10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kwanza kabisa, naomba ieleweke kwamba, Chala ni Crater Lake na sio Mto. Kwa maana hiyohakuna Mto Chala unaopeleka maji katika Ziwa Jipe kwa kupitia nchini Kenya badala yake Mto Lumiunaoanzia kwenye Mlima Kilimanjaro ndio unaopeleka maji yake kwenye Ziwa Jipe. Aidha, chini yaCrater ya Chala upande wa Kenya kuna chemchemi ambazo zinatiririsha maji kwenye Mto Lumi.Mheshimiwa Spika, Serikali yetu kupitia Wizara ya Ardhi, imekamilisha utambuzi wa mipaka yaTanzania na Kenya katika eneo la Ziwa Jipe. Hivyo basi, ni muhimu hivi sasa nchi hizi mbili kukubalianakufanya uchunguzi wa kitaalamu ili kufahamu kwa undani vyanzo vya maji maeneo haya na athari zamatumizi yake katika shughuli za kiuchumi na kijamii.Mheshimiwa Spika, hivi sasa inafahamika kuwa Ziwa Jipe limefunikwa na magugu maji aina yaTypha hasa upande wa Tanzania. Uwezekano wa kuondoa magugu hayo bado haujapatikana kutokana namizizi yake kukita chini ya Ziwa ingawa jitihada mbalimbali za Serikali yetu na Jumuiya ya AfrikaMashariki zinaendelea. Hili nalo linachangia kupungua kwa maji ya Ziwa hilo.Mheshimiwa Spika, naomba Bunge lako Tukufu lielewe kwamba, kwa kuwa hivi sasa hakunamkataba baina yetu na Serikali ya Kenya unaosimamia matumizi ya raslimali za maji katika eneo husika,Kenya haijakiuka mkataba wowote baina yake na Tanzania wala Kimataifa kwa matumizi ya maji hayo.MHE. JOHN E. SINGO: Mheshimiwa Spika, kwanza nakushukuru kwa kunipa nafasi ya kuulizaswali la nyongeza. Pili, namshukuru Mheshimiwa Naibu Waziri, kwa kutoa majibu mazuri na kutoaufafanuzi wa Mto ambao unapeleka maji katika Ziwa Jipe. Lakini pamoja na maelezo yake mazuri ninaswali moja do<strong>go</strong> la nyongeza. Je, Serikali kwa kuzingatia kwamba Ziwa Jipe linaelekea kukauka, inampan<strong>go</strong> gani wa makusudi wa uvunaji wa maji ya mvua na uhifadhi wa mazingira katika kulinusurulisikauke?NAIBU WAZIRI WA MAJI NA MAENDELEO YA MIFUGO: Mheshimiwa Spika, pointaliyoielezea Mheshimiwa M<strong>bunge</strong> ni muhimu sana ambayo tumeiweka kwenye sera zetu kwamba uvunajiwa maji ya mvua isiwe kwa ajili ya Maziwa au kwa ajili ya any water board lakini pia kwenye nyumbazetu tunazoishi tuweke umuhimu wa kuvuna maji ya mvua ili kuweza kuongeza upatikanaji wa maji kwamatumizi ya majumbani na sehemu nyingine. Kwa hiyo, kutokana na nilivyoeleza kwamba study inabidiifanyike kuangalia matumizi ya maji upande wa Kenya yanaathiri vipi maji katika Ziwa Jipe, ni vigumusana kwa sasa hivi kueleza kama maji ya mvua ndio mchan<strong>go</strong> mkuu kwenye Ziwa au maji ya chemchemiyanayotokea upande wa Kenya lakini Serikali zote mbili pamoja na Jumuiya ya Afrika Mashariki,tunajitahidi kutatua tatizo hilo ili tuwe na uhakika ni hatua zipi tuzichukue.Na. 59Uanachama wa Zimbambwe katika Jumuiya ya MadolaMHE. BAKARI M. MBONDE aliuliza:-Kwa kuwa hivi karibuni Jumuiya ya Madola imesitisha uanachama wa Zimbabwe na kusababishanchi hiyo kujitoa katika Jumuiya hiyo:-(a)(b)(c)Je, ni sababu zipi za msingi zilizoifanya Jumuiya hiyo kusitisha uanachama wa nchi yaZimbabwe?Je, Serikali ya Tanzania inaziafiki sababu hizo?Je, Tanzania imepata athari zipi kutokana na nchi ya Zimbabwe kujivua uanachamakatika Jumuiya hiyo?NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA alijibu:-

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!