10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Spika, kwa hiyo, tunachosema hapa ni kwamba, bado kuna umuhimu wakuhakikisha kwamba, madimbwi yaliyoko katika mazingira ya nyumba zetu yanafukiwa.Hili suala la kupulizia dawa kwenye makaro na vyoo ni suala ambalo kama nilivyosema kabla,dawa iliyokuwa ikitumika imeonekana kwamba ina athari za kimazingira. Kwa hiyo, endapo tutaendeleakutumia dawa hiyo inaweza kuleta athari nyingine kwa uhai wa binadamu.Na. 57Ugonjwa wa MalariaMHE. KHALIFA MOHAMMED ISSA aliuliza:-Kwa kuwa ugonjwa wa malaria ni ugonjwa ambao unaongoza kwa vifo vya watu wengi hapanchini; na kwa kuwa maradhi haya huambukizwa kupitia mbu; na kwa kuwa pamoja na kuwa wajibu wawananchi wenyewe ni kushiriki katika jitihada za kupambana na maradhi haya:-(a) Je, Serikali kwa upande wake ina mpango gani wa haraka wa kuweza kuwaangamizambu hao wanaosababisha malaria nchi nzima?(b) Je, pamoja na Serikali na wadau wengine kuhamasisha watu kutumia vyandarua vyenyekuwekwa dawa wakati wa kulala, Serikali itawaeleza nini wananchi kuepukana na kuumwa mbu wakatibado hawajaenda kulala?(c) Je, kuna ukweli gani wa kitaalam kwamba mbu wanaosababisha malaria ni wale tuwanaouma usiku wa manane?NAIBU WAZIRI WA AFYA alijibu:-Mheshimiwa Spika, kabla sijajibu swali la Mheshimiwa Khalifa Mohammed Issa, Mbunge waMtambwe, lenye sehemu (a), (b) na (c), kwanza napenda kutoa maelezo mafupi kama ifuatavyo:-Mheshimiwa Spika, katika miaka ya hamsini na sitini, Shirika la Afya Dunia kwa kushirikiana naSerikali mbalimbali duniani zilizokuwa na matatizo ya malaria nchini mwao, ziliazimia kupambana na mbuwa malaria na kumtokomeza (eradication). Hata hivyo, lengo hilo halikufanikiwa kutokana na sababumbalimbali ikiwa ni pamoja na uwezo mdogo wa kifedha. Hivyo, kutokana na kushindwa kwa lengohilo la awali la kumtokomeza mbu, mapambano yalilengwa katika kumdhibiti mbu (Malaria Control).Lengo la kudhibiti lilikusudia kuondoa mazalio ya mbu, kuweka mazingira safi (EnvironmentalSanitation), kujikinga kuumwa na mbu kwa kutumia njia mbalimbali zikiwemo matumizi ya vyandarua,kuweka nyavu kwenye milango na madirisha, kutumia dawa za kujipaka/kuchoma na tiba sahihi kwamgonjwa mwenye malaria.Baada ya maelezo hayo, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri wa Afya, sasa naomba kujibu swali laMheshimiwa Khalifa Mohamed Issa, Mbunge wa Mtambwe, kama ifuatavyo:-(a) Mheshimiwa Spika, mpango uliopo sasa ni kwamba, Wizara yangu inahamasishawananchi wote na hasa watoto chini ya umri wa miaka mitano na kina mama wajawazito kutumiavyandarua vyenye viatilifu (Insecticide Treated Nets), ambavyo tafiti zimeonyesha kwamba vina uwezo wakupunguza vifo vya watoto chini ya umri wa miaka miwili kwa asilimia 27. Aidha, Wizara yangu inaandaamiongozo ya udhibiti wa mbu wa malaria itakayotumika na Miji, Manispaa na Jiji ili kuwahamasishawananchi kushiriki kikamilifu katika kazi za udhibiti wa ugonjwa wa malaria katika maeneo yao.Halmashauri zinakumbushwa kutumia sheria zilizopo za kudhibiti mbu wa malaria mijini.(b) Mheshimiwa Spika, Wizara yangu inasisitiza matumizi ya vyandarua kama kinga thabitidhidi ya maambukizo ya malaria. Hata hivyo, wananchi ambao hulazimika kukaa muda mrefu nje wakatiwa usiku kabla ya kwenda kulala, wanashauriwa kutumia njia nyingine kuzuia wasiumwe na mbu, kama

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!