutokea kwa tukio kubwa la ghafla.• Kulitafsiri tukio kwa njia ambayo humpelekea mtukuwa na huzuni kuona machungu makubwazinazopelekea tabia hasi.• Huzuni na machungu humfanya mtu kushindwakufikiri, kufanya kazi au kushirikiana na wenginekama hapo awali.• Uwezo wa kulipokea jambo na kulikubali hushuka.Jinsi Ya kukabiliana Na TatizoJinsi Ya Kukabiliana Na TatizoChanganua hali halisi na tafuta taarifaKutoa hisia zote hasi na chanya na kuvumiliaTafuta msaada kutoka kwa watu wengine• Kuligawanya tatizo katika sehemu mbalimbali nakulishughulikia sehemu moja baada ya nyingine• Kutambua uchovu na kuruhusu muda upiote ili uwezoujengeke• Kujitahidi kuzidi kuendelea kuyatawala maeneo mengikadiri iwezekanavyo• Kuzimudu hisia• kuwa tayari kubadilika• Kujiamini pamoja na kuamini wengine na kuwa namatumaini ya matokeo mazuri18

6/11/2012Kushindwa Kuhimili Matatizo Makubwa• Mtu anasumbuliwa sana na tukio fulani kiasi chakushindwa kukabiliana nalo mwenyewe na uwezounapungua.• Hali ya kuvurugikiwa ambayo inaweza kuchukuatakriban wiki 4-6.• Hakuna msaada wa kutosha na/au mtu hajishughulishitena kutafuta msaada.Kushindwa Kuhimili MatatizoMakubwa• Mtu anashindwa kukabiliana kiukamilifu na tukio fulanina uwezo wake unakua umeshuka• Mtu anaachwa akiwa hajajiandaa kihisia kupambanana matukio mengine yanayoweza kutokea hukombeleni na inakua rahisi kuvurugukiwa endapoatapatwa na hata tatizo dogo huko mbeleniAfua (Intervention)• Jitahidi kutatua tatizo mapema kumsaidia mtejakumudu tatizo.• Punguza/ondoa wasiwasi.• Zuia kuendelea kuwa na hisia mbaya.• Hakikisha aliyepata tatizo hajiumizi.Kutatua Tatizo• Msaidizi ustawi wa jamii anakua mstari wa mbelekatika kutoa msaada kwani ndugu wa familiahawatakuwa na uwezo wakati wa tatizo• Kuwa imara• Kuwa na uhakika na jambo na mtu unayejaribukumsaidia• Kuwa jasiri, mwenye kusaidia• Toa utangulizi unaoeleweka wazi• Usiahidi mambo yanayoweza yasitimie• Muongoze mshauriwa19

6/11/2012Jinsi Ya Kusaidia Wateja WanaopitiaTatizo Kujenga Uwezo Wa Kuhimili• Wasaidie kuwa na fikra chanya juu ya maisha yambele• Tilia mkazo hatua ndogo ndogo ambazozinatekelezeka• Sikiliza kwa makini ili kuwapa wateja fursa yakujieleza na kutoa hisia zao kwa njia mwafaka• Toa msaada kwa mahitaji ya msingi ya kila sikukama vile, chakula, kuhamasisha jamii isaidiemahitaji ya muda mfupiHatua 3 za Kutatua MatatizoA. Kuunda na kudumishaMahusiano•Mbinu za msingi kumsikilizamteja wakati wa mahojiano.• Kumsikiliza Mteja• Kumwangalia mtumachoni, ukaribu, mkao,sauti• Kufuatilisha maneno,huruma (empathy)• Mjali mteja• Kuuliza maswali•-Maswali ya wazi na ya mojakwa moja• Kuyarudia maneno nakuyafafanua• Kujitambua• -Kutambua hisia chanya,hasi, zinazoweza kuumiza,zenye utata, t hisiai zandanizisizoelezeka• Kufupisha maneno• -Kuunganisha hisia na halihalisi.• -Kuunganisha matukio yaawali, hisia binafsi namaana ya tukioHatua 3 za Kutatua MatatizoB. Kutambua tatizo na tiba ya kitaalamu• Kutambua matukio ya awali,tafuta maana namitazamo juu ya tukio,tambua mifadhaikobinafsi kuhusiana na tukio, tambua uwezo wakijamii,kitabia,kitaaluma,na kikazi wa sasa auwa awali.• Tathimini ya jaribio la kujiua, matumizi ya dawaza kulevya.• Msaada wa kitaalamu: kielimu, uwezeshaji,kulipa tukio tafsiri mpya.Hatua 3 za Kutatua MatatizoC. Kumudu tatizo• Mtie mteja moyo ili aweze kubuni mbinu zakulimudu tatizo.• Toa mbinu mbadala za kulimudu tatizo:makundi, rufaa ya kisheria au kimatibabu,mashirika mengine.• Ufuatiliaji20

