Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz Read - bunge .parliament.go. tz

bunge.parliament.go.tz
from bunge.parliament.go.tz More from this publisher
10.07.2015 Views

Kwa hiyo, sisi hatujawahi kuona sukari ya Kilombero tunakuja kuiona tukija Dar es Salaam. Sasakatika hali hii itakuwa vigumu sana kuzuia soko la sukari ya Zambia kuuzwa katika Mkoa wa Mbeya kwasababu sukari yenyewe Kilombero haiji sisi kwetu na hatujawahi kuona. Hata ikija, wakati fulani inakuwana bei ya juu, lakini wakati fulani wanateremsha sana. (Makofi)Sasa wao wanaweza kuwa na bei siyo ya chini sana kwa sababu wako peke yao. Kwa hiyo,kungekuwa na soko pengine wangeweza kushusha bei chini zaidi. Lakini ninachosema ni kwamba kamaviwanda havijawezeshwa kwa makusudi kabisa kuzalisha bidhaa kwa gharama nafuu au kuzalisha bidhaaambazo zina sifa inayotakiwa (quality product) au kuzalisha bidhaa ambazo hutosheleza soko, kama nisukari inaenea nchi nzima, kama ni nguo zinaenea nchi nzima, basi maeneo kama hayo ni vigumu sanakwamba utazuia watu kuleta bidhaa zao na kuzifanya kama dump katika nchi maana yake nawafanyabiashara wanaangalia ni eneo gani ambalo lina matatizo katika nchi hiyo, basi watachukua mpenyohuo watapeleka na ndiyo maana Zambia na Malawi for many years sisi tunatumia sukari ya kule.Kwa kweli ukigusia Mkoa wa Mbeya juu ya suala la sukari kununua kutoka nje, kwanza huwezikueleweka. Bahati nzuri Mheshimiwa Comrade Kingunge Ngombale-Mwiru amekuwa Mkuu wa Mkoakule miaka ya 1980 alifika mahali akasema sukari huku ni lazima itoke Zambia na Malawi kwa Mkoa waMbeya kwa sababu sisi hatupati ya Kilombero. Katika hali hiyo, ni hatari sana na hivyo ingeendelea hatakatika nguo na kadhalika.Mimi nasema kwa kweli tuseme tu kwamba viwanda vyetu vile ambavyo tumekuwa tukitengenezanguo hapa katikati, tumetengeneza nguo nzuri sana kanga na hata ukienda dukani ukitaka kununua kangazinazotoka India na zile ambazo zinatoka Tanzania quality yake ya zile kanga za Tanzania kwa kweli ninzuri, tuseme kweli na texture yake ukikamata ni nzuri. Ukiangalia zile zinazotengenezwa Indiazinaonyesha unaweza ukaangalia moja kwa moja (they are transparent) zinaonyesha mpaka labda awekedouble akate vipande viwili. Lakini kwa kweli kanga ya kwetu ni nzuri tu ukivaa texture yake na rangi ninzuri. (Makofi)Lakini sasa inaenea kiasi gani katika nchi yetu na tunawasaidiaje bei zao ziwe nzuri? Waowanauza doti shilingi kwenye 3,000/=, 3,500/= wale wengine wanauza 1,000/=, 2,000/= pungufu. Sasa hiini dumping maana yake. Lakini quality ya kanga hizi ambazo zimetengenezwa kwenye viwanda vyetuvilivyopo ni nzuri sana. Sasa tatizo lingine kweli bei ni kubwa, lakini lingine nadhani ni tabia tu na hiyoinaitwa business psychology.Wale wanaoleta hizi nguo zinazotoka naona business yake ni ya maneno yanayoandikwa kwenyekanga kama methali, maneno mtu anasema kaninunulie nguo fulani lakini lazima itajwe maneno fulani nahii sasa ni attitude tu kwamba inawezekana ikawa ni biashara inafanyika. Lakini kwa sababu ya attitudekwamba wanataka labda wavae vitu vya kusema au kama nguo fulani inaonekana inachora kitu fulani. Kwahiyo, hili suala tunasema labda ni attitude . Lakini vile vile bei za kanga zetu ni kubwa ingawa quality yakenzuri.Sasa cha msingi sasa ni hizi zienee.Vile vile cha msingi kingine ni sisi kuwa na (attitude ) tabia ya kupenda vitu vya nje. Vitu vingineni vya ovyo kama nilivyosema siyo vizuri sana kuliko vyetu. Lakini kwa kweli unakuta watuwanavichangamkia. Sisi tulivyoenda nchi fulani na nasikia ndivyo na Wapajani nao wanafanya. Ukiendakununua mchele unakuta wameweka aina zote za mchele za nchi zingine, lakini akienda kununua yeyemwenyewe, anatembea anasema: “This one is good, this one is good but I would like to buy the Japanese,”anasema zote ni nzuri lakini anataka kununua ya Kijapani. Sisi hatujajenga hiyo attitude kwamba kwelikanga hii ni nzuri lakini naona kama inaangaza ukivaa lazima uvae double au tatu lakini ningetaka ninunueTanzania. Kujenga hiyo tabia ya kupenda bidhaa zetu bado na siyo hivyo tu viko vitu vingi tu ambavyopengine naona siyo vya lazima kuwepo katika nchi yetu, lakini ili mradi kilivaliwa na mtu kutoka nje aumzungu labda mtu anadhani kwamba akivaa hiyo itakuwa inampa heshima namna fulani. Nimekuta ingawahii haingilii sana pale lakini ukikuta brazia nazo zimekuwa hanged zinauzwa, sasa sijui nazo ni dump aunini, sijui za bei ya chini au vipi? Maana lazima kuwe na nguo ambazo tungeweza kukubali kwamba hizitunaweze tukazitumia, lakini brazia na nguo zingine ambazo siwezi kutaja hapa kama nazo zinawekwa nazimekuwa nyingi tu mitaani.

