Napenda kumhakikishia Mheshimiwa Mbunge kwamba, jambo hilo ndilo linalofanyika hivi sasa,linafanyika kwa maana ya kutia shinikizo Serikali ya Uingereza na Marekani kuanza kutimiza ahadiwaliyoitoa kwa sababu ahadi ile imo katika mkataba na waache kupiga maneno tu na kuanzisha visingiziotofauti vingine ambavyo ni kusema kwamba Zimbabwe hakuna demokrasia, utawala bora, kuheshimu hakiza binadamu ambavyo si kweli hata kidogo, ni visingizio vinavyotumiwa tu. Kwa hiyo, nasema waachekutumia visingizio watekeleze ahadi yao waliyoitoa.Mheshimiwa Spika, napenda kusema kitu kimoja, Serikali ya Zimbabwe haikusema hata kidogokwamba imenyang’anya ardhi za hawa Wazungu bila ya fidia, ilichosema ni hivi, kwanza mashambaambayo yatachukuliwa ni yale mashamba ambayo mtu mmoja anamiliki zaidi ya shamba moja yaanishamba la 2,3,4,5 shamba la kwanza linalomilikiwa na watu binafsi halitachukuliwa.Pili, inasema kwamba, hata yaliyochukuliwa yatalipiwa fidia ya wakati ule yalipochukuliwa lakinisio mbuga zile zilizosalia yaani mtu kama ekari 300,000 lakini kaendeleza tuseme ekari 4,000 tu Serikaliipo tayari kwa mujibu wa mapatano ya Lancaster kumlipa mkulima yule kwa sehemu aliyoiendeleza kamakajenga nyumba, kachimba kisima, kitu chochote alichofanya atalipwa fidia ya wakati ule kilipochukuliwalakini hawezi kulipwa juu ya mbuga zilizosalia ambazo ni ekari tuseme maelfu kwa maelfu ambazohawakununua wengi wao wamenyang’anya na kupora tu. Kwa hiyo, hivyo ndivyo ilivyosema Serikali yaZimbabwe lakini taarifa hizi hazitolewi wala wakubwa wanaohusika na suala hili hawako tayari hatakidogo kukubali taarifa hizi na kuzielezea, lakini huo ndio ukweli. (Makofi)SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, muda wa maswali umekwisha na maswali yamekwisha. Sinamatangazo isipokuwa labda niseme tu kwamba, kwa Muswada uliopo kwenye Order Paper ya leonimeshapata maombi ya wachangiaji 14. Kwa hiyo, inaelekea Muswada huu utatufikisha mpaka jioni,wanaojiandaa kuchangia Muswada wa pili ule wa Ardhi naona wajiandae kwa Jumatatu. Agendainayofuata Katibu.UCHAGUZI WA WAJUMBE WA BUNGE LA AFRIKASPIKA: Kabla hatujaanza, nitoe maelezo kwamba utaratibu uliowekwa ni kwamba, wagombeawa kila kundi watajieleza halafu tutapiga kura za kundi hilo kabla hatujaenda kundi la pili na la tatu,tukiacha wajieleze wote tutasahau. Huo ndiyo utaratibu tulioweka. Sasa tunaanza lakini kwa kuwaningependa Mheshimiwa Naibu Spika, naye apate uzoefu wa kuongoza mambo haya, hebu njooMheshimiwa Naibu Spika ukalie Kiti. (Makofi)Hapa Naibu Spika (Mhe. Juma J. Akukweti) Alikalia KitiDEPUTY SPEAKER: Waheshimiwa Wabunge, kazi inaanza, lakini kabla hatujaanza pengine nivizuri tukatazama zile kanuni zetu. Rule No. 9 of our election procedures, read like this: “Before thevoting exercise takes place on election day, each candidate shall be given an opportunity to appear beforethe voters assembly in an ordinary sitting of the National Assembly and address them in Englishfor the such a length of time and answer such number of questions if any as may be determined by theSpeaker for that purpose. So for these our tradition dictate that we give three minutes for each candidate togive his speech in front of the Assembly”. That is rule No. 9.May be also I should read rule No. 12 (1): “Immediately after all votes have been placed in theballot boxex and before the ballot boxes are removed from the Assembly for counting the vote, the Speakershall appoint one counting agent for the candidate in each of the groups specified in rule No. 5(a), providedthat any candidate who wishes to appoint his or her own counting agent, may do so by submitting the nameof that agent to the Speaker immediately after appointment by the Speaker have been announced”. Sasahizo ndiyo regulations. One, you have to address us in English.Sasa la pili, not necessarily for the ordinary Members of Parliament who are not contesting, notnecessarily that you are asked questions in English, you may put your question across in Swahili if you feelthat you will be understood clearly by asking in Kiswahili, but preferably you do it in English. Because