6/11/2012Msaidizi Ustawi Anawezaje KusaidiaWakati Wa Matatizo Makubwa?Msaidizi Ustawi Anawezaje KusaidiaWakati Wa Matatizo Makubwa?• Saidia kumuunganisha na vikundi vya kujisaidiaau watu wenye uzoefu ili watoe mbinu na mifano• Wasaidie mtoto na familia kutumia mbinuwalizozoea kukabiliana na matatizo• Kuendelea kufanya kazi kama kawaida,kuwalea watoto na kuendelea na kazi zanyumbani kama kawaida• Msaidie mteja kuliangalia tatizo kwa mtazamo tofauti• K.m jinsi tatizo linavyohusiana na maisha yakekwa ujumla na matatizo mengine ambayoamepitia• Msaidie mteja kuwasaidia watu wengine wenyetatizo kama lake• Himiza kufanya mazoezi na starehe• Mazoezi husaidia kupunguza msongo wamawazoKazi Ya Vikundi: Kutatua TatizoKubwa• Jigaweni katika makundi ya watu watatu watatu mfanyeigizo la hatua ya awali ya kujaribu kumsaidia mtejaakabiliane na tatizo kulingana na kisa kinachofuata• Igizeni kama: Msaidizi ustawi, Mariam, Mtazamaji• Kwenye igizo Mariamu amepewa nafasi ya kuuliza swalilakini bado anaendelea kulia na amekasirika. Msaidiziustawi atamsaidia aweze kujieleza yanayomsibu nabaadaye wataanza kutengeneza mkakati wakulishughulikia tatizo• Baada ya igizo mtazamaji atoe mrejesho kwa kundi juu yakile alichokiona na yale waliyojifunza kwa dakika tano• Kila kikundi kitoe mrejesho darasani kwa kujadili mambo 2au 3 muhimu waliyojifunza kutokana na igizoKazi Ya kikundi: Kutatua TatizoKubwaKisa:Mariamu ni mwanamke wa miaka 25 ambayeameletwa kwako na jirani yake. Msaidizi ustawiamemkuta kwenye hali ya huzuni sana. Amekuaakifanya biashara ya kuuza pombe ya kienyeji iliaweze kuisaidia familia yake ya watu watatu-yeye, y bibina mtoto wake anayeitwa Asha.Asha ana umri wamiaka mitano. Bibi amekua akimlea Asha wakatimama yake akiwa kazini. Hivi sasa bibi anaumwasana kutokana na maradhi mengi. Mariamu anafikiriya kwamba hawezi kuacha biashara yake kwanifamilia yake inategemea hicho kipato. Hana mtu wakumsaidia kumtunza Bibi wala Asha21

6/11/2012Mshituko wa MaonoKukabiliana na Madhara ya Mshtukowa Maono.• Mfadhaiko wa kisaikolojia unaotokana na matukioyanayozidi uwezo wa binadamu kuvumilia.• Inahusisha:• Woga usio na kifani• Hisia za woga zisizo za kawaida• Hali ya kushindwa na kukata tamaaMshtuko wa maono utotoniSaikolojia na Fisiolojia (ElimuMaungo) ya Mshtuko wa Maono• Huongeza uwezekano wa kuwa na matatizo ukubwani• Kihisia• Kimahusiano na watu wengine• Kiakili/kufikiri/kifikra• KimwiliTukio laKushtua.Huongezauwezekano wakuwa na matatizoukubwaniKihisiaKimahusianona watuwengineKiakili/kufikiri/kifikraKimwilimshitukounaodumukwa mudamrefuHaki zote zimeifadhiwa © 1999 Bruce D. PerryKubadilikakwaMfumo waFahamu22

6/11/2012Hatua za Mihemko ya Mshtukowa MaonoKukabiliana na TishioWoga usio wa kawaidaWogaMshtuko• Kuwa tayari kukabiliana na tishio: Kupambanaau kukimbia• Kujitenga: Kusinyaa na kukatak tamaaUangalifuUtulivuMambo Yanayoathiri MhemkoMambo Yanayoathiri Mhemko.• Kujitenga (Dissociation)• -Watoto wadogo• -Wanawake• -Mshtuko wa maono unaoambatana na maumivu• -Kushindwa kulikimbia tatizo• Kuibuka hisia kwa hali ya juu (hyper arousal)• Watoto wakubwa• Wanaume• Mshtuko wa maono kutokana na kushuhudia tukio• Mshtuko wa maono kutokana na kushiriki kikamilifukatika tukio23