Sasa sijui ni dump au bei ni cheap au vipi? Lakini huwa najiuliza hivi hizi nguo zingevaliwa naWaafrika halafu zikafuliwa zikapelekwa kule wenzetu wangenunua? Au tunavaa kwa sababu zilivaliwa nawatu fulani ambao tunafikiri ni high quality kidogo? Vitu kama hivi.Kwa hiyo, tujenge nchi au sisi wenyewe pamoja na sisi Waheshimiwa kutangaza bidhaa zetukwamba ni nzuri na zinaonekana ni nzuri. Vile vile kujenga tabia ya kupenda bidhaa zetu katika matangazonakadhalika, tuweke hivyo vitu pengine itatusaidia. Otherwise kama tabia yetu ni kupenda vya wenginehata unaweza ukaweka sheria hii lakini watu wakasema sisi tutanunua kupitia mlango mwingine, wanakaampakani tu, wana-exchange pale pale kwa sababu watasema ziko cheap na zimetoka sehemu nyingine.Mheshimiwa Spika, kwa hiyo, Muswada huu mimi nasema umekuja wakati mzuri lakini kamanilivyosema hapo mwanzoni ni Muswada ambao utampa Waziri na Serikali yetu katika kudhibiti hii habariya tabia ambayo nchi zingine zinafanya katika kuua viwanda vyetu na mchezo huu wa free trade marketeconomy au trade liberalization kwa kweli kama hauwezi kudhibitiwa unakuwa hauna refa, maana refaanasema stop, lakini kama hakuna sheria ni kama mchezo ambao hauna refa. Marehemu Julius Nyererealisema hivi unamweka Matumla na Liston kwenye ulingo halafu mchezo wenyewe hauna hata refa si mtuatauwawa mle ndani?Kwa hiyo, sasa kama sisi kwa bill, viwanda vyetu vichanga namna hii, kama hakuwezi kuwa narefa wa ku-regulator au regulating agent kama hii sheria, basi tutakuwa tunapata matatizo.Kwa hiyo, tunaunga mkono na tunaomba wananchi na hasa wafanyabiashara waweze kuelimishwakatika hilo. Lakini tunaomba Serikali nayo ienze kutafuta namna gani tusaidie viwanda vyetu ili kuzalishakwa bei nafuu vitu vyenye gharama nafuu na quality na hali kadhalika kwa kusambaza katika nchi yetu.Mheshimiwa Spika, nimeunga mkono toka zamani na nashukuru kwa kunipa nafasi hii, ahsante.(Makofi)MHE. DR. CHRISANT M. MZINDAKAYA: Mheshimiwa Spika, nakushukuru sana kwakunipa nafasi hii ili niweze kutoa mawazo yangu kuhusu Muswada huu. Kwanza kabisa naungana naWaheshimiwa Wabunge, waliotangulia kwamba na mimi naunga mkono Muswada huu ni mzuri na unafaa.(Makofi)Mimi nilikuwa na ushauri ufuatao, kwanza ni vizuri tukaelewa kwamba kwa sasa hiviukilinganisha kwamba kuna nchi zilizoendelea na ambazo zinaendelea tena tumepangwa kwa makundiwale wa dunia ya kwanza, ya pili na sisi tulio dunia ya tatu, ushindani utachukua muda mrefu sana kuwawa haki, ushindani bado wadogo tutaendelea kuumia. Kwa hiyo, kuweka sheria kama hizi kunasaidia sana.Jambo ambalo mimi ningependa Waziri alifahamu tangu mapema, ni kuwa wananchi wa kawaidahawana uwezo na utaalam wa kujua juu ya dumping ni nini na vitu gani vitakuwa vimeletwa hivyovinatokana na dumping hakuna Mtanzania wa kawaida atakayehitaji, kwa sababu yeye anachofuata nikununua kitu ambacho anaona anakinunua kutokana na uwezo wake.Ushauri wangu mimi ni kuwa hii Kamati ya ushauri kwa kuwa tunaanza, Wizara wakubali kuanzana Kamati ya ushauri lakini nadhani baadaye itabidi kuwa na bodi ya udhibiti kwa sababu Waziri atangojakushauriwa na Kamati kama hakushauri basi. Waziri atangoja kuandikiwa malalamiko kama hakuandikiwabasi.Kwa hiyo, tunatakiwa kuona tungekuwa na chombo ambacho kitapewa mamlaka ya wazi wazi yakufanya upelelezi na kuchunguza kwa sababu ikiwa mali inayodaiwa ni dumping imeletwa TanzaniaKamati hii itakuwa na expertise gani ya kwenda India au kwenda Ulaya au kwenda Japan kwendakupeleleza kwamba mambo haya yamekuwa dumping? Nani anayefanya kazi maana naona kwenyeMuswada hakuna anayepewa jukumu hilo, ni kana kwamba kila wakati mpaka watu walalamika huyomwenye utalaam wa kudhibiti na kuchunguza ni nani? Kwa hiyo, nilikuwa naomba na nitoe ushauri,Wizara tuanze hili lakini baadaye tutazame.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!