Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz Read - bunge .parliament.go. tz

bunge.parliament.go.tz
from bunge.parliament.go.tz More from this publisher
10.07.2015 Views

(a) Je, Serikali ina mpango gani wa kuisaidia kwa kuhakikisha fedha zinazotengwazinaihudumia pia barabara hiyo ya kutoka Mlimba kwenda Tanganyika Masagati?(b) Baada ya kubaini hilo je, Serikali haioni haja ya kutenga fedha kwa ajili ya ukarabati wabarabara hiyo ya Ifakara - Msagati kwa kiasi kikubwa proportionately sasa kitengewe Mlimba - Masagatiili kufidia kutekelezwa kwake kwa miaka mingi?(c) Kwa kuwa Waziri wa Fedha kwenye Bajeti ya 2003/2004 ametangaza kuwa mafungu yaWilaya yapelekwe moja kwa moja Wilayani badala ya kupelekwa kwa RAS wa Mikoa; je, Serikali kwashida niliyoitaja hapo awali haoni pia kuwa zile fedha tengwa TANROADS Mkoani pia sasa zipelekwe kwaTANROADS Wilayani?NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu:-Mheshimiwa Spika, kabla ya kujibu swali la Mheshimiwa Abu Towagale Kiwanga, Mbunge waKilombero, napenda kutoa maelezo mafupi sana kama ifuatavyo:-Barabara ya Ifakara hadi Tanganyika Masagati inahusisha sehemu ya barabara ya Taweta hadiTangayika Masagati, ambayo ni barabara ya Wilaya inayohudumiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Ulangana barabara ya Ifakara hadi Taweta yenye urefu wa kilometa 208.04 ambayo ni barabara ya Mkoainayohudumiwa na Wizara yangu kupitia TANROADS Mkoa wa Morogoro. Barabara hii ina kilometa24.17 za lami na kilometa 181.87 zilizosalia ni za changarawe na udongo.Mheshimiwa Spika, Wizara yangu imekuwa ikifanya matengenezo mbalimbali katika barabara hiihususan kati ya Mlimba hadi Taweta ambayo ni sehemu ya barabara ya Ifakara hadi Taweta. Katikamwaka wa 1989 barabara hii ilifanyiwa ukarabati wa kiwango cha udongo chini ya mpango wa Kilomberoand Ulanga Rural Roads Project (KURRP). Mpango huu uliofadhiliwa na Serikali ya Uswisi kupitiaShirika lake la SDC uligharimu jumla ya shilingi 300.0 milioni na mradi huu ndio uliiwezesha barabara hiikupitika hadi Taweta.Aidha, katika mwaka wa 1995 Serikali ya Uswisi kupitia mpango wa Morogoro Roads SupportProject (MRSP) ilisaidia ujenzi wa daraja la Mto Mnyera ambalo lilikuwa kikwazo kikubwa katikabarabara hii. Ujenzi wa daraja hili uligharimu jumla ya shilingi 105.0 milioni. Shilingi 45.0 milionizilitolewa na SDC na shilingi 60.0 milioni zilitolewa na Serikali ya Tanzania.Mbali na ukarabati ulioiwezesha barabara hii kupitika, barabara hii pia ilikuwa ikifanyiwamatengenezo ya sehemu korofi. Matengenezo haya yalilenga sehemu korofi na kuzifanya zipitike.Mheshimiwa Spika, baada ya maelezo hayo mafupi, napenda kujibu kwa kifupi swali laMheshimiwa Kiwanga, Mbunge wa Kilombero, lenye sehemu (a), (b) na (c) kama ifuatavyo:-(a) Serikali inatambua umuhimu wa barabara ya Ifakara - Taweta kama nilivyoeleza katikamaelezo yangu ya utangulizi. Aidha, jumla ya shilingi 126 milioni ambazo zilitengwa kwenye Bajeti ya2003/2004 zimeshatumika kwa kuifanyia ukarabati sehemu ya barabara hiyo kati ya Mlimba-Mpanga hadiUtengule. Serikali inaendelea kutafuta fedha hii ili kuimarisha barabara hiyo yenye kilometa 37 kati yaMpanga na Taweta.(b) Kama nilivyoeleza katika sehemu (a) ya swali la Mheshimiwa Mbunge, Wizara yanguinaendelea kuimarisha barabara ya Ifakara hadi Taweta kwa awamu, kadri ya upatikanaji wa fedhautakavyoruhusu na hivyo kuchangia maendeleo ya Wilaya Ulanga.(c) Mheshimiwa Spika, kuhusu suala la kupeleka fedha moja kwa moja katika Wilayahusika, Wizara yangu kupitia Ofisi ya TANROADS Mkoa, huwa inatenga fedha kulingana na bajeti na piakufuatana na vipaumbele vilivyowekwa kwa kila barabara na utaratibu huu hauna athari zozote kwabarabara za Mkoa zilizopo Wilayani. Aidha, fedha kwa ajili ya barabara za Wilaya kutoka katika mfuko

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!