10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Sasa kutokana na hayo mimi nafikiri inabidi lazima tujitahidi zaidi katika kuongeza productionndani ya nchi yetu na kukubali kama hii version tuliyokuwa nayo ya 2025 itaweza tu kuwa fulfilled ikawana base ya kilimo chetu vilevile kuwa na production zaidi ya kuliko seventy percent ambayo inacontribute. Lakini kama huna Agro industries ndani ya nchi yako kama tulivyo sisi ni ndogo basi kwakweli hii Anti- Dumping itakupa tabu sana katika kufanya selection ya items zinazotakiwa kuzuiwakuingizwa nchini.Mheshimiwa Naibu Spika, kwa hiyo, mimi nafikiri sina haja ya kuendelea zaidi kwa sababuninajua tunaelewa kama uchumi wowote mandhari una globalization unakuwa ni enter independence. Nasisi hatuwezi tukabaki Kisiwa katika hali hii duniani ya globalization. Kwa hiyo, lazima tujueunapofanya Anti-Dumping ujue inakubalika what extend katika World Trade Organization na inakubalikavipi katika mambo ya globalization. Kwa sababu leo tumejitahidi kuwepo ndani ya globalization tusiwemarginalized.Lakini tunaweza tukawa marginalized katika globalization ikiwa unaitumia hii Anti Dumpingkwa ajili ya certain industries tu. Kwa hiyo, mimi nafikiri baada ya hayo niliyoyasema nafikiriyatamsaidia Mheshimiwa Waziri Dr. Juma Ngasongwa na wataalamu wake. Kwa hiyo, nataka kuwaambiaahsante sana. (Makofi)NAIBU SPIKA: Ahsante sana. Waheshimiwa Wabunge muda uliobaki hauwezi kutosha kwaMheshimiwa Waziri kujibu yote ambayo mmeyasema na pia sisi kupata nafasi kwenye Kamati ya kupitiakifungu kwa kifungu.Kwa hiyo, baada ya matangazo haya nitaahirisha Kikao hiki cha Bunge. Tangazo la kwanzalinatoka kwa Mheshimiwa William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anawatangaziaWaheshimiwa Wabunge kuhusu ile semina ya kesho. Semina ambayo itasimamiwa na TACAIDS naMwenyekiti atakuwa Mhesimiwa Athumani Janguo, kesho saa ya kawaida ya semina, saa tatu asubuhi.Mheshimiwa Prof. Juma Kapuya, Waziri wa Kazi, Maendeleo ya Vijana na Michezoanawatangazia Waheshimiwa Wabunge kwamba kuna bendi inaitwa Akudo Sound inawaletea onyeshomaalum Dodoma Hotel kingilio ni shilingi 2,000/= kwa Mbunge mmoja, leo Ijumaa tarehe 6Februari, 2004 kuanzia saa mbili usiku, New Dodoma Hotel.Baada ya matangazo hayo, sasa naahirisha shughuli za Bunge mpaka siku ya Jumatatu, saa tatuasubuhi.(Saa 01.12 Usiku Bunge liliahirishwa mpaka Siku ya JumatatuTarehe 9 Februari, 2004 Saa Tatu Asubuhi)

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!