Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz Read - bunge .parliament.go. tz

bunge.parliament.go.tz
from bunge.parliament.go.tz More from this publisher
10.07.2015 Views

Mheshimiwa Naibu Spika, kwa hiyo naomba Serikali iangalie suala la ruzuku. Suala la ruzukukatika bidhaa zetu, suala la ruzuku vile vile katika viwanda vyetu, suala la ruzuku kwa wakulima wetu ilisasa vitu vyetu viwe sawa. Tuangalie kwenye umeme kwani Serikali ikisema kwenye viwanda sasatunachaji umeme nusu bei na hizi kodi tunazookota hapo bandarini bilioni 120 kwa mwezi tuka-subsidykwenye umeme kwani itakuwa shida gani? Hapa utakuwa tayari umeshawasaidia wote, kuanzia kwenyeviwanda mpaka walaji wamesaidiwa. Kwa hiyo, tuangalie hizo hesabu ni za kiuchumi, ndiyo lakinituangalie namna ya kuziweka ili tuweze kufanya vizuri.Kwa hiyo, nashauri tusiwazuie kabisa wasiingize bidhaa tutagombana na watu wa globalization(utandawazi) ila waingize, tuwalipishe kodi kama tunavyofanya sasa hivi.Mimi nafikiri kulikuwa hakuna sababu yoyote ya kupandisha bei ya tairi ya Michelin kama siyokwa kulinda kiwanda cha ndani, lakini pamoja na kulinda bado watu wanakwenda kununua ile Michelin yashilingi laki tano. Sasa tukiwanyima kabisa itakuwa ni hatari na ni hasara kubwa katika nchi yetu natutaanza kubanwa na Mataifa kwamba tunakwenda kinyume na Mkataba huo wa globalization.Mheshimiwa Naibu Spika, narudia tena kusema kwamba hii dumping kwa Kiingereza ni kutupa.Kwa hiyo, kwa kuwa imetumika kwa lugha ya kiuchumi, basi Waziri atoe namna tutakavyokaatuwaeleweshe wenzetu, lakini jina likibadilishwa itakuwa bora zaidi hatutatumia gharama zote hizo.Nimalizie kwa Wamachinga. Wamachinga bidhaa wanazouza kwa kweli haijulikani wananunuaduka gani, hakuna risiti, hakuna nini na wapo Tanzania nzima? Watu wasione kwamba ninavyosemaWamachinga hiyo kodi peke yake ambayo ingelipwa ni fedha nyingi sana. Sasa na zile ni bidhaazinazotoka viwandani na vile viwanda siyo vya Tanzania. Hilo nalo ni la kuliangalia kwa mapana namarefu, ndiyo vitu ambavyo vinavyoonekana. Tusiongolee tu hawa wakubwa labda wameishatuagizasasa, hebu tulinde hii sukari hapa, pelekeni hii sheria haraka haraka. Tuangalie na hawa ambao wanaokulapole pole huku mjini bila hata kujua kwamba wanapata kutoka wapi?Bidhaa zinauzwa Tanzania nzima, vitu vipya sijui vinatoka sijui Hong Kong , sijui Chinavinaingiaje haijulikani? Hii ndiyo ingefaa itumike kwa neno dumping. Hiyo ndiyo tungetumia katikadumping. Lakini nayo tuiangalie tuipige marufuku au tuangalie uwezekano ili kama tulivyozuia chupi kwamaana ya nguo za ndani basi na hizi bidhaa zinatoka huko China na wapi zimetu-consume fedha zetunyingi sana.Akina mama huko vijijini wanaambiwa nunua saa hii, ananunua na fedha nyingi sanazinakwenda kwao, not counted for kwa sababu hawana leseni wala halipi kodi, hawajui ni naniameingiza hizo bidhaa na ni meli gani imeleta hizo mali hawajui. Lakini naamini wakubwawanafahamu naomba wafuatilie kwa karibu.Mheshimiwa Naibu Spika, nafikiri hayo yanatosha. Ahsante. (Makofi)MHE. BALOZI AHMED HASSAN DIRIA: Mheshimiwa Naibu Spika, naomba uniruhusukwanza nikushukuru wewe kwa kunipa nafasi hii japo ya mwisho ili niwapongeze wote walewalioshindana katika uchaguzi tulioufanya asubuhi wa kuingia katika Pan African Union Parliament nawale walioshinda. Mimi nawatakia kila la kheri na ninaitakia Tanzania kila la kheri katika Pan AfricanUnion presentation. (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, baada ya kusema hayo, napenda pia nimshukuru Waziri wa Viwandana Biashara na Wataalam wake kwa kutuletea hii Bill ambayo inaitwa “the Anti -Dumping andcountervailing Measures.” Mimi nafikiri hii ni muhimu sana kwa nchi zinazoendelea.Mheshimiwa Naibu Spika, unapozungumza industry katika Tanzanika. Kwa kweli industrieszilizokuwepo zinaitwa basic industries ni viji-industries vidogo vidogo, na ni Multi National Industriesambazo huwa kubwa zenye kuzalisha kwa wingi zaidi.

