10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kama tunaka Watanzania wote, Serikali tunataka kutoka sasa tuanze tujenge umoja, yako mambotutawanong’oneza pembeni msifanye ili tusiyalete hapa Bungeni na hili acheni la sabuni na mafutalitawaumiza watu. (Makofi)Pili, nataka tusiabudu sana Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Kuna vitu tunataka tukakatae kwenyevikao, ukiambia kila kitu kiwe zero tarrif, tunakuwa watumwa wa Kenya pale pale. Hata wanaokampeniamafuta kutafuta mara zero tarrif mara sabuni ni makampuni ya Kenya wana branches za wenzaowanaowatumia.Kwa hiyo, mimi natoa tahadhari hiyo, kwa Serikali muwe very careful juu ya jambo hilo. Mimisiwezi kwenda Sumbawanga nikaona wananchi wanaolima sunflower wanaacha kulima kwa sababuhawawezi kusindika kwa kuwa tunakumbatia wakubwa wanaosindika mafuta kwenye makopo. Kwa hiyo,nataka niseme hiyo, msije mkakosea, msifanye kosa hilo. (Makofi)Mheshimiwa Spika, la mwisho ambalo ningependa kushauri hapa nakubaliana na MheshimiwaEliachim Simpasa na Mheshimiwa Leonard Derefa, mimi nchi nyingi ambazo nimekwenda na wengitunaokwenda nchi nyingi mkienda shopping siyo ubaguzi mnakuta ubora wa vitu vinavyofanana lakini kwatofauti kidogo kwamba mnatengeneza vitu lakini viwe bora lakini vinaweza kununuliwa na aina fulani yawatu na aina ya pili ya watu na ya tatu. Ukienda unajua kabisa mimi nakwenda huku tofauti kwa mfano sisiDar es Salaam bei ya vitu haitegemei ilivyozalishwa, inategemea mpangaji, mfanyabiashara amepangawapi duka lake. Shati unalokuta Kariakoo, ukilikuta Independence ya Samora lina bei tofauti na lile.Kwa hiyo, anachofanya bei iwe tofauti ni kwa kuwa yeye amepanga biashara Mtaa wa Samorasiyo quality ya bidhaa ile iliyo Kariakoo na kwenye duka lake. Lakini nchi zingine ukifika wanakuonyeshakabisa kwamba mtakaye shati hili bei yake ni hii kwa sababu tunataka kila mtu avae. Ukienda hukukwingine utakuta hata ukishika utaona kweli nimevamia ni nzuri kwa thamani na quality. Sasa sisi kwetu nitofauti. Kwa hiyo, mimi ningependa tufike hapo. (Makofi)Hata hili la kanga kwa vijijini kwetu kanga ni vazi, Mijini kanga siyo vazi. Naomba radhiakinamama wanisamehe. Naweza kusema ni kama anasa kidogo, lakini anasa nzuri inavaliwa wakatimzuri. Kwa hiyo, kwa Mijini kanga inayokuwa transparent si mbaya sana, ni vazi la raha kwa wakati ule.Kwa hiyo, ikiwa transparent ni nzuri zaidi kuliko ile nzito, kumbe Sumbawanga ni vazi kanga,watu wanavaa wanakwenda hata kwenye sherehe wanavaa kanga. Kwa hiyo, wasingependa kuonekana.Kwa hiyo, nataka tuelewane vile vile kwamba tunapozungumza habari ya ubora tuzungumzie nguo maanayetu ni hiyo. (Makofi/Kicheko)Mheshimiwa Spika, baada ya hapo naunga mkono Muswada huu.SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, nimehakikishiwa na wahesabu kura kwamba karibuwanamaliza, kwa hiyo, sitaahirisha Bunge mpaka niwatangazie matokeo. (Makofi)MATOKEO YA UCHAGUZI WA WABUNGE LA AFRIKA(PAN-AFRICAN PARLIAMENT)SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kazi ya kuhesabu kura zilizopigwa leo asubuhi imekamilika nanimeshakabidhiwa matokeo.Kanuni inasema kwamba: “Spika, akishakabidhiwa matokeo, he will report to the Assembly theresult of the election together with a number of votes recorded for each candidate in each of the groupsspecified above.”Katika kila kundi kila mgombea amepata kura ngapi hatua ya kwanza. Hatua ya pili ndiyotunatangaza waliochaguliwa kuwa Wabunge wa Bunge la Afrika. Sasa sehemu ya kwanza ya kilamgombea amepata kura ngapi ni kama ifuatavyo:-

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!