the regulations say candidates will address in English, sasa hiyo not the other Members of Parliament forthe sake of clarity, otherwise you can choose your language, whichever language you want to use.So, the first group katika hili, I think campaign is ended, I don’t think you have to campaign rightnow. So, group (A) - the Women Group. Please, may I request those who are contesting in this group togo out of the Assembly? Those are Dr. Aisha Omar Kigoda and Ambassador Getrude Ibengwe Mongella.Please can you leave the Chamber?The advice I am getting from the Clerk of the National Assembly is that, all of those who arecontesting should leave the Assembly, all of them. (Applause)(Here all Members who are contesting left outside the Chamber)DEPUTY SPEAKER: Okay, I assume all of those who are contesting are outside the Chamberright now. Okay, Clerk can you call the names?DEPUTY SPEAKER: Honourable Dr. Aisha Kigoda, you are given three minutes to give yourspeech and ask for votes and you will be asked three questions if any, please go ahead.HON. DR. AISHA O. KIGODA: Honourable Deputy Speaker, Honourable Members ofParliament, good morning?MEMBERS: Morning.HON. DR. AISHA O. KIGODA: My name is Dr. Aisha Omar Kigoda, I am a Member ofParliament, Special Seats, CCM. I am standing in front of you requesting for your votes, so that I can beone of the representative to represent Tanzania in the Pan-African Parliament. I am a Medical Doctor byprofession, most of you have got my CVs and have gone through them and being a Member of Parliamentfrom this House, I am in a position to confirm to you that if you vote for me as far as the vision of the AUand the objectives of the AU is concerned I am in a position to represent you, so that I can be one of themand I can be in position to work for my country.Please Honourable Deputy Speaker and Honourable Members of Parliament, I humbly request youto give me your votes, so that I can represent you. And I can assure you that I won't let you down. Thankyou very much. (Applause)DEPUTY SPEAKER: Any question?MEMBERS: No.DEPUTY SPEAKER: All of us know that in the process of campaign we are not supposed toclap hands, you just listen and keep quite and make up your mind, when you get your ballot paper you vote.Any question?MEMBERS: No.DEPUTY SPEAKER: Honourable Dr. Aisha Kigoda you are now allowed to sit.HON. DR. AISHA O. KIGODA: Thank you, please vote for me, please I humbly request yourvote, thank you very much.DEPUTY SPEAKER: You can take your position. Next.Honourable Ambassador Getrude Mongella, you are given three minutes to make your speech andask for votes from Members of Parliament.
- Page 1 and 2: BUNGE LA TANZANIA_______________MAJ
- Page 3: jana tarehe 5 Februari, 2004, suala
- Page 6 and 7: La pili ni kwamba, Mkandarasi huyu
- Page 9 and 10: (a) Je, Serikali ina mpango gani wa
- Page 11 and 12: mambo mengine, umebainisha kwamba S
- Page 13 and 14: La pili, kama itakuwa Chuo Kikuu je
- Page 15 and 16: Na. 54Mikoa isiyo na Viwanda Nchini
- Page 17 and 18: (c) Mheshimiwa Spika, napenda kumha
- Page 19 and 20: kutumia dawa ya kujipaka mwilini, k
- Page 24 and 25: HON. AMBASSADOR GETRUDE I. MONGELLA
- Page 26 and 27: DEPUTY SPEAKER: Honorable Omar Mjak
- Page 28 and 29: DEPUTY SPEAKER: Honorable Kidawa Ha
- Page 30 and 31: DEPUTY SPEAKER: Honorable Dr. Amani
- Page 32 and 33: I think the issue is stipulated cle
- Page 34 and 35: I do feel that the experience and e
- Page 36 and 37: DEPUTY SPEAKER: Don’t...HON. GEOR
- Page 38 and 39: I come to you with considerable exp
- Page 40 and 41: Mheshimiwa Spika, baada ya kusema h
- Page 42 and 43: Kwa hiyo, sisi hatujawahi kuona suk
- Page 44 and 45: Vile vile Mheshimiwa Dr. Juma Ngaso
- Page 46 and 47: Kundi la Wanawake walikuwa wagombea
- Page 48 and 49: vikaweza kuingia katika soko jipya
- Page 50 and 51: Mheshimiwa Naibu Spika, haya ninayo
- Page 52 and 53: ambayo tunaona yanaweza kuleta atha
- Page 54 and 55: kweli waweze kuchambua ili tusije t
- Page 56 and 57: Nikaona hii labda hii Kiswahili cha
- Page 58 and 59: Naomba nichukue nafasi hii kumponge
- Page 60 and 61: kwa sheria ya Bunge hili kwamba Mak
- Page 62 and 63: General Tyre kinaendelea kufanya ka
- Page 64 and 65: Mheshimiwa Naibu Spika, juzi niliku
- Page 66 and 67: Mheshimiwa Naibu Spika, kwa hiyo na
- Page 68: Sasa kutokana na hayo mimi nafikiri