Kwa hiyo, base yetu ya industries bado ni ndogo. Vilevile contribution ya industries katika GDPya Tanzania siyo kubwa ni fifteen percent. Kwa hiyo, kuna sababu ya kuwa na Anti- dumping law ndaniya nchi yetu. Kwa hiyo, mimi naunga mkono hii Bill, kwa kuwa ni Bill ambayo kwa kweli itasaidia zaidiviwanda vyetu katika Tanzania.Lakini itaweza tu kusaidia katika viwanda vyetu ikiwa na sisi tutakuwa na low tariff hasa katikaelectricity kwa ajili ya production. Kwa sababu imports zetu zinazoingia katika Tanzania ni importsambazo zinakuwa subsidised kutokana na wafadhili ndiyo zinazoingia ndani ya Tanzania.Kwa hiyo, tukiongeza uzalishaji ukawa na nguvu zaidi ya kuweza sisi kuwa na kitu kama hikikinachoitwa Anti- dumping, lakini ukiwa huna kile, cha kuzalisha chako ni kidogo na growth yapopulation yako ni kubwa, ni zaidi kuliko three percent. Kwa hiyo, hii bill tunayotaka kuipitisha inakuwakidogo ina hati hati na wasiwasi ndani yake. (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, kwa sababu attitude leo ya nchi zote zilizoendelea sasa hivi katikaEurope, katika America, wamezuia market zao kwa nchi ndogo ndogo kupeleka bidhaa. Kwa hiyo,unakuta watu wetu wengi sana hawawezi kupeleka export zao kwa sababu kwanza production ile hakuna.Kwa hiyo, hata ile advantage tuliyopewa sisi ya AGOA hatuwezi kui-fulfill. Kwa hiyo, unakutahali iliyokuwepo unapoleta kitu kama hiki cha Anti-dumping unajiuliza je, tuta-protect industries zetu,lakini tuta-protect industries zetu mpaka wapi au kima gani? (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, lingine ambalo ni la kujifunza ni kutokana Wahindi wao wanayosheria kama hii ya Anti- dumping toka mwanzoni huko, toka wakati wa GANDHI, lakini wao walikuwa naselected items wakati ule ambazo ndizo walizokuwa wakisema hawawezi kuzileta, kwa sababu waoproduction yao ilikuwa imeishafikia hali ya juu. Inapokuwa production yako iko katika hali ya chini,halafu unasema una introduce hii Anti- dumping kwa kweli utapata tabu sana katika kufanya selectionhasa ukiwa ume-liberalize market yako. (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, kwa hiyo, mimi nafikiri hii Advisory Council itakayokuwa yawataalamu inatakiwa lazima ifanye study on particular items ambazo zinaonekana kwa kweli zinascarcity katika nchi hii na kuweza kuzihofia. Lakini huwezi ukawa na general blankets of Anti- Dumpingkatika Tanzania.Kwa mfano, leo nchi ya Bangaladesh Mheshimiwa population yao ni kubwa sana, wanastructure nzuri sana ya Banking System yao ya kusaidia watu wa chini na wakulima. Lakini sisi hatunakitu kama hicho. (Makofi)Lakini vilevile hawa Bangladesh wanapata tabu kwa sababu hawawezi kupeleka export certainitem kwa sababu wao wanao-manufacture katika factories zao kupitia under age ya watoto wadogo.Kwa hiyo, Ulimwengu unakataa items hizo.Sasa na sisi tunapozungumzia on Anti- Dumping tujue tu- increase production. Lakini tujuevilevile tusije tukaingia kwa ajili ya kutaka ku-export ikawa tunatumia under age katika factories zetu.Kwa hiyo hilo litatupinga sisi kama lilivyozuilika katika Bangladesh wanaita kama child employment,vile vile ni kitu kinachokataliwa sana katika dunia.Lingine ambalo nataka kulizungumzia ni suala la vitu vinavyoingia na country of origin, sisi sasahivi tuko katika East African Community na tumeishatia Mkataba mzuri tu wa mambo ya custom union.Lakini kitu kikubwa ni kuangalia juu ya country of origin itakavyokuwa vitu hivi vinatokakatika nchi ile kuingia Tanzania. Lakini unaweza ukakuta mabati yanatoka Indonesia yanakuja zake kwajirani wetu wanayapinda wanaweza wakayauza hapa na ikawa origin yake bado ni kutoka Kenya. Kwahiyo, hiyo country of origin ni jambo muhimu sana kuliangalia na kujua hasa haya mabati yalitokasehemu gani?

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!