6/11/2012Kumbukumbu na Mshtuko• Mshtuko huibua kumbukumbu ambazo hudumu tanguutotoni hadi kuwa mtu mzima.• Kumbukumbu hizi huweza kuathiri uwezo wa mtotokujenga mahusiano na watu wengine baada ya muda• Hali hii huitwa Mfadhahiko baada ya mshtuko nainaweza athiri uwezo wa mtoto kukabiliana na halitofauti katika maisha• Kumsaidia mtoto kukabiliana na kupotelewa nakuomboleza kunaweza kumsaidia kukabiliana na halinyingine huko mbeleniKumbukumbu Ya Mshtuko WaMaonoKumbukumbu ya TukioKumbukumbu ya HisiaZihusianazo na tukioKumbukumbu yaMihemko ya KimwiliKumbukumbuya MshtukoMfadhaiko Baada ya Mshtuko(Post-Traumatic Stress Disorder)• Dalili hudumu zaidi ya mwezi mmoja• Kumbukumbu za tukio la kutisha kujirudia• Kuendelea kuogopa vitu au mamboyanayohusishwa na mazingira ambako tukio lakutisha lilitokea.• Kuendelea kuwa na dalili za maungo kusisimkakupita kiasi.• Vurugu maono,• Kuwa mwangalifumno• Kutotulia• Kujitenga• SononekoDalili• Kushindwa kupatausingizi• Wasiwasi• Kushindwa kufanyakazi au kufikiri kamahapo awali• Kutokutulia, hasakuwa na vishughulivingi24

6/11/2012Kujirudia Kwa MshtukoHali ya mshtuko inaweza kujirudiarudia kwa nyakatitofauti. Inaweza tokea:• Wakati wa kucheza, kuchora-mtoto anawezakuonyesha hali ya kuwa na mshtuko wakati akichezaau kuchora• Ndoto mbaya-mtoto anaweza kushtuka usiku akipigamayowe au akilia• Mtoto haachi kukumbuka tukio lililompa mshtua• Mtoto ambaye ameadhibiwa anaweza kupatakumbukumbu za mshtukoKuna Uwezekano Mkubwa MtotoKupata Mshtuko Kama..• Amepitia matukio makubwa na ya kutishia maisha• Amepitia matukio yaliyovuruga maisha yakawaida ya kifamilia au ya kijamii ya mtoto.• Hayuko kwenye familia yenye upendo,iliyoshikamana na yenye kujaliMsaidizi Ustawi AnawezajeKusaidia Watoto Na FamiliaAmbazo Zimepata Mshtuko?Bungua BongoMsaidizi Ustawi AnawezaKusaidiaje?• Watoto ambao wamepata mshtuko mkubwawanatakiwa kupewa rufaa kwenda kwamaafisa ustawi wa jamii, au wataalamu wamagonjwa ya akili• Msaidizi ustawi anaweza kusikiliza kwamakini wakati mtoto anaelezea hisia zake aukumbukumbu.25

6/11/2012Nini Cha KufanyaNini Cha kufanya.• Chunguza kama dalili za kurudia tabia zaawali,kijitenga,ndoto za mchana,matatizo yausingizi,nk. nk• Msikilize mtoto• Ongea na mtoto• Epuka adhabu ya kimwili• Mlinde mtoto• Toa fursa za kuchagua• Ukiwa na shaka, tafuta msaada!!Jinsi Ya Kumsaidia Mlezi: MamboYa KufanyaKazi Ya Vikundi:Kujenga Mahusiano Na Mtoto Na Familia• Usiogope kuliongelea tatizo la kutisha.• Toa utaratibu/ratiba ya siku.• Fariji na onyesha upendo lakini hakikisha ni muktadhamwafaka wakufanya hivyo.• Ongea na mtoto kuhusu matarajio yake kwako nautaratibu wako wa nidhamu.• Teueni katibu atakeyetoa mrejesho kesho juu ya mambo mliyojifunza• Tumieni kisa cha kundi lenu(John, Rehema, Koku, Amani)kujadili baadhi yambinu za kujenga uhusiano na mtoto pamoja na familia yake( dakika 10)• Fanyeni kazi kwenye makundi ya watu watatu na mfanye mazoezi ya stadiza kuwasiliana (k.mkujitambulisha, kumfanya mteja ajiskie huru, kuonyeshaushirikeli, na kuuliza maswali)• Mmoja awe msaidizi ustawi• Mwigine awe mtoto au mwana familia• Mwingine awe mtazamaji wa kutoa mrejesho juu ya yale aliyoyaona (Tumia ukosoaji wa kujenga)• Amueni kama mnataka kumhoji mtoto au mwana familia. Badilishanenimajukumu walau mara moja au mbili• Jadilianeni mlichojifunza26

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!