10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

HON. WILLIAM J. KUSILA: No, I trust the chair.DEPUTY SPEAKER: Honourable George Mlawa, do you want to nominate anybody?HON. GEORGE F. MLAWA: I also trust the chair.DEPUTY SPEAKER: Okay.Honourable Kilontsi Mporo<strong>go</strong>myi, would you like to appoint anybody to stand on your behalf?HON. KILONTSI M. M. MPOROGOMYI: No, I trust the chair.DEPUTY SPEAKER: You trust, okay. Honourable Dr. William Shija?HON. DR. WILLIAM F. SHIJA: I trust the chair, Honourable Deputy Speaker.DEPUTY SPEAKER: Okay.(Here the ballot papers were collected)NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wa<strong>bunge</strong>, hapo ndipo tumefikia mwisho wa kupiga kura.Ninamshukuru sana Spika kwa kunipa hii nafasi. Sasa ninampisha mwenyewe aendelee na utaratibuunaoendelea. (Makofi)Hapa Spika (Mhe. Pius Msekwa) Alikalia KitiMISWADA YA SHERIA YA SERIKALIMuswada wa Sheria ya Kukabiliana na Bidhaa kutoka kwa Wazalishaji wa Nje Wenye Nia ya KuuaUshindani wa Ndani wa Mwaka 2003(The Anti-Dumping and Countervailing Measures, Bill, 2003)(Majadiliano Yanaendelea)MHE. LEONARD N. DEREFA: Mheshimiwa Spika, naomba nikushukuru sana kwa kunipanafasi ya kwanza katika kuchangia hoja hii iliyo mbele yetu. Kwanza napenda nimpongeze sanaMheshimiwa Charles Makon<strong>go</strong>ro Nyerere, kwa kuchaguliwa kuwa M<strong>bunge</strong> na kwa kweli nampa hongerasana katika kujumuika nasi ili kuchangia maendeleo ya nchi hii.Mheshimiwa Spika, pili, naomba nitumie nafasi hii kutaarifu kwamba, kwenye Jimbo langu kunanjaa sana na katika gazeti la Majira la jana kwenye ukurasa wa nane, Madiwani wa Manispaa wameongeleakwa hali ya juu sana kuhusiana na tatizo la njaa katika Mji wetu wa Shinyanga.Mheshimiwa Spika, huko nyuma tulielewa kabisa kwamba watu wanaoishi Mjini wana uwezo,lakini kutokana na hali halisi ya sasa hivi na kutokana na ukame wa miaka mingi mapato ya watu wengiyamepungua kwa sababu kama mnavyofahamu, fedha inakaa ardhini, mtu anapolima ndiyo anapatamapato. Kwa hiyo, naomba Serikali ijaribu kutuona na itusaidie hasa chakula cha aina tatu.Mheshimiwa Spika, chakula cha kwanza ni cha kuwauzia wale wenye uwezo wa fedha. Chakulahiki wapewe wenye mashine za kusaga pamoja na wale wanaojihusisha na biashara ya nafaka. Chakulacha pili wapewe wananchi na kiwe ni chakula cha nguvukazi kama ilivyokuwa hapo zamani, kwamba waleambao hawana fedha angalau wanaweza wakatumia nguvu zao wakapata chakula na chakula cha tatukipatikane chakula cha bure kabisa kwa sababu katika jamii yetu kuna watu ambao hawana uwezo kabisana kujipatia mapato na hasa hususan katika Mkoa wetu wa Shinyanga ambako kumekithiri mauaji yauchawi. Akinamama wengi walionusurika wamekimbilia Mjini Shinyanga na hawana pato la aina yoyote.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!