10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

kweli waweze kuchambua ili tusije tukachanganya hizi marketing strategies ambazo wenzetu wanawezakuwa wanazitumia kwa manufaa zikawa zinasitishwa.Jambo lingine ambalo ni katika utalaam wa biashara, vile vile wakati wa kuanzisha kutakakutambulisha bidhaa yako sokoni kwa mara ya kwanza bidhaa mpya, moja ya strategies ambazozinatumiwa ni hiyo ya kuuza bidhaa kwa bei ya chini ili iweze kufahamika haraka na baadaye unapandishabei. Lakini hii haina maana kwamba bidhaa ile imeuzwa kwa bei iliyokuwa subsidized. Inauzwa kwa niaile ile ya ku-introduce hiyo bidhaa yako katika soko kwa mara ya kwanza ili wateja waweze kuifahamu nabaadaye wafanye maamuzi wao ya namna ya kuendelea kuitumia au kuinunua hiyo bidhaa. Kwa hiyo, hizistrategies ambazo wataalam wa biashara wanazitumia basi sizije zikaeleweka vibaya na sheria hiiikazitumia vibaya, ikadumaza maendeleo na mbinu za kibiashara.Mheshimiwa Naibu Spika, lingine ambalo ningependa kuligusia ni kwamba tunakwenda katikasoko la jumuiya ya Afrika Mashariki, nina habari vile vile kwamba wenzetu wa Uganda nao wako katikampango wa kuanzisha Sheria kama hii lakini wenzetu wa Kenya walikwisha tangulia na walikwishaanzishaSheria ya dumping. Kwa hiyo, tunapoingia katika soko la Jumuiya ya Mashariki ni vizuri basi tukawa nauhakika kwamba tunajaribu kuainisha Sheria hii ili iweze kusaidia soko lote la Jumuiya ya AfrikaMashariki tuwe na Sheria itakayokuwa inafanana.Mwisho Mheshimiwa Naibu Spika, basi ningependa kutamka kwamba ninaunga mkono hoja hiimia kwa mia na natakia kila la kheri Sheria hii ianze kutumika mara moja baada ya kupitishwa. Ahsantesana. (Makofi)MHE. ARIDI M. ULEDI: Mheshimiwa Naibu Spika, kwanza nakushukuru sana kwa kunipanafasi hii ili na mimi niweze kuchangia Muswada wa Sheria kukabiliana na bidhaa kutoka kwa wazalishajiwa nje wenye nia ya kuua ushindani wa ndani wa mwaka 2003 yaani The Anti-Dumping AndCountervailing Measures Bill, 2003.Mheshimiwa Naibu Spika, kabla sijaanza mchango wangu, nichukue nafasi hii kukutakia wewe,Mheshimiwa Spika na Waheshimiwa Wabunge wote kheri ya mwaka mpya. (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, nichukue nafasi hii vile vile kumpongeza Ndugu Charles MakongoNyerere, kwa kuteuliwa kwake na Mheshimiwa Rais kuwa Mbunge wa Bunge lako Tukufu. (Makofi)Vile vile Mheshimiwa Naibu Spika, nachukua nafasi kuwapongeza wale wote ambao leowamechaguliwa kuliwakilisha Bunge hili kwenye Bunge la African Union. Baada ya utangulizi huonichukue nafasi hii kwanza kumpongeza Waziri wa Viwanda na Biashara kwa kuleta Muswada huu kwawakati muafaka. (Makofi)Mheshimiwa Naibu Spika, kutokana na uzoefu wangu viwandani, ninakubali kuwa dhana hii yauingizaji bidhaa ambazo zinauzwa kwa bei ya chini ipo na imeathiri sana viwanda vingi hapa nchini.Niliwahi kufanya kazi kwenye kiwanda cha mbolea Tanga na siku moja aliyekuwa Meneja Uzalishajiambaye alikuwa mzungu aliniuliza swali, akasema kwa nini Tanzania imeamua kutengeneza mbolea yakeambayo inaiuza kwa bei ya juu wakati ingeweza kuagizia mbolea kutoka nje na kuiuza kwa bei ya chini.Mheshimiwa Naibu Spika, ni kweli kuwa mbolea ambayo ilikuwa inatengenezwa katika kiwandacha Tanga, ilikuwa inauzwa kwa bei ya juu. Lakini hii ilitokana na sababu kuwa kiwanda kile kilikuwakinaagiza malighafi kutoka nchi za nje. Na malighafi hizi zilikuwa zinauzwa kwa bei ya juu, kwa hiyoautomatically mbolea ambayo ilikuwa inazalishwa pale ilikuwa lazima iuzwe kwa bei ya juu. Kwa hiyo,nasema dhana hii kwa viwanda vyetu ambavyo vinategemea malighafi kutoka nchi za nje, kwa kwelihaiepukiki.Hayo yaliyokipata kiwanda cha mbolea cha Tanga, matokeo yake ni kwamba kiwanda kile kamatunavyuojua kilikufa na nina hakika inaweza ikatokea kwenye viwanda vingine ambavyo navyovinategemea malighafi kutoka nchi za nje. Kwa hiyo, Sheria hii kama ingekuwepo wakati ule penginekiwanda cha mbolea Tanga kingenusurika kufa. Kwa hiyo, kwa maana hiyo napongeza Serikali kwa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!