10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

watakapotambua umuhimu wa kutotumia fedha hizo ovyo ovyo, juhudi hizo zitaendelea ili muwezekuwabana vizuri zaidi hawa Wakurugenzi kutofanya vitendo kama hivyo. (Makofi)Na.47Ujenzi wa Barabara ya Mahenge - SelousMHE. CAPT. THEODOS J. KASAPIRA aliuliza:-Kwa kuwa Serikali ya Tanzania imepokea mkopo toka Benki ya Afrika (ADB) kwa lengo la ujenziwa barabara ya kudumu kati ya Mahenge - Isongo - Mzelezi - Chirombola - Mwaya hadi Mbuga zaSelous:-(a)(b)(c)Je, mkopo huo ulikuwa wa Shilingi ngapi za Kitanzania?Je, Mkandarasi wa barabara aitwaye MBERU CON. LTD amepewa muda gani kitaalamkuweza kumaliza ujenzi wa barabara hiyo na hadi sasa ameshalipwa kiasi gani chafedha?Je, Serikali inafahamu kwamba Mkandarasi huyo hana uwezo wala vyombo vya ujenzina kwamba anakodi vyombo vya ujenzi toka kwenye Kampuni nyingine kwa kazi yaMahenge?WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII alijibu:-Mheshimiwa Spika, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Capt. Theodos James Kasapira,Mbunge wa Ulanga Mashariki, lenye sehemu (a), (b) na (c) kama ifuatavyo:-(a) Mheshimiwa Spika, mkopo uliotolewa na Benki ya Maendeleo ya Afrika yaani ADB kwaSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulikuwa sawa na Shilingi bilioni 5.0 wakati ulipotolewamwezi Novemba, 1998. Mchango wa Serikali ulikuwa Shilingi 636.6.(b) Mheshimiwa Spika, Mkandarasi aliyeshinda zabuni ya matengenezo ya barabara yaMahenge hadi Pori la Selous yaani urefu wa Kilometa 51 ni M/S. Mberu Construction Ltd., ambaye alipewamiezi tisa kumaliza kazi hiyo. Tarehe ya mkataba ya kumaliza kazi ilikuwa tarehe 16 Desemba, 2003.Mpaka tarehe hiyo mkandarasi alikuwa amekamilisha asilimia 57 tu ya kazi. Fedha iliyolipwa mpakawakati huo ilikuwa ni Sh.379,995,850.50, ikiwa ni asilimia 55.4 ya fedha alizotakiwa kulipwa. Mkandarasiamechelewa kumaliza kazi na ameomba rasmi apewe miezi mitatu na nusu ili akamilishe kazi yake.Maombi hayo yanafanyiwa tathmini na Mhandisi Mshauri ambaye ataishauri Wizara ipasavyo.(c) Mheshimiwa Spika, Serikali inafahamu kuwa Mkandarasi alipewa kazi hiyo baada yakushinda zabuni kulingana na Kanuni za Ununuzi Na.3 za mwaka 2001. Kufanya kazi kwa kukodishavyombo ni utaratibu unaoruhusiwa kisheria. Katika zabuni yake Mkandarasi alionesha kuwa mitambomingine ya kufanyia kazi atakodi. Wizara itahakikisha kuwa taratibu stahili zinazingatiwa katikautekelezaji wa mkataba wa zabuni hiyo.MHE. CAPT. THEODOS J. KASAPIRA: Mheshimiwa Spika, pamoja na majibu mazuri yaMheshimiwa Waziri, nina maswali madogo mawili ya nyongeza.Mimi ninayeuliza swali hili ndiye Mbunge wa eneo hilo, mkandarasi huyu anafanya kazi mbayasana. Sasa tathmini ambayo inafanywa, inafanywa na wale wale, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi yaMkoa au ya Wilaya anayeshirikishwa kitaalam. Sasa nataka kujua tathmini hii itachukua muda gani? Hilola kwanza.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!