Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz Read - bunge .parliament.go. tz

bunge.parliament.go.tz
from bunge.parliament.go.tz More from this publisher
10.07.2015 Views

kwa sheria ya Bunge hili kwamba Makatibu Wakuu ndio wawe Wenyeviti wa zile bodi, bodi nyingihazikutani kwa sababu Makatibu Wakuu wako busy sana matokeo yake malengo hayafikiwi. Hilitumeliona wakati tunajadili katika Kamati za Kudumu za Bunge kwamba katika maeneo ambayo MakatibuWakuu ni Wenyeviti kuna inefficient kubwa ya kuitisha vikao kwa sababu wana shughuli nyingi. Sasahili ninaogopa huyu bwana Mkurugenzi mtakapomweka hapo na shughuli zake nyingi anaweza asisikilizemalalamiko haya kwa muda unaotakiwa. Hilo naomba tu m-note kama kuna uwezekano basi Waziri apewemamlaka ya kumteua Katibu mwingine lakini isitamkwe katika sheria kwamba Katibu ni Mkurugenzi waBiashara kwa sababu itambana Waziri kuchukua hatua zinazotakiwa Katibu ni mtu muhimu sana. (Makofi)Halafu kuna tatizo moja ambalo lipo wakati bidhaa zimekwishaingizwa hapa nchini, whathappens, imeelezwa katika kifungu nafikiri cha 47 kwamba itachukuliwa hatua lakini wasiwasi wangu nikwamba wakati bidhaa zinaingizwa hapa nchini na imeonekana kwamba zimekuwa dumped na wakati huouchunguzi unafanyika, uchunguzi ule utachukua mwaka mmoja kwanza ni kipindi kirefu, kama uchunguziutachukua mwaka mmoja bado nina hakika inaweza kuleta hatari sana kwa uhai wa hivyo viwandavitakavyohusika. Kwa hiyo, muda wa mwaka mmoja na miezi kumi na nane ndio muda wa mwisho kabisani muda mrefu.Mheshimiwa Naibu Spika, lakini kubwa zaidi katika hili ni kwamba katika Kifungu cha 47ambacho kinaeleza kwamba ikiwa itaonekana kwamba pengine bidhaa zimeingizwa na itabidi zichukuliwehatua kwa hiyo zinaweza kuwa katika mfumo wa ushuru inaweza ikawekwa ushuru kwa ajili ya bidhaahizo ambazo zimeingizwa lakini imeelezwa hapa kwamba ambacho kitakuwa sawa na tofauti kati ya bei yabidhaa hiyo nchini Tanzania na bei ya bidhaa hiyo katika soko zilizozalishwa. Wasiwasi wangu ni kwambakama ataambiwa hizo bidhaa zilipiwe zitalipiwa na nani huyu aliyeziingiza hapa nchini kama ataambiwaalipie hana fedha what happens, zile bidhaa hazitaendelea zitawekwa tu kwenye maghala? Ningependanipate maelezo kwa Waziri ni nani analipia ile tofauti kama inaonekana kweli zile bidhaa, hiyo ni measureya muda mfupi sio measure ya muda mrefu lakini anaweza kuambiwa kwamba alipie kiwango cha fedhahizo kama dhamana sasa anayelipia ni nani ni yule aliyeingiza bidhaa zake na kama ameingiza na hanauwezo wa kulipa what happens?Mheshimiwa Naibu Spika, ningemalizia kwa kuiomba Serikali ili tuweze kulisaidia Taifa letusuala la uzalishaji kwa njia ya ufanisi ni muhimu sana. Serikali ni lazima iwepo kusaidia viwanda vyake naSerikali isaidie kuwezesha viwanda vyetu vya hapa nchini viweze ushindani, sasa Serikali itasaidiaje?Mimi nashauri, katika nchi nyingine kwa ajili ya export Serikali inatoa subside, Serikali inatoa njia zakupata mikopo, Serikali imeunda mfuko, ningeshauri uundwe Mfuko au Benki ya Viwanda. Ukienda Chinaleo kuna Benki ya Viwanda, Benki ya Wakulima, Benki ya Viwanda Vidogo Vidogo, ni vizuritungeangalia katika msingi huo, maana kuzuia