10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Spika, ahsante sana na naunga mkono hoja. (Makofi)MHE. ELIACHIM J. SIMPASA: Mheshimiwa Spika, nashukuru kwa kunipa nafasi yakuchangia mchana huu. Kwanza, nami nitoe salaam za mwaka mpya kwa sababu ndiyo mara ya kwanzakwa mwaka huu kusimama.Pili, nimpongeze Mheshimiwa Charles Makon<strong>go</strong>ro Nyerere, kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Raiskuwa M<strong>bunge</strong> wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuna imani kwamba atashirikiana na sisivyema ili kujenga nchi yetu. (Makofi)Mheshimiwa Spika, sheria hii nzuri na ninaiunga mkono na imekuja wakati ambao ni muafakakulingana na biashara iliyopo duniani sasa hivi.Mheshimiwa Spika, Dumping mara ya kwanza nashukuru walituletea vizuri tumeshazoea nenodump kwamba ni eneo la kutupa takataka. Lakini nadhani tumeelezwa vizuri kwamba hii dumping unawekahata bidhaa nzuri lakini ndiyo hiyo tena mtu analeta ili auze kwa bei ya chini. Sasa dumping imekuwepo naimekuwa vigumu sana kuizua katika nchi hii kwa sababu sheria haikuwepo. Sasa maadam sheria ipo kamatutaipitisha basi itampa Waziri na Serikali yetu uwezo wa kutafuta namna ya kuzuia biashara ya namnahiyo.Lakini wakati fulani inawezekana dumping ikawepo bila watu wenyewe kutambua kwa sababubiashara ni saikolojia tu, watu wanaweza wakafanyiwa dumping hata kama sheria ipo, lakini wasijuekwamba kuna sheria ipo kwa sababu mara nyingi watu wengi hawasomi sheria.Kwa hiyo, tukakuta dumping ipo na sheria ipo kama hivi ambavyo sasa kuna sheria nyingi ziponchini na watu wanaumizwa lakini hawajui kwamba ipo sheria ya kuwasaidia. Kwa hiyo, itakapotungwa nivema kabisa wananchi wote waleezwe na vyombo vyote vinavyohusika vijue na hasa wafanyabiasharawetu wajue kwamba sheria hiyo inalinda biashara zao. (Makofi)Mheshimiwa Spika, kama inavyojulikana ni kwamba ziko aina nyingi za viwanda, lakini kunaviwanda vikubwa sana (Heavy Industries) ambavyo unakuta viwanda vile vinazalisha vitu kama magari,vyuma, mitambo, hivi katika nchi zetu ni vichache tuseme kwa kweli hatuna. Tuna viwanda vya kati vileambavyo ni viwanda vya kawaida au vinavyozalisha vitu kama viberiti, nguo, baiskeli, mafuta ya kupikiana kadhalika.Nchi yetu, kama uwezo wa kuendesha viwanda hivi vya aina ya kati ndiyo tunaweza tukafanyasisi kuliko vile vya hali ya juu. Sasa kama viwanda vyetu vitatengeneza nguo au vibiriti, mafuta, sabuni nandiyo uwezo tulionao tunaweza tukafanya, halafu kuna nchi nyingine inatengeneza vitu hivyo hivyo nakutuletea huku basi bila kusimamia vizuri viwanda hivi haviwezi kuendelea, viwanda hivi tutakuwatumewakatisha tamaa kabisa wafanyabiashara wetu na viwanda vyetu. Kwa hiyo, ndiyo maanatunasema tunashukuru sana Mheshimiwa Waziri kuleta suala hili ndani ya Bunge.Mheshimiwa Spika, kwa nini watu wananunua bidhaa za nje kwa bei ya chini? Lakini pengineniseme kwa nini bidhaa zetu ni za juu sana? Kwa sababu kwanza uzalishaji wa bidhaa katika nchi yetu nighali mno, yaani viwanda vyetu vinakumbana na matatizo mengi zikiwemo bill za umeme kuwa kubwamno yaani hatujajenga uwezo kwa viwanda vyetu kwamba vinaweza kuzalisha bidhaa kwa gharama nafuu,kujenga uwezo wa viwanda makusudi kabisa kuzalisha bidhaa kwa gharama nafuu hiyo hatujafanikiwa.Lakini vile vile hatujaviwezesha viwanda vyetu, kuzalisha bidhaa nzuri (quality product) hakuna. Vivyohivyo kuzalisha bidhaa za kutoshelesha hakuna, kwa mfano mimi sijui niseme nini?Lakini mimi tangu nimekaa kule Mbozi, sijawahi kunywa chai yenye sukari ya Kilombero in mylife, vivyo hivyo Kyela, tuseme Mkoa mzima sisi kuona mfuko wa Kilombero Sugar Company, hatuoni.Hata watoto wanapozaliwa hawaoni sukari ya Kilombero. Nadhani na Sumbawanga Mkoa wa Rukwa kuletunapata sukari kutoka Malawi na Zambia.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!