10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Naibu Spika, haya ninayoyasema yana mantiki yake. Tulipokwenda Marekanimwezi wa Tisa, tumekutana na Mshauri wa Rais Bush kwa masuala ya Kiafrika. Tukamwuliza ninyimnawapa watu wenu subsidy na ndio Mheshimiwa Waziri wa Viwanda mlikuwa kule Cancun akasemalook here, wanaolima hapa sio asilimia hata kumi. Sasa kama mtu anaweza akawa na ng’ombe wa maziwakule kwangu kikombe kimoja, halafu lita moja Sh.40/=, lakini mashudu kununua zege, kununua dawa zakuoshea, sijui kununua chumvi, sijui kumwosha, yule anayekata nyasi, kwa mwaka gharama nzima niSh.200,000/= na akaja kuuza hayo maziwa yake gharama akatoa Sh.40,000/=, anasema ni kitu ambachohata wewe mwenyewe unaona mahesabu haya hayaingii kichwani. Kwa sababu kwanza yale maziwayamenywewa na watoto ambao wangeugua unyafuzi, mwingine kesho atakuwa Rais.Hayo maziwa yameuzwa kwenye mahoteli na watu wakapata ajira kwenye mahoteli, nyama yahuyo ng’ombe imeuzwa kwenye hoteli na mwingine akinyimwa nyama shin<strong>go</strong> yote inarefuka. N<strong>go</strong>zi yang’ombe yule amekwenda kwenye kiwanda watu wakapata ajira, wenye vishikizo wakapata ajira, wenyekutengeneza guru wakapata ajira, sasa huyu katika mzunguko mzima ameweka ajira huyu lazima afikemahali tum-subsidize. That is why tunawa-subsidize, wakajibu hivyo. Ni hoja ambayo huwezi ukaipingakwa mantiki hiyo. Kwa misingi hiyo tukiendelea ku<strong>go</strong>mbana na tusipoliangalia tukadhani kwamba kusubsidizewakulima ni kitu kibaya, nadhani tutakuwa tunajipeleka mahali ambapo tutashindwa kwa sababukwa vyovyote vile hatutawalazimisha na wao kisiasa hawatakubali. Kwa mfano hivi sasa tunaWamachinga pale, mtu mmoja alikuwa anasema waulizwe hizo bidhaa mnatoa wapi? Lakini watakwendawapi? Kwa sababu elimu yao ni Darasa la Saba! Sasa wakija pale wakati mwingine hata sisi tuliopokwenye Upinzani tunasema wanawafukuza pale Kariakoo, sasa pale Kariakoo wakijazana kama uyogahuoni ni shida? Sasa haya mambo sisi tunayaona hivi hivi tu. Lakini kama ukiboresha ile Sekta, kuwasubsidizehali inakwenda vizuri.Mheshimiwa Naibu Spika, baada ya kuyasema hayo, nilikuwa nasema kwamba sheria hiitumeitunga, iko hoja ilitolewa na Mheshimiwa Waziri kwamba kwa mfano lile gunia la katani linadumu.Ndiyo! Lakini gharama yake ni Shilingi ngapi? Sh.1,500/=. Kama mkulima wa kahawa anataka kununuamagunia 100, unazungumza akatumie Shilingi laki moja nadhani na zaidi, kama mahesabu yanguhayajazeeka; kuna yale magunia ya jute ni Sh.200/= na yeye shida yake ni kupakia mzi<strong>go</strong> wake iliusiende unamwagika akauze pale na wakishapima wala kale kagunia ka-jute wala hakana hata robo kilolakini akisema lile la katani wanasema tunakukata na kilo mbili. Sasa hata mahesabu yenyewe yanakuwahayawezi kuingia. Kwa hiyo, hoja ya msingi tunapoliangalia hili Mheshimiwa Waziri wa Biashara naViwanda, yapo mambo mengi ya kufanya katika kupiga hatua ili Muswada wetu uweze kufanya kazivizuri. Sisi wala tusiseme kwa sababu tuna sheria, atakaye-dump hapa tunamrukia, sasa unamrukia ndiyolakini tunajiandaa vipi ili kuweza kuhakikisha kwamba na sisi tunachukua kile kitu kinaitwa comparativeadvantage? Ni bahati mbaya kwamba mimi sikusoma uchumi lakini nadhani yapo mambo mengineambayo unaweza kuyaona kwa mantiki hiyo. Kwa hiyo, hilo ningeomba tulione.Mheshimiwa Naibu Spika, maana yake sisi ndio umesema tutenganishe na kilimo. Kama nichuma, kiko pale sijui liganga; tena ni mlima wala sisi hatupashwi kuchimba ardhini, kiko juu.Wamekwenda pale na vijana mnapeleka pale wanakatakata hivi mnakwenda kuuza. Sasa sijuituzungumzie nini kwa sababu hawata-subsidize hizi chuma kule nadhani. Kama ni mkaa wa mawe, sisitunao, hawawezi kuchimba, hawata-subsidize hiyo. Nadhani our base need kwa sababu huwezikuzungumzia industrial revolution kwa nchi kama hii bila kuzungumzia Agrarian Revolution na kuviconnect.Mheshimiwa Naibu Spika, sasa cha msingi hiyo nadhani Mheshimiwa Waziri wa Viwanda naBiashara lazima aliangalie hilo kwa sababu hilo suala la subsidy haliko kwenye vyuma, halipo kwenyeuranium, halipo kwenye petroleum wala halipo kwenye mambo mengine yale. Liko kwenye bidhaa hiziambazo ni za kilimo na ambazo tunazipigia kelele na ndizo hizo wakishaziongeza value wanapokujakushindana na sisi, kwa sababu wao wangeliacha vile maana kama bei ya kilo moja ya pamba ama yakorosho ambazo ndizo zinapigiwa kelele kwenye soko la dunia tuseme kilo ya pamba ni Sh.1,200/=,Wazungu wana mahesabu. Kama ardhi yao imechoka, ameweka trekta, ameweka mafuta, amewekavibarua, amewaajiri na mishahara mikubwa kufuatana na standard ya maisha, sasa wao hawawezi kukubalikama sisi tunavyopeana Sh.2,000/= au Sh.200/= au Sh.500/= halafu unamwambia nyamaza kwa sababustandard ya maisha yetu ni kutumia kwa Sh.200/= au Sh.500/=.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!