tu kama hatuna uwezo wa kuzalisha na tukaweka sheria hizihazitatusaidia ni lazima tuingie katika ushindani tukiwa na uwezo wa kushindana na wenzetu turuhusubidhaa zao na kweli walio na nia mbaya kama hawa tunaowatungia sheria tuwasimamishe. Lakini jibukubwa ni uzalishaji ambao unazingatia efficiency na kama Serikali haitasaidia kupunguza gharama kama zaumeme tutazidi kutunga sheria lakini hazitatusaidia kwa sababu hatuwezi ku-compete wataleta bidhaa zaohapa nchini bei zao ni za chini sasa utawaambia nini huwezi kuwakataza. Lakini kama sisi tutawezakutengeneza bidhaa tukashindana nao tutakuwa na nafasi ya kuuza nchi za nje, tutakuwa na nafasi pia yakushindana ndani kwa sababu bidhaa zetu za ndani zitakuwa za bei ya chini.Ushauri wangu ndio huo kwamba Serikali isimame kidedea katika suala la uzalishaji, kuongezaefficiency na pale ambako Serikali inawajibika kama kupunguza umeme tusiendelee kusuasua soko lautandawazi linakwenda kwa kasi kubwa tunavyoendelea kusuasua ndivyo tunavyoendelea kufiwa naviwanda vyetu, ndivyo tunavyoendelea kunyang’anywa masoko na ndivyo tunavyoendelea kushindwakuingia katika ushindani na tukishindwa kuingia katika ushindani bado sisi Tanzania tutakuwa ni soko lawenzetu tupende tusipende katika utandawazi tutakuwa ni dump upende usipende wataleta utakulala ninikama huna cha kutoa nje au huwezi kuzalisha? Mimi nashauri Wizara pamoja na sheria hizi basi ni vizuritungesimamia uzalishaji, efficiency, tupunguze gharama za uzalishaji kwa kupunguza gharama za umeme,tuangalie taratibu zetu za kodi na kuhakikisha kwamba viwanda vyetu vinazalisha kwa ufanisi.Mheshimiwa Naibu Spika, naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja. (Makofi)

MHE. LEONARD M. SHANGO: Mheshimiwa Naibu Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi ilina mimi niongelee kidogo kuhusu Muswada huu. Kwanza kabisa, kheri ya mwaka mpya kwa wenzanguWaheshimiwa Wabunge pamoja na wewe Naibu Spika. Pili, natoa pongezi kwa CCM kutimiza miaka 27jana. Pia natoa pongezi kwa wenzetu walioingia katika ushindani leo asubuhi na kushinda kuingia katikaBunge la Afrika. (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, kabla sijaongelea Muswada huu, naomba kutoa taarifa tu kuwa Wilayayangu ya Iramba ina matatizo makubwa ya njaa na sasa wananchi wanapoteza maisha. Serikali ilisemahaitakubali kuona mwananchi yeyote anapoteza maisha kwa ajili ya njaa sasa wanapoteza maisha kamamlivyosikia kwenye vyombo vya habari siku za kaaribuni. Ningeomba sasa Serikali ifanye kazi moja tu yakuokoa maisha haraka na kupeleka chakula katika Wilaya ya Iramba. (Makofi)Natoa pongezi kwa Waziri wa Viwanda na Biashara kwa kuleta Muswada huu wakati mzuri,Muswada utaleta mazingira mazuri katika viwanda vyetu kwa kuimarika na kuanza kuzalisha na bidhaaubora wake uonekane kwa walaji pamoja na ushindani mzuri na bidhaa zinazotoka nje. Ni common sensemtu anayefanya biashara kuwa anauza bidhaa zake kwa faida na sio kwa hasara kwa hiyo Muswada huuuonekane kuwa utalinda wafanyabiashara wetu na viwanda vyetu kwa kupata faida. Kwa hiyo, kama kunauwezekano kuwa bidhaa zinazoingizwa na zinauzwa kwa bei rahisi kwa ubora unaofananafanana nabidhaa