10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

ambayo tunaona yanaweza kuleta athari kwa Taifa letu. Kwa hiyo, hili ndilo lililonipa msukumo wakuweza kusimama kuchangia.Vile vile nikimnukuu Mheshimiwa Waziri Mkuu ambaye hotuba yake iligusia juu ya Muswadahuu, alisema kwamba sheria hii haitatetea uzembe na ubabaishaji. Hii ni kauli ya Serikali. Pamoja nakwamba ilifika kama ni hotuba, kwa hiyo kama kuna vipengele hivi kwamba haitatetea wazembe nawababaishaji. Kwa hiyo, sheria hii iweke majukumu na kanuni za adhabu ambazo kwa wale ambaowatazembea na wakasababisha nchi yetu ikaonekana ni dump la kutupia taka, ambayo kama ilivyoainishwatakataka zenyewe ni zipi waweze kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria ambayo itakuwa ipo, tena isichukuemuda. Isiwe tena mambo ya kuzungushana Mahakamani, sijui huyu kaweka nini, hapana. Kama mtuatakuwa amefanya uzembe na kusababisha nchi yetu kuwa dump, lazima kuwe na sheria ambayo itambanana kwa muda mfupi sana. Vile vile nikinukuu paper ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, alielezea juuya haki ya nchi kujilinda na madhara ya mfumo wa uhuru wa soko.Ukurasa wa pili, ilisema kutokana na kutambua kuwa mfumo wa ushuru wa uhuru wa soko ausoko huria, marketing economics, free market liberalization unaweza kutumiwa vibaya na nchi moja dhidiya nchi nyingine, wanachama wa Shirika la Biashara la Dunia (WTO) vilifikia makubaliano yanayojulikanakama agreement on surface on counter level.Mheshimiwa Naibu Spika, kama kuna suala ambalo limeingia kwenye mkataba kimataifa, jeyakiomba mataifa ambayo ni wanachama ili nchi zao sizituingizie bidhaa ambazo hazina msingi na kwafaida kwa taifa letu, isiwe Sheria tunaipitisha ndani ya nchi yetu lakini je, hizi nchi wanachama zimetoachakula gani, zimetoa maelekezo gani kwa nchi wanachama. Tunazungumzia hapa kwa sasa hivi Indiandiyo wanaoingiza kanga nyingi katika nchi yetu na kwa bahati Mheshimiwa Mzindakaya alikuwa anahofu hapa juu ya kanga zinazouzwa mjini za aina yake na zile ambazo zinaingizwa kule eneo laSumbawanga.Kwa hiyo, wananchi wakifanya hofu na zikaingia kanga ambazo nidhamu yake zinawezakuhatarisha usalama ndani ya jamii, heshima ndani ya jamii. Kwa hiyo, pia hizi nchi wanachama zielezwezile taratibu kwamba nchi yetu inahitaji bidhaa za aina fulani, kusionekane kupitia rushwa. Hapa katikatitukaruhusu watu kuingiza vitu vyao katika nchi yetu baadaye kuvitoa ikawa ni matatizo makubwa sana.Sina wasi wasi na Mheshimiwa Waziri wa Viwanda na Biashara, kwa sababu tangu muda aliokaatunashukuru kwamba mabadiliko makubwa ya viwanda, hali ya uchumi, kodi inaonekana kule kwawafanya biashara. Kwa kweli inawezekana kwamba ameweza kusaidia sana katika suala la biashara.Lakini vile vile awe mwangalizi juu ya hizi mali ambazo zinaingia katika Taifa hili hasa tukiangaliakutokana na mikataba hii ya nchi wanachama.Mheshimiwa Naibu Spika, pia katika paper hiyo ya Katibu Mkuu alisema alisema aidha nchiwanachama wa WTO vilifikia makubaliano yanayojulikana kama agreement on surface yanayolengakuzuia nchi kuingiza bidhaa katika nchi nyingine kwa kiasi kinachotishia uhai wa viwanda vinavyozalishabidhaa kama hizo. Hili linastahili tuliangalie sana. Sasa hivi tumevibinafsisha viwanda vyetu kwambavilikufa huko nyuma, kwamba tulishindwa kuviendesha, usimamizi ulikuwa mbaya.Sasa kama viwanda ambavyo tunavijenga sasa hivi au tulivyobinafsisha sasa hivi, havitawezakufanya kazi vitakapokufa kwa ajili ya kwamba mali waliyozalisha, vinaoingizwa ni bora zaidi na ikawahawapati faida, vitakafa viwanda vyenu kutokana na ile mali ambayo inayotoka nje. Kwa hiyo, kutokanana makubaliano haya ni lazima Mheshimiwa Waziri, tuliangalie sana suala hili, kwa makini sana Serikaliyetu imepiga hatua kubwa sana kurekebisha uchumi kwenye masuala ya viwanda. Viko vilivyojengwavipya na viko vilivyobinafsisha vile vya kwetu. Lakini kwenye miaka mitano au 15 mbele ya safari vikajavikafa viwanda hivi, kutokana na mali nyingi inayoingia kutoka nje, tutakuwa hatukufanya la maana kwaTaifa hili na tutaweza kuua mapato yetu ya nchi hii kwa kiasi kikubwa sana. Kwa hiyo, na hili inabidituliangalie sana.Mheshimiwa Naibu Spika, pia tumeelezwa kuwa bila kuwa na Sheria hii hatuwezi kutumia hakiyetu chini ya makubaliano hayo ya kimataifa. Kwa hiyo, hapa ndipo paliponipa sababu kuunga mkono

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!