zetu suala hilo ni la ushindani. Sasa tungechunguza kwa nini bidhaa hizi ziuzwe kwa bei ndogozaidi kuliko bei ya bidhaa zetu hapa nchini. Ni ukweli mtupu kuwa viwanda vyetu vinafanya kazi katikamazingira magumu kwanza kuna tatizo la teknolojia, teknolojia lazima itoke nchi za nje. Pili kuna matatizoya kupata malighafi kuhakikisha wakati wote kuwa uzalishaji utaendelea kwa wakati wote.Tatu kuna mfumo wa kodi, viwanda vingi vinabebeshwa mlolongo wa kodi nyingi kwa mfanoviwanda vingi hapa nchini ni vya kusindika mazao na vya kuzalisha au kutengeneza vitu vidogo vidogokama furniture lakini utaona viwanda hivi hivi miaka iliyopita vilikuwa vinalipa Stamp Duty sasavinalipishwa kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT). Kwa kubebeshwa mzigo huu ushindani wao unakuwamdogo sana. Kwa mfano kuna viwanda hivi ambavyo vinatengeneza vyakula vya mifugo kama kuku,ng’ombe hivi sasa vinalipishwa VAT na kwa kufanya hivyo imekuwa vigumu sana na vingine vingivimeacha shughuli za kuzalisha. Athari zake ni kuwa wananchi ambao walikuwa wanategemea kupatabidhaa hizi au vyakula vya mifugo inabidi wapate bidhaa hizi kutoka nchi za jirani. Sasa hii inaonyeshakuwa mfumo wa kodi nao unachangia katika kupunguza ushindani katika masoko ya ndani. Wananchiwanalazimika kununua mahitaji yao kwa bidhaa zitokazo nchi za nje ambazo mara nyingi bei ni za chiniukilinganisha na zinazozalishwa hapa nchini.Mimi ningeomba kuwa Serikali hapa ione umuhimu wa kuvilea viwanda hivi ambavyo vingi nividogo vidogo hasa kwenye maeneo ya kusindika mazao yetu hapa nchini, mzigo wa kodi upunguzwekusudi viwanda hivi viendelee vitaendelea kuhudumia wananchi wetu ambao ni wengi wanatumia bidhaahizi ni wale wafanyabiashara wadogo wadogo na wafugaji wa kuku na ngómbe kwa mfano akina mama nawastaafu. Wanapopata mahitaji ya vyakula hivi kwa bei kubwa na wao wanaathirika kwa sababuwanashindwa kuendeleza shughuli zao.Hawa ndio kundi la wananchi ambao wako mstari wa mbele katika kupambana kupunguzaumaskini. Ningeomba hizi kodi ziangaliwe na hasa ikiwezekana kodi za VAT katika viwanda hivi vidogovidogo iondolewe na waendelee kulipa tu Stamp Duty. Viwanda hivi kama useremala, uzalishaji vyakulavya mifugo Sasa hivi ukifika madukani furniture zinazozagaa ni za kutoka nje kwa sababu watengenezajiwa furnitures wa hapa nchini wengi wameacha shughuli zao wamefunga biashara zao kwa sababu yakuogopa au kushindwa kulipa hizi kodi nyingi hasa za VAT.Mheshimiwa Naibu Spika, mimi kwa kweli naunga mkono Muswada huu mia kwa mia. Ilaningependa kupata maelezo na ufafanuzi katika maeneo fulani fulani. Kwanza, tupate orodha ya bidhaazile ambazo zinazalishwa hapa nchini ambazo zipo katika hatari hii ya dumping. Mimi naelewa kwamfano, sasa hivi kuna viwanda fulani fulani ambavyo vinafanya kazi nzuri tu, kiwanda cha General Tyreinazalisha matairi mazuri sana na ubora wake ni wa Kimataifa na ushindani wake bado unaendelea vizurikwa sababu wananchi wengi wanaokwenda kuulizia matairi madukani kwanza wanaulizia General Tyreingawa bei yake ni ya juu, wanapokosa matairi haya inabidi wanunue yale yanayotoka nje. Kiwanda cha

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!